kisima _Bhazunije Official Audio

  Рет қаралды 112,538

Kisima Majabala

Kisima Majabala

Күн бұрын

Пікірлер: 256
@busungu_tv
@busungu_tv 8 ай бұрын
Kisima majabala seeema tukupe nini mashabiki jamaaan nawaomba wasukuma wote kila kona tumpe supports msanii wety azidi kufanya vizuri zaidi ya hapo maana juhudi zake zinajidhihirisha kabisa kuwa amekuwa msanii mwenye mashairi safi, nyimbo zenye mafundisho na maadili, nyimbo amabazo ynaweza kusikiliza ukiwa na familia hakuna matusi wala maloloso yaani nyimbo haina KAVIVI💥💥💥💥💥KISIMA💫MAJABALA💫💥💥💥
@ibrahimbaraka5262
@ibrahimbaraka5262 8 ай бұрын
Umeniliwaza kisima nilikofikia najilaniangu niligonge alisikilize blo nakukubali nakuombea uwendereye namungu akubariki upatekingi zaid mungu yupo nawew❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@imanwelisuby
@imanwelisuby 8 ай бұрын
Kweli hii nyimbo iko vzl wapizan lazima wajipange hawatakuweza zindi kuwakela baka wachoke wenyewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@IkambulaMtunga4670
@IkambulaMtunga4670 8 ай бұрын
Piga kazi Mwamba mtu yoyote anayejitambua lazima aheshimu unachokifanya wewe ni mtu wa watu kazi yako ishaonekana kitambo na ikashemika kwa kila mtu Mungu tu ndiye mwenye uwezo wa kushusha piga kazi kwenda mbele hakuna kurudi nyuma tupe tunachostahili mashabiki zako na sisi hatutachoka kukusupport. Majabala Traditional Culture. 👏👏👏👏💪💪❤❤🙏
@massanja221
@massanja221 8 ай бұрын
Goma kali sana 🎉🎉🎉🎉 greatest singer in wapi jaman! Sukuma land tribe
@kadegeasilitv-zt9bv
@kadegeasilitv-zt9bv 8 ай бұрын
Nitacoment mara moja tu ....ni kwamba....ulichokifanya kutoa nyimbo sehemu mbali mbali. 👉🙏. umefanya vzr sanaaa moja wapo wa kujua sehemu gn nafeli kimziki lkn kufikia hapo nakupa👉🙏🙏🙏🙏%%%%%%zote
@silasmatanga9125
@silasmatanga9125 8 ай бұрын
Nazunije nyanda
@AlliPo-21
@AlliPo-21 8 ай бұрын
nilikuwa nasubil nyimbo ya kibabe kama hii 👍👍👍👍👍
@MasanjaSamweli-b3r
@MasanjaSamweli-b3r 8 ай бұрын
Unaakili sana MWAMBA , na cku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe kaka , Niko nawe MWAMBA mpaka wakuue
@Director_Kitindi_Complete
@Director_Kitindi_Complete 8 ай бұрын
Kisima wewe Ni Msanii Namba Moja Duniani kwenye Asili Mimi Ndio Nasema Sasa❤❤🔥🔥🔥
@SAGANDANDAKILO-h9d
@SAGANDANDAKILO-h9d 8 ай бұрын
Nakuelewa sana ndg, nitazidi kuwa shabiki wako. Kisima Mungu akubariki sana
@NeemaMchele-y1t
@NeemaMchele-y1t 3 ай бұрын
Daaaah kwakwel hii nyimbo inanipa nguvu pale ninapoteswa na majungu na maneno ya wenye wivu. Mungu akuzidishie kipaji chako kidumu
@gumadambiti4071
@gumadambiti4071 8 ай бұрын
Pamoja saaana kaka angu kisima tunakupenda sana msanii wetu kisima nyumbn kwtu bariad simiyu
@emmanuelmathias876
@emmanuelmathias876 8 ай бұрын
Kazi nzuri,makini yenye uhalisia hakika Kuna Nguvu ndani Yako Mungu abariki kazi ya mikono Yako Kisima*🇹🇿 Huku Moshi tunaenjoy na Nyimbo zako bwana
@AbelIhula
@AbelIhula Ай бұрын
sisi watu wa meatu itilima.busega.baliadi.maswa tunainjoi Sana na kisima
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 8 ай бұрын
Moto fire mwaka huu Salamiti imefika tayari kwa DJ JUMA MANAMBA
@mahungujulius1788
@mahungujulius1788 8 ай бұрын
Kazi Nzur sana Iko poa mno Hongera sana
@williamjames5267
@williamjames5267 8 ай бұрын
Kisima leo nime penda sana nimekua muombaji wanyimbo zako kwa madenca wako kila mda hatimae kilio changu kimejibiwa
@BarackaSaidy
@BarackaSaidy Ай бұрын
Kwakweli hiinyimbo inanikumbusha mbalisana kipindi nilpokua nateswa naw2 wenyemajungu hakika huueimbo napa%100 kwakwel kisimaeeè bhazunije gete by baraka saidy from masubwe geita kwe2❤❤❤❤❤❤😂❤🎉🎉
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 8 ай бұрын
Mungu fundi nyanda . Majabala moto Kwa kotela khole
@KAPAGALAKAPAGALA-dl9qd
@KAPAGALAKAPAGALA-dl9qd 8 ай бұрын
Nimo ntale bokelaga nghubhi👏👏 kisima nyanda majabala. Ila aha giki ULUBHALINJONGA NANG'HO ULISHINA nani uokuminyiwa😂?
@ndeteleleoizdory2292
@ndeteleleoizdory2292 8 ай бұрын
Bhazunije nyanda gete chukua maua yako KABILA ndan🎉🎉🎉🎉
@yoshuapaul8300
@yoshuapaul8300 8 ай бұрын
Yani hapa ndo penyewe piga kazi jembe letu tunakukubali sana Bhazunije tena kwahii ohoooooo ohooo kisima huu wimbo nemekesha nausikiliza yan haiishiwi utamu
@mussanyanda-bz5xk
@mussanyanda-bz5xk 8 ай бұрын
Unafanya vzr saana pande za chato lini tumekumbuka show za nyimbo zako
@FabianMihambo
@FabianMihambo 8 ай бұрын
Wew kwa sasa ni msanii bora nakuita king kisima
@ndamozengo5986
@ndamozengo5986 3 ай бұрын
Respect kaka
@JumannemaicoThobias
@JumannemaicoThobias 8 ай бұрын
Kazi nzur hakika we nijabar
@paschalngeleja8171
@paschalngeleja8171 16 күн бұрын
Nyanda majabala ,,usichoke kuimba ,, Endelea kuheshimisha Tamaduni zetu Wasukuma, na Tanzania kwa ujumla. Mungu akujalie Maisha marefu. Karibu sana Misungwi.
@paschalngeleja8171
@paschalngeleja8171 16 күн бұрын
Hiyo nyimbo Video yake itatoka lini. Kisima
@bboyone5861
@bboyone5861 8 ай бұрын
Da kiukwer mm naona wewe namba 1 kwangu mana uwa nakukubali sana kisima🎉🎉
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 8 ай бұрын
King kisima nani anakuzingua kama vipi umle kimya kimya bila kujua
@FrancePetro-m1z
@FrancePetro-m1z 8 ай бұрын
Saf kwa kaz nzuri 👍👍
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 8 ай бұрын
Ila bhayanda ahene mletuwakisha chiza sana Sukumaland👏👏👏👏👏. Hongera sana Kisima
@josiahjohn-i8w
@josiahjohn-i8w Ай бұрын
Iko sawa hiyo nikiwa Geita nyankumbu.
@josiahjohn-i8w
@josiahjohn-i8w Ай бұрын
sawa
@ChristinaSami-dj5ej
@ChristinaSami-dj5ej 8 ай бұрын
Kazi nzuri zinajionyesha zenyewe hongera kwa nyimbo nzuri
@JohnLucas-nv2jv
@JohnLucas-nv2jv 7 ай бұрын
waoooh🎤⏮️⏸️⏭️🔊🙏✅☑️
@leticiachares727
@leticiachares727 8 ай бұрын
Dah braza natamani ckumoja nikutane nawe tubonge
@SalomeChanga
@SalomeChanga 21 күн бұрын
Bigapi kaka nainjoy nyimbo zako nipo mkoa wa daar salam nakukubali kaka mungu akuzidishie Kipaji chako kifike mbali
@FabianMihambo
@FabianMihambo 8 ай бұрын
Mmh noma sana nyimbo nzur
@lukindamangwelela4569
@lukindamangwelela4569 8 ай бұрын
Bro uko pow (uko vizuri) zaidi ya hao unaofananishwa nao kikubwa pambana tu kutoa nyimbo za mafunzo
@moseslubinza7401
@moseslubinza7401 4 ай бұрын
Talented mtu mwenye kipaji pekee katika tasinia ya nyimbo za kisukuma 🎉Familia kutoka Salawe mhangu
@DotoNteba
@DotoNteba 2 ай бұрын
Naishi moro wilaya ya maliny hakika wewe ni mwamba ninachokipenda kutoka kwako ni ki2 kimoja hata kama unaugomvi na mtu humtukan laivu unamjibu kimafumbo pa Hawes kujigundua kwa sababu haelew kama umemjib yeye pia nikutakie kaz njema salut kwako
@SimonNgwenesho
@SimonNgwenesho 8 ай бұрын
unasema kweli Kabisa hata huku morogoro tunafulahia nyimbo zako ni nzuri sana kakaa
@PascalSongo-qo4xp
@PascalSongo-qo4xp 8 ай бұрын
Dayaga Nshimba Yakisukuma🎉❤
@samwelsamwel4042
@samwelsamwel4042 8 ай бұрын
Okey very talented 🎉😮
@YohanaKimola
@YohanaKimola 3 ай бұрын
Mfalme wa nyimbo za asili saizi mwamba safi sana piga kazi mnyatuzu mwenzangu ❤
@teacherkaligodottonjige
@teacherkaligodottonjige 8 ай бұрын
🎉Kazi nzuri
@Boniphacehachili
@Boniphacehachili 8 ай бұрын
Saaaafi japo nimechelewa ila bado nakusikiliza
@JosephRobert-oz4cz
@JosephRobert-oz4cz 8 ай бұрын
Nakubali kaka nimeerewa sana nyimbo iyo
@lucaspangarasi9368
@lucaspangarasi9368 8 ай бұрын
du! hatar sana kisima ong'wise
@eliasreuben8511
@eliasreuben8511 Ай бұрын
nimeanza kufuatilia nyimbo zako bro hakika unaelimisha jamii pia elimu yako ulisoma mpk chuo kikuu degree yako unaitendea haki bro chakukushauri endelea kupambana bro sisi mashabiki zako tukopamoja sana mungu akupe maisha marefu uendelee kuelimisha jamii,
@bongotv-hd
@bongotv-hd 8 ай бұрын
Ila Kisima nahene 🙌🙌🙌🙌🙌🙌👊
@deusmusic3683
@deusmusic3683 8 ай бұрын
safi sanaaa bhazunije ,hiyo imeenda mungu akutangulie uendelee kuwapa madini ukisikia kioo Cha jamii ndo hivi sas inavotakiw maana naona umebaki wewe wa kuimba za ujumb andaa jiwe lingine kama Hilo hata lichukue mda ila likiingia liwe la moto
@EmmanuelPeter-f2j
@EmmanuelPeter-f2j 2 ай бұрын
Unanifaliji sana kisima mungu akulinde sana na akuzidishie maarifa mapya zaidi hapa❤🎉😂😂
@franklineikorogoto7135
@franklineikorogoto7135 8 ай бұрын
umetisha mwamba one of the trib tradition song KING
@YohanaKimola
@YohanaKimola 3 ай бұрын
King wa kisukuma sawizi piga kazi mnyatuzu mwenzangu ❤
@eugeniaritte9771
@eugeniaritte9771 8 ай бұрын
Tuzunyije ng'ana ng'wana wanee kazi nzr sana watachoka tuu songa mbele
@barnabastitus9952
@barnabastitus9952 5 ай бұрын
Nyimbo nzur nimeielewa❤❤🔥🙏
@HussenHatam
@HussenHatam 7 ай бұрын
Big up Sana my blood,kweli elimu ni ufunguo wa maisha kwa wenye juhudi kama Kisima by Mongo kinamweli 1 Ngudu-Mwanza Tz,now nipo Dar es salaam,Congulatulations to you Kisima.
@HussenHatam
@HussenHatam 7 ай бұрын
Corrections,congratulations instead of Congulatulations on my comment to you my greatest singer..,best wishes.
@sundimalekwa8391
@sundimalekwa8391 8 ай бұрын
Beeet na ujuzi tunatak tofaut mn nyimb zinafann
@GeorgeShokolo
@GeorgeShokolo 3 ай бұрын
Uko vzur kaka piga kazii ni kipaji kikubwa utafika mbali unatmia vzr Fasihi andishi .
@GeorgeShokolo
@GeorgeShokolo 3 ай бұрын
Msalimie sana mdogo wang doto ,,,huku chato mwaka huu hujatutembelea 😂
@MacktridaPita
@MacktridaPita 8 ай бұрын
Ahahahahaha Safi sana rafiki angu nimekukubar hiii ngoma nimeierewa sanaa❤❤❤❤❤❤
@jacksonerasto3696
@jacksonerasto3696 4 ай бұрын
Ukiendelea hivi utafika mbali unajua kupangilia mashairi nyimbo nzuri Sana likini punguza maneno kwenye mashairi yako.
@andrealoveness2875
@andrealoveness2875 8 ай бұрын
This is very good song kisima fanya zaidi usiwe unapotea sana
@AbelIhula
@AbelIhula Ай бұрын
tunaomba.mungu amuogezee kipaji
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 8 ай бұрын
watu tumekubali bado yeye tu ujumbe umeshamfikia ngoma kali sana kaka hongera kwa utunzi wako naamini kwenye video huwezi kutuangusha
@Jema2003
@Jema2003 8 ай бұрын
Oshigile ng'ewi duhu mpaga akuzunya duhu nuwei😂❤
@JohnJohnisrael
@JohnJohnisrael 6 ай бұрын
Kisima majabhala hakika mungu akulinde unpeeled kufundisha wanaoshindana na wewe hawawezi
@KingimmaKelela
@KingimmaKelela 7 ай бұрын
My brother from another mother nakukubar sana kisima 💪💪💪
@blessingmalulu3982
@blessingmalulu3982 7 ай бұрын
Congratulation my brother kazi nzuri sana umetumia hakili nyingi afu kisukuma cha ndani kabisa
@BoniphaceNghwaya
@BoniphaceNghwaya 8 ай бұрын
We noma sana
@SylvesterDonald-n5k
@SylvesterDonald-n5k 8 ай бұрын
Mimi nasema hivi kisima ni zawadi yetu sisi wasukuma kutoka kwa mungu hata mimi nasema safi chapa kazi ng'wanaume
@jersonlukinda9410
@jersonlukinda9410 8 ай бұрын
Kisima nakupata vizuri kutoka NEVADA Usa, Hongera sana brother.
@JaphetKulwa-kz1cj
@JaphetKulwa-kz1cj 7 ай бұрын
Kisima wew sahiv niharmonize wakisukuma hakuna anae kufikia mashail Yako bro bigapu sana jamalangu
@deusgamaya7763
@deusgamaya7763 8 ай бұрын
Hamna wa kubixha tena kwa kweli uwezo unajiziilixha hongera xan kaka
@First_bornKM
@First_bornKM 8 ай бұрын
Ni hatar😮
@KulwaShuga-z2r
@KulwaShuga-z2r 8 ай бұрын
Safi sana bwana mkubwa hakika ww uko vizuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 8 ай бұрын
Ukimya wako umekuja kukata kiu yote yaan ww ni zaidi ya msaniii❤❤❤
@StanleyDaud-nm9ku
@StanleyDaud-nm9ku 5 ай бұрын
Wewe jamaa kiukwel hua nafatria sana kazi zako sana hongela ikoloye. Nakukubal sana
@BennyKhane-c7c
@BennyKhane-c7c 4 ай бұрын
Wew kaka nihatari unajua sana 🙏🙏
@Saimon244
@Saimon244 8 ай бұрын
Unakubuka shalo B hap nyamala kweli miaka ming
@Mpelwaa
@Mpelwaa 7 ай бұрын
Nakumval
@mungatandassa5453
@mungatandassa5453 8 ай бұрын
Majabala ww ndoo umenifanya niwe nasikiliza nyimbo za asili..endelea kutupa madini....bila ww nisingekua nasikiliza nyimbo za kisukuma big up bro ❤❤❤❤❤
@mussapaulo4091
@mussapaulo4091 8 ай бұрын
Wewe wewe hatali sana 👊👊👊🔥🔥🔥💯💯👐👐👐
@BenjaminShilikale-i1h
@BenjaminShilikale-i1h 4 ай бұрын
wewe ni denger hatari 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@TimotheoSengasenga
@TimotheoSengasenga 7 ай бұрын
Big up my gifted and talented artist of sukuma land tribe from MTC boy
@RukongerenatusSumuni
@RukongerenatusSumuni 8 ай бұрын
❤❤Hunabaya ilitu usilewe sifa kaka❤❤❤😂😂😂
@MichaelMbushi
@MichaelMbushi 7 ай бұрын
Sawa bn kaka anatisha sana saluut kwake kisima
@ZuberyNdauli
@ZuberyNdauli 8 ай бұрын
poaw kaka hongera ur very talented
@mathiasbuban5175
@mathiasbuban5175 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@RachelFofote
@RachelFofote 8 ай бұрын
Nice song my brother 💖 ipo sku nitakuwa daci wako
@KelvinKishiwa
@KelvinKishiwa 8 ай бұрын
Kishushu bariad ndani
@HermanwilliamHermanwilliam
@HermanwilliamHermanwilliam 8 ай бұрын
Bhakugishiwa mbiti MTC Tanzania hatujawahi kufeli very nice work big up br
@stansilausmakungu
@stansilausmakungu 8 ай бұрын
Hakika bro tumekubali ❤❤❤❤🎉
@AbelIhula
@AbelIhula Ай бұрын
hogera.kwakutuuga.mkono
@MariamOmary-ep7ok
@MariamOmary-ep7ok 7 ай бұрын
Unajitahidi sana kakaagu unawazid wanao tukanana tu kwa nyimbo
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 8 ай бұрын
Unyama sana kaka
@NicholausLubinza
@NicholausLubinza Ай бұрын
Kisima respect kwako una2wakilisha vyema wasukuma hata 2kiwa mikoan
@sadicksadickkenyatta1371
@sadicksadickkenyatta1371 8 ай бұрын
hata mm naimekubali Mzee kisima pambana kaka wewe Hadi Sasa ni namba Moja kwa sababu nyimbo zako ni funzo kwa jamii mungu akulinde akupe maisha malefu jamii za asili zinahitaji mtu kama wewe
@bundupendeleo
@bundupendeleo 8 ай бұрын
Heshima kwako brother unajua zaidi ya sana🫡🫡🫡
@IdoughaiSoudjay
@IdoughaiSoudjay 8 ай бұрын
Tajili weka na namb zako nikutumie héla kesho uko vizuli❤❤
@rahelimatembe8501
@rahelimatembe8501 8 ай бұрын
Mwamba uko vzr nakupa zake hongera
@MasukeMyanda
@MasukeMyanda 8 ай бұрын
kazi nzur kaka 🎉🎉🎉❤
@directedbundalasteve8760
@directedbundalasteve8760 8 ай бұрын
Kazi bado yamoto big gp sana kaka
@boscoEnock-ck9xk
@boscoEnock-ck9xk 19 күн бұрын
Great kisima
@Buberwathomas
@Buberwathomas 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana❤
KISIMA _SHIKOME OFFICIAL VIDEO 4K
15:24
Kisima Majabala
Рет қаралды 557 М.
KISIMA MAJABALA BHAZUNIJE PART 2 PROD • TOPHER INC 2024
10:19
W_Konk_Tm
Рет қаралды 142 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 48 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 3 МЛН
kisima Dunia Official Audio
10:40
Kisima Majabala
Рет қаралды 49 М.
Bhudagala - Mbula (Official Music Audio)
9:46
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 31 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 516 М.
kisima Nalinaki Official Audio
11:26
Kisima Majabala
Рет қаралды 13 М.
Limbu Luchagula ft Mayiku Sayi _Sara_Official Video 4K
12:15
Migera Studio
Рет қаралды 173 М.
Badi Star - Nampenda Kwa Ishara Taarab Official Audio Mp3
9:40
Badi Star
Рет қаралды 1,6 МЛН
Elizabeth Maliganya - Gushoka Kaya (Official music video)
6:00
Elizabeth Maliganya
Рет қаралды 511 М.
KISIMA _SHILATU OFFICIAL VIDEO 4K
11:47
Kisima Majabala
Рет қаралды 246 М.
GUDE GUDE  song Shiloti 2024 By jamas macomputer from mahaha center 0772100682
13:08