TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020.

  Рет қаралды 6,142

G Online

G Online

4 жыл бұрын

Jifunze tabia 3 za mafanikio za kuwa nazo ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020. Wote tunajua kuwa tabia ni muhimu sana kuwa nazo hasa tabia chanya ambazo nitakusaidia kufanikisha malengo na ndoto zako na kufikia mafanikio. Tupo hivi tulivyo kwasababu ya tunayofanya kila siku, sio kwa kufanya mara moja na kutegemea matokeo mazuri katika maisha la hasha, ni yale tunayoyafanya kila siku ndo yanahesabika. Kwahiyo kama unataka kufanikisha malengo, na ndoto kuwa na mafanikio zaidi lazima ujifunze kufanya vitu kwa usahihi ambavyo vitakusaidia kukufikisha mwenye mafanikio unayoyataka.
So ni tabia gani unazotakiwa kuzikuza na kuzitumia kukusaidia kuishi vizuri na kufanikisha mengi. Angalia video hii hadi mwisho. Karibu
................................................................................
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
kzbin.info/door/k-G
🔴Follow me on Instagram - / zahir11gome. .
🔴Twitter - / zahir11gomelo
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako- • JINSI YA KUFANIKISHA M...
⚡Kwanini ni muhimu kuwa na VISION katika maisha na kama hauna unawezaje kujua VISION yako/Maono yako- • Kwanini ni muhimu kuwa...
⚡JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO VIZURI NA KUJILETEA MAFANIKIO 2020-GONLINE- • JINSI YA KUTUMIA MUDA ...
⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA GONLINE-
• JINSI YA KUWA MJASIRIA...
⚡JIFUNZE KUACHA HILI KUFANIKISHA MALENGO, NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO (PROCRASTINATION) - • JIFUNZE KUACHA HILI KU...
⚡ JINSI YA KUKUZA KUJIAMINI ZAIDI 2019/HOW TO BE CONFIDENT 2019
• JINSI YA KUKUZA KUJIAM...
⚡Ni bora ufe ukijaribu Kuliko kukata tamaa katika ndoto zako ( Best Motivational Video) - • Ni Bora Ufe Ukijaribu ...
⚡Epuka Makosa haya 6 Kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara haraka
• Epuka Makosa 6 Kama un...
⚡Jinsi ya kupanga Bajeti-50/30/20
• Jinsi ya Kupanga Bajet...
⚡Je unapitia maisha magumu/wakati mgumu katika maisha? Usikate tamaa. Angalia Hii-
• Je unapitia maisha mag...
⚡Angalia Hii : Kabla ujakata tamaa katika maisha
• ANGALIA HII : Kabla uj...
⚡Jinsi ya kutengeneza na kuwa na pesa nyingi/Acha mambo haya matano (5)
• JINSI YA KUTENGENEZA N...
⚡JILIPE MWENYEWE KWANZA
• Jilipe wewe mwenyewe k...
⚡FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA - • FIKRA/MAWAZO YA WATU W...
⚡ KWANINI UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNASHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MALENGO NA NDOTO ZAKO - • KWANINI UNAFELI KATIK...
⚡Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo - • SIRI TATU ZA JINSI YA ...
.....................................................................
#gonline #mafanikio #maisha

Пікірлер: 15
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
⚡QOTD⚡ Niandike ni kitabu gani unasoma sasa na kimeandikwa na nani? Ambacho kinakusaidia kwa kuongeza maarifa na kujifunza. Kwa sasa mi nasoma kitabu kinaitwa KZbin SECRETS kilichoandikwa na SEAN CANNEL & BENJI TRAVIS. Wewe je? Niandikie 👇👇. Fuatilia Series ya playlist yangu ya ROAD TO SUCCESS 👉kzbin.info/aero/PLIr8khsfPKvo0LEnqhT0Wt1JoBeoKk47v
@emanuellohai9044
@emanuellohai9044 2 жыл бұрын
Hay
@emanuellohai9044
@emanuellohai9044 2 жыл бұрын
Oooooook
@nickynickson1200
@nickynickson1200 2 жыл бұрын
Ishi ndoto yako &money formula by joel nanauka.
@sayyidtawaqal1754
@sayyidtawaqal1754 4 жыл бұрын
Mm nasoma kiengereza
@Cyper255
@Cyper255 4 жыл бұрын
Thanks bro
@sayyidtawaqal1754
@sayyidtawaqal1754 4 жыл бұрын
Kwanza Asante kwa hamasa! Mm nasoma vitabu tofauti kwa watu tofauti Kama David hoggin! John Asarafu! Stiv job! Jack ma! Jim Ron! Joel nanauka! Ezdeni jumanne! Mc luvanda! yani no wengi mno yani nashkuru yani nawashauri Sana wenzengu tuitimie mitandao kwa Mambo ya maana!!!!!!!¡
@sayyidtawaqal1754
@sayyidtawaqal1754 4 жыл бұрын
Thanks
@masoudysuleiman5553
@masoudysuleiman5553 4 жыл бұрын
Kaka mm nataka nisome vitabu vya kiingereza lakini lugha sijuwi nifanyeje
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Anza kusoma Brooo, ni kitendo cha kuwa tayari tu. Wekeza pesa kwa kununua vitabu vya kingereza vipo vingi tu. Au hata tumia internet buddle lako vizuri kwa kusoma vitabu kwa njia ya AUDIO BOOK ambavyo havicost chochote zaidi ya internet yako. Ukisema ujui ufanyeje hiyo inamaanisha haupo tayari. Ushauri Wangu kwako ni ANZA SASA KUSOMA.
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 4 жыл бұрын
Brother naomba namba yako
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
0672-084312/0629718385
@skambiscarface786
@skambiscarface786 4 жыл бұрын
Hongera bro ,good job sio kazi nyepesi .mi kwasasa nasoma kitabu cha how to make money in a bad econmy.
@khadijamohamed3043
@khadijamohamed3043 7 ай бұрын
@@GOnlinepositivity Good Broh
@allymfaume4310
@allymfaume4310 4 жыл бұрын
Kitabu nachosoma... why A students are working for C students and B students are working for government
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН
TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA
15:22
G Online
Рет қаралды 6 М.
Jinsi ya kupata pesa facebook kupitia account yako
14:17
Elimu Huru
Рет қаралды 9 М.
5 Things Successful People Do Before 8AM [FULL MESSAGE] | Terri Savelle Foy
30:05
Kosa Kubwa Unalofanya ni Kufikiria Una Muda-ANGALIA HII!
4:34
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,5 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32