Hongela xana bro kwa nyimbo nzurii kila unayotoa hua nakuelewa sana
@josephjohn54 күн бұрын
Kazi nzuri sana ndugu yangu gude Piga kazi mpaka tukubali wasukuma na wanatanzania
@jumamarco-mh1hg5 күн бұрын
dah hii kazi Iko poa sana maana mashaili imepangiliwa safi pia mziki safi sana mdogo wangu gude gude chapa kazi kwenda mbele
@MalumulaMayala5 күн бұрын
Gd gd pamoja san kaka buhongwa Kwa king msukuma. Unanipata kaka uko vzr sana
@MtakiMayunga5 күн бұрын
Sahihi wimbo wa mafundishooo.wenyeenjumbeeee
@PogbaDasilvajr5 күн бұрын
Kaka gude gude umewashika Kila Kona ni nyimbo zako na kitu kikubwa ni unaheshima sana kwa jamii na nyimbo zako ni za maadili endelea hvyo kaka Mm ni shabiki yako namba1 kutoka KAGONGWA KAHAMA
@mrishobulabo80145 күн бұрын
kazi nzuri sana kaka endelea kuiweka segese kwenye raman i ya Dunia
@DelightfulHibiscus-bs9rl6 күн бұрын
Am from Malawi but I like to listen this traditional songs ❤
@MbashaRobertКүн бұрын
Thank you pal, we are doing every effort to spread our African traditional world wide.
@Malulu-z6g6 күн бұрын
Kazi mpya wapeleke kaka 🎉🎉🎉
@MalumulaMayala2 күн бұрын
Mashiri ni msenge tyuuuu
@Directordomy6665 күн бұрын
Nimeipenda hii video daaah
@LilianMasumbuko6 күн бұрын
Gude gude umebadirisha director ? Maana kazi nikali sana 🎉🎉🎉
@LilianSultan-p4r5 күн бұрын
Hongera sana kaka kwa wimbo mzuri❤ video ipo high quality🎉
@MalumulaMayala2 күн бұрын
Oya gude gude kaka huyu mashiri gideka Sy tena rafiki ank sjarizika kabixnire nyimbo yake ya bharengi ni msengi tyuuuu adiii anamtukana bahaty duuuh gude gude yure Sy rfk kk yare ni kichomi kaka????😢😅😢😅😮❤❤❤❤
@cosmasjulius2946 күн бұрын
❤Gude hujawahi kukosea, nataman siku ya harusi yangu uimbe
@Malulu-z6g6 күн бұрын
nakumbari San. omaluhoooo,💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@stevenobure82415 күн бұрын
Ambao siyo wasukuma lakini tunapenda nyimbo za kisukuma likes hapa ❤❤❤
@djmusakasekesetz81266 күн бұрын
Nakubali Gude Gude Tayari Katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda Kama Yote 💪
@StevenPhilipo199986 күн бұрын
Nimekuwa wa Kwanza kuchukua nyimbo mpya tayal ipo kwa Stivu macomputer nyalubanga Geita vp unanipata❤❤
@LucasPangarasi6 күн бұрын
Iringa imetufikia ong'wise ❤❤
@Tonnyherima3 күн бұрын
❤❤❤❤ pamoja sana bro sema tu nimecherewa kucommet couunt yangu ile niliifugia kwa bahat baya sasa bro twende kaz pamoja Sana enderea sana kuimba
@JoyceSindibu4 күн бұрын
Hayo ndo matunda ya uvumilivu pamoja sana
@NyandaNkingwa-z6f6 күн бұрын
Camera kali ❤🎉🎉🎉🎉❤
@fikiripaschal84386 күн бұрын
Good job broo
@Dj_faida-fm5 күн бұрын
Wapi dj faida kutoka bulige nimetinga muda
@Mobrandstudio6 күн бұрын
Kali sana
@NKwigwa4Gmwanasebha6 күн бұрын
Wakwanza leo like zangu nimepita nayo
@RamadhanOmary-m3y3 күн бұрын
hii ya mwaka gan
@DaudiSamweli-zk2odКүн бұрын
Kaka tafadharii naomba namba yakoo mwezi wa kumi nina jambo langu
@JaphetKukumaji3 күн бұрын
Umeti sha
@joshuaezekiel52686 күн бұрын
noma sana nakuelewa sana
@EliusDeus-n3dКүн бұрын
We unaemtukana mashil mshenztu alikua anashaul bana
@mitasaida36514 күн бұрын
Safi sana
@HamisiMasesa-sb9vi6 күн бұрын
Uhakika🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@shavakhantz79605 күн бұрын
Baas kaka inatosha kuwaimbia watu imba nanyimbo zakijamii kma ichola mama neema ilange mbiyi nanyingne nyingi
@DottoJastine4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
@kachelengwa6 күн бұрын
Kumekucha😂😂😂❤
@MalumulaMayala5 күн бұрын
Aise Mani utawaua
@Vdjspaybaddest5 күн бұрын
Tuko mwaka 2025 mbna tena kazi imeendikwa 2024 tulikotoka au sijaona vizur😢😢
@gudegudetz79705 күн бұрын
Samahan kaka hii tuliishuti 2024 ndomaana tukaiandika 2024 zipo za mwaka huu nizaujumbe utazionatu 🎉🎉🎉❤❤❤
@Vdjspaybaddest4 күн бұрын
@gudegudetz7970 je audio ndo muwe mnajiqchia ili watu wawe Wajua mapema ili mnapofanya mambo ya short I've watu wameisubiria na kufanya watu waitegemee video
@MusaNoely-zy2bgКүн бұрын
kazi nzuri kaka wabheja sana
@mageletz5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@amosmacompyuta10156 күн бұрын
🎉🎉
@Kisholongakisalya6 күн бұрын
Uhakika
@JumaLukanya-i7w5 күн бұрын
Tajir wa maluho
@faustinmedia89235 күн бұрын
👊
@GabrielJames-p1t5 күн бұрын
Eti wajinga wanakulinganisha na dago mashili wew utabaki kuwa mkubwa tuu 😂😂😂