Hi family ,Incase you can reach or support Elizabeth +254713300639
@Teresa-25518 күн бұрын
Mwangi niko na story nipe number yako
@valeshiavershakivarymosiny605916 күн бұрын
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
@mwangikriss, ume conclude na sala nzuri na maneno very natural. Amen.
@mwangi_kriss16 күн бұрын
0700484190 wwlcome to our channel @@Teresa-255
@user-pl3tz9pi8c9 күн бұрын
Tell her to report there someone in the freezer maybe a kenyan mum somewhr is looking for her daughter 😢
@edithaeugeni969517 күн бұрын
Dada Mshukuru Mungu ata amekupa wazazi ambao walikubali kukushikia watoto na usiseme eti mama yako hajawahi kukusaidia na chochote hyo kukaa na wanao tu ni msaada tosha wapo wengine wanakataliwa na wazazi wao na bado wanahitaji msaada so usiseme hakuna kitu wamewahi kukusaidia😭😭😭Jifunze kuwa na moyo wa shukurani hata kama unapitya magumu kiasi gani lakini usikufuru
@LizNjoki-vf6gf16 күн бұрын
Pole sikutaka kusema hivyo nlikua namaanisha hawangenisaidia kifedha coz hawakua nazo in fact wangekua nazo zingekosa kusoma. Ninawapenda sana, na pia wanapenda watoi wangu zaidi
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
Kuna comment hapa hapa nime comment the same. I hope she take heed. Naatubu kwa kusema au kufikiri hivyo.
@sharonhr.8614 күн бұрын
@@LizNjoki-vf6gfPia Mimi nilikua nimeshangaa but nimekuelewa. May God see you through.
@wangarelucythepopular58867 күн бұрын
Lakini hakusema kwa ubaya is like alikuwa anamaanisha aliamua kujitegemea kwa kutafuta pesa than kuitisha wazazi pesa
@wambuinyaga91064 күн бұрын
Ukweli aki
@janesherry705316 күн бұрын
God answered your prayers dea , huyo mungu alikuokoa usiwahi muacha alikupea ujanja ingine Kali Sana.... May God open another door for you
@charleskatuse467411 күн бұрын
mimi na support hawa kadamas wakitoka saudi wapewe kazi kwa armed forces zote trust me watasafisha inchi yetu,kadamas are God sent Angels❤wakirudi kwa inchi zao
@Maggie-nc6xo10 күн бұрын
😂😂😂
@TatianaTaga10 күн бұрын
Walai😂😂😂😂😂😂😂 tupewe hiyo chance😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@RebeccaMaina-hh8sr9 күн бұрын
Akiangai 😂😂😂😂😂
@joycekiteme67019 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@joycekiteme67019 күн бұрын
😅😅akiangai mwanooo
@tabbycatekinyua290316 күн бұрын
Alafu utaona ngombe ingine hapa ikisema madame wanakuanga na mangaa na tabia mbaya.shindwe kabisa.good girl you safe your self
@ChumanaSusi12 күн бұрын
Huko..imi nanua heri tu nilime na iendelee na mupuka mandazi lakini maisha yangu yasitolewe na mwaarabu
@monienjeri304213 күн бұрын
Hii story inaogfya 😮😮.... Najua mwarabu ni vinyonga, I had a madam wenye walinikujia, kuangaliana na huyu madam dhamira zangu zilikataa, nikasema labda mm namchukia, wakati bwana yake alifariki huyo mwanamke alichange food n etc..after one month nilikataa kazi nikamsho nataka kurudi office, to cut the story short nilipata nyumba ingine kwanza nyumba yenye ilikuwa na amani.... Mtu akipata bosses wazuri ashukuru Mungu
@maureenmamagift15 күн бұрын
I thank God nimekaa gulf for 8 yrs ,same house , same family ...Wananichukua as part of the family ...we share same food , we go out together ....Ni God's favour...pole sana dada ...Surrender your life to Jesus ..
@veronicahnjoki763814 күн бұрын
Huyu Anadanganya ni beshte yangu Wa Church Naivasha,
@petermacharia717114 күн бұрын
@veronicahnjoki7638 how do you know?
@stewartsabwami962614 күн бұрын
😂😂😂😂ATI anadanganya@@veronicahnjoki7638
@daisyeunice877214 күн бұрын
@@veronicahnjoki7638Really 🥺?
@monienjeri304213 күн бұрын
@@veronicahnjoki7638were you the one who faced those challenges... ikiwa hujui warabu ni vigeu geu shut up...
@user-mf5ze5oi9k19 күн бұрын
People go through alot in gulf countries am here in saudi for 5 yrs no regrets May God protect us
@munalook447717 күн бұрын
Lol hapa Saudi Niko na 7 yrs my dia ,mungu atusaidie sana
@doreenshii56316 күн бұрын
@@munalook4477mimi 10yrs of God's grace with no regret
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
At least hukujigamba. Shukran.
@user-zm7qx3cl4o16 күн бұрын
May God protect you
@user-zm7qx3cl4o16 күн бұрын
May God protect you
@TeresahKingangi12 күн бұрын
Naomba justice to be done and your brother aachiliwe from jail naomba Mungu aingilie kati.yeye ni mtetezi wa wanyonge,
@bethanathahabu18 күн бұрын
“The name of the Lord is a strong tower: the righteous runneth into it and is safe.” prov 18:10
@janewanja32257 күн бұрын
True and Amen💯
@ShanizGalgal17 күн бұрын
Akii ma dada zetu tukumbukane kwa maombi juu hii Gulf bila Mungu atuwezi toboa, always keep God first in every thing u do❤❤🙏🙏🙏
@De-Mutui4 күн бұрын
Kwanza bona muende huko in the first place.....si mkae kenya tu
@user-yb1ld4dp6e16 күн бұрын
Huu ni mikono WA Bwana aki.....To God be the glory 🫂
@angelamukirae225418 күн бұрын
Power in the name of Jesus! Psalm 91(Whoever dwells in the shelter of the Most High will rest in the shadow of the Almighty. I will say of the LORD, “He is my refuge and my fortress,)! Elizabeth god has a plan for you. Your testimony and what you have gone through will help many. May God protect our fellow brethren in Saudi . Life is spiritual !
@Bettydian0714 күн бұрын
Amen! God is faithful
@alicemumbi758516 күн бұрын
May God remember every kadama and hide our lives in Jesus Name Amen May God open a door for Eliza and her family 🙏 🙏🙏
@nitahfavour188615 күн бұрын
After listening to this lady,,,aki for sure,,she's Gods masterpiece,,grace is all over her,,May it go well with u Liz
@MitchelleOkongo13 күн бұрын
This is what happened to me in lebanon 6 years ago,..God is a God of miracles..vile nilihepa hiyo nyumba nikajipata police station ni Mungu guys...i will narrate my story one day
@emilykoe4109 күн бұрын
God is gd,,never leave him,vile alikuokoa,,,hatawahi kukuacha kwa chochote kile..wa!mungu wetu ni wa ajabu
@Yuve-dq1vj12 күн бұрын
Asante Mungu,Mungu akufungilie njia ingine pole sana dada
@christinebaluti19616 күн бұрын
I admire you, your very brave woman. I would like to support you Elizabeth your one in a million.
@LizNjoki-vf6gf15 күн бұрын
Thank u gal
@wonder_graceglobal13 күн бұрын
she is eloquent and a good story teller..thank you Lord for saving her life
@user-bi2cu4qu6m17 күн бұрын
Kwenda ughaibuni na kurudi ukiwa salama shukuru mungu
@wambuinyaga91064 күн бұрын
😢😢Aki
@winicatewainaina44563 күн бұрын
I second u ....mm ile siku ntatoka dubai ...nijione kenya stawai travell tena afadhali hme
@CarolineWaturi-hk8jj17 күн бұрын
This stories are very scaring but also they are much teaching us alot.
@wanjiku2818 күн бұрын
I thank God for Germany, they give us an opportunity to train in whichever course of our choice. Am A Trained nurse and working for years now. God bless Deutschland and help all those suffering in other countries. May God bless Each one suffering in foreign countries in Jesus Almighty Name.🙏🏿. God pave a way for the thse ladies who want to go back home in Jesus Almighty Name 🙏.
@peninarkamau699318 күн бұрын
Now that she has shared her contacts, you need to reach our to her and if possible you connect her to the agent that helped you get there instead of her going back to the gulf.
@MarthaMary-ho3vx18 күн бұрын
Can get job there please
@vionahandrew142816 күн бұрын
Connection pls Niko Arabia hustling
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
@@peninarkamau6993 Wewe mpe connection. Mnathani watu huenda ng'ambo kufanya kazi ya kuwa connect *Ma Kupe mentality km zako?
@lydiaogoya9606Күн бұрын
AMEN
@shiksjustin18 күн бұрын
Hii Saudi stori iko na mambo only God can protect team strong
@softymoha548414 күн бұрын
hata kenya...dunia kote,,,ukitembea ndio utaona mengi
@felistanjogu214411 күн бұрын
Sio Saudi pekee ata inchi zingine za gulf so maombi tu ndio suluhisho
@PatriciaMukere8 күн бұрын
Elizabeth is my neighbor uko ushago,we are also friends vile alirudi home aliniambia hiyo story but hapo kwa maiti hakuniambia nimeshangaa aki my neighbor ulipitia hivo but God is in control of everything.eliza tumepitia mengi but God is in control
@CarlbaniceShiroКүн бұрын
I thanks God nko saudi arabia en cjawai mistritiwa..i thank God ata watakangi niumwe na kichwa i really appreciate my boss feel loved wherever you are.
@mercygicharu818018 күн бұрын
She is so fluent in her story pole sana.
@ajellicaihugo826816 күн бұрын
Njoki you are a beautiful and very courageous lady, God be with you always 🙏🙏🙏
@user-qd2cw3cx3u18 күн бұрын
Pole sana my siz, mwenyezi mungu akupe nguvu na subra !!!!!(that strong is 10 /10 true ).......❤❤❤
@GGHH-fu5vs15 күн бұрын
A m here in Saudia God is our protector.Aliving testimony of God s Power
@savannacollection520518 күн бұрын
pole sana siz Mungu akupatie nguvu. Pia tumrudishie Mungu shukrani umerudi salama. niliwahi kuona documentary kuhusu warabu ma boss especially oman , kuweit na bahrain wakichoka mschana wa kazi una pigwa picha kumbe wanakuuza kwengine hata wako na apps kabisa waschana wamekua displayed without their knowledge eventually unapotelea huko either dead or working as slave . God is good umerudi salama na In Sha Allah atakufungulia njia ingine. AMEEN.
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
Njia bora na safe kabisa.
@augustfive527912 күн бұрын
Nachoweza kukushauri,Mualike Yesu kristo kwenye familia yenu nakuhakikishia atabadilisha maisha ya familia yenu.
@AndyOjok5 күн бұрын
Traumatizing story! Kriss your line and timing of the questions is absolutely brilliant. Many of our problems in the diaspora we consider unbearable until we hear of events like this. That fridge eh!.... Mungu ameona, atulinde.
@user-wb8mw5sr3x7 күн бұрын
May God keep strengthening you...i was almost to be killed in lebanon,they locked me in a car for a whole day without a/c or opening the windows..i was taken back to the airport without a penny after faithfully working for them in a year and some months...funny of it all it was a house of chief general and madam lawyer....warabu tunawaombea sana mmjue Mungu...General Saab and Madam Mireille Chekar niliwasameha na hizo pesa walichukua na simu yangu nilawachia Mungu😢...but am happy i went back in saudi and i got a good madam
@hamisamadimpozi592318 күн бұрын
Pole sanaa dada waarabu sio wakuamini ata kidogo
@brendaokola389312 күн бұрын
Pole sana Liz 'your a strong lady may God comfort you.Thanks for sharing.
@GraceNyoike-tb7wx12 күн бұрын
Mimi ni kemboi but l have a good family to God be the glory for all madam May God bless with you!
@DISHONOIGARA11 сағат бұрын
Why they said eti nowadays saudia ni kwema, alafu mbona ladies wengi hawatoi Siri ya maisha yao huku saudia wanaporejea Kenya? Anyway pole sana Elizabeth
@EuniceShibanda-vc1hqСағат бұрын
Elizabeth ,eh,God really loves you, barikiwe sana na usimusahau hata sikumoja . He actually saved your life with a reason behind .
@norahmatheka859214 күн бұрын
What a story. Thank you Eliza for sharing your story. Very shocking indeed, you truly are a brave woman. God surely has a plan for you and your family. May God deal with those evil Arabs. I am sure they font end up well unless God has mercy on them.
@princessvivian665216 күн бұрын
MUNGU ni mkuu team strong tuombe Mungu kabisa tumalize hii mwendo salama 🙏🙏🙏
@mercynjoki54416 күн бұрын
Njoro my home town...salimia watu wa njoro
@evalynekapoloni988618 күн бұрын
Na ujue hao watu wataitisha Tena mfanyikazi mwingine
@Teresajelagat13 күн бұрын
You are a strong woman.Remember there is always tomorrow na Mungu yupo
@Estherm30918 күн бұрын
You are hero give God all the Glory
@faywangari762712 күн бұрын
Prayers prayers prayers that's our only weapon in gulf countries. You can't survive without prayers
@simonm.200216 күн бұрын
Don't try to go back there , even tho you have problems here just love what you get ata kama kidogo
@rosekadzokillian970020 сағат бұрын
This is story is heartbreaking.... We thank God for your life. AMEN
@susansuna645013 күн бұрын
OMG protect us in this gulf lizz ur strong woman
@SharonNyatichi13 күн бұрын
😢😢😢you're a star Mungu anakupenda
@aduutustella67612 күн бұрын
Watching frm Uganda, Kampala 🇺🇬💕💕💕, Krissy nakupenda hahaha, anyway I love u put in God Almighty in all thank u
@Francisca.112612 күн бұрын
Let's all agree tha she's intelligent 👌 🎉congratulations mamaa,may God open doors for🙏
@JasminesWanjiru16 күн бұрын
Aki God have mercy on us all kadama no weapon formed against us will prosper.
@user-zk5cg6cl9m9 күн бұрын
May God guide you sister na Mungu aendelee kukuongoza. God please protect us all in gulf and change our situations permanently in Jesus name 🙏
@lydiahkulola2669Күн бұрын
Life here it's not that easy but God gives us strength, courage and hope to keep on fighting knowing he's on our side and he will always be🙏Am grateful Elizabeth you went back home safe and Healthy despite everything you went through ❤❤May God bless you🙏🙏
@user-pe8ho4bs6f17 күн бұрын
Pole dada,shukuru Mungu alikuokoa
@maureenmamagift15 күн бұрын
May God protect all that are working in the middle East ...l will share my testimony one day
@lillianwambui98367 күн бұрын
Our Lord hears us when we cry unto him… even in a the time of wilderness you are Jehovah Yahweh!!!!
@evelynesabina816816 күн бұрын
I thank God I'm living like I'm home. What they eat is what I eat. Sleeping like home. God I thank you for my bosses
@0sengoshikondi.junior45111 күн бұрын
Wuehhhh..huyu dada alipata shida kweli..pole dada tena sana Mungu akulinde
@Ngwata-wangari4 күн бұрын
Watching this while in saudi😢😢 Nimeshkndwa adi kula😢 I'm humbled im safe almost 3 years now woi Mungu for the sake of my siblings keep me safe and all kadamas😢😢🙏🙏
@mimsbaibe6mimsgul73718 күн бұрын
May God protect team strong always me nko 10yrs n same boss n same house but foreigner
@happynesbaemuhappynes881318 күн бұрын
Amen
@rachealwanjiru232618 күн бұрын
Connections dear
@dorcaswairimu69717 күн бұрын
Foreigners are good not arabs
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
@@rachealwanjiru2326 Connections ziko kwa ma agent. Acheni nyenyenyenyee za connection maneno. Mnakaa kama MA Kupe wa kunyonya watu damu. Mnauthi.
@MaryNgigs18 күн бұрын
Ngai Elizabeth woiye pole mummy be strong
@beatricesisterskeeper320113 күн бұрын
Aty unapewa sahani yako? I'm glad kwenye niko we share everything, including snacks. What I'd say is that this woman is brave because ingekuwa ni mimi niliona mwili kwa freezer that would be the end of me there. Afadhali nijirushe nivunjike miguu but siwezi imagine nikichinjwa. I'm glad God came through for you 🙏
@Nanah1817 күн бұрын
Mungu anakupenda sana, one day kaa na your second born, muombe msamaha kwa vile ulivyotaka kumdhuru akiwa mdogo na then umpe baraka maishani mwake/uwape baraka watoto wote
@LizNjoki-vf6gf16 күн бұрын
Nooh, siwezi mwambia hayo yaliisha nlipoomba msamaha kutoka kwa Mungu, so hata siwezi taka kumwambia hivyo she is my best friend nawapenda zaidi ad that's y nlikua naenda kuwatafutia life poa saudi
@VeronicaDunbar16 күн бұрын
@@LizNjoki-vf6gf Ulikua labda bado wa suffer PPD. Ni ugonjwa wanake wengine hu suffer baada ya kuzaa (within 1 year). PPD stands for Postpartum Depression.
@princessjoe406816 күн бұрын
Only those who have ever been to Gulf knows these scenes behind the camera...mi huwa nasema ata nikikosa kazi kwetu ata ka inalipa kidogo aje heri niishi masikini lakini huko swz kanyanga tena
@AnneKenya14 күн бұрын
Indeed God is faithful to those who warship him in truth.
@annaitumbi557218 күн бұрын
Thank God for everything and aspacialy saving your life ask God to help you and give you job in Kenya
@rakivrakiv302318 күн бұрын
Elizabeth may God see you through,,gulf kila mtu yuko n story yake ,,I thank God 3yrs and I'm safe
@RebeccaNamono3 күн бұрын
Welcome back my dear from saudi
@joshuakimsong41772 күн бұрын
I came to realise this Arab's ni mashetani tu, I was working in CCTV control room in a hotel, so I wanted to know mbona wedding Yao ni "ladies wedding" juu ni ladies pekee wanaattend, this people usually do their wedding usiku na wanasema camera zote kwa hall sifunikwe na foil paper, so one day tulifunika camera zote nikabakisha moja space kidogo yenye naeza on what's happening but let me tell you vitu niliona inafanyika apo sitawai sahau
@bossycharh18 күн бұрын
God is really great ful,,, prayers works miracles,may the Almighty open your doors my sister. Working in gulf is so so hard but we keep on pressing
@felixkandagor415718 күн бұрын
Very cauragius and wise, really God Has done alot
@margaretkamau309512 күн бұрын
Courageous dia
@user-fi6zc7vv6p16 күн бұрын
Pole sana daa mungu anakupenda sana
@FlorenceFlorence-qf8ec11 күн бұрын
Pole dada mungu ni mwema mutuombee tuko uko
@CharlesRachel-ck3uz18 күн бұрын
Asaidiwe huyu dadaa 😢
@aduutustella67612 күн бұрын
Watching frm Uganda, Kampala 🇺🇬💕💕
@gracewamboi447818 күн бұрын
Pole sana may God come through for you
@kalalatoniez87775 күн бұрын
siezi support mtu kwenda uarabuni nikiskia haya.
@vugutzatheblackqueen18 күн бұрын
Always inspired by the stories ❤
@annengure14623 күн бұрын
She's very eloquent. Pole dear God will see you through.All is well
@rosekadzokillian970020 сағат бұрын
AMEN, we receive in Jesus mighty name Amen Amen
@peterboli9431Күн бұрын
Eeeh iyo stori ni intriguing.....God alikuokolea from the shadow of the valley of death. Usiwaimuacha.
@gideonkirui259812 күн бұрын
You're strong.Be blessed.
@dorcusngota871513 күн бұрын
What if uangukie the same house?;cz the boss vile Ana leta wasichana kila saa you should be careful
@paulinekariuki-ny9jw18 күн бұрын
Wah Guys nipitieni niwapitiye back❤
@judithnyaboke17110 күн бұрын
Weeeh I was almost killed in Saudi I can relate the story 😪 😢😢
@ruthn938114 күн бұрын
Some questions about birth were uncomfortable. She answered well. She's fluent.
@patrickjuma174411 күн бұрын
Pole dada for such experience
@pastormarionkariuki15 күн бұрын
God is merciful na anajali wanyonge
@peninarkamau699318 күн бұрын
Pole sana, I wish you could have communicated with your agent the moment they talked to you of going back to Kenya before the end of your contract. I also think they knew you visited the forbiden building and this could be the reason as to why they started reacting. Maybe the agent could have helped you to get back your hard earned money. Anyway, Thank God you saved your dear life.
@Gloma47911 күн бұрын
I think so too..walijua amepanda juu
@GEORGEAMBIHILA4 күн бұрын
Pole Sana dada mungu yuko
@ShanizzLeeeshan-zu9cl7 күн бұрын
Mungu yupo.Na kupitia huyu Dada wasioamini nawaamini sasa.Mungu azidi kukulinda dear gal
@edwinamboyi913812 күн бұрын
Kwa gas hakuna mwarabu atawacha kama iko open 😊... secondly learn to keep on your line.... penye umeambiwa uziende keep distance ❤🫂
@rosenight27212 күн бұрын
True
@user-bk3fk6os5m22 сағат бұрын
Hpo ss uliona miujiza y Mungu.
@user-cg3vf2bl6b18 күн бұрын
Saudi Arabia ni kama encyclopedia kila kitu kiko uko,bt mimi 5years no regrets no complains niko in one house
@sheemaryam18 күн бұрын
Ata kenya kila kitu kitu sio saudi pekee sijui kwa nn watu wanaona nikama saudi ata kenya devil worshippers wapo ni mungu tu
@viviankagendo338318 күн бұрын
Same here 🙏
@user-cg3vf2bl6b18 күн бұрын
@@viviankagendo3383 brovo mungu akulinde tusaidie jamii zetu ,huku ikija na akili ya kukemboi walaai utakemboi juu Mimi wote tulikuwa nao walikemboi na walipanga tukiwa training,githurai so sometimes NI watu Tu wenyewe
@irineadisa728918 күн бұрын
Kuko aje Saudi please,watu husema ni kubaya
@user-cg3vf2bl6b18 күн бұрын
@@irineadisa7289 my sister ukika huku na ujue ni Kwa nini uliwacha jamii yako ukaja huku ,walaai utatoboa ,cha msingi NI heshima na uwe na principal zako na ufanyf KAZI yako Kwa utulivu Yani tambua matunda ya KAZI yako
@queensyshiks11 күн бұрын
Kulingana na vile huyu dame amepeana story yake inaonesha she is very wise,God fearing & humble
@DianaMasonu11 күн бұрын
Weewh i had to confirm, this story. Nikweli aki🥺. Msichana mkubwa wa hii nyumba nafanya amesema nikweli 😢
@user-zk5cg6cl9m9 күн бұрын
What do you mean msichana wa iyo nyumba anasema hii story ni kweli, anajuaje na bona wasimchukulie hatua