GOLI LA KIBU DENIS LAMNYANYUA AHMED ALLY MWEMBE YANGA/ARUKA JUU YA KITI/NI FURAHA TU

  Рет қаралды 82,486

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@noelwandera8617
@noelwandera8617 12 күн бұрын
Huu ubunifu wa hali ya juu kweli kwa Ahmed seman la CAF. Napenda
@halimahamad9430
@halimahamad9430 12 күн бұрын
Kweli kabsaa uskute wengine wana copy kupitia hii , km skosei takuw team ya kwanz kufany iv endapo wakifungiwa mashabiki kuto kuingia uwanjani
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 12 күн бұрын
Hapa watani umebuni njia nzuri sana,hongereeni sana.
@KasbetyNwashambwa
@KasbetyNwashambwa 12 күн бұрын
Mimi yanga ila simba wanapenda sana timu yao ❤
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 12 күн бұрын
🎉🎉🎉 2:49
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 12 күн бұрын
Ahmed Ally apewe tuzo na Uongozi wa Club ya Simba kwa ubunifu mzuri 👍👹👹🏹💪🇴🇲🇹🇿
@SomoeKilindo
@SomoeKilindo 12 күн бұрын
Leo nimefarijika vibaya
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 12 күн бұрын
Anaweza sana anywe soda grocery ya karibu nakuja kulipa😂
@SarahCharls
@SarahCharls 12 күн бұрын
Hii ni zaid ya uwanjan simba ni ya Mungu maadui limewashuka asanten sana wachezaj wetu mumetuinua japo mulikua mbali na sisi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@GeoffreyKasela
@GeoffreyKasela 12 күн бұрын
Acha bwana wew👹👹👹👹👹
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 12 күн бұрын
Mmetisha sana ubaya ubwela Simba nguvu moja
@JescacasianChaho
@JescacasianChaho 12 күн бұрын
Ahmed ally semaji wew hakuna wa kukufananisha unaakili nyingi San angalie hapo kam vile tupo kwa mpka n❤❤❤
@JemsiMokya
@JemsiMokya 12 күн бұрын
Eee mungu tunashukuru Sana kwa ushindi mnono eee mungu wasaidiye waxhe😊
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 12 күн бұрын
Simba you are the best ❤
@kassimAthanas
@kassimAthanas 12 күн бұрын
daaaah ulikuwa wapi ahamedi alliy mbona umechelewa kuja kwa wanasimba
@LeahMsengi-s1o
@LeahMsengi-s1o 11 күн бұрын
Ubaya ubwela I love simbaaaa❤❤❤❤❤
@ntulloboy2916
@ntulloboy2916 12 күн бұрын
Mungu akupe nn amedi ally i'vi serikali haioni Kaz unayo ifanya
@IddyAlly-p3p
@IddyAlly-p3p 12 күн бұрын
Ama kweli Simba imeandika history nyingine hapa,
@halimahamad9430
@halimahamad9430 12 күн бұрын
KABSAAA❤
@aishaDhahabu-q7v
@aishaDhahabu-q7v 12 күн бұрын
Simba Hana mpinzani jmn 🥰♥️🥰🥰🥰♥️🥰🥰🥰
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 12 күн бұрын
Asante mungu🦁🦁🦁🦁🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💪🏽💪🏽
@faaubwa4158
@faaubwa4158 11 күн бұрын
Hongera saana semaji letu
@Saudamohamed007Saudamohamed00
@Saudamohamed007Saudamohamed00 12 күн бұрын
Furaha ilioje jaman llove simba ❤❤❤❤❤❤❤
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 11 күн бұрын
Kwaiyo ukipanda gari ukitaka kushuka kituo kile mwambie konda niache makundi hapo😅😅😅
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 12 күн бұрын
Simba kweli ni tishio Africa Zima.
@luluray2115
@luluray2115 10 күн бұрын
Watu wa simba wanapenda sana team yao
@MohdAbdallah-l6f
@MohdAbdallah-l6f 12 күн бұрын
Hii ndo maan halixi ya ubaya ubwela simba nguvu moja❤❤❤🦁🦁🦁
@jumamarco-mh1hg
@jumamarco-mh1hg 12 күн бұрын
Tanzania Kuna Raha jamaniiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TheresiaMhagama
@TheresiaMhagama 12 күн бұрын
Sisi haoooo💪💪
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 12 күн бұрын
Hili vibe utopolo wataiga tu
@princejosephat8316
@princejosephat8316 12 күн бұрын
Msemaji wetu anajua sana tuko nae na tunatamba nae bendera ya Simbaa❤❤ Juuu
@SmilingDonuts-vz3we
@SmilingDonuts-vz3we 11 күн бұрын
@GFashion-o4e
@GFashion-o4e 11 күн бұрын
Wooooooooyooooo
@TheresiaRaymond-w7e
@TheresiaRaymond-w7e 12 күн бұрын
Nikajua siafu khaaaaa❤
@VigiriaKomba
@VigiriaKomba 12 күн бұрын
Duuuuh kwa kweli Simba Ni balaa Yan inaamasisha mno mno
@CheerfulOrangeJuice-hx5ix
@CheerfulOrangeJuice-hx5ix 12 күн бұрын
Mmmh simba noma
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn 12 күн бұрын
Dah Ahmed Ally asifananishwe na kile kibwana mdogo!!
@RashidHamadi-s7c
@RashidHamadi-s7c 12 күн бұрын
Haijawaii tokea duniani kote AHMED ALLY kongole zake zimfate alipoo
@IsraelLugina
@IsraelLugina 12 күн бұрын
🦁🦁💪💪💪🦁🦁🦁👍👍👍
@HemedSaid-n5k
@HemedSaid-n5k 12 күн бұрын
Huni ududu nakubali kazi
@ezesaxo8764
@ezesaxo8764 11 күн бұрын
Nguvu mojaaaa
@isunga1964
@isunga1964 12 күн бұрын
Mpaka mwili umenisismka jamni Simba mtaniuwa mimi kwa raha kilele vyote nimekaa
@sangafedrick6619
@sangafedrick6619 12 күн бұрын
Duh!! Huu ubunifu wa Hali ya juu Sana hviyo😅
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 12 күн бұрын
Tanzania raha sna
@JackisonPaschol
@JackisonPaschol 12 күн бұрын
Jamani namtafuta Halima Issa aje aoneubaya ubwela❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 12 күн бұрын
Tunaipenda hii club
@HuliloDonard-gu9bp
@HuliloDonard-gu9bp 12 күн бұрын
Nice 👍❤
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 12 күн бұрын
Huyu Ahmed Ally ni motoo mnooo Kwa ubunifu
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 12 күн бұрын
il ahmed ameona hailip wakaunda uwanja wao 😂😂😂 wana enjoy wat wanalia 😊
@saidbakari2408
@saidbakari2408 12 күн бұрын
SIMBA NI LIDUDE LIKUUUUUUUUUUUUUBWA SANA HALINA MFANO AFRIKA KWA UBUNIFU TU HAKUNA NASEMA
@shangwefisima54
@shangwefisima54 12 күн бұрын
Kufungiwa huku sina hamu... Ila tumeenjoy😂😂😂
@FransiskaNgonyan
@FransiskaNgonyan 12 күн бұрын
Kaka kaz nzur
@salama1113
@salama1113 12 күн бұрын
Yani mwembe yanga kama taifa😂😂😂🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@adelalupumbwe-yu5pg
@adelalupumbwe-yu5pg 12 күн бұрын
unyama mwingi kama 2po kwamkapa hatali simba
@MhemedySaloom
@MhemedySaloom 12 күн бұрын
Ahmed aliy na wafungwa wenzake wavunja viti fc washangilia goli maporini
@NeemaMushi-r4o
@NeemaMushi-r4o 12 күн бұрын
Ubaya ubwela❤❤
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v 12 күн бұрын
Oyoooooooooooooooooo 😁😁😁😁😁😁😁😘simba
@ElzaMungure
@ElzaMungure 12 күн бұрын
😢😢😢😢ee ban ee haya ni machoz ya furahaa
@SalimRajabu-zn6ib
@SalimRajabu-zn6ib 12 күн бұрын
Ahmedi anajua
@maulidhussein2022
@maulidhussein2022 12 күн бұрын
Kwa aliye buni hiiiiiii atapewa tuzo caf Caf yenyew ikiona hivyo lazima itoe tuzo tena kwa mashabiki
@AhmadiLikukwa
@AhmadiLikukwa 12 күн бұрын
Ahmedi ally kk una macho 4 ongera sana
@chidomobile9546
@chidomobile9546 12 күн бұрын
Ni hatari sana
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 11 күн бұрын
Kesi ya ahamed na yanga ni lini vile,
@AsiaChia-b8b
@AsiaChia-b8b 12 күн бұрын
Jmn natamani wachezaji baada ya kutoka uwanjani wangekuja uku muembe yanga tungewasubiria
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 12 күн бұрын
Na hii siyo mwembe Yanga ,imekuwa mwembe,makundi 🔥🔥😆🤣
@tithomwamengo6571
@tithomwamengo6571 12 күн бұрын
Umeteseka leo ukiwa wapi
@SarahMathias-v1g
@SarahMathias-v1g 12 күн бұрын
Goliiiiiiiiiiiiiiiiii
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 10 күн бұрын
Hongera uwongozi mzima Wa Simba Kwa kubuni kitu kikubwa kama hichi Sisi timu nyengine tuna cha kujifunza kwenu shikamoo semaji la caf
@LocksMichael-w2f
@LocksMichael-w2f 12 күн бұрын
Yaaani simba hana dogo jamani kweri ubaya ubwela
@JohnJohn-ij4ou
@JohnJohn-ij4ou 12 күн бұрын
ila semaji😂😂
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 12 күн бұрын
This is SIMBA
@temesjames8867
@temesjames8867 11 күн бұрын
Uhuni sio kitu kizuri sasa mung'oe na hiyo miti tuone.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 11 күн бұрын
Nimeangalia mara 2 imenikonga nyoyo.
@AllyMilunda
@AllyMilunda 12 күн бұрын
Ahmed Ally na wangwa wenzie wapo mapolini wanangalia boli
@IsackCharles-j8u
@IsackCharles-j8u 12 күн бұрын
Simba acheni ushamba happy siyo uwanjani
@omariaman7818
@omariaman7818 12 күн бұрын
Haahahahaha simba wakiamua lao hakuna wakupinga
@mklsolutionslimited9626
@mklsolutionslimited9626 12 күн бұрын
Hii ndio Simba
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 12 күн бұрын
Ila semaji maisha malefu kwako
@PelagiaSabinus
@PelagiaSabinus 12 күн бұрын
Ahmed Ally wewe ni mtu na nusu Kaka angu siyo kwa ubunifu huu tunaomba viongozi wa simba wakupe tuzo.
@AdrianSawe
@AdrianSawe 12 күн бұрын
Tishio kwa vibode
@rajabhussein-e3f
@rajabhussein-e3f 12 күн бұрын
Kama kina vital'o,tp Mazembe na cbe
@MichaelKahisha
@MichaelKahisha 11 күн бұрын
KAMA KAWAIDA SISI HUWA TUNAANZISHA WENGNE WATAIGA TU HUKO MBELENI
@Dr_nanjase
@Dr_nanjase 12 күн бұрын
😂😂🤲🤲
@DullhFeyy
@DullhFeyy 12 күн бұрын
Wanllahi najikuta nadondosha chozi kwa furaha tu hongereni wana simba sote kwa ushindi na hii ni hali halisi yanguvu ya simba
@SarahCharls
@SarahCharls 12 күн бұрын
😭😭😭hakika ata Mimi Mungu ametuinua japo maadui walitegemea kuona wachezaj wetu wakipogwa Kwa kukosa sapot yetu du Asante Mungu🙏🙏🙏
@sabatoager
@sabatoager 12 күн бұрын
simba nguvu moja
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e 9 күн бұрын
UBUNIFU MZURI
@IsackCharles-j8u
@IsackCharles-j8u 12 күн бұрын
Kama mazezeta hivi
@SifranLove
@SifranLove 12 күн бұрын
Umeteseka ukiwa wapi
@godfreykarigo6404
@godfreykarigo6404 12 күн бұрын
Waje watufungie na huku
@merinachalinze-rn2cc
@merinachalinze-rn2cc 12 күн бұрын
Ndio uwanja wenu wang'oa vti
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 12 күн бұрын
Wewe safari yako imeisha hata makundi yamekushinda..
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 11 күн бұрын
Hapana huo ni uwanja makundi😊
@RamadhaniFilikichi
@RamadhaniFilikichi 12 күн бұрын
Ubaya ubwela
@MenyeLeteiva
@MenyeLeteiva 12 күн бұрын
Simba ubaya ubwela
@Redmi-b6e6b
@Redmi-b6e6b 12 күн бұрын
Ubaya ubwelaa
@IsackCharles-j8u
@IsackCharles-j8u 12 күн бұрын
Leo wamerusha maji, kungekuwa na viti wangevunja tena hiyo nitabia yao
@shangwefisima54
@shangwefisima54 12 күн бұрын
Tunafuraha ajabu
@jahonetz3260
@jahonetz3260 12 күн бұрын
Bas wataiga badae utopolo
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 12 күн бұрын
Hapo ndipo wanapo takiwa kuangalia mpira kila siku sio kuharibu miundo mbinu ya watu iliyo garamiwa
@SamwelSospeter-lz9fm
@SamwelSospeter-lz9fm 11 күн бұрын
Check boya la Utopolo makundi hili nalo😂😂
@subralugege7019
@subralugege7019 11 күн бұрын
Acha makasiriko. Mwakimakundi ww😂😂😂😂😂😂😂😂
@ezramtinda
@ezramtinda 12 күн бұрын
Hiii ndo gusa achia sio yajana
@NickKavishe
@NickKavishe 12 күн бұрын
Watq tu higa wengoja afu wqanze kusema wqho wa kubwa
@Hamadi-f4i
@Hamadi-f4i 12 күн бұрын
ubaya ubwela hii ndo simb
@Siwa-n5p
@Siwa-n5p 12 күн бұрын
Nawapenda wanadimbaaaa ubaya ubwela
@FatahKapungu
@FatahKapungu 12 күн бұрын
Semaji la caf ubunifu wako ni hatari
@IsackCharles-j8u
@IsackCharles-j8u 12 күн бұрын
Tuseme hawa wote nimasikini hawana tv ndani au ushamba wa maajabu
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 11 күн бұрын
Kwaiyo wewe unae enda kibanda umiza tv huna au!raha ya mpira vibe kuku wee
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 12 күн бұрын
Wawaambie CAF wamewanyima watu raha
@Dullah_tz
@Dullah_tz 12 күн бұрын
Hapo wamejaa wezi tu
@salmaoman3967
@salmaoman3967 12 күн бұрын
Mwizi mama lako na baba ako na km Imekuuma chomoa ujambe
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 12 күн бұрын
Hapo panaitwa mwembe makundi
@HusseinBundara
@HusseinBundara 12 күн бұрын
Munqu tusaidie tulete kombe la shirikisho tz
@RamadhaniFilikichi
@RamadhaniFilikichi 12 күн бұрын
Tumevunja record tukiwa huku huku mwembe yanga
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 11 күн бұрын
Huo sio mwembe Yanga ni mwembe makundi
@HusseinAmrani-v2v
@HusseinAmrani-v2v 12 күн бұрын
Said mkata ametoka mwanza kaja dslama kuwasisia waarabu kama alivyo wasaidia pamba
@GraceMatula
@GraceMatula 11 күн бұрын
Hakuna kama simba nyie
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 11 күн бұрын
Hii ndo smba
Magoli Yote Simba vs CS Constantine 2-0 Highlights leo 2025 Simba sc vs CS Constantine
12:09
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 388 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
THE STORY BOOK | LIKO WAPI SANDUKU LA AGANO!?
16:08
Minister Peter Mchalo
Рет қаралды 15 М.
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Azam TV
Рет қаралды 1,2 МЛН
KWA KISWAHILI HOTUBA YA IBRAHIM TRAORE' MBELE YA RAIS VLADIMIR PUTIN
5:35
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН