You actually deserve more. Najua kwamba namba zina maana yake katika tasnia na kazi ya sanaa, ila binafsi nafurahishwa na "qualitative analysis" kwani hata ukizingatia maoni ya mandugu humu utaona kuna namna kazi yako ina wasiliana na nafsi zetu. Hivyo, kwa kiasi chake (si kwa kujifariji) ni mara mia watu 10,000 wenye tija kuliko Mil. 25+ isio na tija.
@ramadhanimagwiza56465 жыл бұрын
Nice song.....dada grace
@shebbytz71115 жыл бұрын
Mungu akubark saana grace,,, Nashukuru kwa mzik mzuur...... Sijutii kukufaham since free soul
@malaikahamidu74265 жыл бұрын
naipenda hii nyimbo sana , grace ubarikiwe sana kwa kutunga nyimbo nzuri kama hii
@AbdallahCharles-n1b6 ай бұрын
Ni 2024 hii ila bado ni nyimbo naipenda saaana aisee
@venanciamwita19925 жыл бұрын
Dunia inapaswa kujua kwamba tz Kuna vipaji vya ajabu ....
@eizerbitz67155 жыл бұрын
ifikie hatua watanzania watambue mziki mzuri kama huu na kuupa support.. cha ajabu tuna support nyimbo za ajabu hazina maadili.. go grace, go matata
@frankkajoba8372Ай бұрын
wabongo wengi tumejaa upuuzi manyimbo ya kijinga unakuta yana million kadhaa views😢
@godfreychuwa84944 жыл бұрын
Dada naomba ufanye mhunganiko wako na msani mmoja katika ya hawa ninao wakubali kama wewe kwenye music wa kudumu muda wote. Banana zoro au ali kiba
@kayraymond68293 жыл бұрын
Thats my favour rhyme "umeniamsha Tule!! G we ni mkali aiseee😂😂 #keichogo
@elizabethshayo18295 жыл бұрын
Huu wimbo umenikonga moyo kabx😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@frankkajoba8372Ай бұрын
Huu wimbo ulistahili millions view sema wabongo hawajui muziki mzuri wanapenda amapiano na minyimbo ya matusi. Huu wimbo ni mzuri sana, big up sister Grace Matata❤
@kappakante62285 жыл бұрын
Naomba kufany kaz na wew
@venanciamwita19925 жыл бұрын
Waoh, amazingly! True talent! Wimbo mzuri saaaaanaaaaa huu yani! Mi huwa ninauskiliza Kila siku, naupenda Sana Sana Sana yani! NYWELE huwa zinanisisimka nikiuskiliza# Grace Matata uko juu! Hii ni aina ya muziki ninayoipenda!
@ndaulinendaulina57153 жыл бұрын
Folk musician wa Bongo. Reminds you of Lokua Kanza.
@iddyshanna9325 жыл бұрын
Matata utabaki kuwa juu kileleni ✈️
@vianeytaggi20465 жыл бұрын
Maana ya mziki mzuri
@selemanisalum81425 жыл бұрын
A very good song, the problem is, many Tanzanians are lack of knowledge in understanding the good music especially from the artists who are not in scandals...congrats grace matata since free soul
@kaiemujaya76975 жыл бұрын
Her dress code. Her hair style. Her singing.. MUNGU hutoa vipaji, nawe amekupa.
@EyazMusic5 жыл бұрын
Noma sana.
@epicadventure51055 жыл бұрын
safi sana grace nakupenda sana
@danielbenedict-jf1pz10 ай бұрын
Huu ni wimbo ambao mke wangu akiwa mjamzito ntamkumbusha kuuimba kilasiku, aseee naupenda isivyoelezeka🎉❤❤❤❤❤
@juliusmkwiji2835 жыл бұрын
Aisee ngoma kama hizi sijui kwanini zinakosa publicity, I am in love with this song
@kenyanraw4 жыл бұрын
🇰🇪✔
@hilalmtangi52415 жыл бұрын
Nasikitika na naumia sana kuona mtu mwenye kipaji kikubwa kama Grace Matata. Kuona mziki wake mzuri haupewi Airtime yakutosha kama wasanii wakutengenezwa na producers tena wengine wamekuwa wasanii kwa kukaa karibu na wasanii na hawana vipaji halisi Media imetosha sasa tuupe kipaombele mziki mzuri unaoishi na sio wasanii wa kiki na show off za instagram then wanaimba matusi #SupportGraceMatatamusic
@frankkajoba8372Ай бұрын
😢
@ericmufasa5 жыл бұрын
Mama la mama usipo toboa mwaka huu kuna namna
@kingmakiniАй бұрын
Songs like these are so hard to find, or maybe it's the reason they're called gems🤔 Unajua kuimba Dada Grace❤️
@mtembeibuberwa76805 жыл бұрын
Owa tata umenigusa sana na huyu baby song
@mfalmegideon5 жыл бұрын
Grace anajua sana Jamani...😍
@saidimussa3995 жыл бұрын
Nakukubali Sana toka kipindi icho hujaniangusha safi sana
@promramson805 жыл бұрын
One of the iconic female vocalist to ever happen in East ..rich melody ...I love her music in its totality
@edinabenedictorlukonjebene9335 Жыл бұрын
nyimbo nzuri sana ilinipa moyo ipo sku nitapata mtoto nilipenda kusikiza ata nilipo pata akafariki nasikiliza upya nibarikiwe mwingine. naupenda sana wimbo uhuu.
@andrewkungaro11595 жыл бұрын
grace is more than a singer...more than Beyonce more than rihana more than anything called musician on this third planet.. you are hot talented!
@iddimiraji5 жыл бұрын
Grace Matata akiimba.. We Listen!
@brosataasisi36575 жыл бұрын
Namuona Innocent Mujwahuki kwenye mashine
@slimmtani82365 жыл бұрын
Nice song!!bongo tuu ni kwakuwa mziki bado haulipi kihivyooo!!lakin grace wewe ni mwanamziki mkali sana!!usikate tamaa,go ahead
@machagejr5 жыл бұрын
Jamani. How does a person sing this fine? Sister hongera Sana.
@allykawawa88885 жыл бұрын
Kabando kinyewe kakuunga unga sikuwa na plan ya kustream nilikua napita tu BT once I saw its grace matata I knew u will never disappoint me...what a wonderfully song
@francismiho2265 жыл бұрын
Nice work!! Grace
@kayraymond68293 жыл бұрын
All legends are born in a moment's of Talent & truth. Mm namkubali tangu enzi za Free soul
@doreenvictor22705 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@shabaniahmedy44395 жыл бұрын
Jamani huu wimbo naupenda mpaka naumwa, asante dear grace. God bless you more and more.
@jabirmwanamwamba25575 жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza nakomenti nyimbo tena yakwako Dada unajua naninapenda sana nyimbo zako
@MC_Elisha2555 жыл бұрын
An miongioni mwa wasichana wa nchi hii nao wakubari upo kwa list...jaman we mdada rudi...nilianza kukufuatilia enzi za free soul....
@petermahimbo94505 жыл бұрын
Siku inakuja tutatambua vipaji vya kweli .Mungu akubariki dada.
@danielbenedict-jf1pz10 ай бұрын
Hakika bado hatujawapa support waimbaji wazuri
@SandraBrown.5 жыл бұрын
When your cousin is a SUPERSTAR!!! Una makubwa sana ndani yako, keep peeling off those layers because I see MORE!!!
@jeovangisc79573 жыл бұрын
Tanzanian social medias are injustice.. she's too way underrated!!!
@shebbytz71115 жыл бұрын
Nakuelewaga saana grace mtata.. Niliinjoy saana show yako kwenye FNL. Mungu akubark saana,,, ki ufup unaujua mziki iseee
@venanciamwita19925 жыл бұрын
Grace Matata wewe ni wa maana Sana
@kabanzakwilabya66485 жыл бұрын
Nimesoma comments zote 230 kwa wakt wng huu,,nmegundua Dada ana love ya kutosha, people are trully trust her every move she take.. This is a great weapon she should use.. Nice work honestly..
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
Wow mpaka vinyweleo vinasimama jamani watu wanaimba ivo hongera binti Grace
@abuurayaan47405 жыл бұрын
Mmh
@conradraphael526711 ай бұрын
Dah hii talent ya Grace Matata ni hatari,girl can sing aisee,we should appreciate her more haki
@petermabiti28525 жыл бұрын
There are Musicians, and there's Grace Matata. Absolutely outstanding
@augustlucas1476 Жыл бұрын
akitoa wimbo na linex itakuwa bomba
@gracedonald42113 жыл бұрын
How I wish Tanzanians to wake up and know the true meaning of good music and support fully, thanks for the good song namesake. You’re the truest ICON ❤️
@juliusmkwiji2835 жыл бұрын
Kwanini huwa nachelewa kuzifumania nyimbo kali kama hizi? Julius subscribe faster huyu matata 🔥🔥
@KaiMaembe5 жыл бұрын
I played this for my daughter when i was pregnant... now i play it for her to fall asleep! It does magic for all my children. Merci beaucoup Grace!!
@MaryNgosi-q5n4 ай бұрын
This song jamani....the melody, the voice and the lyrics....weeee....🔥🔥🔥🔥
@tanzaniacarschannel69755 жыл бұрын
Am wondering why good artists like Grace Matata dnt get good and quality airtime that they deserve?? And these other junk artists with their junk music they are getting quality airtime that they dnt deserve. This world is not fair at-all.. But brand yo self, have good plan for publicity, do more engagements with latest social media platforms and the like. Also keep doing good music. I have this request, kindly consider doing a collabo with a Nigerian artist called @johnny Drille. You two singing together itapendeza sana.
@kennedyedson90975 жыл бұрын
Grace MABrrr
@advocatechillongozi22215 жыл бұрын
Nitapost kuanzia Leo huu wimbo ktk status zangu. will make sure views zinapanda. One love!!
@vicenta.mitimingi69535 жыл бұрын
Wonderful....respect. Wimbo mzuri sana nimeuelewa Grace. “BABY”
@venanciamwita19925 жыл бұрын
Wimbo una ujumbe positive, impresive, huu ndio wimbo unaoshika ★no #1 ktk chati yangu ya muziki mzuri TZ★
@ancywilly82244 жыл бұрын
Yaani kuna jitu linaweka dislike kabisa kwa hi ngoma .. DAH kweli vichaa wa mtandaon wapo
@youngdira15845 жыл бұрын
Ukiacha melody Sijawahi juta kusikiliza mashairi ya huyu bidada,mungu akuzidishie
@deniszabron76475 жыл бұрын
umerudi nimelala ukapika ukaniamsha tule😍😍😍
@kennedyjames97865 жыл бұрын
Grace Matata 🔥 🔥 hujawahi kufeli sista
@edkawiche31714 жыл бұрын
nakupenda sna baby girl (Manyara). HIT LIKE IF U HAVE A BABY 👨👧
@EnryKing5 жыл бұрын
sweet of the sweetest
@mottofoundationinc.34925 жыл бұрын
Halafu eti anahiti gigy money.... Vipaji vya kweli vinapoteaaaa
@Newzbizmedia2 ай бұрын
babyyyy such a sweetie RnB mixed with reggae
@frankdanford82454 жыл бұрын
Mungu aibariki sauti yako hii ni original ya duduke kabisa.
Kiukweli Tz wanaojua kuimba niakina dada tokeazama za kina Jide, Rc, Stara atc Mabro hamnakitu😋😋😋😋❤️❤️🙏💥💥🔥🔥
@onesmonamfua15175 жыл бұрын
Saa si ndo hao wakitoka wanaliwa kiboga wanapotea kwenye game
@adamra15735 жыл бұрын
Tatizo wanawake hawapendani
@dasiohaule99745 жыл бұрын
Hujawahi bahatisha ni uwezo na nimeukubali sana sana. Big up csta Grace.
@venanciamwita19925 жыл бұрын
Thanks again Grace Matata!
@gretagonga29665 жыл бұрын
Now this is what i call music😍
@culatebellejeremy2625 жыл бұрын
Exactly👌
@alextanzania5 жыл бұрын
Big up Innocent Mujwahuki for good music
@emanuelchigolo48395 жыл бұрын
Aisee grace wewe ni mwanamuziki kwelikweli. Mziki mzuri sana
@jeremiahmwanyika44415 жыл бұрын
Ndo maana hua nakupenda we grace
@fabianmilanga49805 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana mdogo wangu G
@bigboyceylon38185 жыл бұрын
Good music nakupenda sana Grace Matata
@erickmmbando19095 жыл бұрын
Nakukubali sana Grace Matata tangu ulipotoa ngoma ya Nyakati
@NELSONURIO5 жыл бұрын
Grace's Music is a referral to African Music Universities :)
@noelimpolenkile32085 жыл бұрын
Grace ...where good music belongs
@mussasango95755 жыл бұрын
Huyo ni Grace wetu :), amazing!
@Happizo5 жыл бұрын
Dada Grace nataka kuimba kama wewe jamani
@eddovannyplatnumz55745 жыл бұрын
To be honesty Grace Matata Nilkuwa namskia skia tuu sikuwa najua kama Ni moto kiasi hik kuanzia saiv me ni fan wako..Ni ngoma naiskilza Daily..Good music sister🔥🎸🎹
@kennedyedson9097 Жыл бұрын
This will never get old We love you Grace 😘😘
@eliyanzogela74574 жыл бұрын
Kibao kizuri, nimependa idea.
@kalomanda87674 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaaa💯💯💯! Asante Grace...
@johansenbashange26285 жыл бұрын
Unajua sana grace! Sijui kwaninj haupo pale na kina Ruby na Vanessa! But your super talent yaani!
@constantinemanyanda66674 жыл бұрын
Tukiacha freesoul this is my second best jam from Miss Matata
@stylebytma80955 жыл бұрын
I dont understand this language, but the song hits the spot!
@jeovangisc79573 жыл бұрын
It's Swahili language.. originated from Tanzania 🇹🇿
@princemasu96803 жыл бұрын
She is talking to her unborn child .... wondering if it's a girl or a boy ...and what life has planned for the baby...
@stylebytma80953 жыл бұрын
@@princemasu9680 wow Thank you. Listening all over again 🥰
@parmenaprosper37805 жыл бұрын
The piano, guitar, voice and wateva dats added in the song dat i don’t know z just out of this world.... Good hit..
@culatebellejeremy2625 жыл бұрын
Good Music Grace, One of the Best Female Vocalist from Tz 🇹🇿
@kankfee43943 ай бұрын
2024 nimeludi tena
@cytoplazmducci94745 жыл бұрын
Ebana eeeh!!
@raphaelmatiku9998 Жыл бұрын
2023… Still my favorite.. 🔥🔥🔥
@jayjohn5605 жыл бұрын
Silky voice 💚
@mussamlewa21784 жыл бұрын
Kitambo nilikuwa nakitafuta jina la huyu msanii leo nimelipata wasafi