Hakika hii nyimbo kwetu inapiga sana kaka kazi nzuri kwer🎉🎉🎉
@christophermaratho50952 күн бұрын
nakukubal san
@msomezsaid2 ай бұрын
hongera sanaa gude, umeubadilishaa mziki, ni mwendo wa vina na mizani, okoniloga neneee bota mpogomi mpaga masamva,olo olekanejaa mwananengo natoshika ne tanga, hiyo nyimbo naipenda mno, tinginaga nse
@WilliamMaziku-l9c2 ай бұрын
Hahaa😂😂😂😂😂 hapa aliwaacha njia panda watu wengi.
@ShukuruNkwabiАй бұрын
Umetisha sana nyimbo yako nzuri sana
@MalifedhaMachimu7 күн бұрын
❤❤❤❤❤ nakubari sana kaka kwa nyinbo zako hongera sana
@MayengDulu2 ай бұрын
Hatali sana Kwa kazi kama hii tunakuamini sana kaka gude ❤😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@MashakaDandu2 ай бұрын
Nakukubali sana kijana PGA kazi mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe, uciwajali hao jaribu kuepuka marafiki wanafiki, wanakujia kukuharibia sifa, achana nao we piga kazi
@thentuzumusic2 ай бұрын
Kazi zuri sana mbasha wamefanya
@JoyceSindibu2 ай бұрын
Nakubali kaka na KAZI yako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MasumbukoMajala-o1g2 ай бұрын
Kaka upo vizuri sana endelea kujituma
@MussaKatanga-i8s2 ай бұрын
Kaka gude soma meseji za watu hapo nahitaji na mimi uje kwetu kwenye harusi uimbe nyimbo kaka nakupataje apo ❤
Ngosha amembo ghako galenilange itale sana endeleaga kutwimekeka abazunayo tufate haki na ma bute garefaida sana 💪💪💪
@upendosarakasifamilly25352 ай бұрын
Kaka uko vzr sana kazi yako inaoneka kazi zr xn
@kachelengwa2 ай бұрын
Kazi safi sana kakaangu ❤❤
@issaLamadhan2 ай бұрын
Mwamba unatisha san maua ako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@siyeyetv2 ай бұрын
WA MSEKI🎉🎉🎉🎉 hii ni noma sana
@pastorychagata8902 ай бұрын
Deejay dayun from sumve kwimba mwanza nimekuwa wa kwanza kuiview na kidownload kazi nzuri brother
@CharlesMashaka-gv7mo2 ай бұрын
Good work my brother
@JumaLukanya-h2u2 ай бұрын
From Dar Kaz tumeipata ya 🔥🔥 sana
@GulgulMalambo2 ай бұрын
Maguru mangu umetisha kaka
@PogbaDasilvajr2 ай бұрын
mfalme mpya ndan ya muzik wa asili leo nakupa namba 1🎉🎉
@mrishobulabo80142 ай бұрын
Director kandolo video zako zinafanana sana Kuwa mbunifu zaidi kila video tuone utofauti kuanzia mpangilio location na muda wa kushooti Kazi hii ni nzuri ni hayo tyu kutoka Kwa ticha ticha
@ANKOZUBERI8812 ай бұрын
hongera sana kaka
@AndrewKelvin-u6o17 күн бұрын
Jua Bro hini nvomber namoba like hata moja tu nifulai
@LaurentSabaya-xc3uu2 ай бұрын
Kazi nzuriii
@ZainabuMathias-x6p2 ай бұрын
Jamani taratibu msije niulia mtoto wangu ingawa anakipaji
@Devilinintungwawc2vk2 ай бұрын
Mikono nanyosha juu kwa kaz zako hukati tama japo unapigwa majungu piga kaz ❤❤❤
@mwadawaibrahimmohamed608915 күн бұрын
Fire❤❤❤
@StevenPhilipo199982 ай бұрын
Stivu macomputer nyalubanga nimekuwa wa Kwanza kuchukua nyimbo
@gudegudetz79702 ай бұрын
Nashulu
@MaluguyangaMalugu2 ай бұрын
KAZI nzuri
@fikiripaschal84382 ай бұрын
Fikiri sound hapa kaz nzuri sana kaka lakini kaza buti
@thentuzumusic2 ай бұрын
Mbasha wanajua kukutegenezea mziki mzr
@MpembaseleMathias2 ай бұрын
Hay nawavumilia naitaji hiyo nyimbo 2
@mussashilinde64442 ай бұрын
W20tz❤❤
@AnthonyjohnPamba2 ай бұрын
Umetisha
@GongoAsili-g5y2 ай бұрын
Mm niwakwanza kuitazama hii Kazi kua makini na ma DJ Kuna ma DJ wengine wanahalibu kazi
@IBRAHIMSEIF-u4wАй бұрын
Nimeielewa hii nyimbo
@MpembaseleMathias2 ай бұрын
Kaka nyimbo zako zina ujumbe
@SAMStudio-u3y1g2 ай бұрын
Yaan ndo wanavyokuwagawakishapata jina ustaa unawafanya watuone hatuna maana kabisa wakati mtu anapotoa comment ni jambo zuri sana lakini wanajifanya hawaoni ama kweli huu usitaa jamani ni bora kama angekuwa na like hata comment zetu
@MbagaNdebile2 ай бұрын
Gude gude tajili wa maruho unatisha kaka
@AthumanRasta-w7l27 күн бұрын
Ndiooooooooooo
@christophermaratho50952 күн бұрын
i love this song
@mabalaVideostudio2 ай бұрын
Gude tunapofanya comment kwenye kazi yako ebu jalibu kutujibu kaka maana inakuwa kama hutuoni vile niombi tu lakini nkwingwa
@gudegudetz79702 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@SAMStudio-u3y1g2 ай бұрын
Ulichosema ni kweli kwa Sababu wakipata jina ustaa unawafanya watuone hatuna maana kabisa wakati mtu anapotoa comment ni vizuri kwa Sababu hatumtukani ushauri wangu si vizuri kutokujibu comment
@HajraRamadhan-x5f2 ай бұрын
Kwelii yan mm naamua bora nisicoment kaa najichoresha hajibug chochot at like hakuna
@HajraRamadhan-x5f2 ай бұрын
Kwelii yan mm naamua bora nisicoment kaa najichoresha hajibug chochot at like hakuna
@mabalaVideostudio2 ай бұрын
Kashaskia(sisi ndo maproducer wao tupogo kimya hatunaga makubwa kikubwa nishibe tu nichafue kibodi sooo kasha niaskia nkwingwa
@ZainabuMathias-x6p2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@sarahmarko77552 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤👍👍👍👍
@JaivaWakisukuma2 ай бұрын
Imekaaaaa
@jimodefighter2 ай бұрын
Brooh umepoa xana
@djmusakasekesetz81262 ай бұрын
Katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda 💪
@kulwamaguzmaguzu22022 ай бұрын
Mm kaka nakubali nyimbo za kuimba Kwa nafac yako ila hizi za kuimba kwa watu haziko fea kama unavyoimbaga zakwako kaka jitaid kuimba yakwako bila kumwimbia m2
@mageletz2 ай бұрын
nzuri
@SAMStudio-u3y1g12 күн бұрын
oya mbona umeitoa Tena kaka Ile video
@SendamaMatondo2 ай бұрын
🎉
@innocentebarnabas461521 күн бұрын
Kaka naomba namba zako nataka hiyo dawa yasaramba
@HonnaJemusi2 ай бұрын
Nakubary
@NuruNswebe2 ай бұрын
Maisha yako kasi jamaa kila nyimbo nikusifia uganga tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bonifacehamis40882 ай бұрын
Hana ubunifu wowote 😂
@msomezsaid2 ай бұрын
punguza chuki, mbn nyimbo zpo hajasifiaa uganga😂😂
@josephjohn5Ай бұрын
@@bonifacehamis4088aliekwambia dunia imetawaliwa na pesa na dawa ulifikiri alikosea?
@josephjohn516 күн бұрын
Chuki za kutumwa hizi
@SNAKETV202 ай бұрын
Kandolo on form@
@BennyNgelangela2 ай бұрын
Mpaka sasa cjajua wimbo wa julila ng'oma kama ni full au nikipic maana siioni , na watu wana post tu nyimbo kiholela naomba bas utuwekee kwa account yako unapotoa mzigo mpya ,alafu hiyo ya julila ng'oma naitaka sana ndg yang
@isayasaimon28952 ай бұрын
jamaa uko sana nakubali chapa kazi
@bigtimetz2 ай бұрын
Gude tunaomba nyimbo zako za audio uwe unaziweka kwenye akaunti Yako maana tunahangaikaga sana kupata kazi zako Za Audio nyimbo zinawekwa kwenye akaunti za watu wengine bila mpangilio tunaomba ili kazi zako tuzipate kwa wakati. GUDE GUDE "tajiri wa maluho"
@gudegudetz79702 ай бұрын
Sawa
@MarcoSupana-w4x2 ай бұрын
Sie mashabiki wako uwe unatumia account ako nyimbo kutuma