No video

Kosa Kubwa Unalofanya ni Kufikiria Una Muda-ANGALIA HII!

  Рет қаралды 1,760

G Online

G Online

Күн бұрын

Kosa Kubwa Tunalofanya ni Kufikiria Una Muda-ANGALIA HII! Kama sio leo, lini? Kosa kubwa unalofanya ni kufikiri kuwa una muda. Na ndo maana unaweka vitu kwaajili ya kesho, baadaye, baadaya dakika 10. Lakini unagundua muda huo hautokuja.Unakwenda, muda wako ni mdogo. Kwahiyo usipoteze muda kuisha maisha ya mwingine. Unatumia muda wako haijalishi nini unafanya. Haijnalishi kama ni sahih au la.
Muda unakwenda , haurudi. Unapoweka muda wa kuanz, pindi kesho inapokuwa leo, ‘unasema tena kesho na unafikiri inakuja na nitafanya hili na unashindwa kuanza kila siku kwasababu ‘unafikiri muda unakuja kwako na unaweka nia ‘ya kufanya tena kesho lakini hiyo kesho ikifika ufanyi chochote. Haupotezi muda wako, ila unapoteza maisha yako. Kama Bruce Lee alivyogundua kuwa kama unapenda maisha usipoteze muda kwenye muda ndo maisha utengenezwa. Imagine unapata dollar 86400 ambayo inawekwa kila asubuhi kwenye account yako pindi unapoamka na zinaanza kuhesabu. Zinaanza kwenda, zinatumika, na kila usiku unapokwenda kulala, account ‘yako inafuta kiasi chote cha pesa ulichoshindwa kutumia.Wote sisi tunahiyo bank account, Ambayo inaitwa MUDA . Muda ni bure, kila asubuhi unakupa sekunde 86400, Na kila usiku zinajifuta sekundi zote ulizoshindwa kuzitumia hauweza kuzihifadhi hizo kwaajili ya kesho lakini wewe unaweza kuzitumia hizo sasa kwa lengo zuri.Kila asubuhi unapewa tena sekunde 86400 na kila usiku zinaondoka ile zilizobaki. Hauwezi kuziweka, ila unaweza kuzitumia kama ukishindwa kuzikutumia hizo sekunde kwenye vitu vizuri hasara ni juu yako. Muda ni wa thamani Kama CHARLES DARWIN alivyogundua kuwa Mtu nanayethubutu anayepoteza thubutu kupoteza hata lisaa li limoja ajagundua thamani ya muda.
Asante kwa kuangalia , usisahau Kulike video hii, share na rafiki na Subscribe kwa video mpya kila wiki (Jumapili na alhamisi)!!
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako.
🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa
Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385
..............................................................................................................
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡ KUJIAMINI SELF CONFIDENCE- • KUJIAMINI -SELF- CONFI...
⚡VITU 6 HIVI HUZUIA MAENDELEO YAKO MAISHAINI-KUSHINDWA
KUFIKIA MAFANIKIO - • VITU 6 HIVI HUZUIA MAE...
⚡Usikate Tamaa Kwenye Kitu Unachokiamini.Najua Leo Itakuwa Ngumu, Kesho itakuwa Mbaya zaidi- • Usikate Tamaa Kwenye K...
⚡FAIDA ZA KUFANYA KAZI KWA BIDII- • FAIDA ZA KUFANYA KAZI ...
⚡NJIA 6 ZA KUONDOA MSONGO WA MAWAZO/HOW TO STOP STRESS- • NJIA 6 ZA KUONDOA MSO...
⚡Hatua 5 Jinsi Ya Kuboresha Maisha Yako Ndani ya Miezi 2- • Hatua 5 Jinsi Ya Kubor...
#Muda #Time2023#Usipotezemuda2023

Пікірлер: 3
@MkbinladenNikunetotoz
@MkbinladenNikunetotoz Жыл бұрын
Absolutely
@piusmaringo9856
@piusmaringo9856 Жыл бұрын
Asante kaka nimeipenda hii na nitauzingatia Muda wangu sikubali kuhairisha tena mipango yangu
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Safi asante
Uwezo Wako Wa Kufikiri - Joel Nanauka
5:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 53 М.
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 17 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 204 МЛН
Ufanye Mwaka  2024 kuwa Mwaka Bora wa maisha  yako
9:36
G Online
Рет қаралды 522
"Mawazo" Sehemu Ya 2 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian
33:12
Chomoza Tv
Рет қаралды 25 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 205 М.
TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA
15:22
G Online
Рет қаралды 6 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kukusaidia kutokuona Aibu
8:10
Chris Mauki
Рет қаралды 28 М.
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 17 МЛН