Namwamini Mungu ipo siku yangu tu nami nibarikiwe hii 2024.
@JulietOmwenga9 ай бұрын
Here in 2024 listening to this encouraging song..Ipo Siku ...kama huku hapa Nami gongs like and let's not give up.
@ednakutoh86088 ай бұрын
🙏🏼♥️.
@sylvetnkirote354710 ай бұрын
Its 2024 bado ninatumaini ipo siku yangu tu🇰🇪🇰🇪kenyans lets show some love this year
@kipronodavis68459 ай бұрын
amen
@olivamtewele707717 күн бұрын
Stilii 26/12/2024 nausikiliza huu wimbo naomba Mungu anibalikii naomba hvyo ikawe na 2025 nibalikiwee nipunguzie hii aibu
@KUZENZATV11 күн бұрын
amina
@evalinmokeira54653 жыл бұрын
Nami nitabarikiwa nani ako na mim 2021 kutoka Kenya proud of you .gonga likes tukisonga
@mussamiraaji34413 жыл бұрын
2021
@sharonfaraj99583 жыл бұрын
Àooooaßßpaeq8q1
@sharonfaraj99583 жыл бұрын
adaa
@FaithMinayo-sm4zbАй бұрын
Maumivu ya kudharauliwa umasikini💔💔💔💔.......God I'm tired of crying everyday because of this life😢.....its time lord i need you in my life😢 i feel loke giving up😢😢 Its my wish that 2025 gonna be my break through year in Jesus name 🙏🙏#IPO SIKU YANGU TU🙏🙏
@winfridacharles4525Ай бұрын
Same here... Ooh God nisibaki hivi 2025🙏... Tuendelee kuomba my dear
@roniboymsanii43642 жыл бұрын
Wale wote wanaoamini kwake mola watajibiwa maombi Yao Amen 🙏🙏
@Beckymwas Жыл бұрын
Amen
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Amen
@johnmalanga442 Жыл бұрын
Amen
@PollyShop-pv5nn26 күн бұрын
Dec 17 2024 and still am listening this song NMEBARIKIWA JAMANI UWIIIII ❤❤❤❤ And nitavuka 2025 in Jesus name 👏
@shadracksteven26367 жыл бұрын
Nilikuwa nikiamka naweka huu wimbo kila asubuhi nikiwa nasoma SAUT yaan just b4 sijaenda darasani nimemaliza chuo nipo mtaani Mungu mkubwa nikapata kazi na nimeanza kumjengea mama yangu nyumba siku yangu imefika........kipaji chako kimewatoa wengi MUNGU AZIDI KUKUBARIKI
@mankaathuman17526 жыл бұрын
Shadrack Steven Nc
@filberthabashi33666 жыл бұрын
Shadrack Steven guuuuuud saaana ur greater man,, unafanya as
@theunbreakabletheunbreakab22246 жыл бұрын
More blessings to you
@aminasasha81886 жыл бұрын
Nice
@blessingmwa89686 жыл бұрын
Shadrack this is encouraging ...I love the dong too ..I'm in my final year and its ma favourite
@alphasmallpin69519 ай бұрын
Maisha nifoleni ukiwa na imani zamu yako itafika usife moyo .....wengine wetu tulitengwa ila Mungu alitukumbatia akatuinua na kutuondolea haibu.....kweli #IPO SIKU
@mourinekerubo50072 жыл бұрын
I'm really feel when Ie listen the song but who is God ican't compare my self before
@InnocentBikoriman4 күн бұрын
Iko siku yangu nina imani❤
@witneyachieng3794 Жыл бұрын
Tuongee tu ukweli nani anafeel day yke iko blessed akiskia huu wimbo kila sasubui... 🤗🤗
@RebeccaWambui-c9v11 ай бұрын
Me
@DenisChuwa-p7i11 ай бұрын
IPo siku yangu tuh! 2024 nami nibarikiwe
@fatmajamia4056 жыл бұрын
kila mwanadamu ana siku yake ya mafanikio!!Mungu hajatusahau bado..Ipo siku yangu tu❤❤❤❤
@happywaziri16576 жыл бұрын
Nami nitabarikiwa asante kututia moyo
@owinogeorge76685 жыл бұрын
Iposku yangu
@subirasaid7534 жыл бұрын
Amina mungu anatenda kwa majira na wakati wake tumtumainie yy
@kelvinnyachae66074 жыл бұрын
Its true
@mmukwanka38514 жыл бұрын
Kweli
@mwikaliirene86542 жыл бұрын
6 years when this song was new i used to sing it with alot of faith i wanted to God to bless me with children when everyone seemed to be unfriendly to me but as i write this our Good God who hears and listens to our hearts heard my cry and wept away my tears ,He gave me a title that no human being can even erase it i am a living testimony am blessed ,favoured but who is like our God ,i will always bless and adore your holy name"itu yii yi ngai anaasa".translation there is God in heaven brethrens
@bethuelkipngetich36372 жыл бұрын
Amen
@joshuamuthini87112 жыл бұрын
Amen
@carolyneomare69732 жыл бұрын
God is ever true and His time finds everyone
@duncunmuithya93592 жыл бұрын
Amen
@kiiru_innit Жыл бұрын
Amen
@nyaokeviolet41444 жыл бұрын
If this made you believe its never late in life..thumbs up😊🙏
@catherinenekesa58294 жыл бұрын
Wow, wow,, thank you so much, I really love this song. Wonderful encouragement God bless you.
@rebbeccambula6104 жыл бұрын
If you
@catherinenatecho37924 жыл бұрын
Ipo siku yangu!!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ameeen.
@irenelukale92934 жыл бұрын
👏👏👏
@graciekyallo67913 жыл бұрын
JJ h TT ppkt@@rebbeccambula610 lwow4n I'll jej
@charlesnzwalla3001 Жыл бұрын
Kama kuna mtu bado anaisikiliza hii nyimbo 2023 Naomba likes tafadhari... Nawapenda.
@johnmalanga442 Жыл бұрын
Mm apa...
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Napokeya baraka zangu😢😢😢
@RebeccaWambui-c9v11 ай бұрын
Iposikuyetu
@hitecstars.111 ай бұрын
Ive been stuck here for a week and my son has joined me too😆
@elizabethmusyoka373911 ай бұрын
Doh uyu mm apa,,,2024,,,an encouraging song
@capstoneentertain54538 ай бұрын
Kenyans,who else is here 2024. ipo siku yangu
@ElizabethWanjiru-pu9jf8 ай бұрын
Niko hapa eti ipo siku❤
@emmalagat55586 ай бұрын
Niko hapa pia
@catewanjiru54755 ай бұрын
I'm here❤
@emilycosmas13474 ай бұрын
Present
@alaalutka13123 ай бұрын
Mimi 🤩nipo hapa🤗 Kutoka Ulaya nchi Poland Napenda nyimbo Kikristo Afrika Mashariki ❤
@asiahmariam39426 жыл бұрын
Kaka unatufariji sana sisi tulopitia mitihani mikubwa mpaka tukafikia kukata tamaa ila kwa nyimbo zako hutufanya tufarijike nakujipa moyo mungu akulinde babayangu mimi ni muislam nyimbo zako nzuri unaimba unamtaja mungu mungu akuzidishie kaka
@karimsumila78546 жыл бұрын
Asiah Mariam umenena vema Dada, Asante sana
@ruthpaulo82726 жыл бұрын
mungu akuongoze katika kazi yabwana maana wimbo unatugusa ambao tunapitia magumu
@peterpatrick69146 жыл бұрын
Asiah Mariam good my sister
@ilovejesus93036 жыл бұрын
Na wewe Asiah Mungu akutoe kwenye hiyo mitihani. Kumbuka ni ya kukujenga, na utaipita tu, ipo siku yako ya kubarikiwa
@noreentv20346 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 kweli kabisa uko sahihi
@maryndanu98599 ай бұрын
Still listening to this song 2024.gonga like kama bado unabarikiwa.
@BoniKaaya7 ай бұрын
2024 mwezi6 tujuwane
@joydebbie-ud5cg6 ай бұрын
13th July 2024
@ANTONYODERO-w5q3 ай бұрын
15th August
@Vincentsyona-bj6qj3 ай бұрын
Tarehe 13/10/2024 usiku saa 5.
@flozzynyambu21042 ай бұрын
2nd Nov 2024 saa Saba mchana
@amani-hu6bs Жыл бұрын
2023 September still listening to this song I can't get enough of it even though it's my ringtone. Alot of encouragement for those of us still struggling with life let's keep trusting in the Almighty all will be well 🙏
@ZuuHassan-q9u21 күн бұрын
Hii nyimbo yanipa moyo sana nikiisikiza nina jipa imani ipo siku nitafanikiwa😭😭😭😭
@benpaul.93104 жыл бұрын
In the coming few days ,months and years will come under this comment and write what God has done....ipo siku✊.it's Jan 2021
@shadrackongeri38654 жыл бұрын
Wish you best
@deboranaliaka18983 жыл бұрын
Amen
@loisewanjirukaranja23053 жыл бұрын
All the best bro
@benpaul.93103 жыл бұрын
@@loisewanjirukaranja2305 ❤️
@mercyshikks14113 жыл бұрын
AMEN 🙏🙌
@estherbrandy18496 жыл бұрын
I want a husband who fears God like Goodluck , ooh please Jesus answer the desires of my heart, my Lord answer me from your throne on high.
@viviangonah83795 жыл бұрын
Amen, God fulfil your heart desires
@nicksonarwa27855 жыл бұрын
Esther Brandy njoo kwangu mama nina hofu ya mungu
@owinogeorge76685 жыл бұрын
Nice
@biankaugo76085 жыл бұрын
God God really answered your prayer
@jorrisamakombe45635 жыл бұрын
Am here aki i realy want a serius ldy
@olivewanja10574 жыл бұрын
I listened to this song first time on 2019 and I stood by Faith...am here again 2021 with a testimony,,,kweli ipo siku😍😍😍😍😍 TMM
@KenyaOnlineNews0014 жыл бұрын
Ipo siku kweli
@olivewanja10573 жыл бұрын
@@KenyaOnlineNews001 yes for sure
@billionaireconcepts10953 жыл бұрын
it will be good if you share your testimony
@maureenkerera35073 жыл бұрын
Ipo siku yangu tu, let me wait patiently upon the Lord
@clarencelugayana91153 жыл бұрын
Mgambo
@aronenna646 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 hakika kaka ipo siku yangu NAMI nibalikiwe🙏🙏🙏
@babyanneytvshow30688 жыл бұрын
Huwezi amini nilikuwa nimekata tamaa,wimbo huu umenifanya nipate amani ya moyo asante kaka
@christsflowe.r8 жыл бұрын
hakuna kukata tamaa endelea mbele
@babyanneytvshow30688 жыл бұрын
Hakika Flower Child
@blasiokizutu91168 жыл бұрын
dont lose again
@babyanneytvshow30688 жыл бұрын
blasio kizutu thank you
@blasiokizutu91168 жыл бұрын
So courageous hit
@essyquincy712811 ай бұрын
2024. Who is listening this masterpiece with me?
@sundaydaudi754111 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana wakati Mama yangu anapambana na madeni, Baba hayupo nyumbani na hakuna chakula. sikuchoka kuusikiliza wimbo huu kwani niliamini ipo siku Mungu atafanya kila kitu kitakua sawa. Na leo baada ya miaka 7 nimerudi kushuhudia ukuu wa Mungu
@SahraHalifa Жыл бұрын
Huu wimbo unanigusa maisha niliyopitia❤❤❤❤❤❤
@maryamabdallah24448 жыл бұрын
am a Muslim.. but I love this song.. IPO siku
@shirahboymegpme57126 жыл бұрын
M too
@DmnChuiTv6 жыл бұрын
GOD, The almighty creator has no tribe, religion or race.
@kipkemoi_philipe5 жыл бұрын
Love
@minastara5064 Жыл бұрын
Me too
@anithaibrahimnguli2047 Жыл бұрын
Me too
@aliabdi13162 жыл бұрын
Am Muslim and this song gives me motivation weneva I listen 2 it ...
@katelynatabo Жыл бұрын
7yrs now....i used to listen to this song when life was directionless and now i can testify that God really exists na si kiziwi...He listens. Mungu wangu ameniandalia meza mbele ya maadaui wangu and am greatful
@TravesClement-j9qКүн бұрын
Ipo siku Mungu atakuonekania
@timogach4 жыл бұрын
This song I remember I first heard it in 2017 after finishing my degree, didn't have a job and I started a business, but after a while I started betting and resulted in my addiction to sports football gambling,,it made me hate my lifestyle and was stressed that i got myself into Shylock debts, waaah my life was a mess. Then I had about the song IPO SIKU, made it my wake up alarm, Listened to it daily, God has been faithful am free from betting and debts spirit , I know am a child of God, I can now THANK GOD 🙏 for in Jesus I can do all things through Christ who strengthens me Thank you Jesus 🙏 IPO SIKU YAKO YAJA, SIKU YA KUBARIKIWA, AMEN.
@muthianijanet57272 жыл бұрын
My current state..I rebuke this spirit of debts right left n centre..I will overcome in Jesus Name..this song is hitting
@morrismo82122 жыл бұрын
🙏Amen bro
@timothykiogora33722 жыл бұрын
How are you in 2022 gachuru? 😊
@maureenwanjiku1961 Жыл бұрын
Amen and this is beautiful
@winniekemunto2434 Жыл бұрын
Blessed
@Martha-s5o2 ай бұрын
Listening October 2024,ipo siku yangu tu nibarikiwe 🙏🙏
@michelleakinyi9875 жыл бұрын
"ingawa sipati kwa muda mrefu,mungu si kiziwi....ipo siku... hallelujah!👌maumivu ya kudharauliwa...amen,ubarikiwe♥️
@karembonyoka50575 жыл бұрын
Kwel sk yaja
@FRANSKALITUSI49374 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mn26n3api8isd6M
@plumbingmaterialsandboreho52373 жыл бұрын
The patient,hope and faith is always the best medicine i love you goodluck this songs didicates alot when i listen it I get much encouragement
@agnetamwaighuri7362 жыл бұрын
Hallelujah 🙌 iko siku yngu tuuuuu🧎♂️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
@kipkoechraymond86723 жыл бұрын
Ipo siku.i remember having given up hope about my academics.a course that was to take 4 years ended up taking 8 years.Many challenges i encountered along the way including lack of school fees,supplementary exams and many more.but here I am I graduated last year from one of the best universities in Kenya.Indeed my God is alive He gave me hope after I had lost hope.Ipo siku ntabarikiwa
@marthajulia33102 жыл бұрын
Kweli ipo siku na imekaribia in Jesus name,,,,,hii ngoma ilinifanya kutofanya wat I was thinking,,,,, indeed commiting suicide but it encouraged me alot,,,,,,be blessed goodluck
@HappyHappiness-s8s27 күн бұрын
Mungu anaye soma hii comment yangu umpumzishe hio mizigo amechoka ata wew wajua ivo, mbarik naye 2025 ukue mwaka wake wa baraka kwake, mana ulisema mali na dhahabu ni kwako🙏🙏🙌🙌
@muliendani139626 күн бұрын
Amen
@RuphenceMachocho23 күн бұрын
Amen
@JoseCherekes19 күн бұрын
Amen 🙏
@Abeto-m3h17 күн бұрын
HAPPY NAWE UBARIKIWE SANA MWAKA 2025. MUNGU AKUTUNZE
@JoywaituKash-i4y7 күн бұрын
Amen amen ndugu na wewe ubarikiwe piya🙏
@maryayoti3998 Жыл бұрын
Ipo siku ntapata kazi nami pia nisaidie familia yangu na niwe ushuhuda, nimechoka kupitia shida, kukataliwa , IPO SIKU..Mungu naomba usongeze iwe karibu
@Hertha_Ambambi2 жыл бұрын
I don't understand swahili but I always go to Google to check the meaning, your songs have always blessed me on a deeper level. My family thinks I'm crazy but they have no idea I have searched the lyrics up and I understand them from start to finish... 2022 I'm still vibing to this song like it's new... It speaks to me and reminded me that God is not deaf and I must keep on praying ❤️🙏 Love from Namibia 🇳🇦
@mavoke53892 жыл бұрын
I lost hope in life but that song uplifts me
@Hertha_Ambambi2 жыл бұрын
@@mavoke5389 hold in there, love your life even if it's almost impossible to love it that way. Also go watch a sermon by Sarah Jakes Robert titled love your life here on KZbin you will love it
@fabientuyisenge1923 Жыл бұрын
Of yes my dear friend.this gospel music is full of teachings and I I can not find a weekend without listening to it.and Swahili is easy keep on yourself as well as possible you will speak it fruently.be blessed
@peteropiyo53 Жыл бұрын
Lord who did it ,I call him today to it for me
@e.k2222 Жыл бұрын
May God bless you abundantly beyond your imagination and expectation In Jesus Christ name!
@nancywanjiru92932 жыл бұрын
Lyrics Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai Maana ningeshakufaga Ni mengi nimeona Tena ya kuvunja moyo Labda ningeshamwacha Mungu Na Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama nimepitia ninazoea Maumivu ya kudharauliwa, umasikini kila siku, ninajipa moyo Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Ingawa kwa sasa wananisema vibaya, Nami sishangai - najua ni ya wanadamu hayo. Ingawa sipati na ni kwa muda mrefu Siachi kuomba; Mungu si kiziwi. Binadamu wema, ukiwa nacho Kwa sasa waniepuka sina rafiki wa dhati. Ooh Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea Maumivu ya kudharauliwa, umasikini Ni kila siku, ninajipa moyo Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Miaka imepita, unaombaga mtoto hupati Vuta subira maana Yeye hachelewi Ona biashara imeandamwa mikosi hupati Usimwache Mungu, waganga watakuponza Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna Msimwache Mungu - michepuko sio jibu Umeugua tumaini la kupona hakuna Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia. Najua Ayaya Najua ayaya Najua ayaya niko poa Najua Ayaya Najua ayaya Najua ayaya niko poa Misukosuko ya ndoa Mtoto anakusumbua Giza likiingia unawaza wapi utalala Masimango Mashemeji, ati huzai mtoto Masimango mama wa kambo, Umemchosha nyumbani Usiwaze usiumie, najua yote yatapita Siku imekaribia, najua yote yatapita (uba uba ubarikiwe) Nawe ubarikiwe, ubarikiwe Ah ubarikiwe ubarikiwe Nawe ubarikiwe ubarikiwe uba uba ubarikiwe Nawe ubarikiwe, ubarikiwe Ah ubarikiwe ubarikiwe Nawe ubarikiwe ubarikiwe uba uba ubarikiwe
@adelasilota2845 Жыл бұрын
Amen
@kkipkiruii Жыл бұрын
So do
@chebetjepkosgei Жыл бұрын
Thanks for the lyrics
@gladysjack1003 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@trigonometrie8383 Жыл бұрын
Amen
@joshuamwangangi58683 жыл бұрын
2021 still being blessed by this song.who else.wapi like zangu?
@philyskasaya73173 жыл бұрын
Nko hapa my favourite song I can testified the way I'm blessed,just believe in him God's time is the best
@Lebbzthadj3 жыл бұрын
@@philyskasaya7317 the support rt the the tyt ey yy
@sarahokoti7233 жыл бұрын
Am here with you
@salahkimali77573 жыл бұрын
Ipo siku yangu tu nibalikiwe
@elizamchomvu94023 жыл бұрын
@@Lebbzthadj .
@PamelaGatwiri-v5uАй бұрын
Bytha Gozbert anakuwanga na nyimbo tamu sana,nazipenda sana
@emtv96755 жыл бұрын
Kama bado unasikiliza huu wimbo mpka november hii gonga like twende sawa😍😍😍😍
@neemamussa36265 жыл бұрын
Mungu ni mungu tu
@blessedagen33284 жыл бұрын
Hello friends,, I have done a cover song that was originally done by Mtumishi Goodluck Gozbert,, it's called #SIMU ,, kindly check it out and leave a comment don't forget to subscribe,, thanks alot,, here is the link kzbin.info/www/bejne/e6HMqoqemJ56lcU
@bettynthembwa7604 жыл бұрын
I am a living testimony of what God can do... This song is a blessing, it reminds of me of the days that I was a laughing stock to many.. friends were too busy,others walked away indirectly... but my family stuck by me....Now, that God I am better, I chose to be a blessing to the same friends ... Nothing is permanent in this world.
@muthoni_joyce2 жыл бұрын
Forgiveness and Compassion are the most difficult, and it's where we are tested.
@maryayoti3998 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@maryayoti3998 Жыл бұрын
One day I will be a testimony 🙏🏽🙏🏽
@chebetwinnie1817 Жыл бұрын
@@maryayoti3998 àp
@margaretnjoroge99424 жыл бұрын
There's a time i went for an interview in Nairobi from Nakuru, at the interview, one of the panelist told me on my face, Margaret, this job is not for you! You have deamoniur for something else.. I cried my way back to Nakuru replaying this song for three hours till I arrived to Nakuru.😭😭😭😭😭 It gave me hope!
@alicekoli57654 жыл бұрын
😭😭😭
@pendokissatu9374 жыл бұрын
Receive another Job In Jesus name
@pendokissatu9374 жыл бұрын
Panelist Is Not God There Is Nice Place God want You To Be
@robinsonagwata6594 жыл бұрын
God is there for you dear. God is there for you.
@loisewanjirukaranja23054 жыл бұрын
What I mean dont give up mama
@Nancymwakoi6 ай бұрын
Tunawapenda sana kwa jina la yesu
@euniceatamba63093 жыл бұрын
Wanaodharau wenzao wanastahili kusikilzi huu wimbo kwa makini sana,pia wao watakuja barikiwa,may God bless you bro,uliimba wimbo poa sana
@dukestv5734 жыл бұрын
I have reached a point in life where I want to give up,,,am always having suicidal thoughts because nothing is working in my life....but when I heard this song in the matatu,,,I had to search for it....and now I know that IPO SIKU yangu inakuja when everything will be fine... This song has made me change my mind and now am doing good and pray to God for Guidance... GOD HEAR MY PRAYERS..🙏🙏😭😭😭
@beverlynejoyce17293 жыл бұрын
He is a God who never fail,, stand still
@lydiahnafuna83203 жыл бұрын
Please don't give up ipo siku yako nawe utabarikiwa🙏🙏🙏
@yuvinalismomanyi2563 жыл бұрын
Hi how are you doing, I hope all is well with you
@penninahkiboi32733 жыл бұрын
It is well
@christinenduku54753 жыл бұрын
Hold on there...better days are coming
@magdalenew.mwanyota590111 ай бұрын
Nikiskiza nyimbo zako walai mwili wa sisimuka waaaaaah zikona furaha na uponaji ubarikiwe sana my brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤ipo siku yangu tu nami ni barikiwe ewe mola nibariki ni jengeee mzazi wangu japo kuwa sina huyo mwengine ila mola yuko kunitetea ,mama nakupenda sana mola ailaze roho yako mahali pema peponi 😢😢😢😢😢amin
@tosh4802 жыл бұрын
Ipo siku yangu nami nitabarikiwa
@timolineodhiambo4544 жыл бұрын
Hii nguvu ya kudislike song za watu wengine hutoa wapi....my favourite song ❣❣❣❣❣🔥🔥
@RobinsonMukanzi9 ай бұрын
2024 najua huu n mwaka wangu nibarike
@chiefsareto4 жыл бұрын
I listen to this song daily I get encouraged I get motivated It keeps me going
@danielaudax675510 ай бұрын
IPO siku yangu tu mungu ndo anajua
@waltermotito73642 жыл бұрын
I gave my son the name Goodluck because this man called so is a God fearing man,God continue staying by your side
@newme7766 Жыл бұрын
God has done me well. I didn't have a job and God gave me one. I was raised ranks and now I'm working in my Boss's office. Trust in God mu brethren. I'm listening this song while at work.
@marymbugua51510 ай бұрын
Blessed be to God Almighty.He Does Everything in His Own Time
@khametephyllice9003 Жыл бұрын
Am listening to this song trusting in God for a job. I am an English and Literature teacher but I have never been employed since I graduated...
@koonfybeats Жыл бұрын
Usijali and Know that God may use you in a different way not necessarily to be a teacher but you need to repent all your sins even getting angry even jealousy and all small sins that's when everything starts flowing like you're a new person
@khametephyllice9003 Жыл бұрын
@@koonfybeats thank you
@koonfybeats Жыл бұрын
@@khametephyllice9003no thank you for listening
@koonfybeats Жыл бұрын
@@khametephyllice9003 God bless you sister ❤️
@kenya820110 ай бұрын
@@khametephyllice9003 May God see you through. May you receive more than you request...... be blessed
@kitambalazadock70782 жыл бұрын
Asante kutubariki ,mungu ni mwema atatenda
@tatiananjuguna5739 Жыл бұрын
I used to listen to this song every morning when going for morning church service.....after seeing peoples testimonies ... I week didn't pass God answered my prayer I know have a job ...and more glory to God.Dont give up just kneel down and believe
@vivianachieng89988 жыл бұрын
"maumivu ya kudharau umaskini" ipo siku yangu nami nibarikiwe. Amen !!! to God be the Glory.
@zubeda22f386 жыл бұрын
Kaka Npenda nyimbo Zko Sana
@ashaathuman14725 жыл бұрын
Mungu akubariki wimbo umenitia moyo Sana kwa changamoto ninazopitia
@mbelunln8 жыл бұрын
Hakika ipo siku yangu ukiweka imani kwa Mungu unabarikiwa...Yasiyowezekana kwa binadamu kwa Mungu yanawezekana.
@mbelunln6 жыл бұрын
Mwaka mmoja baadaye, Mwenyezi-Mungu amenitendea karama kadiri ya mapenzi yake nimeshinda mengi yaliyokuwa kikwazo. Kamwe usiruhusu kukata tamaa. Mungu hashindwi. UBARIKIWE.
@Nicholasmuturi-k6w11 ай бұрын
Hii song naipenda sana juu huwa inanipa moyo sana wakati nikona shinda
@herrysenga71418 жыл бұрын
huu wimbo umetugusa wengi maumivu ya kudharauliwa umaskini unaumiza ila mungu ni mwema kaka azidi kukupa maono
@jafetgasper87088 жыл бұрын
aayyyy
@directorbask8 жыл бұрын
nc song
@katogration49907 жыл бұрын
Kato KTV Tz.ninaipenda
@katogration49907 жыл бұрын
Boniphas Kasyupa IPO SKU tu
@emeldahmwangi97547 жыл бұрын
Herry Senga kabisa
@aidenindimuli28635 жыл бұрын
Anyone still watching this amazing jam in 2019 pita na like please
@suahcocothegreat51835 жыл бұрын
What does this mean please?
@godwinangweye26825 жыл бұрын
Lord is God of wonders......hence he altar blessing any time ........provarbs 10..22
@mkuliamtata86575 жыл бұрын
Aiden Indimuli san
@mcfrontier43685 жыл бұрын
Aiden Indimuli w
@Zzawadi2k5 жыл бұрын
i love this it is cool
@josephdaniel6278 жыл бұрын
niliposikiliza hii nyimbo mara ya kwanza machozi yalinotoka na nikaamini kuwa ipo siku kwel na sitokata tamaa kwa chochote@G.gozbert kazi nzuri na Mungu akubariki Sanaa your song restored the hope that was lost once
@blessedthankful1936 жыл бұрын
JOSEPH DANIEL all the best.
@FailaKisubi-h3l7 күн бұрын
AMEN, NIMEBARIkiWA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉NAPENDA sana KURUDIYA uhU NYIMBO UNANIPAGa. NGUVU,AMEN 2025 ,Jan,5. -Saa 00:00 Majira ya Sweden. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hinakhan35622 жыл бұрын
Sijawai choka na hii wimbo,nikikubuka mahali mungu amanitoa🙏
@tinatina34405 жыл бұрын
IPO SIKU YANGU NA WEWE MPENDWA! TUTABARIKIWA HADI TUSHANGAE! ACHA TUMWAMINI MUNGU🙏💞❤️
@erikakisanga49428 жыл бұрын
huo wimbo kaka umenikumbusha sn ktk maisha yngu
@vivianochieng8793 Жыл бұрын
Jehovah remember me, remember your child Vivian
@Mwangi4902 жыл бұрын
I started listening to this song in the year 2019 while admitted to hospital fighting for our lives..i and my new born.Everything seemed crashing..i thank God for bringing us this far,a freind who sticks closer than a brother.I know God holds my destiny.Here i am 2022 and counting.Dont ever loose hope coz all battles belongs to God.
@allankimaro43272 жыл бұрын
I pass through tough times in my education but this song gives me inspiration to move forward despite challenges.
@samwelnyachoti2 жыл бұрын
Halleluya God`s intervention is reigning.
@patriciamukopi7585 Жыл бұрын
Amen we shall overcome this 🥺🙏
@fetlisheshenry25108 жыл бұрын
hongera kaka uko vizuri naamini mungu atakubaliki utafanikiwa zaid ya hapo ulipofikia ameen
@JennieNdanu6 сағат бұрын
Here in 2025 listening to this encouraging song
@akinyiteckler38646 жыл бұрын
Nina Imani sana..Ipo siku yangu nami nibarikiwe👏👏👏
@babuujoshua70725 жыл бұрын
Nina imani ipo siku yangu nami nitabarikiwa tu
@lyontheblessed82005 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nqaQpJhubq14n6s
@juliethechefbwoy64344 жыл бұрын
God has time for you trust him oneday you will blessed amen for all
@FRANSKALITUSI49374 жыл бұрын
Kwel kzbin.info/www/bejne/mn26n3api8isd6M
@KasB2548 жыл бұрын
walio deslike hii song mnatakaga aje??nyimbo nzuri ujumbe nmeupokea..kaza buti kaka uko poa tu sana
@shirozbeibegalwanjiru8887 жыл бұрын
Amen ipo siku
@Mabalozimelodies6 жыл бұрын
Haters....... Meant to push to the next level
@davidigweta67375 жыл бұрын
Unless wanavuta bang nkt
@virginiakioko89585 жыл бұрын
@@davidigweta6737 l
@Mitchy_Michelle2 жыл бұрын
For no weapon formed against me my family or my husband shall prosper Amen.🙏🏼🙏🏼🙌
@samwelnyachoti2 жыл бұрын
Amen!!☺
@metrinenyakoe17642 ай бұрын
Namii ninaamini ipo siku pia nitabarikiwa na ndoa in Jesus name 🙌 💖
@Ravig254729 ай бұрын
Mimi Leo tulikuwa na sister na mother ya boss wangu kwa supermarket wa kanunua nguo za pesa nyingi😮,,,,, lakini mm kuzunguka kwa mall Zima cjapata nguo ya pesa zangu Hadi bra 😢 so ii wimbo dyo imekuja kwa mind😔 ipo siku na ctatoka ivo kwa mall😢 namini Kuna Mungu🙏🙏🙏
@denisthiongo54772 жыл бұрын
Going through hell Betrayal, despised, killed alive but this one gives me hope...
@lizahmakena4505 Жыл бұрын
May God grant you peace and restoration more than you can ask , think or imagine!
@mr.s533 Жыл бұрын
Hold on brother💪
@joyceshapil61675 жыл бұрын
Najua IPO Siku yangu tu nitabarikiwa with a good husband I have tried several relationships BT have not worked, ooooh lord remember me!!!
@suahcoco96855 жыл бұрын
Pray nd wait, when the time is right, He will bring your husband. Don't try to find him, you'll get Satan's agents
@effylrobert4 жыл бұрын
Having the same prayer too
@patiencengendo6650 Жыл бұрын
Ipo siku yangu Asanti Mungu
@elizabethnjuguna38912 жыл бұрын
I know my day of healing and overcoming this sickness is COMING!!! Siku yangu yakupona inakuja..I know I serve Jehovah Rapha!!!
@shikufm96902 жыл бұрын
We speak healing in Jesus mighty name 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@lizahmakena4505 Жыл бұрын
Receive a miracle in Jesus name🙏
@hildawangui47005 жыл бұрын
I had lost hope in life to the extent of wanting to kill my self but when I heard this song in my neighbor s house ,I cried deeply and came back to my senses ,I know my day is coming ,amen
@esperancenahimana705 жыл бұрын
Amen.
@florencebiko14314 жыл бұрын
Amen, God is the Alpha and Omega, just trust in Him
@Connie_Mwenda4 жыл бұрын
You day is coming...the Lord has heard you
@lucynjoki43854 жыл бұрын
Keeps hope to jesus and every thing
@nancymande81524 жыл бұрын
I hope all is well now and your situation changed..
@bettynkabili66833 жыл бұрын
I believe that during time of Easter...kupitia Kwa resurrection of Christ that a miracle will happen to me in 3days...it's my time i pray for the fruit of womb and my marriage to be peaceful..I will come back with a testimony bless me Lord
@harunmordecai91607 күн бұрын
Mungu tuh aniskie anisaidie nmalize shule na nifanikiwe zaidi 😭nanikaweze kuwasaidia wazazi wangu ,, niwajengee it's 25 years and my mother has been a casual labourer ohh God 😭😭nifikishie hii siku nakuomba😭😭
@astinahgerrion53118 жыл бұрын
Nmejazwa na matumaini baada ya kusikiliza wimbo huu
@dicksonkatabazi78898 жыл бұрын
Am Mutalemwa from UGANDA daaa the song was so much good,therefore we Christian we need to change,coz ni kwa neema na rehema zake mungu tumebarikiwa.THANKS GOD...................
@gerardost85597 жыл бұрын
we are together all ma friends goodnight
@shikunat29745 жыл бұрын
This song makes me cry especially when he got food on the street..the way he is eating it not knowing of when he will get the next meal..it's soo real.but ipo siku yangu tu nami nibarikiwe..❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jayezzam81593 жыл бұрын
Aki
@jamesagutu4372 жыл бұрын
@@jayezzam8159 wow
@perisnduta17472 жыл бұрын
Ipo siku ninaamini Nitabarikiwa🙏
@brownbryson92938 жыл бұрын
ase katika wa2 wanaoimba wewe unaongoza all the youth appreciate your songs keep it up Mr Godluck
@sharrydave666 жыл бұрын
Going through job related frustrations but when I listen to this song I feel its better for me to be patient and wait upon the lord.Good song bro!!! Uplifting a spirit every morning.
@hellenjohnson79208 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwani moyo wangu ulifikia hatua ya kukata tamaa ila kupitia wimbo huu umenipa matumaini makubwa sana na kunipa mwangaza wa namna gani nitaanza tena upya maisha yangu mpaka kufanikiwa bila kukata tamaa.Ubarikiwe sana
@rebecajuma28495 жыл бұрын
Ubariwe mpendwa
@j.jkitchens17978 ай бұрын
Soon I will come here with testimonies❤❤❤❤❤God is in control