ASANTE SANAA KWA TANZANIA TUNAFURAHI SANAA KWA IYO🇧🇮🇧🇮❣️🇹🇿🇹🇿
@willynkurunziza78153 ай бұрын
ASANTE SANAA KWA TANZANIA TUNAFURAHI SANAA KWA IYO🇧🇮🇧🇮❣️🇹🇿🇹🇿Mungu abaliki inchi zetu kwa uhusiano muzili 🙏🇧🇮🇹🇿
@exaverysimon10643 ай бұрын
SAF. sana❤❤❤
@alfinmbilinyi59853 ай бұрын
Kazi nzuri serikali ya Tanzania.Tatizo liko national housing majengo mengi kwenye miji yetu ni ya kizamani na machafu katikati ya miji yavunjwe yajengwe mapya sehemu kama lumumba mnazi mmoja kariakoo mengi wanakaa wahindi huchafua mwonekano wa miji yetu.pia arusha ,mbeya morogoro yote yavunjwe kwa awamu zijengwe gorofa nzuri tz ya Nyerere ipendeze.
@kakorejrboyz64473 ай бұрын
JPM 😢😢
@fredyjunior69612 ай бұрын
HIZI BANDARI KAVU ZOTE HIZI MCHAWI WAKE MI SGR TU AKIKAMILIKA
@george4963 ай бұрын
Burundi msiwe wajinga kumbukeni kuna mipaka mliyo ibiwa kuanzia tabora kigoma mwaka 1900 -1950 tabora na kigoma Ilikua ndani ya Burundi yenu hivyo sidhani kama Tanzania kuwapa bandari ya kavu ndo kuonesha upendo uberigiji na German wanafahamu vizuri mipaka hiyo kabla uhuru haujapatina so vizuri mkawa makini sana tena saana. Hata hivyo kuna mfalme wa zamani wa burundi alizikwa kigoma kwa ilikua ni nchi yake. Someni history vizuri itawaonyesha kama tabora na kigoma ni mikoa ya burundi.
@zachmaselle66353 ай бұрын
Hivi Tanzania tunajua biashara kweli? Hii ilikuwa ni nafasi ya watanzania wazawa kutengeneza pesa, clearing and forwarding service for Burundi goods.. Sijui ni wivu! Sielewi kabisa. Ajira ngapi tungetengeneza? Tunajali sana maendeleo ya nchi zingine. Ni kama towers zinazojengwa Kenya kupendezesha mji wa Nairobi. Hakuna uhakika majango hayo yakiisha patakuwa na wapangaji; wakati tunawacheleweshea wastaafu mafao yao!
@ibrahimdolick77553 ай бұрын
Si wanalipa kodi , na hii ni maandalizi mazuri ya kuwa giant of east africa kwamba kila nchi iwe inaitegemea tz kiuchumi
@ShekhMufyd-mn9zn3 ай бұрын
Babu achana nao we chat msingi na secondary unakula unashiba 😀😀😀
@ELOGERUHIMBASA3 ай бұрын
Hivi hujui sisi warudi tuliwapa kigoma Bure ok sawa mtupe kigoma yetu tuwape hekta kumi yenu we fala kweli 😂😂
@NM-yl2uw3 ай бұрын
@@ELOGERUHIMBASA actualy Burundi na Rwanda zilikuwa ni part of Tanganyika germany ilivyopoteza vita ndo zikapewa ubelgij so we want our burundi back
@RubenMtuwaMungu-bz8ee3 ай бұрын
Burundi na Rwanda ni mikoa ya Tanganyika kabla ya vita ya kwanza ya Dunia so kusema Kigoma ni sehemu ya Burundi ni kichekesho @@ELOGERUHIMBASA
@worldtechlab3 ай бұрын
She can’t speak English nor Swahili ? 🤣🤣🤣 Burundi isn’t serious 😂
@zachmaselle66353 ай бұрын
She is proud of her culture and language is part of it! Russians speak Russian and the French speak French. I am sure she knows French and Swahili but she chose to be proud.
@worldtechlab3 ай бұрын
@@zachmaselle6635 yet your using English to respond to me 🤣🤣🤣 this says something about your head
@beaugosseadam68313 ай бұрын
English or French ni lugha za kitumwa. She's proud to speak the matherland lunguage!
@worldtechlab3 ай бұрын
@@beaugosseadam6831🤣🤣🤣🤣 mnanichekesha
@Ndayaki3 ай бұрын
@@zachmaselle6635 Your are so brainwashed, have ever seen a Minister from Europe or America having interviews in other languages which are not theirs? Mind you, Burundians speak Good English than Tanzanians but We are proud of our Language. Btw we also speak French. Can you speak French??