Hivi hakuna namna ya kuweka "Like" kama mara trillion mia hivi
@lawrencechikawe6631 Жыл бұрын
Grace Unatunyima Sana haki yetu, free soul ni moja Kati ya nyimbo katik history ya bongo flavour. Umeachilia mziki wasio ujua
@melloelisha4630 Жыл бұрын
Who else shades tears, when she sings this song and at the instrumental part?
@u610974 жыл бұрын
the most underrated artist ever!!!.. damn!!
@abduutali36894 жыл бұрын
uyu dada anajua kinoma yaaaan.....yupo underated sana ........wanawapaisha waimba matusi....
@swahiliwithZita Жыл бұрын
2023 & still here ❤
@husseinothuman29642 жыл бұрын
Wow mwili umenisisimka big up my sister
@husseinibnuhassan1272 Жыл бұрын
Huyu dada ana sauti ya thamani kubwa sana she knows music anakonga roho sana big up and I ♥️ u
@emazacharia44552 жыл бұрын
Mziki mzuri unaish....usiombe uwe na stress zako umekaa mahar mara usikie mziki Kaa huu lazma utabasam
@poliefrica4 жыл бұрын
tanzania inabid tufike sehemu tufahamu mzik mzur na mzik wa ujanjujanj ili wenye vipaji waendelee kupeperush bendera .....
@SAM_16310 ай бұрын
Can't stop my tears 😢❤❤ This was my favorite song in my young ages 🌹 💐 🏵 🥀 🌹
@MsDarkrabbit8 ай бұрын
This version hits on another level!
@EileenConnects4 жыл бұрын
This is my all time favorite 📌👌🏽
@salimramadhani5237 Жыл бұрын
nzuri
@karimadam82664 жыл бұрын
Wow this is very strong
@christinakyungu27933 жыл бұрын
The one and only ms matata...
@josephkapinga6524 жыл бұрын
Free soul....... I like it so much
@aminamsuya28704 жыл бұрын
Perfect sana dada hakika mungu akutmizie htaj la moyo wako kla la her ktk kla hatua ya maisha yako
@bensonsalum90334 жыл бұрын
HUU NDIO MUZIKI SASA SIO KELELE ZA AKINA ZUCHU NA RAYVAN NA WENGINE WAFANYA FUJO KWENYE DARASA LA MUZIKI WISH ALL THE BEST FROM THE DEEPEST POINT OF MY HEART. LOVE YOU SO MUCH PAL GRACE MATATA
@omyhaby19123 жыл бұрын
Exactly
@frankdanford82454 жыл бұрын
Unajua ni nini unachokifanya aujawahi kukosea ktk sauti yako Grace
@lawijude23273 жыл бұрын
I really like this song 💕 @ Grace Matata. Thank you. Keep going gal...