Uharibifu wa MAZINGIRA tu.! Hawakati miti kizazi cha sasa,ni recycling tu ndio itaokoa misitu tena gharama nafuu
@oliveryonah25667 жыл бұрын
Aloyce Kiwia iyo miti inapandwa kwa kazi hiyo na siyo kila mti unafaa kwa kutengenezea karatasi ipo maalum unaweza hata wewe kupanda na nibiashara pia coz ni miti inayo kua kwa haraka mnoo
@watsonisrael40535 жыл бұрын
@@oliveryonah2566 Asante sana kwa kutuelimisha Oliver.
@polycarpmdemu35526 жыл бұрын
Mgololo home sweet
@abeidomar7806 жыл бұрын
Kwann
@mtigafans94305 жыл бұрын
Unaruka step hata sielew
@crepinusrubona64487 жыл бұрын
Umenikumbusha Mgololo, kiwanda kimepoteza ubora na sifa yake Ya miaka ya 1988 _ 1995 (SPM) KILIKUWA KINA FANYA PRODUCTION BALAA
@fauzishabani26225 жыл бұрын
Uzalishaji wa white paper 70gsm 80gsm wamewaachia India . Tuagize India
@fauzishabani26225 жыл бұрын
News print 45grm 60grm wamebana tupeleke pesa India
@nilansaid29273 жыл бұрын
@@fauzishabani2622 ndio tatizo la kubinafsisha viwanda vya serikali bila kuangalia outcome, wahindi sio watanzania bali ni wahindi na maslahi yao ni kwa ajili ya India, waliharibu reli na viwanda pamoja na mashirika mengi waliobinafsishiwa sababu ya maslahi ya nyumbani kwao India, sio watu wa kuwaamini kabisa
@johnmayama9405 жыл бұрын
Nahitaji mawasiliano ya meneja kiwandani hapo. Nataka kuagiza karatasi kuja Dar es Salaam. Mwenye kujua anifahamishe Namba yangu 0679047446 au 0767157788
@abataitanzania10167 жыл бұрын
kuna project nataka kuanza nitapataje tafathali mawasiliano
@MichaelMwakibolwa7 жыл бұрын
habari Faraja, Hongera kwa video hii. nataka kuja kufanya project yangu huko tafadhali nawezaje kukupata?
@farajasendegeya53127 жыл бұрын
Karibu Mimi nipo tu
@farajasendegeya53127 жыл бұрын
Napatikana Azam TV
@husseinhassain71167 жыл бұрын
Broo kazi nzuri unatukumbusha mbili kipindi cha mzee mtumba washing n.a. tumepima sana white lique daaa shuklani
@salummkwawa63067 жыл бұрын
atakupataje?
@farajasendegeya53127 жыл бұрын
Napatikana Azam TV ndugu
@zahoromagera9677 жыл бұрын
Hivi hiki kiwanda cha tanzani au maana ss hatuna kaujanja kakuanzisha vitu kama hivi mpaka walete wazungu
@farajasendegeya53127 жыл бұрын
ZAHORO MAGERA kiwanda kiko mfindi ni Tanzania kabisa
@corrolesscps7 жыл бұрын
Faraja Sendegeya Kiko Tanzania Lakini kilianzishwa na mzungu, wakati huo akiwa mkoloni, mkoloni mwingereza. Si mchezo tekinilogia ya kuhunda mimashine na kuinganisha tutaeshimika kwa mtu mweusi
@rainerydallu36386 жыл бұрын
Corroless, sio cha mkoloni hiki, kimejengwa kipindi hata uhuru tayari
@rainerydallu36386 жыл бұрын
@@corrolesscps sio cha mkoloni hiki, kimejengwa kipindi hata uhuru tayari miaka ya sabini, niliwahi kuishi hapo kwa zaidi ya miaka kumi
@janethkilonzi42605 жыл бұрын
ZAHORO MAGERA ..hio mufindi my dear,kiwanda cha toka enzi hizo kiko pouwa sana,..ndio kwetu huko,..