post video zako zote na nyimbo zako katika hii channel au account hii ili iwe rahisi kuzipata zote hata za mwaka juzi post tuzipate hapa sio mpaka tuende kisesa production
@Lake_zone2 жыл бұрын
Harafu pia uwe na account instagram na facebook ili kazi zako kila mtu zimfikie kila sehemu ikiwezekana hata tiktok