Рет қаралды 726
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Kenya (FKF Premier League) kati ya Gor Mahia dhidi ya Posta Rangers.
Gor Mahia imeshinda kwa jumla ya magoli 2-1 na wafungaji ni Alphonce Omija na Gedeon Bendeka huku goli la Posta Rangers limefungwa na Felix Oluoch