Jamn asanteni san lakini tulikuwa tunaomba mtusaidie namba za hapo kiwandani ili sisi wajasiriamali tuweze kuagizia mzigo moja kwa moja kutoka hapo hadi huku mikoani tulipo
@goodhelpnolland96375 жыл бұрын
Baba wa Taifa nyerere alikuwa na mipango mizuri sana viongozi waliofuata wameua viwanda,haiwezekani tuna kiwanda kikubwa kama hicho madaftari yanatoka nje ya nchi
@beltilakaphipa88925 жыл бұрын
asante kwakutupa elimu, kweli kufa kufaana. umeona plastick inakatazwa nawe ndiyo unaibuka kukitangaza kiwanda na malighafi inayotoka hapo
@bennysanga15545 жыл бұрын
Saf sana Global TV kwa habari nzuri
@christopherryoba40685 жыл бұрын
Mwacb nakumanya Sana hongeleni Sana
@aminamohamed70025 жыл бұрын
naomba kazi basi
@jimmyassenga40655 жыл бұрын
Tangazen ajira vijana wamesoma awana ajira
@nahimanafiston651810 ай бұрын
Mze umeceza film ya the hobbit ?
@ramadhanikwilaula32603 жыл бұрын
Wekeni kipindi cha matangazo CHANEL TEN dakika kumi na tano kila Alhamisi au mara moja kwa wiki watu waelewe biashara itakuwa kubwa.
@justinluwumba5845 жыл бұрын
Good news!
@simonlameck64915 жыл бұрын
Sasa mbona hamtoi namba ya simu kamamtu anataka kutoa oda tunaomba muweke namba ya sim Mimi naitaji Ila nipo tabora
@sadataji66885 жыл бұрын
Nashida na karatasi
@williamkipondamali19365 жыл бұрын
Wacheni story leteni bizaa sokoni wachina wana wapiku huku mnaona wenyewe, punguzeni maneno leteni mzigo jamani!!!!!
@aishasalimaishasalim13235 жыл бұрын
Naombeni nafasi..atakama ni yakufanya usafi..inanitosha...?
@jumamwadhini60665 жыл бұрын
kwaiyo meanini msitoe namifuko ya karatasi
@janeypheremmanuel98445 жыл бұрын
swali kiwanda kiko wapi na kama nipo dar napataje
@noelmarapachi18085 жыл бұрын
Leteni mifuko ya karatasi rambo zishapigwa marufuku, punguzeni story
@NaturalBidoha5 жыл бұрын
mifuko ya plastic inaharibu mazingira tutumie mifuko ya karatasi ambayo inapatikana kwa KUKATA miti..😁😁😁
@colepapichulo44225 жыл бұрын
C imapandwa mingine
@beltilakaphipa88925 жыл бұрын
kijifunza unalipia ?
@kebo21555 жыл бұрын
....sasa nani anakimiliki hichi kiwanda?? Serikali au wahindi??