GPS has the greatest team combination in geopolitic analyses. I cant wait to follow you daily...
@bonifacemwansasu663818 күн бұрын
Dj Smaa hapa kuhusu 2025-2030 ni kipindi kigumu sana kwa kizazi chetu ni💯.Uko sahihi kabisa,dunia inaenda kushuhudia mambo mabaya kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwake.
@sharifahabsi500418 күн бұрын
Pamoja frome Oman 🇴🇲
@ernestkunja347218 күн бұрын
Smaa upo rght watu hawakuelewi ila baada ya muda watakuelewa kwa kuwa yanakwenda kutokea soon
@shubackmashinga353518 күн бұрын
Mko poa sana GPS 🔥🔥🔥🔥💫💫💫🌟
@taraagire617618 күн бұрын
I have been watching this program and bwana fuss Mashallah u are all good 🇳🇴
@KaijageKaishozi18 күн бұрын
Jamani nawaombeni muwe mna mfatilia ally masubi vizuri,. Uyu mwamba nimegundua anajua sana asee hongera sana mzee wangu ally na wote hapo studio.,
@GeorgeAkasha-zx2rj18 күн бұрын
Ally Masubi always huwaga anajua tu, labda tu namna ya kuzungumza ni kama kunampa shida ila huwa napendaga sana anavyokuwa Neutral.
@freddieelice637716 күн бұрын
Namuamini Sana kwenye numbers, anakupa details za namba na huwa na Google kuthibitisha naona yuko perfect 👍🏽,
@Fgldesigns14 күн бұрын
@@freddieelice6377 Google huwa wanaandika taarifa ambazo wao wanataka kukupa ila taarifa za nyuma ya pazia huwezi kuzipata google wala CNN
@marcedeskaigarula13 күн бұрын
Now days ameimprove sana Ally kwenye kuongea .
@chance070918 күн бұрын
❤❤❤ dj Sma
@AFRICA_D66918 күн бұрын
Asante kaka kwa hii gps ila umeichelewesha
@YamuremyeYarodi18 күн бұрын
GPS ahsanten sana kutuelimisha
@zuumlondwa951816 күн бұрын
Tupo pamoja GPS❤
@Useri-bn6ye18 күн бұрын
Leo nimeanza na kusoma comment nimeona wtu wengi wanatukana ovyoovyo tu na hii inaonesha uwezo wetu wakufikiri ulivo mchache Tujitahidini tubadilike tuweni wastarabu sote ni watu weusi sote ni waafrica tuweni ktu k1 kwenye kuishi kwa wema baina yetu na tukamua kupingana basi tupingane kwa hoja na sio kwa matusi Mm natoka Zanzibar karibu sana Zanzibar
@Kulindwa18 күн бұрын
Kutukana ni alama ya mshari ushabiki, mtukanaji ni kumpuuza maana si muungwana
@GREYSONSEKULU18 күн бұрын
Dah.smaa kuna busara moja matata kaiongelea hapo mwisho kwakweli Mungu akubariki sana
@mchopacalvin298618 күн бұрын
Ally hata kama hutajwi sana ila vema mnooo na huna upande unapojadili safi sana
@tugemwakilewa129818 күн бұрын
Ally Masubi jamaa yupo deep sana, jamaa ni ngumu kujua yupo upande gani yeye huwa anatoa fact na haoneshi chuki na upande fulani.
@godfreymwizarubi10918 күн бұрын
Yes dj smaa yeye anachambua tayari na upande
@GeorgeAkasha-zx2rj18 күн бұрын
@@godfreymwizarubi109Always
@GeorgeAkasha-zx2rj18 күн бұрын
@@tugemwakilewa1298Yuko vizuri sana kiuchambuzi.
@Kulindwa18 күн бұрын
Hakutakuwa na machafuko Syria maana nchi hiyo haijagawanyika ila walikuwa na adui mmoja yaani Assad
@SirabahendaYusufu18 күн бұрын
Number one yusd
@eliacmaginya34292 күн бұрын
Uko vzuri baba DJ smaa
@timothybanda321918 күн бұрын
Masubi unasema jolani is "smart". Mi nakataa jamaa sio smart mana kila anachosema ss hv anapangiwa kukisema, sasa siamini mtu smart anakua anapangiwa cha kusema. It's true hawana nguvu ya kupambana na western ila "mkono unaokulisha hauwezu kuunyea". Watu wanasahau sana westerners wakikutumia wakishamalizana na wewe wanakutupa tu km wakina savimbi,foday sanko,charles Taylor na wengine wengi tu
@omondiowino787518 күн бұрын
Huu ni mchezo wa Uturuki...kama umefuatilia hii issue utagundua kuwa Marekani na Israel haikuhusika ...huu ulikuwa ni mpango wa Uturuki
@MatendoMenganyi-xq8lx18 күн бұрын
Kazi iendelee
@hamoudcreator634317 күн бұрын
Dj Sma ana madini mengi sana, ila anazungumza Kwa pressure sijui, mpaka points zake zinakuwa hazieleweki vzuri na haelezei vizuri, japo ana madini mengi sana, yani jinsi ya kuzungumza madini yake Ili yafike vile anavyotaka anatumia njia ambayo Kuna muda kama humuelewi, ila ukiunga Dots ndo unampata vizuri... Ila kule kwenye Fuse X files ndo anamwaga vyombo vizuri, nafikir kwasababu labda anakuwa anarecord
@AmosOmary-s7w18 күн бұрын
Masubi akiongelea kwamba jamaa yuko smart Dj smaa body language yake inaongea kama apendi vile😂😂
@jibriladat574918 күн бұрын
Dj sma atakuwa ni Shia
@salumabdallah299018 күн бұрын
Apana ali masubi mara nyingi anampinga dj smaa nimeona sana
@GeorgeAkasha-zx2rj18 күн бұрын
@@salumabdallah2990Sababu SMA huwa anachagua Upande ila Ally Masubi yuko unbiased na Neutral kiuchambuzi.
@alphamenson378417 күн бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rjSma achambui kuhusu sasa tu, anacomment pia anajaribu kupredict kitachotokea baadae, Yule jamaa ni kibaraka wa magharibi na marekani. Japo muda ndo utaongea
@albertyustasi910317 күн бұрын
Waoooo nawakubari sana makamnda kwa uchambuzi ile tunaomba mtuleetee tahalifa za urusi jamani
@faridsalehmohamed123018 күн бұрын
Huyu ni mtumishi wa CIA
@comics343718 күн бұрын
Anachoongea DJ SMA ni cha uhakika
@MuslimMunde18 күн бұрын
Yes gps
@saidmatola801518 күн бұрын
Abu Mohamed Al Golan anaandaliwa kuwa hayatollah wa Syria.
@shakeuabuu885118 күн бұрын
Wajina wangu tunashangilia Kwa kutolewa reward
@mountaincoffee79 күн бұрын
GPS uongozi mzima. Naomba sana. Kuna jamaa anaitwa MWALIMU GOOGLE TV huyu jamaa anakitu kikubwa tofauti muunganiko utakuwa poa san kuelisha. Jamii
@juliusdominic-uk4bu18 күн бұрын
Pamoja makomlade Smaa,Ali ,Mwinuka,
@omondiowino787518 күн бұрын
King Netanyahu....🔥 The Best leader so far... kuhusu Wahuthi na taifa nzima la Yemen...waanze kuandaa sehemu ya makaburi..maana Israel mtoa Roho huwa habahatishi...
Kumuelewa smaa bn ni mpaka mambo anayosema yatokee iv iv huwez kuelewa kirais
@KibabiMtumbaClassic18 күн бұрын
😂😂😂 swadakta
@KaijageKaishozi18 күн бұрын
Hapana mkuu unajua hapo awatabili ., ujue uchambuzi maana yake ni kuchambua kilichopo sio kupredict kijacho., uchambuzi unachambua uimara na uzaifu wa kila pande,. Ni maoni yangu.
@BoniphaceMollel-j6o14 күн бұрын
12 strong
@barikiringo631113 күн бұрын
Ndugu zetu uko Msumbiji wanakufa , Sns msisahau kuwa hawa ndio wakwetu na yanayotuhusu zaidi 😊
Yupo hapo kuelezea anachoona na kuwaza yeye... Kama hutaki unaacha lakini sio kumpangia cha kusema kama unacho cha kuchangia omba na wewe uende ukatoe maoni yako
@farukiddi596718 күн бұрын
Gps habari ya mjini natazama nikiwa Qatar
@shakeuabuu885118 күн бұрын
Mm nipo kisemvule mbagala 😅😅😅😅😅
@godfreymwizarubi10918 күн бұрын
shida kubwa ya DJ SMA sio mchambuzi bali ni mwanaharakati wa kuwapinga marekani na washirika wake
@hamoudcreator634317 күн бұрын
Masubi, unasema hili kuliongelea ni lazima uangalie angles nyingi sana usiijump Kwa conclusion... Conclusion ni kwamba Syria Kwa Sasa Iko Chini ya Marekani...
@jonasmrema855018 күн бұрын
Unakuta mwarabu mweusi kabisa anasema wahouth hawaogopi kifo ila sasa Israel ikiwazibua, wanaanza tena kusema genocide
@modekaijames18 күн бұрын
Wataanza proud to be
@IdrisaSadik18 күн бұрын
Makafir kama
@omondiowino787518 күн бұрын
Wataanza kulia free Yemen
@salumabdallah299018 күн бұрын
Jana ndege ambazo israil wanaringia na marekani zimepigwa na wahouth 😂
@jonasmrema855018 күн бұрын
@@salumabdallah2990 endelea kujidanganya
@novatusstanley278918 күн бұрын
🔥🔥🔥
@FranckDaniel-cc5rg18 күн бұрын
Ally unatakiwa kufuatilia mambo vzur bado ujiwez
@thefactbook...160717 күн бұрын
Sawa
@lionroot407318 күн бұрын
Finally
@ellykibale19018 күн бұрын
Point of correction, aliyetafsiri democracy siyo George Washinghtone bali Abraham Lincolin.. Lugha ya "wasio na elimu" inaweza kuwa na maana sahihi ila pia may sound "rude" nadhani ni vyema kuiepuka,ukizingatia wote tupo hapa kujifunza... Otherwise kipindi ni kizuri, Mungu aendelee kuwatia nguvu
@suleymuntar354417 күн бұрын
Iv ally masubi iyo ndege ya marekan iliyodunguliwa ingekuwa ya iran story ingekuwa kama ivo au
@Muba-Gucci-TV18 күн бұрын
Dj sma anatak kufanana na baltazar😅
@africanQueeny-u7o18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 duh
@djsma25518 күн бұрын
Hapana balataza amefanan na mm😂
@Muba-Gucci-TV18 күн бұрын
@@djsma255 😄😄😄 sawa Mr fact and logic
@shabanibussara845416 күн бұрын
😂😂😂😂
@melki_official994817 күн бұрын
Hahaha jama hataki vyeho vya kawaida I say namimi ana nichanganya 😂
@anordgerison863918 күн бұрын
Tatizo la Ally ana ongea Sana Kila kitu yeye 😢😢😢😢😢😢
@ShabaniSalumu-cd3kl18 күн бұрын
🤝
@Kulindwa18 күн бұрын
Hizi ni hesabu nyepesi sana, wamagharibi wapo upande wa kuweka mazingira ya usalama kwa Israel kwa hasara ya mipango ya Iran ya kuufuta utawala wa kiyqhudi...Syria inarejeq kuwa mahala salama kwa wananchi lakini kwa hasara ya ushia
@zebedayokatamaduni967618 күн бұрын
Shia ndiyo Nini?
@Patrick-w1j18 күн бұрын
Vilaza tu hawa hawajui kinachoendelea
@frankkitomary387817 күн бұрын
smaa apo ninacho ona apo ni tayari sitia iko kwenye mikono ya marekani aminini ivyo apo tayari marekani amewini kuichukua siria kinanya lakini sasa nina mashaka na awo watu wake wakaribu watakuja kukengeuka na machafuko yata tokea apo iko shida badae
@Kulindwa18 күн бұрын
Hivi vilikuwa vita vya wananchi wengi wa kisunni dhidi ya uongozi wa kishia na ndio maana mapinduzi haya hayataki tena kuiweka Syria kwenye mizozo ya kmataifa, hili ni pigo kwa kubwa kwa Iran na inaweza kuwa fursa ya Lebanon kukombolewa dhidi ya mkono wa iran
@FredWabwire-w3q18 күн бұрын
Hawo wahuthi sikuzao zinaanzakuesabikatu
@Kulindwa17 күн бұрын
Middle east inakwenda kutulia maanw wananchi wanaanza kuamka ijapokuwa wageni wanayo nafas ya kuvuruga
@Kulindwa18 күн бұрын
Lebanon iliwahi kuwa koloni kimtindo la Syria pamoja na kwamba Israel pia alikalia kipande cha Lebanon...
@hamoudcreator634317 күн бұрын
Uyo Blinken ndo Muuaji Namba Moja Kwa Sasa.. Netanyahu Yuko kama Picha Tu...
@josephineatieno848618 күн бұрын
Alafu sns hatutaki ushabiki wa kidini kwenye GPS kama hizi we huoni Assad alichowafanyia wasyria kama nyie waislamu mnapendana mbona iran nacAssad wana dam za mamia mikononi mwao givi kuna raha gani kushabikia wapuuzi
@allyslim777418 күн бұрын
Kama ujui kitu nyamaza Malaya wewe kila siku muambiwe kitu kimoja tu iyo nchi yenyewe waislm weng kwaiyo uwezi kukwepa
@magorymara551518 күн бұрын
Eneo alilokaria marekan inaiba mafuta huko syria ndo maana hatak vita viishe na vikiisha wakubali hiyo hali iwe endelevu kama tulivyokubali africa
@NyumbaYaHekima18 күн бұрын
Haikuwa katika maslahi wala mpango wa marekani waasi kuweza kumpindua Assad. Kwa ulinzi wa Israel, sera ya marekani ni kuiweka Syria unstable. Marekani wamepigwa na butwaa waasi kumpindua Assad. Uchumbuzi wa wataalamu zaid hasa wa nchi za waislam, hawaashirii kama Jolani ni bidhaa ya Marekani, marekani anajaribu kumnunua Jolani.
@thefactbook...160717 күн бұрын
Thats it.uko vzuri kulitambua hilo.
@Sarah-e1o9k18 күн бұрын
Sasa anadhani marekani ni watu wazuri wapuzi hawa
@omondiowino787518 күн бұрын
Mimi sidhani kama Israel ilipewa go ahead na Urusi...maana Israel imepata advantage dhiidi ya Iran na Iran ni mshikaji mkubwa wa Urusi...so nadhani Israel walijuwa hizo sehemu Kwa kupitia MOSSAD
@AbuuFardausmiraji18 күн бұрын
Hao HTS hawana tofauti na watalebani huenda huyo asichukue cheo chochote yeye atakua kiongozi wa kijeshi ili awakontrol viongozi wa siasa wasiweze kufanya chochote bila kauli yake
@MatridaAdam18 күн бұрын
Smaa ana kamba sana !! Hisia ni nyingi, yaan Israel, Idf na mossad wapewe code zilipo kambi za syria code toka urusi kweli !! we jamaa bwana dah , kwanza Israel na Russia hawabadilishani deep military intelligence hawana mkataba huo .
@OmmyJames-xn7ji16 күн бұрын
HUYO JAMAA NI CIA PERIOD
@JewsJews-c8w18 күн бұрын
Naiona Syria kuwa papeti uturuku
@djafro872918 күн бұрын
Nangoja maoni ya controversial man last week hakuwa sawa, maybe alikuwa mogonjwa ama mawazo mingi ama kutolala. Dj sma
@ziggysamson595618 күн бұрын
Guys kwanini leo wot mnasahau majina ya watu Sana
@shafiiramadhani10 күн бұрын
Mfalme
@FranckDaniel-cc5rg18 күн бұрын
Kitete kingi masubi
@PeterMmari-p4d16 күн бұрын
GPS mkopowasana nauchambuz Makini msongembele
@emanuelidamiani294317 күн бұрын
GPS itakufa kwa sababu ya hizi comments zetu zenye mwelekeo wa kuwashindanisha wachambuzi wetu.
@MichaelChongela-o2l18 күн бұрын
Ww shinwar sijawahi kukuelewa Bora uwe shehe tujue
@GeraldElias-s7j18 күн бұрын
Sma sio shinwar
@Kulindwa18 күн бұрын
Middle east inabadilika ikijitoa kwenye mizozo isiyokuwa na tija kwa ustawi wa wananchi, hezubullah anakwenda kufa na Lebanon inakombolewa! Mzozo unabakia kwa Israel na wapalestina huku hamas inanyaushwa kama sio kufa
@mutaji545418 күн бұрын
Izo nchi za arabuni migogoro haishagi magharibi wana interest zao uwezi maliza mgogoro kama ilivyo Congo tu apo
@Kulindwa18 күн бұрын
@mutaji5454 hoja ni mgogoro huu wa Syria ni vita vya alfitna ambavyo vimekuwepo mara baada ya kufa kwa mtume ingawsje uhasama umekuwepo toka za mtume mwenyewe kt ya nyunba mbili za mtume; vita hivyi vinakolezwa na wamagharibi na wamashariki kila mmija kwa masilahi yaje. Huko Yemen mzozo unafanana na huu maana shia wsnaamini wao ndio wanapaswa kuuongoza uislam wa waarabu kutokea Mecca! Ukweli huu tusiupindishe, alkaida ni Sunni...na sasa inaonekana wasyria hawataki kufitiniana tena maana adui yao yaani shia ya Assad imeanguka! Ila mzozo wa mafuta unaweza kufanya vita visiishe maana ulafi wa USA upo bayana
@Kulindwa17 күн бұрын
Hakipo kisicho malizika kama ambavyo hakipo kisichokuwa na chanzo. Hapo mzozo wa Syria ni sehemu ya kinachoitwa Islam alfitna iliyoweka makundi hasimu mawili yaani sunni na shia. Wageni kama wamagharibi na eamashariki wanaingilia kufitinisha zaidi kwa masilahi yao ya kiiuchumi huku Israel akitumia upumbavu wa mwarabu kwa masilahi ya ustaei eake ktkt ya kuirejesha Judea ambayo ilikuwa kirqmani imeingia ndani ya Syria ya sasa, Lebanon ya sasa, misri ya sasa nk
@salumabdallah299018 күн бұрын
Sky acheni ubaguzi mbona humuachi dj smaa akamaliza kuongea
@mukhtar80517 күн бұрын
Brother Sma me naona kufananisha uongozi wa Syria na Ukraine sio sawa kwa sababu ukifatillia walichopitia wasyria wamepitia kipindi kirefu cha dhulma na mapinduzi haya yamekuwa ni kama ukombozi kwa wasyria kwa hiyo kuanza kuwatuhumu watu kuwa ni vibaraka sio sawa angalia na mazingira waliyopitia so ni vyema kufanya uchambuzi bila ya kuchagua upande kwa sababu kila upande una madhaifu yake.
@Fgldesigns14 күн бұрын
Sasa nchi ya kiislam toka lini ikawa na urafiki na Marekani?
@mukhtar80514 күн бұрын
@@Fgldesigns Kwa hiyo kwa mfano Saudia sio nchi ya kiislam au? Maana ina ukaribu na marekani.Ngoja niulize hv kipindi kile wananchi wanauwawa na serikali ya Assad na kuwalazimisha wafungwa wakisunni watamke kuwa Assad ni mungu ndo ilikuwa nchi ya kiislam au? Au kwa kuwa walikuwa pamoja na urusi ndo iwe ni nchi ya kiislam? Sasa urusi na uislam wap na wap? Nachotaka kusema ni kwamba kuwa na urafiki na nchi kama marekani ni makosa lakini sio kigezo cha kuchagua ni ipi nchi ya kiislam na ipi sio.
@Greatamir18 күн бұрын
Zelesky wa syria😅😅😅😅😅😅
@bonifacemwansasu663818 күн бұрын
Huyu jamaa udini umemjaa,ati Israel ilishindwa vita vya six day war.Yaani yeye ni kuibeza tu Israel. Hataki kuamini kama Israel ni superpower middle east.
@GeorgeWambura-t1i18 күн бұрын
Israel haina u super power wowote Middle East..hakuna Israel pasipo America na Ulaya..
@GorbyWilliam18 күн бұрын
Kuhusu six day war israel alishinda na kipindi hicho waziri mkuu wa israel alikuwa anaitwa levy eshkol labda dj smaa anasemea vita vya yom kipur ambavyo waziri mkuu anaitwa gold mear na kuhusu misri kuchukua maeneo ya israel sio kweli smaa misri aliokoa aridhi yake kupitia mktaba wa camp david accords.
@anthonylaban494318 күн бұрын
Good GPS..... ila nashauri Masubi na Hendry mchukulieni kibinadamu Dj Asma ili kipindi kinoge sku zote. Unless mtaleta mpasuku miongoni mwenu. Note: kila mmoja ana uwezo katika eneo lake, hakuna aliye mbora zaidi ya mwingine. Show love to each other positively.
@samsonnnko803518 күн бұрын
Smaa unaniaabisha bhanaaa, kuhusu Democracy sio George Washington ni Abraham Lincoln kaka..nazani utakuwa umesahau
@djsma25518 күн бұрын
Nimekosea ni Lincoln, na nilimanisha Lincoln, ila ulimi kuteleza ni sehem ya ubinadamu
@uwimana653318 күн бұрын
Okopa mzungu anapokupamba anajua anachokitafuta akimaliza anakupiga chini hawa wasiriya watajilaumu badae ukopa mzungu sana 😂😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz18 күн бұрын
Sasa wajilaumu kivipi na wakati wao ndio walioandamana kumpinga Assad.Assad aliua watu laki tano.Kama wameamua kujenga ushirika na marekani sio tatizo,mbona sisi Tanzania tuna ushirikiano mzuri na Marekani.Marekani ni mshirika bora zaidi.
@burukinyebo629418 күн бұрын
Mshirika bora anakulazimisha mue Mashoga ktk Nchi yenu,.mkikataa anawawekea vikwazo..wanalazimisha pia muwauzie resources zenu kwa bei yao mkikataa wanachukua kimabavu,..ebu tujaribu kuamka kifikra...Hawa Marekani ni watu wakuogopwa wao ndio wanasabisha Machafuko ktk dunia,..Kati ya Nchi na nchi,..na ndio hao hao wanaosababisha machafuko ndani ya nchi ya wenyewe kwa wenyewe
@MathewNathan-yb2bz18 күн бұрын
@@burukinyebo6294 sio kweli kabisa labda ww una chuki binafsi na Taifa lililobarikiwa la Marekani.
@Useri-bn6ye18 күн бұрын
Habari za kubarikiwa tuache tuongeeni hoja zamaaana@@MathewNathan-yb2bz
@Fgldesigns14 күн бұрын
@@MathewNathan-yb2bzNani alikwambia Marekani ni mshirika bora... Marekani hajawahi kuwa na urafiki na nchi yoyote yule wewe endelea kujidanganya kuwa tunasaidiwa na Marekani
@ziongate546416 күн бұрын
Napenda watu waweze kufahamu ya kwamba kundi la IS kiliundwa na CIA na huyo Julani ni double agent wa CIA.
@omaryjumas632718 күн бұрын
Ukiona simba ametoa meno nje usidhani anacheka, anatakiwa ajifunze kilichomtokea Sadam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani lakini mwisho wake walimnyonga.
@hassanihamidu854618 күн бұрын
Huyo ni ayatollah mwingine
@FredWabwire-w3q18 күн бұрын
Amefanya kazikubwa huko syria kwa kufukuza warusi na Iran.
@mahadmatebe977518 күн бұрын
Nasikia wanajeshi wa Syria waliokimbilia Iraq na Lebanon wameanzisha mashambulizi uko Syria wameua wanajeshi kazaa wa hts tunaomba mfatilie ilo tupate habari za uhakika
@omondiowino787518 күн бұрын
Hizo ni propaganda
@Brunotarimo1017 күн бұрын
GPS hamjawahi kutuangusha, Nyetanyahu hastahili kuishi, nakubaliana na papa israel inaua watu bila makosa
@HuseinLodi18 күн бұрын
Wachambuzi wanaongea lunga ya kiswahili ww kiengereza sasa
@bonifacemwansasu663818 күн бұрын
Democracy is by the people and for the people ni slogan ya Abram Lincoln sio George Washington.
@DicksonRameck-e4r18 күн бұрын
Dj smaa uislamu unakufanya usiwe mkweli😅😅😅
@shabanibussara845416 күн бұрын
Duh!
@timothybanda321918 күн бұрын
USA hawataki kukubali kua ndege zao zimepugwa na houthi's ndio mana wanasema wao ndio wamepiga kwa bahati mbaya,kwa nchi ambayo imeadvance kijeshi na kiteknolojia wanashindwa kujua kua hiyo ni ndege yao
@africanQueeny-u7o18 күн бұрын
Bas ww unajua kuwazidi😅😅😅
@MichaelChongela-o2l18 күн бұрын
Upon upande Kila cku na Nina uhakika mwaka ujua hautaisha haujajurikana upande wako wa walabu unawapendelea
@selemanisalum768518 күн бұрын
Unaunga urafiki na marekani subilini nakupeni miezi 3 tu kitawaka
@MOSESIMCHUNGUZI18 күн бұрын
HAINA JINSI MAREKANI NDIYO DUNIA
@MathewNathan-yb2bz18 күн бұрын
Marekani ni rafiki mzuri sana wanaomuona ni mbaya ni wale wenye chuki zao binafsi.
@IdrisaSadik18 күн бұрын
@@MOSESIMCHUNGUZIila kunakifo Cha haki.
@ELIFASMADEBHO18 күн бұрын
UNITED STATES MOSCOW RUSSIA BEIJING CHINA
@bonifacemwansasu663818 күн бұрын
Dj Smaa acha uongo,sio kwamba Russia waliipa Israel green light kupiga military bases za Syria.Huwezi kupata taarifa za ndani za kiitelijensia za Russia na Israel. Wewe tuambie tu labda unahisi sio eti kwa taarifa ulizozipata.FALSE.
@GeorgeAkasha-zx2rj18 күн бұрын
😂😂😂 Mkuu kwani SMA humjui, huyu ni Anti-Israel na West daima.
@africanQueeny-u7o18 күн бұрын
Utaskia et wauthi ni watu awaogopi kufa😅😅 pumbaf akuna mtu aogopi kufa mngekuwa mnapenda kufa Hamas wasingeishi kama panya, maislam majinga ndio yanajazwa ujinga ila wenye akili wapo kweny Andaki
@KhamisOmar-kt4kz18 күн бұрын
Ww matako pamoja na mama yako ndio hamna akili shoga ww
@@KhamisOmar-kt4kz njoo nikufire na Mama ako😅 usisahau Baba ako nije nawatatue malinda
@jonasmrema855018 күн бұрын
Haya majinga kishindwa kwa hoja yanakimbilia matusi
@allyslim777418 күн бұрын
Mjinga wewe unaongea kitu ukijui akuna mtu asiogopa kifo ila awa vita ni sehem ya maisha yao
@danielmakubowatz18 күн бұрын
kuhusu historia ya vita vya siku sita kipara ametudanganya😂
@abdulrazack957718 күн бұрын
Leta ukweli lengo.ni kujifunza
@africanQueeny-u7o18 күн бұрын
Nikiwambia mwislam na akili ni vitu tafaut 😂😂 Hezbraa, Hamas walivyo tandikwa badae tunaanza kulia lia et anakufa watoto na wakina Mama, je kama mnapenda watu wenu uchokozi wa Nini si mtulie kwa kulinda raia wenu😢😢 wauthi acha uchokozi wanao teseka ni raia wenu
@HassanRamadhanPashua18 күн бұрын
Kifo tyri waislamu wanajua ivo
@uwimana653318 күн бұрын
Tatizo elimu nindogo ujinga umewajaa , nchii zenu meshindwa kuongoza fitna na uchawi 😂😂
@burukinyebo629418 күн бұрын
Wewe usiogopa kufa kwa ajili tu ya kupigania maslahi yako binafsi km Mwanaadamu,..basi Ishi milele tuone
@asmaalghafri44918 күн бұрын
Wewe unasema pumba kwa chuki huwapemdi waislamu hasa waarabu kwani miaka mingi hao wazayuni wanawatesa wapalastine huoni au husikii basi wewe kipofu na kiziwia au dhalimu kama hao kwa hiyo unataka watawaliwe watulie tu wasiipiganie nchi yao kazi yako kusema wachokozi vipi wachokozi waambie hawao maziyuni waondoke Palestine uone kama wapalastine watawafata
@africanQueeny-u7o18 күн бұрын
@@asmaalghafri449 kuanzia leo kama kufa ni kawaida kwenu usje comments Mavi et Israel anaua watoto😂😂😂😂 nitakufira ww mpya
@africanQueeny-u7o18 күн бұрын
DJ Sima acha kutukana mashabek wa Sns ww ni mtu mdog kweny icho chombo 😢 unajua maana ya Elimu ndog, vitu vya siku sita Israel ilishinda kwaiy unataka tuamin ujinda wa Madrasa walivyo kufundisha, 😢 lione na kipara kama makalio ya Nyani
@burukinyebo629418 күн бұрын
Nakuonea huruma inaweza kua wewe ni mtoto uliolelewa bila Baba ,..tatizo ni elimu mliopata ile ya kusema mtu wa kwanza alikua nyani,.hili ndio tatizo ambalo limetufanya waafrika kua usiku wa Giza
@PAULNYANDILE18 күн бұрын
sasa kwa kupitia hii komenti Yako ya kipumbavu unazani wewe na Dj smaa nani mjinga ,ni wapumbavu kama wewe.Alafu inatakiwa ujiite africanQueeny bwege/zuzu
@HamzaMbasha-xs2ky18 күн бұрын
Yeye anasoma wewe unatukana soma umpinge kwa hoja..