Limbu luchagula x Mayiku sayi ft Shule_Zilipendwa_Official Video 4K

  Рет қаралды 485,498

Migera Studio

Migera Studio

Күн бұрын

Пікірлер: 360
@josephphalesi9735
@josephphalesi9735 9 ай бұрын
Oy unajua mpanka unakela😅😅😅 wangapi waludia kama mimi😂
@michaelmakenzi
@michaelmakenzi 8 ай бұрын
Dancer mwenye brichi hatari fire
@JophasJohn-oh8zu
@JophasJohn-oh8zu 10 ай бұрын
Mimi ni masai ila huu wimbo nimeupenda kwa kweli kwanza hawa wanao dance ni moto hongela kaka❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MathiasMaswilla
@MathiasMaswilla 8 күн бұрын
Kwanza najivunia sana kuwa msukuma,pili wimbo ni bora sana,unaelimisha,unaburudisha,tatu,madance ni wasafi sana,2024 huu ndo wimbo wang boraa.
@DeagratiasBachuta
@DeagratiasBachuta 9 ай бұрын
Tumekiwa sisi wat wa Mara tumekuwa tumewajuwa Baz ya wasanii IL Sasa huy yup fom sana
@josephsanduli.5216
@josephsanduli.5216 10 ай бұрын
Credit nyingi zimuendee Mayikusai ni moto mkàli🔥🔥🔥🔥🔥
@deucdeucmathias3562
@deucdeucmathias3562 8 ай бұрын
Jamaaaa wametisha Sana from Arusha ✓
@neemakiganga2580
@neemakiganga2580 10 ай бұрын
Hongera Mama angu kuwa msukuma
@meddyjnr4892
@meddyjnr4892 10 ай бұрын
Limbu
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 9 ай бұрын
Kazi wanayo kaka karibu sana shabiki yako niko China 🇨🇳 ngwanzuuuu haaap
@josephphalesi9735
@josephphalesi9735 9 ай бұрын
😮😂😂😂
@Anna-qn4dn
@Anna-qn4dn 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@JacklineJames-i5o
@JacklineJames-i5o 5 ай бұрын
Ntafikaje China namim jomon
@PeterNaman-i6x
@PeterNaman-i6x 2 ай бұрын
Hongereni ndugu zangu kwa ujumbe mzuri. Huu wimbo naupata vizuri nikiwa KARATU
@EmmanuelwillfredEliasjohn
@EmmanuelwillfredEliasjohn 4 күн бұрын
Commando uko vizur by kisenha Jr ❤
@winifrindamede5482
@winifrindamede5482 10 ай бұрын
nimeutafutaa siku ya tano ndo nimekuja kupataa😂😂😂 honger ndgu umewenzaa
@exaverymbembat5040
@exaverymbembat5040 7 ай бұрын
Waooo nimependa huu wimbo wasukuma tupo pamoja
@PeterMatonange
@PeterMatonange 10 ай бұрын
Upo vizuri, jitahidi tu ujue kuwa jamii unayoiimbia inabadilika kulingana na mda... Ukitoa nyimbo inayohitajika na jamii kwa wakati huo, utateka mashabiki wengi
@HamisiMasesa
@HamisiMasesa 10 ай бұрын
Nakuaminia san kaka miger ujawah hufeli hata siku moja kaz zuri sana
@stephanshilingi
@stephanshilingi 10 күн бұрын
Mimi nipo kibindu mulima wa madin tanga 🇹🇿
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
❤❤❤❤ wimbo huu nimeutafuta mda mrefu hatimae nimeupata much love from kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 10 ай бұрын
Boss wangu Migera umetisha sanaaaaaaaaaaa kwenye video hiii gharama ndogo video Kali ndo tunaita ubunifu kulingana na kitu kilichopo nimependa sana background ya Sayi wale masister wanaendelea na mishe zao uku yeye anaimba ukweliii umetisha sanaaaaaaaaaaa Alafu kanyimbo katamu bwana huwezi kusikiliza Mara moja lazima urudie Tena Mnyama 🦁 katisha Zilipendwa
@MigeraStudio
@MigeraStudio 10 ай бұрын
Asante
@MusaKahena
@MusaKahena 10 ай бұрын
Nakupenda Sana huo mwimbo
@vumiliapetrepaul462
@vumiliapetrepaul462 Ай бұрын
Nilivyokua natafuta huuu wimbo kama hela hatimae nimeupata umekua ring ya harus usukuman hasa kwa wazeee hongeraaaaa kaka
@MwajumaMaulidi-p2u
@MwajumaMaulidi-p2u Ай бұрын
Napenda mnavoitana❤❤❤ wavejaa nkulwaneee 😂😂
@marlopharle9199
@marlopharle9199 10 ай бұрын
limbu hao vijana wawil umekomaza kwan wanaweza kuimba ila kumbka huyo shule mwishon mwa wimbo kuna mistar kanipangia imenyooka kama rula hapo mshamba apite mbar Ahsanten kwa kaz zuri
@mobigo2mobigo
@mobigo2mobigo 9 ай бұрын
🎉mumeupiga mwingi
@dmmkemia614
@dmmkemia614 10 ай бұрын
Nimesikiliza vzr nimerudi tena Ku COMMENT yule jamaa anajiita MAYIKU kumamae muacheni kabisa na anaonekana kama kasoma mbn jamaa
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 10 ай бұрын
jamaa anaakili sana huyu na anajuwa kusoma fresh tu...Msanii wangu wa pendwa kwa miaka miwili sasa
@HusseinKhamis-g2h
@HusseinKhamis-g2h Ай бұрын
Kaka umetsha Niko pwan lakn Kama Niko ngudu ❤❤ Kaka zilipendwa imepenya kwenye mioyo ya watanzania haswa wasukuma
@AbdunasibuNasibu
@AbdunasibuNasibu Ай бұрын
Limbu luchaguka
@luponejabusunge7609
@luponejabusunge7609 5 ай бұрын
Chombo matata Sana hii safiiiiii ilifaa iitwe Nisandale.
@W_Konk_Tm
@W_Konk_Tm 10 ай бұрын
❤kaka sio limbu mnyama na watoto wake bas mungu tusimchukie kwa alicho tupa kiufup salute kwa wote directed na wasanii wetu😂
@sfggf468
@sfggf468 10 ай бұрын
MIGERA wewe ni director wa Kimataifa
@meshackmagembe4280
@meshackmagembe4280 3 ай бұрын
Nawafatilia nikiwa hapa Dodoma makao makuu ya nchi ,nyimbo tam sana haichoshi kuisikiliza❤❤
@Emma562
@Emma562 9 ай бұрын
Bana eee,,Siwagi shabíki yako kwa saabu ya nyimbo zako za dharau ila hapa hahahahàaaaa sina jambo umeuwaaaaaa
@josephdomi9393
@josephdomi9393 9 ай бұрын
Tafuta mali usimchukie jamaa😂😂
@josekipara5165
@josekipara5165 9 ай бұрын
Hiii nyimbo umeua sana mnyama nailudia rudia
@MarrySteven-ly3ls
@MarrySteven-ly3ls 9 ай бұрын
P
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz Ай бұрын
Shukuran Sana kwa Limbu pamoja na Vijana wake Ikiwemo Migera Studio tunainjoy Sana hasa Sisi Wasukuma Hongera Sana kiongoz
@babapatricia6745
@babapatricia6745 3 ай бұрын
Producer kafanya mdondo heavy, waimbaji super sana, madancer huuuuu 🔥🔥🔥, kifupi mmetisha sana, ngoma naangalia muda wote bila kuchoka ❤
@nurudinihamisi-le3lq
@nurudinihamisi-le3lq 9 ай бұрын
Shemejiiii umeupga mwingi snaa 👍👍👍
@PetershilagiDaniel
@PetershilagiDaniel 17 күн бұрын
Hongera sana endelea kuelimisha jamii
@ELIZABETHNNKO-e6j
@ELIZABETHNNKO-e6j 25 күн бұрын
Wimbo mzuri jmniiiiiii ingali mim sio msukuma
@JigangaMayanzani
@JigangaMayanzani 10 ай бұрын
Jamaa kwenye ngoma hii ngosha ulitisha kazi nzuri sana
@NgasaPeter
@NgasaPeter 7 ай бұрын
Ngoma ikifikia nisaandale ndo inakuwa hatar aiseeee Hawa jamaa nouma sana
@TweveAdili
@TweveAdili 9 ай бұрын
aseeeeee vijana haoo watatu yulee wa katikati namkubali sana namwitaga ikram
@fabianlufitola4452
@fabianlufitola4452 6 ай бұрын
Mayiku Sae ndio aliimba vizuri, ndio kaupendezesha wimbo.
@msomezsaid
@msomezsaid 5 ай бұрын
ni yupi kati yao?????
@hamisaramadhan-ft9mi
@hamisaramadhan-ft9mi 27 күн бұрын
Waoooo! Mbona mfupi hvyo. Tu.
@michaelbindala354
@michaelbindala354 10 ай бұрын
mwamba kwelikweli kisasa zaidi🙌
@AminathaIDDI
@AminathaIDDI 23 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤najisifia kuwa msukuma ❤naipenda hii sana
@athmanjc1649
@athmanjc1649 3 ай бұрын
Naomba kuelewa maana ya huu wimbo Una ujumbe gani of course naupenda
@erickernest999
@erickernest999 10 ай бұрын
Isee hii ngoma kali sana! Kiujumla mmepambana sana
@paschalmatinde321
@paschalmatinde321 8 ай бұрын
Hyo style walocheza hao jamaa n fire
@peterjosephnzegatvnzegaasi5681
@peterjosephnzegatvnzegaasi5681 10 ай бұрын
Kazi zako ni Top bwana Migera 💯💯
@ElishaMbitiyaza
@ElishaMbitiyaza 21 күн бұрын
Limbu luchangula mi mshabiki wako Niko mbeya piga kaz kaka
@GraciousWilliam
@GraciousWilliam 9 ай бұрын
Nimeupenda Sana hu wimbo ❤❤❤❤❤❤
@Yohana.Yohanamaige-yf5kv
@Yohana.Yohanamaige-yf5kv 8 ай бұрын
kweli
@petrovisent3805
@petrovisent3805 10 ай бұрын
ata nyanda madilisha alienda kwa staili hii mm nimshabiki wako lakin acha kuimba kwa sifa👏👏🙏
@RobertSalum-vs9oj
@RobertSalum-vs9oj 7 ай бұрын
Hili jamaa kwa sasa waimbaji wa kisukuma wakae mbali kwa kweli , bhaghosha yee hatari eling'wana lyene ♥️♥️🥰🥰🙆🙆🥰🥰🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@StivenMtata
@StivenMtata 15 күн бұрын
mimi siyo msukuma ila nyimbo za kisukuma napenda sana ila huyu jamaa kwenye hili biti aliua mpaka kakelaaaa
@NduluAndrew-l5l
@NduluAndrew-l5l 2 ай бұрын
Ndulu jilala mama popote ulipokaa hongera kuwa msukuma mwanao nainjoy na kwetu
@PetroAmos-o5s
@PetroAmos-o5s 2 ай бұрын
Ngoma Zur shida majingambo megi sana
@RebeccaRebecca-my1jt
@RebeccaRebecca-my1jt 4 ай бұрын
Mnaocheza mungu awatuze mnajua hatali 😂😂😂😂 naenjoy kuwatazama❤❤❤
@augustinosabuni-pu8bq
@augustinosabuni-pu8bq 9 ай бұрын
hatamm naupend san nimeangaika kuupata 😂😂😂😂
@Benson-cw3ob
@Benson-cw3ob 8 ай бұрын
Hongera kwa kaz nzur
@malibabashuduma
@malibabashuduma 10 ай бұрын
Wabheja simba na watoto wako, ngoj nitafute hela ,mje mnifulahishe❤❤❤
@MwanaidyHamis-rg1pu
@MwanaidyHamis-rg1pu Ай бұрын
yaani nimehangaika kutafuta hii nyimbi jamni nimewapenda Bure wasukuma
@TinaJohn-p8d
@TinaJohn-p8d 3 ай бұрын
Nimerudia zaidi na Zaid!! Ngoma tam sana haichoshi kusikiliza❤❤❤
@JoyceMapesa-f7c
@JoyceMapesa-f7c Ай бұрын
Hahaha 😂😂 wanaume mkigeuka makalio mmmh inakuwa mbaya mbaya
@hazarikipingu2865
@hazarikipingu2865 9 ай бұрын
Mmi msambaa ila hii nimeikubali❤
@nmdlabeltv7707
@nmdlabeltv7707 10 ай бұрын
Migela unatisha kama ukoma✍️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎹📷📷📷📷📷📷📷📷📷📷📷2️⃣0️⃣2️⃣4️⃣
@JosephRamadhan-d4c
@JosephRamadhan-d4c 10 ай бұрын
Sema ngoma kali sana na ipo 🔥🔥🔥🔥
@satobuzelengule3304
@satobuzelengule3304 6 ай бұрын
Maiku sai kunamaua yake hapa Jin's anavyodance nikiwango Cha juuu
@MafayoChibuga
@MafayoChibuga 7 ай бұрын
Salute sana simba mnatisha
@ZuwenaIddy-dj2nw
@ZuwenaIddy-dj2nw 9 ай бұрын
Nakukubali sana limbu ❤❤❤❤❤❤❤
@SadaShabani-ib4cs
@SadaShabani-ib4cs 2 ай бұрын
Ogejagi dohoooooo🔥🔥🔥🔥
@Director_Kitindi_Complete
@Director_Kitindi_Complete 10 ай бұрын
Ticha wangu utawauwa poza kidogo😁
@SophiaMwambi
@SophiaMwambi 7 ай бұрын
Wabeja sanaa kaka
@KashinjeShija-rk9fv
@KashinjeShija-rk9fv 5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 ongeza moto ni muda wako mnyama wimbo ubadilishe uwe Nisadale Lakni mayiku sai anakuzidi usharobaro anaishi wapi yeye
@ZachariaKidiga
@ZachariaKidiga 7 ай бұрын
Bhagosha aya amimbo lulu aha daaah!!
@SaidWilison-gi7zj
@SaidWilison-gi7zj 10 ай бұрын
Hongera sana namukubali sana limbu luchagula
@MigeraStudio
@MigeraStudio 10 ай бұрын
asant
@yohanasuguta223
@yohanasuguta223 9 ай бұрын
Nakukubali mwamba mungu akusimamie.
@Ngwanasamaka
@Ngwanasamaka 10 ай бұрын
Kasema ukweli wake jamaa yupo sawa❤❤
@gushahanhale79
@gushahanhale79 5 ай бұрын
limbu nyimbo zako zinapigwa hadi huku dar na pwanic
@GhatiNyamhanga
@GhatiNyamhanga Ай бұрын
Kiukweli huu wimbo japo mimi ni mkurya ila siwezi kulala bira kuusikiliza
@DaudNgusa-b9b
@DaudNgusa-b9b 3 ай бұрын
Pongez kwa kudumisha asili yetu wasukuma safiiii
@ChazzyJohn
@ChazzyJohn 3 ай бұрын
Safi sana hii imeenda .
@dmmkemia614
@dmmkemia614 10 ай бұрын
Kuanzia dakika ya 5 adi mwisho duuuh apo ndo nimekoshwa asee walah💥💥💥🙄🙄
@dicksonmakoye3690
@dicksonmakoye3690 2 ай бұрын
waskuma yujuane naisikiliza kutoka Europe,hii nyimbo daaaa
@JafarIsale-dv9ld
@JafarIsale-dv9ld 20 күн бұрын
Mmmnh kuna huyo Mayiku ni hatariiii
@Felister776
@Felister776 10 ай бұрын
Nimeipata jamani sku tatu niko KZbin 😂😂😂😂nipeni like
@stephanocyrilo1384
@stephanocyrilo1384 10 ай бұрын
Kipande verse ya mwisho ya mayiku sai ni moto❤😊😊
@jescafungameza7852
@jescafungameza7852 8 ай бұрын
Wewe ni mimi😂
@AgnesSekenya
@AgnesSekenya 8 ай бұрын
Naparudia sichoki😋😋😋
@AnnaBoniface-jy4me
@AnnaBoniface-jy4me 7 ай бұрын
Naipataje jaman audio
@ShiguluMasunga
@ShiguluMasunga 6 ай бұрын
Matukio sayi
@peterndutu8885
@peterndutu8885 9 ай бұрын
Iko poaa sana mkuu hongera
@CosmasGelema
@CosmasGelema Ай бұрын
Ngoma kali sana wasukuma skuhiz twakimbizaaa
@littlebloom6910
@littlebloom6910 8 ай бұрын
Limbu najiona tuko pamoja sana
@RjRj-p3e
@RjRj-p3e 3 ай бұрын
Aiseee mnajua nyie watu nalangwa nukabyaji kuyeja yeja mamlani👌
@JoyceAndongwisye-l2k
@JoyceAndongwisye-l2k 5 ай бұрын
Mayiku ameua kuimba hadi kucheza❤
@veronicandigwa1615
@veronicandigwa1615 2 күн бұрын
wasukuma tunaweza❤
@ReginaLifa-i6t
@ReginaLifa-i6t 8 күн бұрын
shida yake huu jamaa mambo yake sio kabisa
@ShabirKhalfan
@ShabirKhalfan Ай бұрын
Umetishaaa sanaaaaa komando gentle man
@morisernest6528
@morisernest6528 5 күн бұрын
Nimemaliza miez 4 naitafuta hii ngoma
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉dance brich ako single nolo natongwaa
@Anna-qn4dn
@Anna-qn4dn 9 ай бұрын
Wa kwetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KisendSuleiman
@KisendSuleiman 3 ай бұрын
Nakkubar sna mkuu nitmie no yko limbu
@MathiasMaswilla
@MathiasMaswilla 8 күн бұрын
Wale madance watatu wakiume limbu ucje ukafanya ukawaacha itakungarimu haoo ndo kila kitu
@RebeccaRebecca-my1jt
@RebeccaRebecca-my1jt 4 ай бұрын
Nyie mnaocheza tumuombe mungu msife tafadhali 😅😅😅😅😅
@AzizuKasimu
@AzizuKasimu 4 ай бұрын
Shule nimekuelewa uko vizur saana❤
@ImanImanIbrahim
@ImanImanIbrahim 9 ай бұрын
Nakubali sana kwet sengerema
@misanarichard4503
@misanarichard4503 10 ай бұрын
Kongole kwako unajua aseeeeeeeeeeeeee❤
Limbu Luchagula ft Mayiku Sayi _Sara_Official Video 4K
12:15
Migera Studio
Рет қаралды 181 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Nyakabaya ft brother k  - wazushi
13:47
Steve touch production Steve touch production
Рет қаралды 1,4 МЛН
Limbu Luchagula ft Mayiku Sayi_Bhasembi Official Video 4k
10:09
Migera Studio
Рет қаралды 118 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 843 М.
Elizabeth Maliganya - Gushoka Kaya (Official music video)
6:00
Elizabeth Maliganya
Рет қаралды 526 М.
Kukumaji ndubula nhonge
10:08
KUKUMAJI NG'WANA NDULU NDUBALA
Рет қаралды 38 М.
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
9:11
Azam TV
Рет қаралды 941 М.
Limbu Luchagula Nisandale Mnyama Mwakuhenga Music
3:20
Masanja Kuyanja Wa Mwakuhenga Music Tz
Рет қаралды 33 М.
Bahati Bugalama - Bhuhabhi |Official video
15:29
Makula Studios
Рет қаралды 318 М.
KISIMA _MADENI OFFICIAL VIDEO
9:29
Kisima Majabala
Рет қаралды 171 М.
Mayiku Sayi_Jela_Official Video 4K
13:15
Migera Studio
Рет қаралды 142 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН