Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Video) SMS SKIZA 8633371 TO 811 TO GET THIS SONG

  Рет қаралды 39,805,774

Goodluck Gozbert

Goodluck Gozbert

Күн бұрын

Пікірлер: 7 200
@SammidohJeshii
@SammidohJeshii 8 күн бұрын
Wangapi tunampenda Goodluck jamani ebu niwajue bc unaweza weka like hapo jamanu 😊😊😊😊😊👍👍
@SammidohJeshii
@SammidohJeshii 8 күн бұрын
Au vipy 😎😎😊😊
@billanbee7697
@billanbee7697 Ай бұрын
Nani bado anawatch hii 2025❤❤1
@eunicemutiso5788
@eunicemutiso5788 23 күн бұрын
Mimi huyu hapa
@joyKiman-h8q
@joyKiman-h8q 22 күн бұрын
Mm hapa
@TrizerAngavi-vw4ed
@TrizerAngavi-vw4ed 22 күн бұрын
Mm hapa
@franciskarafa1420
@franciskarafa1420 21 күн бұрын
Huu wimbo ulipikwa ukapikika..... ❤🙏
@EstherNthambi-u1q
@EstherNthambi-u1q 21 күн бұрын
Hapa❤ hii song huwa inanipea nguvu
@rosekapinga2929
@rosekapinga2929 Жыл бұрын
Am here 2024 ni nyimbo Bora yawakati wote tunasemwa jamani lakini huyu Mungu nyie acheni tu🙏🙏
@lydiaalero
@lydiaalero 6 ай бұрын
🎉🎉 it's been my favorite song since birth ❤❤❤
@halimaKaingu-m5u
@halimaKaingu-m5u 25 күн бұрын
Kama unamin Mungu anaweza gonna like tukienda🎉❤
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 2 жыл бұрын
800 years of blessings to everyone who likes this with faith ! ✨
@francisgaiku6962
@francisgaiku6962 6 ай бұрын
Amen
@francoisekazayire3931
@francoisekazayire3931 5 ай бұрын
Amen amen 🙏🏾 bless you2 more 🙏🏾😍
@victormainga1822
@victormainga1822 Ай бұрын
In Jesus name Amen
@goodluckgozbertofficial
@goodluckgozbertofficial 6 жыл бұрын
Nawashukuru Sana Kwa Kutazama Ujumbe Huu Kupitia Ukurasa Wangu Huu wa KZbin, Ni Maombi Yangu, Roho mtakatifu Akaendelee Kuhudumia Kila mmoja kwa Namna Yake....I love You Much,Asanteni Sana And May The Lord God Lift Ur Spirit after U Watch and Listen to this Song in Jesus Name. Blessings
@nonenone9281
@nonenone9281 6 жыл бұрын
Goodluck Gozbert God has Anointing you Goodluck .from USA
@LucymwangiUSA
@LucymwangiUSA 6 жыл бұрын
Very nice song..good message, uplifting beat..thank you
@sabrinaaron1481
@sabrinaaron1481 6 жыл бұрын
Goodluck Gozbert Amen kaka god bless you
@peninahirungu6928
@peninahirungu6928 6 жыл бұрын
Goodluck Gozbert be blessed to bro the song is mwaaah so encouraging and a very powerful message there may God keep uplifting you brother ,I can't get enough of this song
@felisterlaurian3165
@felisterlaurian3165 6 жыл бұрын
nabarikiwa na jumbe za nyimbo zako kaka gud love u so much
@mercykocy9177
@mercykocy9177 10 ай бұрын
2024. Hoyeeeeeh❤ Gonga like tukisonga
@salomebosibori7277
@salomebosibori7277 9 ай бұрын
7g
@SafarisAdventure
@SafarisAdventure 7 ай бұрын
😅😢😮😅rhy
@Janet-p6k
@Janet-p6k Жыл бұрын
Juu wimbo unanikumbusha maali nimetoka.hadi natokwa na machozi nikiusikia
@EsiteriElia-s7w
@EsiteriElia-s7w 26 күн бұрын
Okay thanks 🙏🙏🙏🙏
@magdalenew.mwanyota5901
@magdalenew.mwanyota5901 Жыл бұрын
Aki hiii nyimbo sijui ni mm pekee naskia rahaa aki juuu utamu uko kwa hiii nyimbo wacha tu 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉napenda nyimbo pls na mwenyewe nyimbo 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉love you from kenya 🇰🇪 God bless you brother 🙏 ❤️
@marvelleduporte4986
@marvelleduporte4986 24 күн бұрын
Please please, very nice song especially when I’m working over night I put my phone on and some of my patients and colleagues would dance ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@IceChampakaWolf888
@IceChampakaWolf888 11 ай бұрын
I'm here on 3 march 2024 10:47 am. This came to my spirit i searched it up.
@AhazyStanley
@AhazyStanley Жыл бұрын
Hongera sana brother ❤huu wimbo una historia kubwa sana katika Maisha Yangu😢💔❤️❤️❤️🥰01.02.2024
@methodnkundumukiza6367
@methodnkundumukiza6367 8 күн бұрын
Walio kuja hapa tena baada ya kuona lile tukio la kuchoma Gali,like here plz🙏
@celestinenanjala206
@celestinenanjala206 4 жыл бұрын
Kupigwa Vita ni kawaida isikusumbue, wewe Ni mti mwenye matunda zoea mawe. Am encouraged
@nancykaranja1609
@nancykaranja1609 4 жыл бұрын
Walai nakubali
@Janice-x6c
@Janice-x6c 4 жыл бұрын
True
@rehemamshere6169
@rehemamshere6169 4 жыл бұрын
Huyo.kijana.aloshika.jiweee.ni.noma
@janetnduta4662
@janetnduta4662 4 жыл бұрын
100%true
@naomichepngetich2206
@naomichepngetich2206 4 жыл бұрын
I can stop singing this song God continue to bless you good luck 🙏🙏🙏🙏
@Millieykitawa9652
@Millieykitawa9652 Жыл бұрын
Wangapi tuko uku 2024.gonga like apa tukisonga🎉❤
@AgustinoRaymond-r7o
@AgustinoRaymond-r7o 11 ай бұрын
Tuko pamojaaaa😢❤
@ShukuruElizabeth-ug4pj
@ShukuruElizabeth-ug4pj 11 ай бұрын
Mimi piya maana huu wimbo naupenda sana
@CelestineMamai
@CelestineMamai 11 ай бұрын
2ko mbele pamoja❤❤❤🎉🎉🎉
@carolnashy105
@carolnashy105 11 ай бұрын
This song inspires me always
@CarolineJerono-lk6tz
@CarolineJerono-lk6tz 11 ай бұрын
Pamoja❤
@erickkoome2157
@erickkoome2157 2 жыл бұрын
After 4yrs if you still listen to this song I need your like
@chikusly3644
@chikusly3644 Жыл бұрын
Jan 2024. Got to hear it in 2018 Dec.
@herpeesimon7939
@herpeesimon7939 11 күн бұрын
2025 pls lets support him na kumuombea Mungu ampe kibali aweze kunyanyuka
@anenaPrisiline
@anenaPrisiline Ай бұрын
2:23 Niko present kwa kuskiza hiyo wimbo na tunaendelea paka 2025
@ongatshendje6710
@ongatshendje6710 10 күн бұрын
Na mimi kaka❤ nasikiliza mara tana kwa siku hu wimbo.
@saleheyahaya7316
@saleheyahaya7316 6 жыл бұрын
Nyimbo nzuri ujumbe mzuri mungu akusimamie kazi yako na kuzibariki
@chrismbalilaki2445
@chrismbalilaki2445 6 жыл бұрын
Amen
@mamawawili3725
@mamawawili3725 5 жыл бұрын
kweli kaka
@salimlasway3529
@salimlasway3529 5 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki G
@zuhrajuma6899
@zuhrajuma6899 5 жыл бұрын
Mungu akubalik can kaka angu nampenda cn
@joycemokaya8137
@joycemokaya8137 4 жыл бұрын
Joy vom.
@JeanpirreWabula
@JeanpirreWabula 7 ай бұрын
Tuko apa❤❤🎉🎉🎉🎉
@indivirabonnymatenje7290
@indivirabonnymatenje7290 2 жыл бұрын
How many Kenya's are listing for this song July 24 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakurugenzi let us vote in peace we need peace this coming Election
@johngeorge4834
@johngeorge4834 8 ай бұрын
Wenye umekuja hapa kuskiza huu wimbo leo May 2024 gonga like na ubarikiwe sana na ushikilie imani ya mungu🎉🎉 hallelujah
@SafarisAdventure
@SafarisAdventure 7 ай бұрын
🎉
@esthermandania5921
@esthermandania5921 6 ай бұрын
Hallelujah
@RadhiaFuraisha
@RadhiaFuraisha 5 ай бұрын
OkP10​@@esthermandania5921
@RadhiaFuraisha
@RadhiaFuraisha 5 ай бұрын
Pj8 P
@esthermandania5921
@esthermandania5921 5 ай бұрын
@@johngeorge4834 Amen
@yasintawillson9110
@yasintawillson9110 6 жыл бұрын
Sio siri Mungu akikuchagua hakuna wa kukushusha,Goodluck ubarikiwe sana kwa nyimbo zako zinatia moyo sana
@Musamahizo84
@Musamahizo84 2 күн бұрын
Amen tusapotiane broo nam mwimbaji
@gladysmtambo9300
@gladysmtambo9300 Жыл бұрын
I thank God coz my enermies are always failures😂😂😂😂
@husnahhamisi4488
@husnahhamisi4488 6 жыл бұрын
hawa watu wa👎 mbona hamskizi ujumbe uliobebwa kwenye wimbo... God bless you Gozbert,am a Muslim but can't stop listening to your songs....
@veelusa
@veelusa 6 жыл бұрын
Inashangaza sana kama mtu ambaye ni mristu wa kweli anapopinga maudhui ya wimbo pamoja na ujumbe mzuri. Watanzania tusiwe wepesi wa kusema. Ni vizuri uangalie video uone kijana anavyofundisha. Kwenye Video anaonyesha watu wanamfanyia vituko na maneno lakini hasemi chochote anaendelea na maisha yake. mfano kabisa wa Daudi kwenye bibilia alaikuwa anafanyiwa vituko na Sauli lakini yeye aliendelea na kufanya yale Mungu alikuwa anamuongoza . Kwa ujumla kijana ametufundisha sana . Mungu aendelee kubariki kazi zake.
@angelatuppa9348
@angelatuppa9348 6 жыл бұрын
mungu akubariki
@annamongi5404
@annamongi5404 6 жыл бұрын
. .kila. Mtu amepewa. Karama yake... Wengine. Wamepewa karama ya kutia watu moyo... Mwingine nyimbo zake za kumsifu Mungu... Nyimbo nyingine zinatuweka karibu na. Mungu...Wimbo ni Mzuri Barikiwa. Mtumishi
@susanraphael5894
@susanraphael5894 6 жыл бұрын
Yes mamy nice to
@ibrahimnyalusi436
@ibrahimnyalusi436 6 жыл бұрын
dah! inapendeza sana kwakweli MUNGU akubariki sana
@remmysammy1290
@remmysammy1290 4 жыл бұрын
Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe..lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe..ukiendelea unawapa.kichwa hao aa silaha ya imani rejea vitani wakikuona wajue umeshakua sugu..wacha waongee wacha wasemeseme ila yuko Mungu wakuwaziba midomo .....hakika huu wimbo nausikiliza kila niamkapo ..Goodluck mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yko
@judithbett420
@judithbett420 8 күн бұрын
Nimependa nyimbo zake sana baada ya kuchoma gari kwa sababu ya kuchagua uzima wa milele. Nimeona anamaanisha kila kitu anachoimba. Amen. Mungu akubariki sana
@halimatende2743
@halimatende2743 3 жыл бұрын
Am muslim bt hii nyimbo nilikuwa naiskiza sana coz ilinipata mimi hadi mandungu hadi marafiki lakini mwishowe mpaka baba watoto aliniacha lakini nami mungu haachi. Mja wake leo niko mbali another country nashukru mola
@richardmibei5885
@richardmibei5885 3 жыл бұрын
Wow God can't forsake
@princebrian856
@princebrian856 3 жыл бұрын
Amen..God is great😍
@yvonneachieng5325
@yvonneachieng5325 3 жыл бұрын
Mungu si kama binadamu anatupenda sote
@aliciamideva6401
@aliciamideva6401 3 жыл бұрын
Hello Mungu ako na mpango na wewe nakuombea juu ukweli ushaijua na tutaongea zaidi.
@halimatende2743
@halimatende2743 3 жыл бұрын
Asante mungu akubariki
@RoseOpiyo-o2i
@RoseOpiyo-o2i 2 ай бұрын
Who is watching this 2/12/2024,,,awenguzo kwa maisha yetu adui akicha asituweze
@megamindart5205
@megamindart5205 Ай бұрын
I'AM HERE
@saraelisha291
@saraelisha291 5 жыл бұрын
Mungu akutunze mdg angu, kazi nzr sn, napenda sn nyimbo zko zote zinanibariki mno.
@tedkadodo2790
@tedkadodo2790 4 жыл бұрын
9
@catherinewaithira9467
@catherinewaithira9467 Жыл бұрын
Kupigwa vita ni kawaida isikuaumbue😢mungu yupo
@samrickkituku8949
@samrickkituku8949 3 жыл бұрын
A very nice song with strong message lots of love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@annekamau4748
@annekamau4748 3 жыл бұрын
I wish Kenyan artist would be like this 🤦
@JanetAwino-sp3qy
@JanetAwino-sp3qy 7 ай бұрын
Wenye tuko na yeye 2024, nipeeni likes 🔥 🔥 🔥 🔥 it wonderful
@meshackkioko9149
@meshackkioko9149 2 жыл бұрын
2023 sitashindana na mwanadamu 🖐️ If you like it finya like na uvae silaha ya Imani 🙏
@carolyneedward1735
@carolyneedward1735 Ай бұрын
Jdjgdidgd
@TherezaLimbe
@TherezaLimbe 4 ай бұрын
Yaan me muslim lkn hii nymb kla day lzm nisikilz jamn mung jakuzipdishie❤❤❤
@maxjofrey70
@maxjofrey70 2 жыл бұрын
Brother uduma yako na izi nyimbo zako zimenifanya mbaka nime mgeukia mungu na kutumika kwa moyo wote ktk kazi ya mungu kiukweli najivunia sana kumfatilia mtu Kama wewe na barikiwa sana na nyimbo zako ✊
@AlexLwanzo-xk7bu
@AlexLwanzo-xk7bu 11 ай бұрын
2024 pointe ici... (gonga hapa) 🙂🇨🇩
@vita-user3
@vita-user3 8 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩tozali
@Festus_M_Muthui
@Festus_M_Muthui Жыл бұрын
Wapi likes za new year 2024... This song is a blessing.
@isaacwairimu4370
@isaacwairimu4370 11 ай бұрын
You Are The best
@wuodoketch
@wuodoketch 3 жыл бұрын
I can't get enough of this song wapi Kenyans 🇰🇪
@lindakatana4627
@lindakatana4627 3 жыл бұрын
Nko hapa ata mm🙋‍♀️
@feeyyegog4500
@feeyyegog4500 3 жыл бұрын
This song melted mah heart😍
@thomaskarori2847
@thomaskarori2847 3 жыл бұрын
@@lindakatana4627 io900ggfggfll0ĺ7⁹
@shitseswadiana9146
@shitseswadiana9146 3 жыл бұрын
Well represented🇰🇪
@sheilaatieno5222
@sheilaatieno5222 3 жыл бұрын
Can't get enough of it either
@onlinetembovevo7473
@onlinetembovevo7473 6 жыл бұрын
Jamana nimefukuzwa chumba cha kupanga kwa sababu ya sauti kali na hii nyimbo.....manake nimekuwa addicted na hii song.....iendelee mpk 2089...💥💥💣
@veronicastephano4196
@veronicastephano4196 5 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu uko vixur
@stellalaurent1479
@stellalaurent1479 5 жыл бұрын
Hahaha
@finianprosper703
@finianprosper703 5 жыл бұрын
online TemboVEVO
@esterpastory8918
@esterpastory8918 4 ай бұрын
Kunawatu wahataki kelele kwenye majumba yao ko kama bado hujajenga jitahidi kuishi nawatu vizuri
@joyshirow8529
@joyshirow8529 Жыл бұрын
Lia kidogo nyamaza ili uchungu iishe 2023 mko wapi
@HusseinKimath
@HusseinKimath 20 күн бұрын
Mazinge
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 10 күн бұрын
Ooooooooh Alleluyah nimerudii kujikumbushaaa nyumbaa nilizisahau kabisaa
@robairubby9511
@robairubby9511 4 жыл бұрын
"Yesu huyu yesu, hakujitetea kabisa japo walimsema kwa ubaya aliwasamehe"..my favorite part good work .. love from Kenya..
@shukuranijackson418
@shukuranijackson418 4 жыл бұрын
Nice song 😘🥰🥰🤗🤗
@evamwamelo5307
@evamwamelo5307 4 жыл бұрын
Nice 💯
@simonshawa2571
@simonshawa2571 4 жыл бұрын
Neno la MUNGU ni tamuu
@maryawinja133
@maryawinja133 4 жыл бұрын
I really feel blessed and encouraged by listening to this gospel .Nice work Goodluck
@afrochainau8037
@afrochainau8037 3 жыл бұрын
Ohh this part hit me!!!
@ZenabKordi-ib3nr
@ZenabKordi-ib3nr Жыл бұрын
Jamani wale tunao sikikiza his nyimbo 2023 tuko wp kama hii nyimbo inakufalij weka like
@dorothymwendwa2153
@dorothymwendwa2153 Жыл бұрын
🎉❤🎉🎉🎉
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy Жыл бұрын
Tupoooo
@selector728
@selector728 Жыл бұрын
Wimbo sio nyimbo,,,inakufariji sio Inakufaliji
@joselyneambooka4597
@joselyneambooka4597 9 ай бұрын
2024❤❤❤
@MarionSalama-b7w
@MarionSalama-b7w 4 ай бұрын
Ndio sisi🥰😍😍
@Girl_Maasai
@Girl_Maasai 4 жыл бұрын
If you belive this song has healed your soul, hit like as we thank God
@petma5551
@petma5551 4 жыл бұрын
I like that part where he waves at the haters 🤓
@Janice-x6c
@Janice-x6c 4 жыл бұрын
GOD his faithful
@fabriziammanuli1672
@fabriziammanuli1672 4 жыл бұрын
It is called beating the bitterness by letting go of the past & letting God be the author & the finisher of one's Faith. Amen.
@wizzyjay2955
@wizzyjay2955 4 жыл бұрын
Ubarkiwe ni kwer uwz shindana
@shanelywaziri6708
@shanelywaziri6708 4 жыл бұрын
Madii
@elmackeliamini2010
@elmackeliamini2010 10 күн бұрын
Wangapi tulo baada ya kuchoma gari
@annwambui6561
@annwambui6561 3 жыл бұрын
Jana I felt very blessed... he's such an amazing person..akiperform live utapenda... alitubariki sana hapa voi taita taveta county 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ndanuexperts2443
@ndanuexperts2443 2 жыл бұрын
Ebu angalia hii Pia. kzbin.info/www/bejne/iWW1fZqLnb51brc
@janendanu8571
@janendanu8571 2 жыл бұрын
Wow,good song God bless you
@shellykadot3041
@shellykadot3041 5 жыл бұрын
Aaaaawwwww😘 😘 What a blessing🙏🙏 Have been looking for this song for long. Kenyans hit like tukibarikiwa pamoja
@annshiuma8276
@annshiuma8276 4 жыл бұрын
Same😫😫😍
@floramtenga16
@floramtenga16 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri
@mzungukiboli8153
@mzungukiboli8153 4 жыл бұрын
U
@mzungukiboli8153
@mzungukiboli8153 4 жыл бұрын
Lm
@alicewangila6828
@alicewangila6828 4 жыл бұрын
Jllkjvkllkjjjknbb I have a few jo
@MartinWambua739
@MartinWambua739 5 жыл бұрын
imagine i was sleeping in a vehicle once i had the song i woke up and started shedding tears. God answer my prayers
@lucynganga144
@lucynganga144 4 жыл бұрын
A great song...have blessed my heart thanks Goodluck
@Janice-x6c
@Janice-x6c 4 жыл бұрын
GOD is faithful
@maryann7684
@maryann7684 4 жыл бұрын
AMEN in Jesus name 🙏
@jessicalittlefield3597
@jessicalittlefield3597 4 жыл бұрын
Hawesi kushindana wimbo wa hupoko sana barikiwa bro and my God bless you
@rhodakoki9779
@rhodakoki9779 4 жыл бұрын
nice one
@nice58765
@nice58765 4 жыл бұрын
I never understand people who dislike a song like this one, anyway siwezi kushindana na mwanadamu. Beautiful song.
@irenebuyaki7807
@irenebuyaki7807 3 жыл бұрын
How awonderful song i lke it very much God bless💕🙏💕
@bdvick5455
@bdvick5455 3 жыл бұрын
Imagine a beautiful song and such a perfect reality message Or may be those that dislike are the ones always looking for trouble in communities. Bcz they never wants to get represented. And they are too much talking talking ☺️☺️☺️☺️😊😊😊 Ayiiii us we are just blessed by this song, my favorite
@dansiranyiraruvugu2290
@dansiranyiraruvugu2290 3 жыл бұрын
A
@raphaeljustine1184
@raphaeljustine1184 3 жыл бұрын
Nakweli uwez kushindan na binadm
@henryprince7068
@henryprince7068 3 жыл бұрын
Wachawi
@missbentdiary7617
@missbentdiary7617 3 жыл бұрын
Who is still obsessed like me? This song be my forever best💯💯. Team Kenya 🇰🇪 🇰🇪. Watching from UAE 🇦🇪
@Victorongaga
@Victorongaga 2 жыл бұрын
Hello sister
@missbentdiary7617
@missbentdiary7617 2 жыл бұрын
Hi dear
@eugenmgaya6623
@eugenmgaya6623 5 жыл бұрын
Barikiwa sana Gozbert , endelea sana kujinyenyekeza kwa mkono hodari wenye nguvu na ulio hodari. Nakupenda sana my son. Amina....!!!
@justinemaingu1460
@justinemaingu1460 9 ай бұрын
2024 hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa Mungu azidi kutubariki❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kukubariki ❤❤
@BrakinyaMikopo
@BrakinyaMikopo 10 күн бұрын
2025 tuko pamoja??
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 8 ай бұрын
bro hapo uliimba naipenda sana
@mwangiesther63
@mwangiesther63 11 ай бұрын
Back here on 3rd March 2024.Kwa kweli siwezi shindana na mwanadamu mwenye kinywa
@SolomonEkale
@SolomonEkale 11 ай бұрын
Ukweli kabiza
@FaitnKamanthe
@FaitnKamanthe 4 ай бұрын
Wimbo wa kuwaumiza maaadui na wachawi😮😮 ukieka volume........watahama kuhama😮
@edithbeda4991
@edithbeda4991 6 жыл бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu,kaka wimbo wako umenibariki sana.barikiwa sana
@sarahodeny2126
@sarahodeny2126 6 жыл бұрын
the songs r inspiring
@japhetkulaba1973
@japhetkulaba1973 6 жыл бұрын
@@sarahodeny2126 writing 46spchgup5dp5tdytsstzrys3yarpmhc,fv arsyzexyt Greww5je7eeour5vft ,
@davidshao1229
@davidshao1229 6 жыл бұрын
Uko.poa
@isackmachange5546
@isackmachange5546 6 жыл бұрын
Naukubali mnoo ,mungu akabarki kazi za mkono yako kjana god
@robertgaitan215
@robertgaitan215 6 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikisikia u wimbo. Mungu akubariki san
@jacksholomem2726
@jacksholomem2726 2 жыл бұрын
This song reminds me of how my cousin lied that I aborted when I was in form two...you can imagine how they tarnish my name in the whole village. When I heard about it, I really prayed God to protect me against such evil. And now as we speak am teacher fully employed and I have my beautiful family blessed with two handsome boys. Am grateful to God.
@batshebakerubo530
@batshebakerubo530 2 жыл бұрын
Hugs 🤗 mum
@winfaceketer1199
@winfaceketer1199 Жыл бұрын
Hayra star
@graceb2398
@graceb2398 Жыл бұрын
We have heard a lot but we keep moving forward 👍🙏
@sarahkele6812
@sarahkele6812 Жыл бұрын
Praise be the Name of our Lord Jesus.
@Samiavillagegirl
@Samiavillagegirl Жыл бұрын
If you trust in God he will put all your enemies to shame. Especially wenye vitina na wivu😢. Mungu atakutetea
@newme7766
@newme7766 Жыл бұрын
Who else keeps coming back to listen to this song 😇🥰. God bless you Goodluck. God is forever faithful to those who serve Him right.
@AnneCheryl-zp1vl
@AnneCheryl-zp1vl Жыл бұрын
more Blessing
@obadiahkieti9268
@obadiahkieti9268 8 ай бұрын
Good job
@florencekadilo3156
@florencekadilo3156 2 жыл бұрын
we do appreciate as Kenyans🇰🇪
@naomimiona367
@naomimiona367 2 жыл бұрын
Amen
@ayiendadennis1275
@ayiendadennis1275 Жыл бұрын
tyyyyyyyygfdhhghhhhjhhgffffffffgf
@millicentneto1631
@millicentneto1631 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@barakakalokola1170
@barakakalokola1170 6 жыл бұрын
NYIMBO KALI KALI MNOOO BARIKIWA SANA LAKINI FEZA NIKO MBALI NAWEWE MBONA MUNGU KAONGELEWA VIZURI SANA AMEJALIBU KUMCHUKUA MWANADAMU NAMATENDO YAKE KUWA HAYAFANANI NAMUNGU MUNGU HASIKILIZI MANENO YANI UMBEA ANAANGALIA MATENDO MAZURI TU
@hildahqween8344
@hildahqween8344 5 жыл бұрын
Yenyewe huwezi kushindana.Yupo mungu atawaziba midomo.Nice song
@lydiahkarembo560
@lydiahkarembo560 4 жыл бұрын
A still tune this songs
@faithkyalo5445
@faithkyalo5445 3 жыл бұрын
2021 still listening to hauwezi kushindana I like this song
@natasharaminof4044
@natasharaminof4044 Жыл бұрын
Napenda huu saana ata nikisemwa huu ndio uweka ñimewa kua na marafiki wananisema bila mm kufanya chochote
@hawaahassan1353
@hawaahassan1353 6 жыл бұрын
Kweli kabisa huezi shindana na mwanadamu mwenye kinywa achia# Mungu yote nimapito
@bukuruphilibert5835
@bukuruphilibert5835 6 жыл бұрын
Esd
@yustamsigala2158
@yustamsigala2158 6 жыл бұрын
تHawaa Hassan ت
@ajuayekilendirewxaqefo2525
@ajuayekilendirewxaqefo2525 6 жыл бұрын
God bless my brother
@sifakizenga9676
@sifakizenga9676 6 жыл бұрын
Hi 'how are you? Jambo jameni,vipi uko?
@nicksonkirui5325
@nicksonkirui5325 5 жыл бұрын
Very nice
@blessedboymusiq9109
@blessedboymusiq9109 6 жыл бұрын
Dah..... Good luck, huwezy kuamini kipidi unapigia producer paulo simu akufanyie hi nyimbo nilikuwa na yeye.. jinsi yako ya kuongea ni thahiri wewe myenyekevu.. Hii nyimbo nzuri sana dah... wewe kweli mtuzi mzuri alafu una upoko wa mungu.. Bydaway wewe ndio role model wangu katika gospel.. @producer paulo best kenya gospel producer. Naomba mungu ipo siku nitafanya nyimbo na wewe.. Congratulations bro..
@praisesamson8298
@praisesamson8298 6 жыл бұрын
Blessed Boy Musiq Naomba namba ya huyo producer bro.
@juliakebenei4973
@juliakebenei4973 6 жыл бұрын
I told you utarise higher and higher.
@justinelucas3621
@justinelucas3621 6 жыл бұрын
Blessed Boy Musiq kk producer poulo namtafuta sana,,vp nifanyie mpango bas nimchek my cont:0657775625 Justine...
@produzapaulo4478
@produzapaulo4478 6 жыл бұрын
Blessed Boy Musiq Mungu apewe sifa
@produzapaulo4478
@produzapaulo4478 6 жыл бұрын
Justine Lucas +254710722377
@janewanjiru1549
@janewanjiru1549 3 жыл бұрын
''Huuezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa...'' This song really encourages me coz it speaks of my place of work. I am blessed and encouraged.
@mograrescuecentre2897
@mograrescuecentre2897 Жыл бұрын
Waah! ask me and i will tell a story!! Workplaces are hell.
@marionnyasir
@marionnyasir Жыл бұрын
Thank God for the song it speaks alot
@anastaziashirima4579
@anastaziashirima4579 Жыл бұрын
Kweli.huwezi.kushindana.nawanadamu
@trezymalvine4465
@trezymalvine4465 Жыл бұрын
True esp at work
@janetmbinya4606
@janetmbinya4606 Жыл бұрын
This song means alot to me, comforting one🙏🙏
@anneWanjiru-m9x
@anneWanjiru-m9x Ай бұрын
Hii nyimbo ni kwl kabisa yanifariji this 2025.. de year has just began bt wanadamu na maneno...hauwezi shindana na wao
@beckylovedone704
@beckylovedone704 2 жыл бұрын
From south sudan 🇸🇸 ✨ ♥ ❤ I love the song na niukweli siwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinyua ,,,whenever I listened to it ,,it relieves my soul
@alicesamson6316
@alicesamson6316 5 жыл бұрын
November 2019 mimi mwislamu lakini huu wimbo ni fire
@sosthenes16
@sosthenes16 5 жыл бұрын
Nice
@grishonesalu1132
@grishonesalu1132 4 жыл бұрын
@wema God is one,
@husseinbenson7965
@husseinbenson7965 4 жыл бұрын
hakuna dini inazuia kusikiliza nyimbo ya dini nyingine
@Janice-x6c
@Janice-x6c 4 жыл бұрын
@GOD is for all
@hamisahabibu356
@hamisahabibu356 4 жыл бұрын
Wanadamu ni unafiki tu
@loicechepkosgei4338
@loicechepkosgei4338 4 жыл бұрын
This song ministered to me this morning. Siezi kushinda na mwanadamu mwenye kinywa!!
@allyhussein800
@allyhussein800 11 күн бұрын
Daah kijana alipotea aisee baada tyu ya kupewa zawadi ya gari ghafla na nyota yake ikachukuliwa lakin nina imani huu mwaka atafanya vizur since kaamua kulichoma hilo gari mambo yake yatarudi kua sawa
@ceciliaekuwom2868
@ceciliaekuwom2868 4 жыл бұрын
This song has given me hope got alot issues home work church I just need God ONLY. Waaah maneno ingekuwa visu ningekuwa na scars mob............Today i just remember my mama the night to her passing on......she told me.....acy wacha nikufe utajua hakuna mtu hataelewa shida zako. Here I am today nimefunzwa na ulimwengu ya kutosha
@agnesmulwa3039
@agnesmulwa3039 4 жыл бұрын
@Cecilia ekuwom God always answers prayer. Just trust in Him, His tyming is always the best
@atandidominic3208
@atandidominic3208 3 жыл бұрын
Pole mummy
@MercyMercelinah
@MercyMercelinah Жыл бұрын
I remember when i was in form two my close friend lied to the entire village that have aborted after being admitted for two days bt i came back shedding tears bt my my mum told me to pray for and her team i swear the girl is now hospitalized suffering from hiv and aids as I'm here enjoying life at the University as a teacher of English literature
@nahomymuteba1548
@nahomymuteba1548 Жыл бұрын
On
@Lilian-ep
@Lilian-ep Жыл бұрын
Sorry
@jacobwanje-q1t
@jacobwanje-q1t 10 ай бұрын
Congratulations
@MercyMercelinah
@MercyMercelinah 7 ай бұрын
Thanks​@@jacobwanje-q1t
@MercyMercelinah
@MercyMercelinah 7 ай бұрын
​@Helenishapoan-ep9fu
@warrensantana1570
@warrensantana1570 4 жыл бұрын
Am a Muslim but I Love this song so much so much,,mostly the first verse,,nice lyrics
@jallyjonster4006
@jallyjonster4006 4 жыл бұрын
Your welcome bro
@everlyneongayo5692
@everlyneongayo5692 4 жыл бұрын
U better change ,2 cristian
@fatimaebochi9292
@fatimaebochi9292 4 жыл бұрын
Me tooo
@margretborn-great4163
@margretborn-great4163 3 жыл бұрын
Brother pls give your life to our Lord Jesus Christ He is the Only way To Heaven Father. Jesus The Holy One who Never Commented no sin at all. Come to Jesus Christ today He Loves ❤️ As a son 🙏🏾🙏🏾🙏🏾💯💯💯
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 3 жыл бұрын
Karibu sana ndugu yetu katika yesu ,yesu akubariki
@aminanyoni6471
@aminanyoni6471 Жыл бұрын
Aki for real sijawai sikia song za kikristo but hii song iko na message poa. Sana
@lydiamokeira3164
@lydiamokeira3164 6 жыл бұрын
Congratulations from Kenyans 😍😍👏👏👏👏👏💚❤❤❤
@chancethenavigator1195
@chancethenavigator1195 6 жыл бұрын
we love you
@leahtido341
@leahtido341 6 жыл бұрын
x
@patrickmutua7882
@patrickmutua7882 4 жыл бұрын
Yeah yeah !!!
@uweracrallise7343
@uweracrallise7343 Жыл бұрын
Be blessed you From kigari Rwanda 🇷🇼
@milazmilato7965
@milazmilato7965 2 жыл бұрын
Although am Muslim but this song is lit Hadi it's my skiza
@watuwashengaaz6244
@watuwashengaaz6244 3 жыл бұрын
This song is just amazing it takes me back lost a husband very young left with a son people pointed fingers at me but God remains to be glorified.
@jacobmutana2750
@jacobmutana2750 3 жыл бұрын
Xo painful n rem God doesn't leave his own pple.
@gathonimuchai9037
@gathonimuchai9037 3 жыл бұрын
Aki mungu ni mkubwa Aki nakumbuka nililoose mtoi August this year now three months but watu waliongea wacha tu wakisema tuliua na babake I will never forget mama mwingine akisema mtoi amepass na ndio tunamupeleka hosi na bdo alikua bt ajapass continue rest in peace my dear son you will always remain in my heart forever 😭😭😭😭😭😭😭❣️❣️❣️
@wilsonnyabuto6262
@wilsonnyabuto6262 3 жыл бұрын
You are a strong woman ,lord be with you always
@qatatvip5451
@qatatvip5451 2 жыл бұрын
To all those who going tuff situation take heart please 💖💕💕💖
@user-wl7dl7ik2j
@user-wl7dl7ik2j 2 жыл бұрын
Take heart dear
@sylivianamutosi9264
@sylivianamutosi9264 11 ай бұрын
Be blessed my brother 🙏🙏 24 02 2024 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@askmyname9998
@askmyname9998 6 жыл бұрын
Kakangu wimbo mutamu umeningusa sana Wakenya mupo wacha Mungu akumbaliki sana
@danielmbwambo427
@danielmbwambo427 6 жыл бұрын
Ask my name is how
@gladysglado7074
@gladysglado7074 5 ай бұрын
Wenye tumekuja uku 2024 n kusinywa n maneno ya watu ka mm ukipita acha like do niweze kurudi tena Kwa hiii song❤❤❤❤ please
@neemaebeneza7494
@neemaebeneza7494 5 жыл бұрын
Am Muslim but I can’t keep stop listening to this song who is still watching this song in December 2019
@abdullhakimmohamed1690
@abdullhakimmohamed1690 4 жыл бұрын
I am also a Muslim bt hii nyimbo wallahi imenitouch bcz kiukweli huyu mkaka kaimba ukweli mtupu, Zangu ni kumpa kaka gozbart hongera kwa kuimba ukweli, mungu akuzidishie umri na akupambe kwa afya katika maisha yako
@henrymwalishi2527
@henrymwalishi2527 6 ай бұрын
Hii wimbo Ina nifanya niwe courageous
@besteva499
@besteva499 10 күн бұрын
who is here after he burning the car ❤❤🎉
@carolinemwangi5965
@carolinemwangi5965 8 күн бұрын
We are here
@TheGospelMelodies
@TheGospelMelodies 2 жыл бұрын
The most viewed GOSPEL song in East and Central Africa
@kylexy2901
@kylexy2901 Жыл бұрын
no.check songs of zabron singers and ambassadors of Christ
@LucyMunyaga-bl2tr
@LucyMunyaga-bl2tr Жыл бұрын
God is good
@tripplej-d6m
@tripplej-d6m Жыл бұрын
​@@kylexy2901wee tuachishe hii ndo dawa ya watiaji
@damadamaries4758
@damadamaries4758 4 жыл бұрын
My favorite song ever naomba likes zake plz❤❤❤
@japhetkiplagat7559
@japhetkiplagat7559 10 күн бұрын
Gari ilichomwa imenileta hapa
@gracekiarie9437
@gracekiarie9437 4 жыл бұрын
Can't get enough of this song hua narudia kila mara who else,gonga like
@hazeljepkemoicheruiyotcher3439
@hazeljepkemoicheruiyotcher3439 3 жыл бұрын
It is still sweet today tommorow and forever.love this song
@jacquilinelugaka6615
@jacquilinelugaka6615 3 жыл бұрын
.
@marywambui7812
@marywambui7812 3 жыл бұрын
The truth is that song is a blessing God cannot complete with His product I love the song❤️❤️❤️❤️
@evanskiptoo9948
@evanskiptoo9948 Жыл бұрын
This song is touching, it has made me strong with my beautiful wife to continue being in ministry Lord 🎉
@zainahzenah
@zainahzenah Жыл бұрын
Mm😮
@gilbertosmass1483
@gilbertosmass1483 4 жыл бұрын
Wewe ni mti mwenye matunda ....zoea mawe,lia kidogo nyamaza🤣🤣🤣🤣 the best the best..nmerudia iyo verse aki..🤗🤗🤗
@elizabethmalubi493
@elizabethmalubi493 2 ай бұрын
May God bless you
@maggykyungu559
@maggykyungu559 3 жыл бұрын
When i listen to this song i remember how my aunt and stepmom used to say lies about me to my dad wanting to separate us but there's a God in heaven who curbs their tongues kwakweli hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa ni Mungu tu
@audycheps8507
@audycheps8507 2 жыл бұрын
💕
@rozynahnight7460
@rozynahnight7460 2 жыл бұрын
Aaammeenn
@Amazonglambeautykenya
@Amazonglambeautykenya 2 жыл бұрын
@@audycheps8507 jmmmmm
@Amazonglambeautykenya
@Amazonglambeautykenya 2 жыл бұрын
No a Ufa 0000?
@estheresther3757
@estheresther3757 2 жыл бұрын
Amen
@christineauma1629
@christineauma1629 Жыл бұрын
This song reminds me alot hallelujah thank you Jesus much love from uganda 🇺🇬
@PetronilaWakesho
@PetronilaWakesho Ай бұрын
Wale wa new year 2025 mko wapi😂😂😂drop red heart
@Aggy_Mtuks
@Aggy_Mtuks 23 күн бұрын
❤❤
@janetkeli5474
@janetkeli5474 14 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@MildredAndega-b4d
@MildredAndega-b4d 20 күн бұрын
I remember telling a friend time is coming all go everywhere in Europe hakuamini walicheka sana ,I will never forget
@claracaren3890
@claracaren3890 2 жыл бұрын
The first stanza of this song is a strong message to make us stronger in God's words