Are you sure is not a voice over 🤔🤔🤔 I thought it is a voice over.
@avitalpha2415 Жыл бұрын
Tanzania kila mtu ni mwimbaji tena mzuriiii! Tumebarikiwa hakika
@youngmsagotz9395 Жыл бұрын
😂
@youngmsagotz9395 Жыл бұрын
Kawimbo kazuri mbarikiwe sana waimbaji
@filamupictures9349 Жыл бұрын
😂😂😂
@happycharles-te7wn Жыл бұрын
Hakika sikupigi
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Kabisa MUNGU katubariki vingi vizur
@RaymondMahundi Жыл бұрын
Sijawahi acha kukupenda Irene toka nilipo kufahamu.sababu wee sister nimpole sanaa.muda mwingi unatabasamu tu hata ukikosewa na mtu .. barikiwa Sana na mungu aliejuu ❤❤❤ u lakini tabia Yako nzuri inatokana na wito wa kumtumikia mungu.please Toka uliko njoo mtumikie mungu serious.we love 💕
@lourykibudu Жыл бұрын
Dahhhhh am muslim nilitamani kumsikiliza iren kafanya nini ❤❤❤ kanishangaza vocal ability yake ni kubwa mno
@beatriceeyembe6838 Жыл бұрын
Saaaaaana❤❤❤❤😢
@AshuraRamadhani-n8z Жыл бұрын
kaimba vzr sana yani
@IbrahimMatayasara11 ай бұрын
Kusikiliza kwan zambi?
@thomasdimme78996 ай бұрын
Sure
@marodimbawala472311 ай бұрын
Kila mtu Irene Irene Mwenye nyimbooo katish He is blessed alloo
@AncyMerci-un2nu8 ай бұрын
Yes mm kwanza nilikuwa namudjuwa Irène kwa usani tu wa filamu alafu isitoche filamu zamaajabu ndo maana nachangaa
@johnstonjtenkule7151 Жыл бұрын
Amazing Collaboration I wish Irene ubaki huku kwenye Gospel kwa mda uliobaki nao hapa Duniani Gospel ni tamu sana
@winifridalaswai1921 Жыл бұрын
Irene 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, Nakupenda bure karibu kwenye ulimwengu wa Yesu dada 🙌🙌🙌🙌🙌
@briannareign5299 Жыл бұрын
I repeated this song more than five times….. natokwa na machozi na nimepata amani ya moyo 🥺🙏🏾…. SABABU KAMA MAPITO YANATOFAUTIANA …tutiane moyo sote Safari ni Moja. SAABABU TUNATEGEMEANA TUNATEGEMEANA …jamn Mungu awabarik huu wimbo ukafanyike kuwa baraka na faraja ya kila mtu ausikiae 😇😇😇😇😇 BIG UP SANAA GODFREY & IRENE❤️☘️ 🇹🇿🇩🇪
Kama naota khaaa Irene wangu umeimba vzr mpnz naona Sasa umejipata Mungu akutumie mama
@mariammasemele8381 Жыл бұрын
Ukisikiliza kwa utulivu kabisa unaweza ukatoka na chozi hasa ukitazama kama vile upo pekee yako duniani
@uwimana940 Жыл бұрын
Amena tunategemeana kbs❤️🙏🇰🇼🎵💯
@evangelistrobinsongospel Жыл бұрын
Amen......
@andrewelneus4134 Жыл бұрын
❤❤❤
@DivineNdayishimiye-hc8vn Жыл бұрын
Mimi nimelia
@teddyumbu7599 Жыл бұрын
😭😭😭🙏
@annamussa5499 Жыл бұрын
❤❤❤❤ 😊😊😊😊 munajuwa imba sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉❤❤💙💙💜💜💜🤗🤗
@supertallone1902 Жыл бұрын
Machozi ya furaha yananitoka😍Irene Mungu azidi kukupigania mama umenitia moyo kwa huu wimbo🙌🙏..kwakweli Mungu anainua watu wake kwa wakati apendao. Mbarikiwe sana watumishi❤
@AgnessMweta-tf6wu Жыл бұрын
Ukwl nimebarikiwa sana na huu wimbo nimeurudia mara 3 ukifikiria kwl tunategemeana daah Mungu awabariki wapendwa 🙏dada Irene umenibariki na sauti yako so amazing
@maryemanuel1668 Жыл бұрын
Huu wimbo unagusa sana mioyo ya watu na maisha kuwa usijione wewe wa thamani kuliko mwingine tunategemeana
@MariaMichael-j9p Жыл бұрын
As a mother mtoto anaweza kuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilisha maisha ya mzazi au akakupa tumaini kubwa sehemu uliyokuwa umekataa tamaa kabisa. Watoto ni baraka kwa mzazi yeyote aliyeweza kumzaa au kuamua kumlea.
@naimamohamedi868 Жыл бұрын
Naombeni like mimi yatima 😢🦥
@ireteckshirima53055 ай бұрын
Wewe Sio yatima Mungu ni Baba wa wote kwa hiyo usijiite tena yatima❤
@JesfelaKadinda-y1h5 ай бұрын
😂😂jamn kwann lakini
@siamnyone84035 ай бұрын
😂😂😂
@modyshabani3 ай бұрын
❤❤
@NoelaChardy3 ай бұрын
❤
@shabanigenya4708 Жыл бұрын
Irene baki hapo hapo.. Utakua juu zaidi… Umejipata vyema saana
@enaelcassim8062 Жыл бұрын
Uwezi kua kamili pekeako Wimbo unaujumbe mzuri mnoooo❤❤❤❤❤❤❤❤
@furahaclaudineofficial2318 Жыл бұрын
Amen najuwa tena naamini sikumojs ipo utasimama ukimuhubiri kristo na maelfu wataokoka kupitiya wewe hilo nimeliamini Mungu akubariki
@NancyMwaibula7634 Жыл бұрын
Yes Mungu atajitwalia utukufu kupitia irene
@mayrose9772 Жыл бұрын
Ndoto yake
@cynthiadanie4260 Жыл бұрын
Irene's voice is a 10/10 so surprising 😢
@SandeMwikuyu Жыл бұрын
Aisee ni kama Irene Uwoya angeamua tuu kuendelea na Gospel Singing maana amefit mnoo... May God bless the whole team kuanzia tunaowaona mpaka ambao hatujawaona kwenye this Video, I'm blessed a lot with this
@SarahTete Жыл бұрын
Hakika ameimba vzur mno 👏👏
@annethndelwa9232 Жыл бұрын
Wimbo mtamu
@nambuamziray357510 ай бұрын
Mauwa mengi kwenu mimi naangalia na kusikiliza sn nyimbo zako. Mdada kauwa tegemeaneni
@witnessmaturege29449 ай бұрын
Irene unapendeza Sana kuwa mamchungaji muimbaji hebu hamia huku mazima , umenikosha Sana wow
@donnamnele5475 Жыл бұрын
Mtumishi BABA anakuambia usiharibu karama yako msikikilize yeye zaidi .
@DaudidizonWatanga-zg6zf Жыл бұрын
Jamani ❤❤❤kumbe uwoya nae anajuwa ivi
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Yesu Kristo asifiwe sana Mungu azidi kumuinua dada Irene uwoya
@FaithHozza6 ай бұрын
Watu wote ni vyombo vya kristo Mungu aweza mtumia yeyote
@ElibarikiChima6 ай бұрын
Ndiyo kabisa
@bahatikarume32035 ай бұрын
Amen
@remmysella7848 Жыл бұрын
Kubadilika kwa mtu ni kwa mtu binafsi na si watu wanasema nini.barikiwa sana Irene and your family nice song na umeutendea haki.
@emmambuya92136 ай бұрын
Mungu akubariki mnoo Godfrey kumleta Irene huku, Mungu aendelee kufanya jambo jipya ndani yake.
@julianapeason62545 ай бұрын
hivi unamjua shetani vizuri wewe, au unakurupuka. Sheatani ni mjanja mnoo, ana uwezo mkubwa kama Mungu mwenyewe, na uwezo huu ni Mungu aliempatia,ndo maana anaweza kuwadanganya watu wengi sana,ogopa alimjaribu hata Mungu mwenyewe kwamba akimwabudu atampatia milki zote za dunia. Sisi hata huo uwezo wa kuzungumza na Mungu live hatuna ila shetani aliweza . Tazama na umwombe Mungu wako kama umemua kumwabudu yeye
@charmingchichi5996 Жыл бұрын
Wow❤IRENE can't believe this is you,nice voice,nice song may God lift you high 🙏
@josephattindi93337 ай бұрын
ckuwah kufikiria kama irene woya anasauti nzuri ivyo
@irinapardon4230 Жыл бұрын
Huwezi kuwa kamili peke yako,,, Tunategemeana,, Mbarikiwe sanaaa
@paulinewachira58398 ай бұрын
Such a unifying song! Whoever wrote this deserves a medal...Godfrey & Irene are giving this song a heart through their beautiful voices. Naipenda❤
@elisonymweladzi1858 Жыл бұрын
My Bro Godfrey stivin!; ~ you killed the atmosphere, hongera saana, To you Irene Uwoya~ huku kwenye Gospel ndio kwako haswa, Rudi kwa Bwana Yesu~ Mwimbie YEYE!, hakika usitoke huku~ Our Almighty God cant leave you alone. Hongereni saana kwa Colabo nzuri
@faridadumasalhathoseni Жыл бұрын
Hongera uwoya umefanya kitu kikubwa Sana mbele za mungu 😢🎉
@estherboniphace9695 Жыл бұрын
Irine nimekupenda kuanzia leo mimi nimekuwa mshabiki wako.Mungu akubariki sanaa akuinue juu na uimbaji wako
@yonachitema Жыл бұрын
The song is amazing, the message is a hit, the collaboration is a surprise, What a beautiful piece of art 🎉🎉
@Jolly_Jollyk Жыл бұрын
Very
@Mart_27 Жыл бұрын
Collaborarion is a surprise❤
@maryhorton96269 ай бұрын
That's what makes our maker (Jesus)great that you can worship Him in so many languages. He's greatly to be glorified !!!!
Binadamu tunategemea siku zote maan maisha ni fumbo na safari yetu ni moja tushikane mkono tufike wote
@jonas_helias Жыл бұрын
Wang'ambo wanajiuliza tumewezaje Hawajajua Bado kuwa Tanzania na MUNGU GOD BLESS TANZANIA EAST AFRICA AFRICA PIA ⛪ #TUNATEGEMEANA
@ramlamwipi3706 Жыл бұрын
Baki hapo hapo irene wangu ya dunia yanapita mwisho mungu ndo kila kitu usiteteleke simama hapo na mungu atakuinua zaidi
@eliadakokusima5993 Жыл бұрын
Mbarikiwe na Mungu...Irene una kipaji kitumie
@ThamaniHalisi-m2m Жыл бұрын
Waoo.... l never knew Irene has this beautiful voice, why not be gospel singer my sister. Hongera sana tumia kipawa chako kumtukuza aliyekuumba. ❤❤
@JacklineIkoki-u6g Жыл бұрын
Wow wow ❤❤❤❤ i wish huu wimbo tuuchukue kimatendo zaidi tuinuane kwel mapito tunatofautiana ila tusaidiane tutegemeane dah mbarikiwe sana waimbaji❤❤
@AikaYoeliАй бұрын
Ndio maana kaacha mambo ya kidunia kaamua kumtumikia Mungu akubarkiii
@esterkivaria8986 Жыл бұрын
Navyokupendaa ♥️♥️♥️huuuu Mungu anajua Mbarikiwee saaana
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU ampandishe juu zaidi amen🙏❤️
@winniepole44686 ай бұрын
Wow Irene i never knew you could sing, you're blessed with an amazing voice keep praising the Lord... Nimebarikiwa pia
@TEDDYmichael-z8f4 ай бұрын
Waoooo mwenzenu hamkuniambia, nyie wabaya sana, Hivi ni kweli Irene anasauti nzuri hivi??? Mpaka machozi ya furaha yamenitoka. Huu wimbo nimeusikia ila sikujua kama Kuna Irene.
@LydiaDamian2 ай бұрын
Apo c ameigiza tu kama video shoga
@MerryJeremiah-ox9ps6 ай бұрын
Ubarikiwe dada nawapenda we na kijana wako
@esthermbalasa578411 ай бұрын
Oprah ma chérie je t'ai aimé dans le filme Oprah mais voilà t'a encore convaincu mon coeur dans la musique oh quel grâce tu a ma chérie je t'aime encore plus fort que Dieu t'enlève dans la musique bisous a toi ❤❤❤❤
@aisharushaka1899 Жыл бұрын
Irene, ulichelewa wapi!! Unajua sanaaaa.... With love from Aysha Yahya❤
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Amna lolote zaidi ya kuliaibisha jina la Yesu tuu
@BeatriceMapinda Жыл бұрын
Hongera kaka kazi nzuri sana❤❤❤❤
@MRAMAZINGSHOWS-ow5df Жыл бұрын
Hii nyimbo nimeona clip TikTok alafu nilikuwa natumia VPN 😢 nikafeel imenitouch moyoni then ikastack 😢 Nikatafuta hela ya bando ili tu nije kuiona KZbin ❤ finally im here THIS SONG IS MY BEST ❤
@ellymwampashe8927 Жыл бұрын
So irene uwoya can sing🙄she is amazing, i hope Jesus can take her in for good
@Jowarilili-q5p11 ай бұрын
😢akika nimeguzwa mahana mda sio mrefu aitokuwa na watu wangu ao niseme my family amem 😭😭😭ninajuwa nabaki nyuma ila tuko pamoja ki roho amem mahana tunategemeana alleluia ❤😢
@eunicekissanga2060 Жыл бұрын
Wow irene she got vest vocal ❤❤❤
@ThamaniHalisi-m2m Жыл бұрын
Waoooo, sikuwa najua kama sister una sauti nzuri hivyo, kwa nini usiendelee kumuimbia aliyekuumba coz mi naona hapo ndio umefit,hongera sana.
@JeromeJesca-kg9qp Жыл бұрын
Nyimbo inanibariki sana naisikiliza kila wakati 🔥🙏
@asnatimwidin5443 Жыл бұрын
Nilikuwa nanjaa imekata kabisa bada yakusikiliza hii nyimbo woya umetisha
@Kidotii Жыл бұрын
Irene uwoya's voice is very beautiful!
@seraphineikungura96304 ай бұрын
Nyimbo ni nzuri sana,mpangilio safi,sauti safi sana
@mziraywitty Жыл бұрын
I even ask a friend for confirmation if this woman im seeing wth a such vocal is IRENE.... pls keep on serving GOD for he's the one gifted you such voice ... You look even more beautiful under GOD'S work, be a solo artist like Godfrey .. Dooh this is amazing, the message is heart warming ❤ I feel like keep on writing and its like i wont get to the end coz im blessed with the song GOD bless you.... Looking forward seeing another collabo and Irene's song❤❤
@Juliana-vn6so Жыл бұрын
Jamani nyimbo nzuli sana mpk nimesikia uwepo wamungu ukishuka kwangu yesu awabariki sana
@tracymnzava7066 Жыл бұрын
THIS SONG HAS ALOT OF SENSE,MEANING AND HUMANITY..HAKIKA TUNATEGEMEANA..THE MESSAGE MAKES ME HAPPY EVERY MOMENT I LISTEN TO THE SONG..TUENDELEE KUTEGEMEANA NDO MUNGU ALIVYOTUUMBUKA..I WISH WE ALL LIVE ACCORDING TO THIS MESSAGE..THE WORLD WOULD HAVE A BETTER FUTURE🙏
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Cjawah waza kama Airin anajua hiv jmn,❤❤
@stellabwiza8158 Жыл бұрын
Mungu awabariki wimbo mzuri mno❤❤❤❤❤ Irene Mungu aendelee kukutimia
@philipomasanja2765 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana unanibariki.......naomba kujua dhima ya wimbo huu tafadhali
@Blessing32162 Жыл бұрын
Waooh! Great song I seen Irene Uwoya singing Gospel my God raise up your talent much love you guys!
Thanks God ,... Thanks pastor Tony Kapola , thanks Irene, Thanks Godfrey
@evelynealbano3206 Жыл бұрын
Sababu mapito yanatofautiana tutiane wote n safari moja ujumbe tosha MUNGU AWABARIK
@abbiemuleke1129 Жыл бұрын
Likes from Kenya 🇰🇪🇰🇪 salute to you guys,the song depicts in our families..brothers and sisters😢
@emanuelbadi30 Жыл бұрын
Ukiisoma Bible inaposema wzinzi na waasherat watawatangulia ndo hii ss❤❤ngoja tuone hizi nyakati za mwisho🎉🎉
@hannahmwakabaga6476 Жыл бұрын
It came as a surprise, Mungu ni mwema Irene has got such a nice voice it's unbelievable how she can control her voice, she should do more of gospel songs. Such an amazing song congratulations guyz.
@zayabdallah947110 ай бұрын
when I hear that song I miss my.love grandfather RIP'
@ngoyemotinspnetwork.7124 Жыл бұрын
Wanyamazishe kabisa wanaokusema vibaya kwa MUNGU hakuna aibu
@gwakisamwandalima344 Жыл бұрын
Nimekuwa wa kwanza kubarkiwa na baraka hiii🔥
@lightnessbenard9401 Жыл бұрын
Wonderful
@ElibarikiChima6 ай бұрын
So cure
@NancyUrassa-wg8qv3 ай бұрын
Aiseee kumbe irene uwoya ndo anakipaji hivo big up kwake❤❤❤
@deograsiamgaya3256 Жыл бұрын
What a beautiful song and very strong message, giving hope to all who have given up. And I never knew Irene was this talented. The collaboration is a surprise and amazing. God bless both of you for this masterpiece.
@jackline96ify Жыл бұрын
A beautiful surprise indeed
@ruditenahapa3173 Жыл бұрын
Nice song indeed
@VictoriaMdoe Жыл бұрын
@@ruditenahapa3173😊
@lothmoses8439 Жыл бұрын
🙏
@christineneema30088 ай бұрын
Love this so much sichoki kuiskiliza ❤❤❤❤
@scollaboniphace7678 Жыл бұрын
Nimerudia hii zaidi ya mara mbili God bless u people good song
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Hii sauti ni Irine kweli! Kaimba vizuri
@tupokigwemarco7584 Жыл бұрын
Irene kwa Mungu kuna raha kumekupendeza usirudi nyuma ,Mungu azidi kukuinua kiroho My Irene
@josephk90 Жыл бұрын
Waoooh! Irene humu ndio pako mama niamini mimi, uzuri ni kwamba kama Mungu amepanga ufanye jambo fulani hata uzunguke vipi utakuja kufanya tu, its just a matter of time❤
@EmmanuelSogoe-gl9vj Жыл бұрын
Mama woya unachere wapi Sasa Fanya gospel muimbie mungu
@Dmsiris5 Жыл бұрын
Congrats Krish God bless you all.The Angels are rejoicing for you🙌🇹🇿
@StanleyMnobwa-oz9nz Жыл бұрын
Irene uimbe nyimbo za injili unaweza Sana bora uwe kama mastar wa injili
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Irene uwoya 🔥🔥🔥 continue singing babygirl,you have a good voice and divine heart
@AnnieSwebe.j2 ай бұрын
Hakika mapito yanatofautiana tutiane moyo ndugu zangu, sisi sote tu watoto wa baba mmoja. Amen nimetiwa nguvu mpya
@AgnesAgnes-fm8wp Жыл бұрын
Nyimbo nzuri saana mim mpk naliaa
@Monicamwake-y7v Жыл бұрын
Nimelia nikifikikiria yote nimepitia na bado mitihani 😢I need you God don't let go of me humans have failed me usiniache 😢jus guide me nifike I wanna rest from all this ❤❤
@salmasudi8901 Жыл бұрын
Nimezipenda hizi sauti mimi 🥹❤️❤️
@VenanceEsther25 күн бұрын
Mungu awainue Sana jamn wimbo mzur unanibariki mpaka machoz yananitoka
@elishageorge492 Жыл бұрын
Brother Godfrey You are amazing Aisee🔥🔥🔥🔥🙌 This Remix arooo,, am fall in love with it ♥️♥️♥️♥️
@jofreychristian Жыл бұрын
there was only one male singer to fit in this one and he is Godfrey Steven. shall out brother
@sporastica7174 Жыл бұрын
Bonge la nyimbo haijalizi nani kaimba kwa mungu sote ni wamoja 🥰🙌
@Mercy-l5q4oАй бұрын
Mungu alimtoa mwanawe kwajili dhambi zetu so tusihukumu mutu anaebadilisha tu ni mungu
@suzanaemanuel3621 Жыл бұрын
Irene and steve God blesz you both its real amaizing❤
@Neemagwancky7 ай бұрын
Nmependa sana MUNGU azidi kuwainua viwango to viwango