Goodluck gozbert afunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuchoma gari
Пікірлер: 209
@GosbertHiluka14 күн бұрын
Inahitaji ufahamu wa juu kumwelewa huyu brother anachokieleza,,,,mimi nimekuewa brother na unahitaji moyo mkuu sana wakati huu.....all the best!!!
@UziaNashon7 күн бұрын
Uko sawa goodluck tena usiwasikilize hao wadunia lakin mtu wa MUNGU inampasa afuate maelekezo ya roho mtakatifu,usikilize ya watu.good will bless you,(my brother I love you extremely and your songs
@davidademi37013 күн бұрын
This man know the God he's serving ...I respect him and I will keep praying for him
Mimi nafikiri kama hujapitia au hujafuniuliwa na MUNGU aliyoamua Good luck , mi nakupongeza Sana usife moyo kamanda wa Yesu
@blessedsenatornicko15799 күн бұрын
Isaiah 3:10 IT shall be well with the righteous, may it be well with you my brother Goodluck
@kizitomkude13 күн бұрын
ndugu yangu mnapenda utajiri wa haraka, mungu hana utajiri wa haraka fanyeni kazi wadogo zangu, mtakunywa mafuta, mtakunywa maji , mtakula hata ugali, baadae mtakuja kuona utajiri wa mungu wa kweli ukoje
@AlbertAdrian-x3l14 күн бұрын
M binafsi nampongeza goodluck kwasababu ameonyesha ukomavu wa kiroho na kumthamini mungu zaidi ya gari na vitu vingine
@neemarosedawson315414 күн бұрын
Goodluck Goodluck Goodluck naomba usome vizuri hoi coment yangu.. UMEANZISHA VITA KUBWA SANA. dumu kwenye maombi muda wote. Yesu atakushindia.
@LadislausyStanislausy14 күн бұрын
Point
@madamelucy842914 күн бұрын
Usimtishe bana aliyemuongoza kufanya hivyo ndio atampugania maana vita c vya mwanadamu bali ni vya bwana@@LadislausyStanislausy
@violettemitchel677214 күн бұрын
Vita sio ya Goodluck ni ya MUNGU. Aliyemtuma achome gari ndiye atakayesimama vitani. Jifunzeni kujaribu hata kidogo kupata picha na kuamini kuwa MUNGU ni Mkuu sana kuliko wachawi na mashetani wote combined.
@yohanamuhambe942214 күн бұрын
Mambo ya rohoni wengine hamwezi kuelewa ,good luck yupo sahihi hongera sana
@YusthaMlowe10 күн бұрын
Rudi kaka yangu kwa Yesu wewe kama wewe, Mungu anakupenda alikujua tangu hata mimba yako haijatungwa
@elibarickandrew449614 күн бұрын
Nakuelewa sana.. Usipokuwa mtu wa Rohoni huwezi kumwelewa Gudluck. Vita vya Rohoni wa damu na nyama ni ngumu kuelewa. You are true soldier of God
@godlovemunuo416712 күн бұрын
Awesome. Niliogopa sana nilipokuona kwa nabii huyu...Ubarikiwe kwa kusikia sauti ya Mungu...na kurejea. Wapo waimbaji wengi nimewaona kwa nabii huyu...bado hawajafunguka macho kuona unachokiona.. ..Mungu awapigaanie waondoke ktk nira hiyo waliyojifunga bila kujua. Mungu wetu hajawahi kushindwa
@benyavan577412 күн бұрын
Sema nilipokuona kwa nabii huyu wa uongo siyo nabii tu
@loicekhanali-xd5xz13 күн бұрын
Nuru na giza hazina ushirika!jipange sawa sawa Bro,achana na hawa nabii wauongo ❤
@daniellaiser467214 күн бұрын
Hilo gari tayari lilikuwa la kwake so hapaswi kurudisha kwa aliyempa kisheria ana haki ya kufanya chochote kwani ni mali yake hata sheria inasema hivyo. Kimsingi amefanya jambo jema sana na la kiroho chochote kiovu kinachomwa amejiondoa kwenye umiliki wa kishetani hongera sana mtumishi wa Yesu Mungu akuinue zaidi
@japhetdaudmaneno844014 күн бұрын
Sasa unaenda kukua kiroho, ukweli huweka huru, MUNGU na akusidie na akuvushe,🔥🔥🔥📖🏹💪🇴🇲🇹🇿
@olipamkuyu51497 күн бұрын
Hongera Goodluck wewe ni Shujaa hilo si jambo rahisi
@TimotéKambale13 күн бұрын
Nimekupenda sana kachma hii ngari Mungu aendeleye kukulinda na kukuchunga
@mbajawagome93614 күн бұрын
Pole sana mwanafunzi wangu, karama ya kuimba ilianza ukiwa shuleni. Wataongea lakini tumikia mungu wako, yehove yahweh
@ErentrudisKihwili6 күн бұрын
Pole Gudlack MUNGU amekupa Maono ya Uponyaji. MUNGU AKUZIDISHIE NGUVU MPYA ZIIDI SHETANI AMEFELI.
@adriannebatakanwa690413 күн бұрын
Hongera saaaaana Goodluck. Mungu Akuinue mnooooo.
@LadislausyStanislausy14 күн бұрын
Umefanya maamuzi kama mwanaume,Goodluck usihofu Mungu ataleta heri,hongera
@MchungajiNzelani14 күн бұрын
Huduma yako naipenda sana hasa ule wimbo unaopendwa kwenye maarusi hadi hayati magufuri alizipenda nyimbo zako
@salomemahenge793513 күн бұрын
Hongela sna mimi niliambiwa wewe sio mlokole ila unaimba tu nyimbo za dini kumbe ni waongo wewe ni mtumishi wa bwana mungu azidi kukuinia mtumishi
@lucaskaswisha924713 күн бұрын
Mkuu pole sana na changamoto ila ushauli wangu kwako Mungu ni waneema sana kaa nae vizur tunza sana utakatifu ili uwe salama zaid .
@Anthony_Genge8 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU na akucmamie nyakat hizi ngumu kwako
@ShalineAdoyo13 күн бұрын
Well done brother it's only who is spiritual can understand your massage ,,kimya mda mrefu amuka uwangaze tena🔥🔥🔥🔥🔥
@josephandrew344413 күн бұрын
Pole sana kijana mwenzetu, kumbe unapitia wakati mgumu ila juatu ni muda wako wakupepetwa ukomajaribuni ila usitoke kwenye reli mungu ukufanyie wepesi utadumu kushinda na kushinda.
@TinaMashaka-u1z8 күн бұрын
Nakuelewa broo pambana
@jonathankisingi107014 күн бұрын
Acheni umasikini...gari SI kitu...Wengi mnaomshambulia hamjavaa kiatu chake.Gozberth kwa upande wangu nakusupport kwa kuchoma gari,Bali sikusupport kwa wewe kupost mtandaoni.
@JamsiNyazupe13 күн бұрын
Naungana nawe mkuu
@willydrumisha9312 күн бұрын
Be blessed keep it up Rock mtumishi wa Mungu
@QueenYusuph9 күн бұрын
Dah nimeskiliza nkajikuta naumiya sjuh kinaniumiza nini ila tukumbike kumshkur mungu kwakila jambo so tunaomba utajiri yesu atusaidiye
@deborahmsuyah534514 күн бұрын
Mimi ninachojua Mungu akikupenda hukusaidia sana ninakuombea tu.Ni maombi tu hakuna zaidi usiangalie mtu angalia Mungu baba ,mwana,na Roho Mtakatifu.Bado Mungu yuko na wewe atakusaidia.
@EvansOkujaonyonga13 күн бұрын
Mungu akutangulie gudluck kuwa na ujasiri huo huo
@AbelKahitira13 күн бұрын
Good bless u Mr goodrack be hamble , Mr your dision is goodthere is no need any discation
@BoscoSiria14 күн бұрын
Hongera kwa kufanya maamuzi Sahihi maishani mwako
@deomushy259413 күн бұрын
Cha msing msikilize Mungu Fanya kwa maelekezo yakimbingu
@collinsndwara654311 күн бұрын
Zidi kwa maombi kila siku mungu akupinganie
@MpokasyeJulius14 күн бұрын
Bwana Yesu akutie nguvu uvishinde vita vinavyoendelea kwa wakati huu ndg yangu
@CAPYBARA-r6w14 күн бұрын
Sitasaidia mtu yeyote daima tofaut na wadamu yangu.
@humbleshoal11 күн бұрын
Kwa nini
@CaroLemma-d9r14 күн бұрын
Kwakweli me nakuelewa Mungu akuinue
@SophiaLeonard-x3z13 күн бұрын
Uko sahh kaka msikilze mungu
@NeemaIsaka-q9w9 күн бұрын
Pole mungu yupo
@EstherjacksonShaalai13 күн бұрын
Amen mungu akusaidie
@anjelayona68639 күн бұрын
Sijui itakuaje maana ujui ulicho kifanya japo kwako nisawa uyo nabii si kwamba alitaka kukua angetaka kukuua Wala usingeongea hapo ungeichoma kimy kimy kwani huongeshe umepanga ligi na yeye ila kumbuka yeye ninabii
@rhodalissu695314 күн бұрын
Chapa kazi mtumishi wa Mungu Good lack
@HERMANKIVAMBA10 күн бұрын
Umexhinda kwa uwez wa mungu
@mgongolwajoseph690113 күн бұрын
Nakumbuka ulijinyanyua mabega mungu kakushusha ujinyanyua kuwa wewe ndio daimondi wa nyimbo za enjili
@humbleshoal11 күн бұрын
We nae unasema nini! Em tupishe.
@annehaysanday921411 күн бұрын
Na pesa umepeleka wapi?!! Kama gari la kichawi mbona hadi umebadili rangi!Acha kumsingizia Mungu wewe una yakwako.Siku unapokea gari ulilia machozi ya furaha ukamtukuza Mungu leo baada ya kujazwa maneno na walioshindwa unathubutu kumpandikizia Nabii dhambi ya ajabu!
@AbediMawaya-us8bf13 күн бұрын
Msipende kupikeya pokeya tumtafute mungu wakweli jaman si kila lango nilakuingia kunamengine siyo sema na mungu mwenyew si kutafuta mungu kwa wengine ni hatar utapandikizwa vitu visivyofaha tatizo ya baadhi ya wanadamu tunatapatapa atumwamin mungu na mungu wakweli yuko moyon mwako be care
@Jehhus_0613 күн бұрын
Kabla ujaenda kwenye madhabahu ulikuw tayari umechoka ila wanadamu wanadamu mnatisha km Nini ulienda pale tayar umechoka
@abubakaranwar33713 күн бұрын
Wewe ni muongo kama jini ungenipa Mimi wewe unaweza kumchoma jini na akae tu wewe unatafuta kiki Mimi Sina gari nipe mimi
@MkuuMosses12 күн бұрын
Mwongo hakuna chochote mnapotosha watu tu
@Angelamutashobya9 күн бұрын
Majira na nyakati humwandaa mwenye kipawa klwa ajili ya level mpya. School of law; Law of the Holy Spirit...huwezi kuikwepa hiyo ni sa
@japhetdaudmaneno844014 күн бұрын
Umechukua maamuzi ya Elisha aliliyetokosa ng'ombe alipokuwa akilima kwa jozi,..na kisha akamfuata Eliya..Sisi wasomaji wa neno tunakiweka vizuri 📖🔥🏹
@EpsonFelician13 күн бұрын
Watanzania acheni kunengenngeneka kwa wanaokoment vibaya Kama Kweli Mungu kamtuma afanye hiki kitu bc Vita Mungu ndo atakashugulika nayo na atamshindia Chezeni na Mungu wanaonengeneka kwa koment sizizofaa Vita ni ya Mungu elewa Kama kweli Ndo kaongozwa Na Mungu imeisha hiyo,...
@ChrisUromi11 күн бұрын
MUNGU GANI ALIKUSEMESHA CHOKO WEWE AU NDOTO ZAMAPENZI ZINAKUSUMBUA
@tikob848414 күн бұрын
Kweli kabisa unacho kiongea binadamu sio wema minakukubali sana tena ile ngoma hauwez kushindana inanipa faraja ya moyo 🙏🙏🙏
@maryjacob975314 күн бұрын
Hapo Mungu ndo anaenda kukutumia kwa viwango vya ajabu Sana Sasa hivi Maana umeitii sauti yake, hicho tuu Mungu anapenda umjue kuwa yeye ni nani.
@Janet_ndagijimana-b7l13 күн бұрын
Amen amen urifanya muzuri Mungu atagutendeya vyamuzuri mara kami yahiyo muchafu Yagami usirudiye washetani wapo uzuni wanajivicha ndani yamungu tena niwashetani Mungu anagupenda amen
@ReinaLusajo13 күн бұрын
Sauti. Ya .... Mungu ... Sauti ya. Mungu..... Ni. ... Muhimu .... Sana...... Mimi ni mungu wa wote. .. wenye. Mwili. Nawapenda wanipendao ... Wanitafutao kwa bidii. ... Wataniona ...... Huyomungu.... Wako... Ni... Mungu.. wa... Kweli... Kabisa. .... Kaza tyu
@malcomg100411 күн бұрын
Hivi mtu anakwambia Yesu akija ataenda airport kumpokea na Yesu atapanda gari lake,hivi hapo kuna mtu au huyu jodevy ni shetani,ila Mungu mkuu anajua namna ya kuhukumu
@SospeterMaingu13 күн бұрын
Umedanganywa na pepo sio roho wa Mungu , maelezo me gi hayakusaidii heri ungenyamaza tu, ni woga wako tu,
@justinedicksondickson52313 күн бұрын
Mwenzio kadanganywa kachoma gari wewe ukidanganywa unachoma nini hata baiskeli huna, mwache nimaamuzi yake mwenyewe kwan gari kitu gani akichoma si lake
@humbleshoal11 күн бұрын
Huna cha kuongea wewe, pumba tupu.
@AntonyChacha-l2m13 күн бұрын
Kila kitu Mungu ameniambia mmh pengine mnaambiwa na sauti ya shetani kwani Mungu ndio aliekwambia uichome kwanin usingeigawa au bc ungewia wenye waliokupa umelitia taifa hasara hiyo gar ilikua inalipiwa kodi pia ilikua inazalisha pale mlipokua mkiitumia kwenye kazi mbalimbali mi ckubali kama Mungu yuko ndani yako hata shetan ana natendo 6a kimungu ndan ya roho za mwanadam mmh
@mwendemwende578913 күн бұрын
Wewe mbonaulienda kwa huyo nabii tamaa
@UpendoLembris14 күн бұрын
Bora ww umetambua mapemaaaaa . MUNGU akusaidie kuna wale wenzangu na mm wapenda sifa wao waendeeleee
@FaustinJidaleka14 күн бұрын
Uko saw hata Mimi nikisikia saytı ya Mungu huwa Sina mjadala lazımam nitekeleza
@byoseasolokoci725714 күн бұрын
Bwana Yesu akusaidiye
@Daudimakaza-s1v13 күн бұрын
Mungu ypo na ww kaka
@MadataKazana14 күн бұрын
Mngu akuinuwe zaid wanao kubeza juu yamaamuz yako hawajuw uliyopitia paka kuamuwa kuchoma gar
@lucywairimu233010 күн бұрын
Bona ungeitakasa then ubariki mtu nayo cos 3yrs ujafa kama Mali n za shetani tungekua wapi cos pesa twaweka bank n kila mtu anatoa n kutumia hyo ni utoto wa kiroho hakuna pia sheria y kuchoma Mali...wahitaji ufahamu wa kiroho...dunia imechafuka kila mahari labda uende binguni
@PauloKikwasi13 күн бұрын
Unajikanyaga, nenda kwa wataaram wa saikorojia
@HamzaKibary14 күн бұрын
Uyu akapimwe akili hayuko sawa uyu kaongea na mizimu ya babu zake afu ana sema mungu kwl!?
@SimonKalinga-h5g13 күн бұрын
Wewe ni muongo hela za fiesta mbona hukuchoma
@AlbertAdrian-x3l14 күн бұрын
Kuchoma gari ni jambo la kiroho sana maana angempa mtu ina maana ameigawa hiyo roho ya kishetani kwa huyo anayepewa gari hilo ni sawa na kahaba akiokoka achome nguo za ukahaba sio kuzigawa kwa mtu kwasababu anakua amegawa roho hile ya ukahaba
@ErentrudisKihwili6 күн бұрын
UMESHINDAA MUNGU YUPO JUU NA WEWE.
@bossej121213 күн бұрын
Watu ambao hawajapitia mambo haya ambayo unaongelea hawawezi fahamu. Otherwise unasema ukweli. Shikilia Mungu kwa nguvu zako zote
@humbleshoal11 күн бұрын
Hakika
@IsaackKileo13 күн бұрын
wewe huna akili ata hilo jina ulilopewa nazani walikosea unakutana na manabii wa uwongo alafu unasema roho wa mungu kwani huyo roho wa mungu akukuonyeshe wakat wa kwenda arusha malaya wew
@yukundapeter820013 күн бұрын
Asante sana nami nilitaka kusema kwa nini huyo Mungu hakumxuia kwenda kuchukua gari?
@SospeterMaingu13 күн бұрын
Inaonyesha, wewe ulikua unachepuka , mapepo yasingekuacha hivyo sidhani kama tatizo ni Ngurumo jikague wewe mwenyewe, hapo hujashinda umeshindwa muimbaji wangu,
@edgercyprian96413 күн бұрын
Duuuh kumbe haya mateso yameanza muda mrefu pole sana, Mungu yupo pamoja na wewe ndio maana akakuonyesha hivyo ulivyo kua unaviota lakini kabla hujaenda kule kwa nabii ungepiga goti ukamuuliza kwanza Mungu je niende au nisiende anje kujibu ila hukufanya hivyo ndio maana yametokea hayo
@humbleshoal11 күн бұрын
Hayo ni majaribu ya kumfanya awe karibu zaidi na Mungu
@JekobuNgwara13 күн бұрын
mama alie kataa gali lamwanae amefungua milango iwe hivyohivyo alikosea padogo nikumpa sala yatoba alipo sema anampeleka mwanae kwamwamposa hivi mjus namamba mwendo ikosawa
@nsiamasawe457813 күн бұрын
Wengine wajifunze kwako uoga ni dhambi.
@humbleshoal11 күн бұрын
Kweli ingawa sijawahi jua ni dhambi
@adellasebastian449512 күн бұрын
Mungu wako anaishi endelea kumtumainia bila kuangalia nani anaongea nini juu yako,ataendelea kukuinua tu
@SuledZakayo-i4t14 күн бұрын
Umeepjk moto wa shetani kakaa
@anjelinakasembe84514 күн бұрын
Million 6 zirudishe
@LadislausyStanislausy14 күн бұрын
Hizo zimeshatumika
@gloriachristian147013 күн бұрын
Mhh wazimu tuu tafta hela kijana umefulia
@hellenshani161413 күн бұрын
Ila sasa sheria ya Jamihurininaweza kumshitaki kwa kuharibu property. Japo kiimani alichofanya ni sahihi.
@MiryamOrungo14 күн бұрын
Na pesa alizokupea ulipeleka wapi? Tena Wacha kucheza na Mungu.
@Wamisangi13 күн бұрын
Kilometres alizozunguka na hilo gari anaweza kuzirudisha. Yaani arudirivasi mpaka siku alipoanza kuliendesha mara kwanza.