Barikiwaaaaa Sana Sana Sana Oppa Mamaa ang ukitaka ugomvi nae badirilisha nyimbo anapenda nyimbo zako Sana Sana Sana inapashwa nimtafutie album mzima aiseee
@wilsonkiunsi70697 жыл бұрын
uko vizuri Mtumishi!!! MUNGU akutie nguvu sana!!! nabarikiwa na nyimbo zako
@doreenreborn76567 жыл бұрын
Goodluck Gozbert ubarikiwe zaidi. Nimevuta nafsi yangu karibu na mungu kupitia nyimbo zako.love from +254
@eitphyhhe10497 жыл бұрын
Goodluck Gozbert 一
@itsyrihmoh4 ай бұрын
I just landed a job I thank God after months of being jobless 😭😭 glory and honor back to him☺️😍 September 31st 2024 A day to remember
@elidesmampshangoko80313 күн бұрын
Asante kwa nyimbo iyi, mungu akubariki sana Kaka, na udumu ndani yake yesu
@phaustineokitwi70432 ай бұрын
Nani mwingine anasikiliza 2024 🇰🇪🇰🇪 from busia Kenya 🇰🇪
@quinnkoi221Ай бұрын
I'm kenyan in los angeles, love this song,praise God
@phaustineokitwi7043Ай бұрын
@@quinnkoi221 amen
@happinessshirima32793 жыл бұрын
Nakushukuru Mungu sababu ya mengi ata uhai huu sikiustahili
@SerahngangaSerahnganga7 ай бұрын
Niko hapa tena baba yangu pokea shukurani zangu mimi mtoto wako ntakuishia..maishani mwangu...mungu wa wokovu wangu❤❤❤❤🎉🎉🎉1june 2024...lord I thank you for everything I do thank father...God you are my life, bless me to live my life with holiness 🙏🙏🙏
@kaniyahiouise14745 жыл бұрын
*Nani mwengine hua akitaka kumshukuru mungu hua ana tanguliza kuskiliza huu wimbo?* *Shukurani zetu ni kwako mungu* *Kama una Soma comments hii mungu akuzidishie maisha marefu hapa dunuani*
@obedashivila24684 жыл бұрын
Baraka jamani @louise
@maiterjay4403 жыл бұрын
L.p.
@maumorajames29043 жыл бұрын
ameeeen
@PendaeliPaulLaizer10 ай бұрын
uko vizuri kweli
@kilimaone36324 ай бұрын
Am here
@bettymithika2584 Жыл бұрын
Aibu umefuta,fedheha umefuta,umenipa amani iliyo ya kweli,nakumbuka nalia mimi ndio yule ambaye,nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari,kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea.....huu ni ushuhuda wangu kweli alikonitoa Mungu ni siri ya moyo wangu.Ahsante Baba kwa wema wako kwangu,nikulipe na nini Jehovah??
@ssmfettiАй бұрын
‼️LYRICS Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili (I thank the Lord cause of a lot, even this life which I don't deserve) Nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha (I thank Lord a lot again, even when I pray you know what I mean) Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini (It is not as I performed moral act compared to your goodness act, Lord how could I pay) Ulikonitoa ni siri ya moyo wangu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu (Where you get me, is secret of my heart, from the mud to VIP) Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba (You gave me respect and wipe my tears, thank God) Hata shukurani zangu ni kwako (My gratitude to you) Shukrani zangu ni kwako (My gratitude to you) Na shukurani zangu ni kwako (My gratitude to you) Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh (My gratitude to you, thanks ooh Lord) Aibu umefuta fedheha umefuta (You’ve wiped away my shame and dishonor) Umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae (U've given me real peace once I remember I cry because this is me that) Nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea (Was once insulted and looked down upon and they said I was done with there was a time in which I was dead and also became the walking dead) Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho Ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba Ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba Hata shukurani zangu ni kwako (My gratitude to you) Shukrani zangu ni kwako (My gratitude to you) Na shukurani zangu ni kwako (My gratitude to you) Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh (My gratitude to you, thanks ooh Lord) Kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri Kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante Baba) Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante Baba) Ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani Ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani Furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu Furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu Na shukurani zangu Na shukurani zangu Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele .. x 8 (16)
@mercyosoro59789 ай бұрын
This song refers to me and my dad and siblings there's a time that reaches we be down totally financially upto a point of giving up but HE our Almighty stands up for us I thank God for that am greatful 🙏🙏🙏
@monicarowlin8976 жыл бұрын
kila ninapoimba huu wimbo nakumbuka mapito mengi niliyopitishwa Mungu utabaki kuwa Mungu asante kwa wimbo mzuri Mungu aendelee kuiinua karama yk ya uwimbaji
@winfredkalekye30934 жыл бұрын
Amen
@shynahesther591821 күн бұрын
Alikonitoa Mungu hakuna mwanadamu anaweza amini. Uhimidiwe Eee Mwenyezi Mungu Baba yangu wa kuaminiwa, kutegemewa, wa upendo na neema zisizo na ukomo. Ulizijua tabia zetu binadamu ndiyo maana ukaamua kubaki na funguo za riziki zetu peke yako, nawe humpa kila mtu kwa wakati unaofaa. Asante Mungu
@Isackmanyonyi Жыл бұрын
Yani hii nyimbo sito hisahau maana nimepitia magumu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NessySarah Жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 wewe ni MUNGU mwenye uruma, na upendo, na uwezo mukubwa. Uuwimbo naupenda sana kbs. Mungu Wangu Sina byakukupa lakini nakushukuru kwa yote unayo nitendeya, ndiyo najuwa wakati huu ni nayo pitia ni vigumu sana. Lakini najuwa tena utanifuraisha na utanikumbuka tena na utanivuta Machozi yote ambao na Liya kwa wakati huu. Asante MUNGU WANGU 🙏🏽🙏🏽🙏🏽. ZABURI 35 pigana nawanao pigana Nami baba, uniteteye tena baba.
@MamuAbdallah-x4t3 күн бұрын
Shukurani zangu ni kwako YESU, umefuta aibu, fedhea eeee Mungu bado Nina Imani na wewe.... Happy new year everyone❤❤❤❤2025 ukawe mwenye ushuhuda
@Carol-n5w3 күн бұрын
❤❤
@hafifabahfif38807 жыл бұрын
Am muslim,lakini huu wimbo nimeupenda,unaujumbe mzuri kwa watu wa imani zote.Bless you Gozbert
@tumainipaul70167 жыл бұрын
kweli kabisa ujumbe mzuri sana
@atuganilemsyani26527 жыл бұрын
kweli
@dilgentmmbaga85167 жыл бұрын
Yesu anakupenda hafifa, mpokee yeye, atakusamehe nawe utaupata uzima wa milele na kuishi maisha ya ushindi. Barikiwa!
@alexsayuni47316 жыл бұрын
Thankx
@reginangogo37356 жыл бұрын
MUNGU pekee wa kushukuliwa inanibariki sana
@HerFathersDaughter19447 ай бұрын
If you pass here in In August 2024 onwards plz leave a like so I can be coming back to listen to this because weeuh, God has been Faithful
@estherkyambikiamba14683 ай бұрын
Come back please
@estherjevu35283 жыл бұрын
Sio kama eti nilitenda wema Ulikonitoa ni siri ya moyo wangu. Aibu umevuta,fedhea umevuta umenipa amani iliyo ya kweli Shukurani zangu nikwako baba Thank you Lord ,am 🙌
@vickdimpolesnewshub4 жыл бұрын
I still listen to this 2021 song because good music never die
@muragizinourah10424 жыл бұрын
Me 2
@dorcyjohnson54314 жыл бұрын
Nipo 2021 namsikiliza mubashara leo tar 25january 😄😄😄🤗🤗🤗
@malekihanan95083 жыл бұрын
I love this song🙏
@kinyagakii70553 жыл бұрын
Me too
@rachaelkazimili40923 жыл бұрын
Me at february 28 on 2021
@mariahamante96123 жыл бұрын
Huu wimbo nimeupata mwezi huu lakini naupenda. Nausikia karibu mara hamsini kwa siku. Nimeushika wote, nauimba hata usingizini. Nimeipata wakati tu nauhitaji. Goodluck napenda nyimbo zako. Mungu akuinue na ubarikiwe sana
@GfddGgft-kq9ym8 ай бұрын
Mungu ni mwema
@Mitchy_Michelle2 жыл бұрын
Nashukuru mola wangu🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ambasadabernard4 жыл бұрын
Am upcoming gospel artist from Kenya.This song really inspired my first song and it's already on KZbin. Thanks a lot.
@asiahmariam39426 жыл бұрын
Mi ni Muslim ila wimbo huyu una ujumbe mzuri mno huwa nafarijika mno nikiangalia video niwengi tulikuwa tumesha kata tama ila mungu leo katubadilishia maisha walokuwa wanatuzarau imefika kipindi wakituona wanafichama hongera sana baba yangu mungu azidi kukuongoza katika kazi zako
@simonhanno81936 жыл бұрын
Asiah Mariam, Aksante kwa kukubali kazi nzuri ya Goodluck, Nakusihi ukate shauri ya kumkiri Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yako, Kwani alisema kila atakayenikiri atapata wokovu na uzima wa milele, Mungu akutangulie.
@asiahmariam39426 жыл бұрын
@@simonhanno8193 Apana mi namjuwa yesu sana kama nabii wa Allah ninamkubali sn
@ibrahimlabia27116 жыл бұрын
Asiah Mariam Ya ni kweli
@ibrahimlabia27116 жыл бұрын
SImon Hanno na kwa matendo pia
@ibrahimlabia27116 жыл бұрын
Asiah Mariam tatizo watu wanakaririshwa
@samuelkamotho74622 жыл бұрын
God you've been very faithful to me ,,,, bakarikiwa Sana mchugaji Kwa nyibo zako ninatufariji Roho zetu,,🙏🙏🙏
@yasminamisi22136 жыл бұрын
Oooh dear Almighty GOD thanks for everything. Mahali umenitoa mpaka mahali nitafikia upo nami.
@siyamunadhir36695 жыл бұрын
I'ma a Muslim but I love this song inaujumbe nzuri sana shukrn good luck ❤️
@winnieedson69373 жыл бұрын
❤❤❤❤
@chefjaji42253 жыл бұрын
💞💞💞
@azizambwana65103 жыл бұрын
Sana
@kibalibeth97173 жыл бұрын
Yes.....our lord Jesus has done great....Thank you our God
@juliennejulienne51313 жыл бұрын
Me too
@Lucyiminza2 ай бұрын
Mungu wangu 😢 shukran zangu n kwako , umenifuta machozi 😢 but now I can smile again thank you Jesus
@reymos87 жыл бұрын
Huu wimbo ni ombi, Mungu akubark sana na azidi kukutumia Goodluck
@mzikiwatanzaniayetu21777 жыл бұрын
Humph Rey
@velonikastefano99407 жыл бұрын
ubarakiwe sana nafalijika na Wimbo wako mzuri
@salhahemedy42297 жыл бұрын
sina la kusema ila acha niungane na ww 2shukuru wote maana 2kilist aliyoyafanya mungu kwenye maisha yetu hatuwez maliza, kuna kipind nilikua kama mfu lakin Leo god make me alive, shukuran zangu nikwa mungu alie juu mbinguni, umeruhusu tabasam kwangu ushukuriwe mungu,
@berylomondi98446 жыл бұрын
Nice song indeed
@joycefulahayabwana67566 жыл бұрын
Sijui niseme nini mungu anavyo nishidia kikubwa shukulan ubalikiwe pia kk
@fatmasalim72706 жыл бұрын
Thank my God
@martinkamara41602 жыл бұрын
Hii wimbo ina wezekana uliimba kwaajili yangu, Mungu aku bariki n'a kukupa nguvu katika neno lake, uendeleye zaidi
@esterjacob96497 жыл бұрын
Ninakushukuru Mungu sababu ya Mengi,,,nashukuru Mungu tena sababu ya uhai hata nikisali unajua namaanisha nn,,,,,thanks allmighting God,,,,nothing to pay for u dady,,,,,,,receive my thanks dady,,,,,,,,,be blessed Gudluck Gozbert ua blessed man
@michaelsinyinza17876 жыл бұрын
Thanks good luck for is songs God bless you
@tanzaniangirl19806 жыл бұрын
nikupe nn mungu wangu.Nikulipe nn mungu wangu.Asante baba Asante Mungu wangu Maana ww pekee wajua jehova nitie nguvu mungu wangu.Asante baba maana shukuruni zangu ni kwako❤❤❤❤❤
@ciaambrose70196 жыл бұрын
Nakupenda Sana nyimbo zako zimanisha 😍😍😍
@LibuMika18 күн бұрын
Nikufana nisha nanani baba wangu
@KhadijaJacob6 ай бұрын
Ninaujauzito unanisumbua lkn napaswa kumshukuru Mungu kwa kila hatua nayoipitia kwa mema na mabaya! Naamini nitajifungua salama kwa jina la Yesu! 😢 Barikiwa kaka kwa huo wimbo
@MwanamkuuMumbe7 ай бұрын
❤ Mimi ni muislamu Ila nyimbo zako zote 3:14
@karinjuma31657 жыл бұрын
Si mimi tu ni kila atayesikiliza atabarikiwa na kufarijika kwa maneno ya wimbo huu mungu akubariki xn goodluck
@nasmarasheed88577 жыл бұрын
fact
@tinapeter7547 жыл бұрын
amen
@joycebwiri19227 жыл бұрын
kweli kabisa, wakushukuliwa ni mungu pekee! nimebarikiwa sana barikiwa!!!!!
@sweetthomas16407 жыл бұрын
Jamani wimbo Umenifanya nipone yaani uwiiiiiiiiiiiii wimbo mtamu hatari Mungu akubariki goodluck Nimebaki nasikiliza kila saa
@neemaxmamaneemaman88717 жыл бұрын
Yani si wimbo tuu ni ombi
@allysalim70505 ай бұрын
Kila nikisikiliza huu wimbo na kukumbuka nilipotoka natokwa na machozi. Asante sana Mungu🙏🙏.
@esthermuhoho9027 жыл бұрын
Nakushukuru Mungu kwa yote, sijafa naendelea kuyasimulia matendo yako makuu. respect Mr Goodluck
@lilywei79493 жыл бұрын
Shukurani zangu natoa kwa mungu wangu asante bwana wewe ni mkuu milele
@happygibson6294 жыл бұрын
Naupenda Sana huu wimbo wa shukrani, ubarikiwe mtumishi
@FaithTV-r8e9 ай бұрын
NANI YUKO HAPA SAIVI LEO LEO KWANZA❤❤❤
@HawaHamissiMnyika5 ай бұрын
Tupoo wengi apa
@stellahndanu15274 жыл бұрын
Watching on 1st January 2021... Asante Baba for ur blessings, 2020 was a tough year but we made it..shukurani ni kwako Mungu wetu.
@rechomgen81574 жыл бұрын
Amen
@lilianmesi77211 ай бұрын
AFTER SIX YEARS OF SHAME AND TEARS...ACHAA TUUU NIKUSHUKURU MUNGU WANGU😢😢😢NI SIRI YA MOYO WANGU .UMENIPA HESHIMA NA KUNIVUTA MACHOZI😢😢...I BLESS YOUR HOLY NAME
@miriamdavis22737 жыл бұрын
kweli Tunayo sababu ya kushuru tunayo mengi ya kusema asante Mungu,hongera sana kaka Mungu akakukumbuke zaidi usichoke
@nduguabisai2 жыл бұрын
Every morning before she died, my late wife and I would play this song with other two. 2 years on this month, I listen to it on repeat almost daily.
@dolphinokwena4122 жыл бұрын
Take heart dear🥰🥰I know she is in a better place 🙏
@berylkush2 жыл бұрын
One day you will reunite to part no more
@dammynaizer2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/p32rgIygebh3fpY
@linahvidelis11802 жыл бұрын
Sorry,,,be encouraged in Jesus
@conniesoita9635 Жыл бұрын
Sorry Ndugu,huwa unatuchekesha kwa "podcast with no name " kumbe you have a sad story inside..
@furahavunoka45214 жыл бұрын
Ninakushukuru mungu sababu ya mengi hata uhai huu sikustahili😭😭 ninakushuku mungu tena sababu ya vingi hâta nikiaw Nasali unajua na manisha nini. Shukurani za ngu ni kako mungu wangu.
@heavensent25267 жыл бұрын
Kitu ambacho kina kufanya Mungu azidi kukupandisha juu ni moyo wako wakujishusha mbele za watu,, mwisho ni Mungu auna kiburi cha uzima, wala cha mafanikio,, nimekua nikifuatilia interview zako,, napendaga namna unavyojibu maswali, kujieleeza kwa hekima,, Mungu azidi kukutangulia kwa kwl,, fanya kazi ukijua kuwa wapo wanaokupenda na kukuombea sana,,best of luck my brother
@carolinagaspern42185 жыл бұрын
wimbo umenigusa cn yan naxhindw ongea
@gladymawa26667 жыл бұрын
kwakwel sichoki kusikiliza wimbo wako...unanifariji sana Mungu akubariki sana mtumishi@godluck
@festohaule11952 жыл бұрын
VERSE YA KWANZA ningekuwa SHUJAA MAJALIWA Nngekuwa nasikiliza mda wote mana inaendana na maisha ya huyo MAJALIWA Alivopita ad kuwa juu
@lilianboimanda74437 жыл бұрын
wimbooo Mzuri sanaaa yaani Ujumbe umenigusaaaa sanaaa sina cha kuongea zaidi ya shukrani kwa Mungu nilikuwa mifupa mikavu
@mwondosha7 жыл бұрын
Mungu akubariki,wimbo huo una funzo na upako hakika.
@deborahmshana61447 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi.nimebarikiwa
@DaughterofaKing202757 жыл бұрын
Goodluck GozbertVevo I love this song.I only understand it little bite God be the glory.
@annitapraise86737 жыл бұрын
Goodluck GozbertVevo God bless u for the great work u r doing, great song there
@nashoshotz37097 жыл бұрын
amen its my fav so far ....jaman mungu akubariki zaidi na zaidi
@kennedyomondi11644 жыл бұрын
This songs gives me so much hope for the coming days. Lord am really grateful for everything that you have done and all that you plan to do in my life. Bless our lands and heal your people. Amen
@GloryMakundi-z1bАй бұрын
🎉mungu pokea shukuran zangu Kwan uliyonitendea sina chan kukulipa mungu wangu nlikua maiti inayotembea ukanipa uhai muumba wangu pokea Shukran baba
@Merveille.Ansiima4 жыл бұрын
When I start to Thank our Papa God, I won’t be able to finish because he has done a lot of things in my life. I will never leave u my God. God bless u brother for this wonderful blessing song 🙏🙏🙏
@kevinjemvlogs93805 жыл бұрын
😭😭😭ile nyimbo inasema megi kwangu nilipenda niyi imbe ili kila mtu asikiye ile unjumbe Thanks 🙏 goodluck mungu aliku ongoza.
@EvaUlomi Жыл бұрын
Amen mtumishi kwa huduma hii ya uimbaji imenigusa na kunipa nguvu ya maombi yanye bidii ya kumtukuza MUNGU zaidi na zaidi 🙏🏼🙏🏼
@joycengala58935 жыл бұрын
Your songs are a big blessing to me,I was born with sickle cell anemia n it reached a point I thought it was my end,but God reminded me that there's nothing He cannot do...am really a living testimony n listening to this song makes me wanna say Shukurani zangu to God every single minute
@judithmuendi75662 жыл бұрын
Mjjjjjjuuyyyyyttrellllpll a good time
@babadede5035 Жыл бұрын
Amen ❤❤
@cynthiambesa4350 Жыл бұрын
AMEN
@mimayasri78186 жыл бұрын
Mimi muislam but naipenda sana hii nyimbo inanikumbusha mengi tunayoyapitia mungu akubaliki huendelee kukusimamia 👏👏 katika kazi zako inshallah
@asteriasaimon91355 жыл бұрын
Ubarikiwe
@dr.gideonsumaye59853 жыл бұрын
My Brother Nc Song bt nimeview 2021 Utukufu kwa Mungu Wetu...Ningefrh Kama ningeweza kuwasiliana na wewe Brother..
@byronomondi37425 жыл бұрын
This song is so emotional.My tears are always dropping when listening to this song.Shukurani zangu zote ni kwake aliye juu Mbiguni.Goodluck Gozbert may GOD bless you.
@tinahzawadi98542 жыл бұрын
My God brought me out of a mental hospital, I am an MDD warrior and each time the lights deem he makes them brighter for me, asante Baba ❤️ Thank you for loving me Yahweh
@lizahmakena4505 Жыл бұрын
He loves you so much! More blessings 🙏
@ev.johnkayofficial3 ай бұрын
Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho😢😢😢
@mashm72 жыл бұрын
This song blesses me heavily, Goodluck, endelea kumtukuza Mungu kwa moyo huo huo.. This is a deep worship song sung in spirit and in truth.
@nuruanamwita87006 жыл бұрын
Mungu akushindie majaribu ya sheteni ubarikiwe na Bwana.
@MiriamJohn-i5f17 күн бұрын
Nilivokuwa naumwa nilisikiliza huu wimbo siku ya kwanza ambayo ni jumatano alhamisi nilipona na nikatolewa drip niliondoka sallama❤❤❤🙏🙏🙏
@phynaa.2865 Жыл бұрын
I just came back here to say , thank you Lord . You have restored me
@PoulajoyIssa-kl6nj7 ай бұрын
nitawacha hii comment hapa ili mtu anapo like hii comment narudi kuiskiza wimbo huu
@IssaThomas-q2u5 ай бұрын
Saw🎉🎉
@JoyceMufungizi22 күн бұрын
Nime barikiwa kabisa
@swabrinnahally87472 жыл бұрын
My story i can't stop crying wen i listen to this song..Thanks Mungu Akubariki 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@dorcasdominic98807 жыл бұрын
incredible one it touches souls .....ni wimbo unaogusa sana maisha
@lyontheblessed82005 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nqaQpJhubq14n6s
@chazkoillah26525 жыл бұрын
Dah nyimbo nzuri kwel jamaa nlijua mkenya hongera Gozbeth pia moyo mashine Ben poul is your s uko vizur
@beckyboke546 Жыл бұрын
Uhai huu sikustahili lakini Mungu umeruhusu niwe nao. Kama kusoma tumesoma wengi ila umeruhusu nipate kazi. My God there is nothing you cannot do. Ninashukuru Mungu kwa wema wako kwangu na familia yangu.
@amaraacts5 жыл бұрын
Story Of My Life... Can't Hold My Tears!!! Thank you Lord. Great content
@valentinekomba98354 жыл бұрын
A
@OfficialJUMA-4 жыл бұрын
Ok
@edinajustin74164 жыл бұрын
@@valentinekomba9835 amena
@salomeongare55693 жыл бұрын
My story too, cant hold back my tears and am always grateful to God for this far
@zakskishuke77077 жыл бұрын
Goodluck Gozbert , great work your doing , may God bless you more ,nyimbo zako hunibariki sana, i hope iko siku tutakutana tu , karibu mombasa kenya, nikijaliwa kutembea huko tz nitakutafuta , more grace to you brother.
@elizabethwilliam79596 жыл бұрын
Xo kam nimetenda wema Bali neema ya mungu2,.elz jw . mziray
@annahashim49595 жыл бұрын
Nampend sana
@chamblainreuben74313 жыл бұрын
Kalibu sn
@paskalwilfred16455 жыл бұрын
Congratulations Good luck nyimbo nzuri kwel imenigusa sana Amina
@brendanyukuri40004 жыл бұрын
Shukurani Lyrics  Shukurani Shukurani NA Shukurani Song Lyrics Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini ulikonitoa ni siri ya moyo matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba Hata shukurani zangu ni kwako shukrani zangu ni kwako na shukurani zangu ni kwako shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh aibu umefuta fedheha umefuta umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba
@faithrachel76964 жыл бұрын
Brenda Nyukuri thanks
@jackie29772 жыл бұрын
Ni mungu tu anaejua aliko nitoa, Thank you God 🙏🏼
@BarakaSanane6 жыл бұрын
ubarikiwe kwa nyimbo hz nzuri MUNGU ni mwema
@maggymasindet46862 жыл бұрын
I love the Lord and I love you son listening to ur songs gives peace remembering this far the Lord has brought me nd my son I feel so blessed. 😭😭.May the Lord take ur far then this. Be blessed always. 🙏❤️
@sarahnambuva31533 жыл бұрын
Watching after seeing you being awarded a Benz na nabii..Mungu ni mwema and joy comes in the morning!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@collo__54557 жыл бұрын
We all have to agree that Goodluck is the best thing in the gospel industry right now.Bless you Gozbert.
@esterjacobo16016 жыл бұрын
COLLINS MUTUNKEI penda sana nyimbo zako kaka
@botabota88726 жыл бұрын
COLLINS MUTUNKEI
@saluvadosamweli5676 жыл бұрын
COLLINS MUTUNKEI honger kaka
@deborahmmbaga73766 жыл бұрын
COLLINS MUTUNKEI nakubali
@charleseyustic72816 жыл бұрын
asante baba nyimbo ikoposana
@Minajaga7 жыл бұрын
Hakika shukurani zangu ni kwako Baba, Umenikumbusha mwaka 2014 nilipitia tabu ICU daah Mungu azidi kukubariki Good Uzidi kuifanya kazi yake Vizuri. Nice melody(Zulu touches) I love the Song😍🙌👏👏👏
@ukutawamaombi44607 жыл бұрын
michael gakwandi
@buranicodemus16367 жыл бұрын
pole xn kaka,Mungu mwema
@rukiamziwanda74586 жыл бұрын
mimi Muslim rakini nyimbo zako nazierewa sana
@malietamashimba45536 жыл бұрын
pole
@christinakilula86276 жыл бұрын
michael gakwandi Hakika unayo sabb ya kumwambia Mungu ahsante kubwa.
@brianmasudi78892 жыл бұрын
You can't believe nlikuwa naupuuza huu wimbo bila kusikiliza kiini chake. Kwa sasa nadondokwa machozi kila niusikilizapo maanake ni kioo cha mapito yangu... "Mungu nakuhimidi."........Injili safi Goodluck.
@evakawira44016 жыл бұрын
I first heard this song from the late man of God, baby Patrick on an interview with Millard Ayo 😭😭😭. I felt like it was a summary of my testimony and it still is. Since then it has been my favorite Thanksgiving Song. Rest in peace baby Patrick 🙏.
@bahatimbwambo71985 жыл бұрын
Safi sana, umegusa wengi maishani.
@khadijahashim53854 жыл бұрын
Khadija Hashim
@evamwamelo53074 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻ubarikiwe Amen
@elizabethraymond55797 жыл бұрын
Hiyo style ya kiafrica apo mwisho ni hatari, barikiwa mtumishi wa mungu
@sammychepchieng80843 жыл бұрын
Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili Nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini Ulikonitoa ni siri ya moyo wangu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba Hata shukurani zangu ni kwako Shukrani zangu ni kwako Na shukurani zangu ni kwako Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh Aibu umefuta fedheha umefuta Umenipa amani iliyo ya kweli nakumbuka nalia mimi ni yule ambae Nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho Ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba Hata shukurani zangu ni kwako Shukrani zangu ni kwako Na shukurani zangu ni kwako Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh Kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante Baba) Ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani Furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu Na shukurani zangu Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele
@josephkadudu54087 жыл бұрын
Hata nashindwa nisemeje juu ya wimbo huu hakika umeni gusa na kuni bariki katika mwaka huu wa 2017 ninacho weza kusema ni ASANTE BABA MUNGU!!!!
@ellymollel1206 жыл бұрын
Kaka mm nilikata tamaa ila dah
@anisethsajent63736 жыл бұрын
Asante Mungu
@swedyhashim94025 жыл бұрын
mungu akubariki kak by gladines
@njeriigane4 жыл бұрын
Listening to this on 31st 2020. It's by God's grace we survived 2020. We have lost alot of people we love. People lost jobs. But yet here we are. Asante Baba. Asante 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@chepkorirfayth4 жыл бұрын
Amennn
@petermacharia56614 жыл бұрын
Kabisa Ni mungu to for everything and keeping us a live and healthy
@LynNyambura Жыл бұрын
I just say shukurani to God i have always say sinanga bahati kwa hii maisha coz theres nothing mine goes well but i just thank God for the gift of life.
@brendawangira38692 жыл бұрын
Am here to give thanks to God for granting my husband a job ..😍🦋🙏thank you God for coming through...#2023...
@issaya25567 жыл бұрын
da??? waimbaji wa nyimbo za injili wapo wengi wazuri ila wewe ndugu umewazidi wote MUNGU wangu aendelee kukitunza kipaji chako kupitia wewe naamini baraka hizi tunagawana wengiii!!! nimeiangalia hii video zaidi ya mara moja na bado nawiwakuiona zaidi na zaid. Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri.
@winfridaw.mwashala2897 жыл бұрын
nimelia kutoa shukurani zako kwako Mungu, asante mtu wa Mungu kunisaidia kuongea na Mungu wangu, shukurani zangu ni kwako Mungu wangu
@eliasenyapallangyo64237 жыл бұрын
napenda nyimbo zako
@elisawangare32967 жыл бұрын
Issaya 255 kweli waimbaji ni wengi ila mungu amemruhusu awe wakipekee
@tibamlanda71656 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa ufundi kaka wew ni kiboko
@elizabethmabeo81536 жыл бұрын
Issaya 255 .
@pheyzamwesh6733 Жыл бұрын
Uwimbo nikama tu unaniusu mm ban ju naupenda san jamn nifanyie baraka mumgu maana nikizikiriza naisi kama nakuona mungu ukinitetea mema amin
@writersheights2186 жыл бұрын
Nani anasikiliza huu wimbo 2019? Amani ya kweli naipata kwako eeh Mungu.
@edwardokothotieno7355 жыл бұрын
I love this song .
@mwakichuchuchao86914 жыл бұрын
2020
@bibichriss31664 жыл бұрын
Napenda sana huu wimbo mungu akujalie uzid kutufungua kwakupitia nyimbo
@maryowino8134 Жыл бұрын
September 2023..shukrani kwa Mungu ❤
@linclausemusic88083 жыл бұрын
Nashukuru Mungu mengi amenitendeya Asante Mungu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰 🇪
@blessingsimon97242 жыл бұрын
Being a Nigerian, I always wish I could understand him. Nevertheless, I still love listening to them. God increase you brother 🙏
@fortunatamakoye8399 Жыл бұрын
He is so grateful to God for his favour. His life is much better than before.
@Markfeehily426 Жыл бұрын
@@fortunatamakoye8399 its a thanksgiving song, that God has preserved us from many calamities
@genevivermambo40007 жыл бұрын
Hakika Shukran ni za Mungu peke yake . napenda sana hi nyimbo
@ambitiousholyspirit3952 жыл бұрын
kila ninaposikiliza wimbo huu huwa napata faraja, Mungu akubarki Gozbet.
@edinamisana74627 жыл бұрын
sina cha kusema zaidi ya SHUKURANI Kwa Mungu Aliye kuumba ili uje kunipa faraja na tumaini jipya your young bro
@ombeninassary58396 жыл бұрын
endelea tu kunyenyekea mbele za mungu uko na kbali unanibark
@brandinajovin84516 жыл бұрын
Edina Misana nakuombea uwe mzma
@imaculathadeus25326 жыл бұрын
nzur kiukwel
@stevenjesus48947 жыл бұрын
already a Hit song for me brother..Thank u Jesus for this
@mwajumachristopher26587 жыл бұрын
asante mungu
@zuhurabenson14747 жыл бұрын
Dah!wimbo unanibariki sanaaa alafu sichokii kusikiliza ,Barikiwa goodluck mungu akupe hitaji lako la moyo.
@sussympinda21434 жыл бұрын
I thanku God,umenitoa mbali,najua uko na Sababu kubwa kwa hii maisha umenipea,I put all my hope n trust in you God.
@alfayotumaini Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Mercyree3443 жыл бұрын
How i love to praise the Lord!.. This song is a yes and Amen
@giftedhands15553 жыл бұрын
Good job, Double G! I thank GOD THE ALMIGHTY for people like you who truly appreciate the wondrous works our GOD does in our life! Let's keep on worshipping THE KING OF KINGS!