GOLI LA PRINCE DUBE DHIDI YA TP MAZEMBE - CONGO

  Рет қаралды 61,614

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 19 сағат бұрын
Mungu we ni muweza Asante kwa kila kitu Asante kwa Mtumishi Wako aliyemuombea Dube hatimaye amefunga 🙏🙏🔰🔰🔰
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 19 сағат бұрын
Clement mzize what a player ur the best best bro dakika ulizocheza jana ulifanya kuhurahisisha mpira na unakawa rahisi kweli 🙌🙌
@marymoshi572
@marymoshi572 Күн бұрын
Goli moja kali la kufungia mwaka❤
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 Күн бұрын
Ile spirit ya dakika 20 za mwisho ndio zinaitajika wachezaji wawe nazo pia waache ubinafsi watumie nafasi kwa usahihi na kufanya mahamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kwa haraka wakiwa langoni utulivu hakuna safu ya ushambuliaji wazidi kufanyia kazi
@YumnaRamadhan-m9z
@YumnaRamadhan-m9z 17 сағат бұрын
Nilichofurahi zaidi jana ni kufunga kwa prince dube alikuwa kwenye presha kubwa Sana wenda inaweza kuwa ni kurudi kwa matumain yaliyokuwa yamepotea kwake
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr Күн бұрын
Huenda ikawa nyota njema kwetu mpaka mazembe wanalala hawaamini
@IsabelaConstantino-ns7kx
@IsabelaConstantino-ns7kx Күн бұрын
Mungu atusaidie tyuu jaman
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Күн бұрын
Tunakushukuru Mungu,
@NuruChristopher-z1w
@NuruChristopher-z1w 19 сағат бұрын
Mungu ni mwema na kwa uwezo wake mungu tutavuka salama🙏🙏🙏
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 17 сағат бұрын
Asante Mungu wa mbinguni,...
@watupipo
@watupipo Күн бұрын
Hawa wachezaji wana hasira walikua wanataka kushinda hii game. Watashinda game ijayo
@LeylaSaria
@LeylaSaria 22 сағат бұрын
Na tutavuka hawataamn
@jamilamkunga234
@jamilamkunga234 22 сағат бұрын
Inshaaa allah
@PineTree-n9y
@PineTree-n9y 21 сағат бұрын
Nifuraha kwa yanga mc Alger kukandwa
@sullehtz9327
@sullehtz9327 21 сағат бұрын
#teamyawananchi🔰🏆🙏
@valethomasi
@valethomasi Күн бұрын
Ila Ramovic falsafa yake hailingani na maono ya timu. Hivyo aondoke tu. Viva Gamondi anayenuna anune😢😢😢
@MikidadiAbdu-s6o
@MikidadiAbdu-s6o Күн бұрын
Huna lolote unalolijua na guardiola pale man city vp au na huenda unabwabwaja hata huna mchango wowote Kwa yanga hata kadi ambayo ni active huna.
@T_Darius
@T_Darius Күн бұрын
Mapema sana kusema hivyo
@emanuelsamson95
@emanuelsamson95 23 сағат бұрын
Ujinga tu unakusumbua nyie ndo walewale mliokuwa mnashangilia Gamond kufukuzwa
@IddTwaha
@IddTwaha Күн бұрын
Hivi nyie watu wa digital mnashida gani aisee watu wanatembea kama kama mtu anasogeza mbele kweny TV bhana
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 Күн бұрын
Inshaallah kwa uwezo wake Allah tutashinda mechi zote🎉🎉💛💛💚💚
@JosephChrisant
@JosephChrisant 22 сағат бұрын
Sasa editor mbona picha mbovu namna hii 😂😂😂
@Expertz01
@Expertz01 Күн бұрын
Dube kaogea njia panda kule tabora ndo maan mkosi umetoka😂😂
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 21 сағат бұрын
Shindwa pepo mbaya
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 22 сағат бұрын
🙏🙏💚💚🔰🔰🔥🔥
@salummasenga5030
@salummasenga5030 18 сағат бұрын
Jana mpira tumecheza tofaut na mechi iliyopita
@MrFreebeats-tu5zn
@MrFreebeats-tu5zn 19 сағат бұрын
Wote Tumepakiana Mikongo
@Tutindaga
@Tutindaga 21 сағат бұрын
mtu wenu anayetengeneza hizi highlights ni takataka
@ezekiajuma6309
@ezekiajuma6309 23 сағат бұрын
🙏🇹🇿
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Күн бұрын
Ubaya ubwela
@salehestambul5535
@salehestambul5535 20 сағат бұрын
Chama anamatatizo gani na walimu, timu hii anastahili kuanza 90+ mins kibabe zaidi.
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 20 сағат бұрын
Ww unajua mpraa aisee chama anatakiwa kuanza na sio Aziz
@EvanceChavala
@EvanceChavala 13 сағат бұрын
Jaaaah
GB 64 APAGAWA NA MAGOLI YA KIBU DENIS, HUYU NI SHUJAA WETU LEO SIMBA
15:38
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,5 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 528 М.
#zandaaani SIRI YAFICHUKA KUHUSU KUTIMULIWA KWA GAMONDI YANGA
5:56
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41