NABII GEORDAVIE NA SIRI YA KUGAWA MAGARI KWA WAUMINI, KIKEKE AHOJI PESA INATOKA WAPI?, JE SADAKA?

  Рет қаралды 24,602

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 233
@ebenezersumari5408
@ebenezersumari5408 51 минут бұрын
Baada ya hii interview Hakuna atakae niambia lolote kuhusu GeorDavie nikamuelewa.. ✋✋ Anakuambia yeye sio Mzee 😊 "Yesu akija ataazima gari lake maana anapenda ufahari pia" God's standards I love this interview 🌟🌟🌟🌟🌟
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 4 сағат бұрын
Huyu ni motivation speaker mzuri sana
@prosperalphonce7540
@prosperalphonce7540 3 сағат бұрын
Such a genius talks
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b 12 сағат бұрын
Salimu uko vizuri
@MiriamDanielChakumwande
@MiriamDanielChakumwande 2 сағат бұрын
Safi Nmependa Iyo God's Standard
@brownTv8076
@brownTv8076 4 сағат бұрын
Hii ndio Interview Kubwa ya Nabii na Kikeke kuliko ile ya MillardAyo, Ayo ajifundishe kuuliza maswali kama Kikeke,Nabii anaulizwa hadi anajisikia raha kujibu swali, Kama na ww umeona hilo Gonga Like Hapa
@AntonyKawage
@AntonyKawage 7 сағат бұрын
Mtu wa rohoni ataelewa ya Rohoni ,na wa mwilini ataelewa ya mwilini,Ahsante
@DanielMbena
@DanielMbena 2 сағат бұрын
Kwel kabisa
@kassimamir219
@kassimamir219 Сағат бұрын
Roho inakaa wap kwanz
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 37 минут бұрын
Duh... Wanaosali kwa huyu, kweli wamepotea😂😂
@adjafamkungilwa1154
@adjafamkungilwa1154 11 сағат бұрын
Wanaokumbuka interview alofanya na milard ayo,alisema kua alikutana na yesu uso kwa uso ndo akamteua kua nambii,tujuane kwenye likes
@joeandres9744
@joeandres9744 11 сағат бұрын
Alimuona yule dogo mzembe mzembe anauliza maswali ya kichawa
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 10 сағат бұрын
FAMILIA YA MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YATEKWA NA KUVULIWA NGUO ZOTE, KAKA YAKE AELEZEA TUKIO ZIMA.! kzbin.info/www/bejne/haOYnmNjibmtqLc Hii ni Mkoi Tv Online na huu ni muendelezo wa kukuletea matukio adhimu ya simulizi za kweli ambazo hazina hata chembe ya shaka toka kwa wana familia wa Mkoi Tv Online toka kila pembe ya Dunia. Leo tupo na Kaka wa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Mji... ( JINA LINAHIFADHIWA) akieleza jinsi walivyotekwa na watu wenye silaha za kivita wakati wakitokea safari. Na baadae watu hawa waliwalazimisha kuvua nguo zote yani watoto wa kiume, mama yao, Baba na dada yake ambae ni Mkuruenzi wa Halimashauri ya mji mmoja maarufu nchini uliopo katika ya mikoa ya Tanzania. Ni tukio la kufedhehesha sana na kusikitisha, Familia hiyo Wasema ni issue ya uli paji visasi mambo ya biashara sio Siasa. VIDEO hii hapa, share, Like, Comment na Subscribe au tupigie kwa simu namba +255713575718 Ipo Whats app
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 сағат бұрын
Tuma ela sio kudai likes 2
@jacobmwankenja5466
@jacobmwankenja5466 4 сағат бұрын
Unabii unatoka kwa Mungu na hivyo hivyo hats utendaji kazi unatoka kwa Mungu, utasemaje eti muanze kuwafundisha namna ya kutenda kazi! Huo sasa ni unabii wa kimwili
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 2 сағат бұрын
Huwa anakutana na yesu wake mara kwa mara yesu wake ni Makonda!!!
@Mwakaismsociety
@Mwakaismsociety Сағат бұрын
So genius nabii geordevi.
@rosetasuleiman6799
@rosetasuleiman6799 3 сағат бұрын
Kikeke Uko vizuri,the master of Jounalism
@Mwakaismsociety
@Mwakaismsociety Сағат бұрын
Hongera nabii geordevi,na interview Kali toka kwa kikeke.am your fans kikeke
@AdilOmary
@AdilOmary 4 сағат бұрын
❤❤❤❤
@kimalinganomhelela8377
@kimalinganomhelela8377 5 сағат бұрын
Hongera sana Kikeke kwa maswali yanayotokana na utafiti wa kina.
@Jonathanabedinego
@Jonathanabedinego 6 сағат бұрын
Kikeke ni noma❤🎉
@emmanuelnjoka7369
@emmanuelnjoka7369 5 сағат бұрын
😅😂
@EmmanuelMabuga-r3w
@EmmanuelMabuga-r3w 4 сағат бұрын
Nimekuja kufaha zaidi kwamba sio vzr kumhuku mtu kabla huja msikiliza Mungu Alie mhukumu wa haki akulinde nabiii G
@noelbryson7840
@noelbryson7840 13 сағат бұрын
Maswali ya Msingi sana kutoka kwa Salimu Kikeke !!
@BeatriceChalange
@BeatriceChalange 4 сағат бұрын
Nafkri watumishi wengi waige mfano wa Nabii Mkuu katika kujibi Maswali kwa hekima lakini pia unyenyekevu, Nilipata kufuatilia interview na Pastor flan umemhoj siku za karibuni ujuwaji mwingi kumkosoa sana mtangazaji mpaka Haina ladha. Binafsi nimependa hii interview na imejibu Maswali ya wengi. Nakupenda Nabii Mkuu Dr.GeorDavie wewe ni Tunu ya taifa .
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 4 сағат бұрын
Yule dahaaa majivuno Mengi
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 35 минут бұрын
Tunu gani ya wizi wa mchana kwa waimini
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 12 сағат бұрын
jamani muwe na huruma,,huyo mzee sauti yake tu inatosha kuamini alitakiwa kuwa na mawe,,hiyo sauti ya mamlaka jamani
@colmanuiso545
@colmanuiso545 11 сағат бұрын
17:00 ----17:15 🔥
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 сағат бұрын
Hii ndiyo faida ya kumtumikia Mungu wetu aliye hai kupitia Yesu Kristo.Biblia iko wazi dhahabu na Fedha ni mali za Bwana wakristo inafaa tusome maandiko kwa umakini na uelewa sana.
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 34 минут бұрын
Hakuna cha kumtumikia Mungu hapa, waumini wanapigwa vibaya hamna sala hapa
@jastinarts
@jastinarts 37 минут бұрын
This man is very smart
@emanueljames6798
@emanueljames6798 Сағат бұрын
Mmmh
@JoackimuGeorge-t8y
@JoackimuGeorge-t8y 12 сағат бұрын
Dr joedev kumbe yupo smart ee nilikuwa namuonaga nikajua mzee wa kiki..karibu dar kwetu bhana
@samwelluhwago705
@samwelluhwago705 24 минут бұрын
Heshima.kwako MKUU
@mataypanga5262
@mataypanga5262 25 минут бұрын
Geordavie ni noma😂
@bujabestonlinetv
@bujabestonlinetv 10 сағат бұрын
13:23-----14:09 😢
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 12 сағат бұрын
Baba katisha ongera mtumish❤
@HopefulFlower-sn4kg
@HopefulFlower-sn4kg 13 сағат бұрын
TUNAOKUAMINI TUNASEMA" "WE LOVE YOU DAD" !!
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 28 минут бұрын
Ndo nyie mliopotea, mbona mpo wengi tuu
@shyevents8239
@shyevents8239 6 сағат бұрын
mzee genius sanaa
@saidsalim851
@saidsalim851 4 сағат бұрын
𝕜𝕒𝕜𝕨𝕒𝕞𝕓𝕚𝕒 𝕪𝕖𝕪𝕖 𝕤𝕚𝕠 𝕞𝕫𝕖𝕖
@MsAggie5
@MsAggie5 56 минут бұрын
Anajua Sana kujibu maswali. Big up kwake
@nellyshow2772
@nellyshow2772 14 сағат бұрын
Kikeke bahasha imechukua nafas
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 14 сағат бұрын
Amina gd,
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 5 сағат бұрын
Alhamdulillah namshukuru Allah kwakunijaalia tokea kuzaliwa ni muislam yaarab tujaalie sisi waislam tuwe ni wenye kushukuru na unachoturuzuku yaarab tupe mwisho mwema
@pauloegbert515
@pauloegbert515 5 сағат бұрын
Ila mue mnachanga msipende kuchangiwa
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 4 сағат бұрын
Ukiwasikia waislam wavyojitetea kiwa muislam hadi huruma 😂 relax nduguuu uislam haukupeleki kwa mungu aseee uislam ni mafundisho ya kumjua huyo mungu usipoteze muda kuhusu dini cha kujiuliza unafuata makatazo ambayo molo wako amekuamrisha!!?
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 4 сағат бұрын
Kwamba ukiwa muislam we poponi jumla sio😂 pole yako
@frankpeter4178
@frankpeter4178 4 сағат бұрын
Na mashekhe wako huwa wanaenda kupewa hela hapa, kama hoja ni dini
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 4 сағат бұрын
Ooooh ndugu yangu hata kwetu wameibuka masharifu shekhe cha muno muno muombe mungu tu akujalie wewe na familia yako mwisho wako uwe mzuri.
@AliRashid-wm8ls
@AliRashid-wm8ls 2 сағат бұрын
lakini hizo mia mia mbili mara wiki, mara mwezi, mara mwaka na miaka zinaenda wapi kumbuka mchungaji hicho unachokitoa ni ile faida ya biashara yako itokanayo na sadaka zao ila hawajui
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 12 сағат бұрын
Ongera mtumish ❤
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 Сағат бұрын
KUNA MANABII WEZI LKN GEODAVIE NMEWAONA WENGI WAKILIA KWA FURAHA WAKIPOKEA PESA KANISAN MTU ANATOW BUKU ANAPEWA MILION😊😊😊🎉🎉🎉
@charlesseba2000
@charlesseba2000 5 сағат бұрын
Ndugu yangu unakufuru... Na Yesu with hahitaji gari kusafiri, omba upewe Roho Mtakatifu akufundishe kujibu maswali
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 сағат бұрын
Fungua kanisa uko vizuri
@mosesjackson8260
@mosesjackson8260 2 сағат бұрын
Elewa swali akishuka Kwa mfano wa kibanadam kama mwanzo, usi prejudice na huo ni mfano tu not real na akahusanisha na bible.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Сағат бұрын
@mosesjackson8260 uko vizuri ndugu.. Huyu kilaza lazima atakuwa ameluelewa
@MsAggie5
@MsAggie5 52 минут бұрын
Unafikiri YESU angekuwa hapa Leo angepanda dala dala kama wewe? Hujamsikia nabii akitoa mfano WA Yesu alipoingia Jerusalem na mwana Punda??????
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 27 минут бұрын
​@@mosesjackson8260huu ni upuuzi mkubwa sana
@ahmedjuma397
@ahmedjuma397 11 сағат бұрын
wakristo ni wepesi sana kuwapa wenzi wao utajiri
@Manyanya8551
@Manyanya8551 5 сағат бұрын
Achana sana na vyadunia utakufuru halafu tambua hata uwe tajiri vip utakufa na utaviacha halafu utakwenda kuulizwa wewe kuhusu hizo mali Kwahiyo Ridhika na ulicho nacho acha Tamaa.
@doubleymkuu4267
@doubleymkuu4267 Сағат бұрын
Mbona anamiliki rangi mbali kama mbuzi WA loliondo😅
@EmmanuelMussa-n1j
@EmmanuelMussa-n1j 2 сағат бұрын
Niwizi tu
@uwezotv
@uwezotv 12 сағат бұрын
Mmesha waibia sana waunini MASIKINI sasa mnawakejeri kama kiboko ya wachawi matapeli kama walivyowengine watuwangu wanaangamizwa KWA kukisa maarifa na pia wanaijeria WENGI WAPO wanauza ngada eanajificgia kwenye mahubiki
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 3 сағат бұрын
Mtuakiwa masikini ataibiwa nini ,ww msenge wakiume,
@MsAggie5
@MsAggie5 52 минут бұрын
​@@SamwelMollel-br9md😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 48 минут бұрын
Fungua lako na wewe uibe! Mtu kajieleza bado hamuelewi au akili zimeganda? Kanisa linatakiwa lijihudumie kuna umeme, vipaza sauti, Maji, na huduma nyingine hao masikini watatoa Sadaka ya shilling ngapi na wao ni maskini sio kama Mia tano 😂! Zitanunua Range?
@mathayowasulo569
@mathayowasulo569 Сағат бұрын
Unafundisha injili ili utajilike pole sana mtumishi shetani anakusubiri
@bakariomary5781
@bakariomary5781 Сағат бұрын
Asee anaelezea vizurii huyu dingi
@albertvalentino130
@albertvalentino130 4 сағат бұрын
Huyu mtu ana uongozi mwingi --- " wakati wa akina Sunday Manyara na akina Kibadeni,yeye alikuwa na umri Gani,wa kuweza kufuatilia sports " mwongo "
@godwinfesto6445
@godwinfesto6445 3 сағат бұрын
escobar kind 🥳
@Ibramoref
@Ibramoref Сағат бұрын
ila ukiwa muongo uwe na kumbukumbu alisema alitokewa na Yesu leo mzungu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😂
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 4 сағат бұрын
Namkubari sana huyu nabii
@paulshija7632
@paulshija7632 13 сағат бұрын
Nabii anajipiga Mkorogo, ila atambue Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 Сағат бұрын
Aise nimempenda interview nimependa jinsi Nabii mkuu anavo jibu maswali pia nimependa kikeke anavo uliza maswali
@Trys6254
@Trys6254 5 сағат бұрын
Ila kujichubua fresh
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 сағат бұрын
😇
@CasmasMasawe
@CasmasMasawe 3 сағат бұрын
Mmmh jamn emb pig doller 1500×2650 kwa ss utagundua kitu hiy ni kiatu tuuu daaaaa😮😮😮😮😮😮
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 сағат бұрын
Wale wengine KAZI yao kutukana serikali na viongozi 😢😢😢😢😢😢
@Zwangendaba97
@Zwangendaba97 2 сағат бұрын
kuu la manabii
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 5 сағат бұрын
Kwaiyo mzungu ndio kakupa unabii subhanallah ewe mungu we yaallahu yaarab huyu mjawako muonyeshe hakki njia sahihi njia ilio nyooka
@ErnestShija-y2f
@ErnestShija-y2f 24 минут бұрын
Mungu ni wawatu wote nguvu yake na ubora wake haina mfano,hayafikiriki,tafadhali YESU huwezi kumbeba kwenye gari! Yaani Mungu? Sorry,tusimpime YESU kama mtu wa kwaida.
@thegreat6694
@thegreat6694 11 сағат бұрын
Aliyewadanganya kiongoz lazima atembelee gari ya gharama kwanza sijui nani Wanaiga nchi za ulaya bila kujua wao wameendelea toka zaman na bungeni hawazungumzii kutengeneza barabara wala kutokua na madawa hospitalin ila wabunge wao wanajadili sera za nchi Ingekua ni amri yangu viongoz wangetembelea Rav4 J
@joansjbl8651
@joansjbl8651 2 минут бұрын
Kikeke nisaidie mwambie nabii mkuu nianze kumvalisha 🥲
@dreambeesafricalimited4831
@dreambeesafricalimited4831 5 сағат бұрын
Hakuna Tajiri Fala Huyu mzee yuko smart kichwani
@bakariomary5781
@bakariomary5781 Сағат бұрын
We mwanangu kabisaa umeliona eeh yuko smart halafu ana Hekima na ndo misingi ya utajiri au kumiliki fedha
@nasiwasumari3830
@nasiwasumari3830 2 сағат бұрын
Kiatu cha dola 1,500 huwezi kununua 😂😂😂😂 kaazii kweli kweli
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 сағат бұрын
Nani asie weza kununua
@janethelly4986
@janethelly4986 12 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@HopefulFlower-sn4kg
@HopefulFlower-sn4kg 13 сағат бұрын
BABA NABII MKUU MSEMAJI WA SERIKALI TUKUFU YA UFALME WA MUNGU. ASANTE YESU KWA MTUMISHI WAKO NABII MKUU DR. GEORDAVIE.
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 7 сағат бұрын
yaan mkishadanganywa mnafungwa mpk akili kwa njaa njaa zetu tumbafu
@vincentmsolla2111
@vincentmsolla2111 9 сағат бұрын
Mwambie asome YAKOBO 1:27
@Goka-Dizzy
@Goka-Dizzy Сағат бұрын
Hapa Kikeke ni Kama Amekutana na Kigungi Maana Mwishoni Nabii Anamjaza Salim Kuwa Anamkubali Sana Toka Kitambo.
@omariMkumba-g7p
@omariMkumba-g7p 2 сағат бұрын
Ongera sn,kw kuwasaidia watu
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 2 сағат бұрын
Mbona tapeli huyu mbona hajapelekwa jela?
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 15 сағат бұрын
Amina nimebarikiwa sana sana sana 2,nimejifunza kitu kikubwa
@emanuelkattani9906
@emanuelkattani9906 Сағат бұрын
Huyu jamaa anamiliki migodi mingi za sana ya madini hapa tanzania na nje
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 14 сағат бұрын
KIKEKE MNAFIKI SANA ANAULIZA HUKU ANATIKISA MGUU. .ETI BIBLIA INASEMA KATIKA SIKU ZA MWISHO WATATOKEA WATU WANAOJIDAI KUWA MANABII ANAAKILI SANA SEMA HAJAOKOKA NDIO SHIDA YAKE
@muhidinsuleiman4315
@muhidinsuleiman4315 6 сағат бұрын
Sbr urudi kwa Mungu utaelewa kama ukiwa hujatubu,,,mana hufanyi ibada bali unafanya mchezo tu
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 Сағат бұрын
Manabii wa uongo.
@AliRashid-wm8ls
@AliRashid-wm8ls 2 сағат бұрын
hee ameandika historia ndie nabii wa kwanza kuvaa kapelo wahuni si watu wazuri
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 2 сағат бұрын
Una matatizo wewe...kama kitu huelewi bora ufunge domo
@rasnonoregekiswahili4799
@rasnonoregekiswahili4799 3 сағат бұрын
Siku aliyokutokea uso kwa uso alikuja na usafiri gani?
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 4 сағат бұрын
Pia kenya tunao wahubiri wanakaa maisha ya kifAhAri
@MALELEMBARIMO
@MALELEMBARIMO 2 сағат бұрын
SADAKA ZETU IZOOO
@JohnAntony-w6d
@JohnAntony-w6d Сағат бұрын
Hata huyu anategemea sadaka
@allymtapera5370
@allymtapera5370 4 сағат бұрын
Akili kichwani
@DavidKidee
@DavidKidee 5 сағат бұрын
Nipo wakukuvalisha
@JohnAntony-w6d
@JohnAntony-w6d Сағат бұрын
Kanisa ni biashara
@DRDAWSONNYAMBO
@DRDAWSONNYAMBO 13 сағат бұрын
Nabii g wewe ni mfano wa kuigwa katika maisha ya sisi vijana
@farajapeasonmagota8226
@farajapeasonmagota8226 Сағат бұрын
Siku ikifika itafahamika itajulikana
@WendoJuma
@WendoJuma 11 сағат бұрын
JAMAA KATOA CODE ZOTE LEO😂
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 10 сағат бұрын
FAMILIA YA MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YATEKWA NA KUVULIWA NGUO ZOTE, KAKA YAKE AELEZEA TUKIO ZIMA.! kzbin.info/www/bejne/haOYnmNjibmtqLc Hii ni Mkoi Tv Online na huu ni muendelezo wa kukuletea matukio adhimu ya simulizi za kweli ambazo hazina hata chembe ya shaka toka kwa wana familia wa Mkoi Tv Online toka kila pembe ya Dunia. Leo tupo na Kaka wa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Mji... ( JINA LINAHIFADHIWA) akieleza jinsi walivyotekwa na watu wenye silaha za kivita wakati wakitokea safari. Na baadae watu hawa waliwalazimisha kuvua nguo zote yani watoto wa kiume, mama yao, Baba na dada yake ambae ni Mkuruenzi wa Halimashauri ya mji mmoja maarufu nchini uliopo katika ya mikoa ya Tanzania. Ni tukio la kufedhehesha sana na kusikitisha, Familia hiyo Wasema ni issue ya uli paji visasi mambo ya biashara sio Siasa. VIDEO hii hapa, share, Like, Comment na Subscribe au tupigie kwa simu namba +255713575718 Ipo Whats app
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc 2 сағат бұрын
Yesu eyapoti ten ya mwalimu nyerere au ya kinyata au ya amani karume
@mashakahamis3523
@mashakahamis3523 2 сағат бұрын
Hiko kidume kinaakili ya kutafuta pesa
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 3 сағат бұрын
Hela ni sadaka mkuu au ulidhani anapata wapi
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston 7 сағат бұрын
Uyu mzee yuko makini sana kwenye kujibu maswali yake nimtalamu sana icho nimekiona kabissa
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 12 сағат бұрын
Uhuni huu Mungu ni mwema tuu
@JohnAntony-w6d
@JohnAntony-w6d Сағат бұрын
Kanisa siku hz ni biashara kwanini na sijui serikali isiwalipishe ushuru
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu Сағат бұрын
Watu wenye taaluma zao wanajua kuuliza maswali
@AlhajiHusseni-x9g
@AlhajiHusseni-x9g 13 сағат бұрын
Salm anauliza maswal ya akil Sana na dav anafunguka tu😅
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 10 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bm4tv602
@bm4tv602 2 сағат бұрын
Mm nimeona vibaya au n kweli uyu mchungaji anajichubua au nimeona vibaya
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Сағат бұрын
Mikononi mweusi
@bravomadiwa3540
@bravomadiwa3540 28 минут бұрын
Nabii anajipiga zake mkorogo saaafiii.. na biashara yake ya kanisa saaafii..... anapiga zake vibunda nyoosha mzee wetu... maana Christian wengi akili zakureason hawana wao wanafata tuu... ukitaka kuelewa msikilize vizuri huyu mzee anasema wazungu wana hoji... kwahiyo lazima uwe umejiandaa vizuri sana na unachokisema tofauti na huku Bongo land...
@WAHUJILLCOMAT
@WAHUJILLCOMAT Сағат бұрын
😂😂😂 WATU wanaona mbari kuandaa kuchukua sadaka za waliolala kwenye kristo bila kuwa makini ktk kutafuta uzima wa milele... Karibuni kwenye uislam sbb ukimsikiriza mipango yote ni namna gani atachukua mpunga kanisani
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 7 сағат бұрын
Huyu hapana aisee.Hamna biashara zaidi ya sadaka za watu Mjasiriamali wa dini
@BGHaule
@BGHaule 3 сағат бұрын
Na wewe jaribu kufanya huu ujasiriamali,Mimi sio muumini wake ila nimemwelewa,any consultation ina LIPA,Ndio maana tuna watu wanafanya consultation ya mambo ya biashara na Kodi na wanalipia
@bakariomary5781
@bakariomary5781 Сағат бұрын
​@BGHaule just watu wanaona vitu ni rahisi rahisi tuu huwa inanikera sanaa mtu haangalii background mtu alitoka wapiii eeeh ndo kufanikiwa kidogo utaskia freemason
@Jenamim
@Jenamim 3 сағат бұрын
Nimependa majibu yake
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 5 сағат бұрын
Mbona mikono meusi😅
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 5 сағат бұрын
Nikwasababu,alikuingisiyaga mkunnduni kwako malaya ww ulitakaje ,akufire nayo yena fala ww
@Trys6254
@Trys6254 5 сағат бұрын
Akili zako😹
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 сағат бұрын
😃
@Trys6254
@Trys6254 2 сағат бұрын
@@abdullahmasakata170 😃😃😃weee sikiliza interview na sio mikono ww
@mellahcoffee
@mellahcoffee 2 сағат бұрын
Sasa Yesu apande gali yako ye kaja na gali gani bwana Geo Davis
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 10 сағат бұрын
Pesa wanapata kwa waumini wake kwa unabii hewa yeye anazidi kutajirika wao wanadidimia
@meikoking
@meikoking 8 сағат бұрын
Mbona mimi sididimii 😂😂
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 2 сағат бұрын
​@@meikoking😂😂😂😂
@myself4128
@myself4128 2 сағат бұрын
Heri mkono unaotoa kuliko unaopokea yeye anapokea zaidi kuliko kutoa😂😂😂😂huyu msanii mwizi mkubwa!!!
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 16 минут бұрын
Huyu ni mwizi wa kimataifa... Aliyekubuhu kwa mgongo wa dini
@AlfredHaji
@AlfredHaji 2 сағат бұрын
Mbn hapost huduma anazofanya nje ya nchi, mana naamini kwa anavyopenda huduma zionekane angepost
@DRDAWSONNYAMBO
@DRDAWSONNYAMBO 13 сағат бұрын
Pongezi nabii wangu
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 2,2 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 173 МЛН
ROMA MKATOLIKI _ MNIOMBEE ( Official Audio )
2:15
ITIGI TV Tz
Рет қаралды 32 М.
MSANII CHID BENZ KWA NABII MKUU - GeorDavie TV
3:19
GeorDavie TV
Рет қаралды 50 М.
BONGO STAR SEARCH SEASON 15 - ARUSHA Part 01 #BeyondBorders
20:52
BongoStarSearch
Рет қаралды 1,1 М.
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 2,2 МЛН