Mashaallah rais wetu inshaallah 2025 ALLAH akulinde
@FaridaAly-r5n24 күн бұрын
Amiin YARABBY
@KassimAlly-xp4dz23 күн бұрын
Allahuma Amin
@salyali780724 күн бұрын
Yaallah mjaalie Mh Othman awe raisi wa zanzibar yetu 2025 ... Allahumma ameen
@FaridaAly-r5n24 күн бұрын
Amiin YARABBY
@MohdRash.24 күн бұрын
Allahumma aamin
@abdullatwifmuhammed741224 күн бұрын
Amin amin ya Allah tukubalie duw yetu hii
@vincentcharles438524 күн бұрын
Allah 😂😂😂
@hamidkasim-gz9sm23 күн бұрын
Hawi
@ibrahimmaneno848624 күн бұрын
Asante muheshimwa OMO
@shahidmaftouh114124 күн бұрын
Mr, Othman M, Othman Sharif ni Hazina ya zanzinar, Allah bless him 🙏
@MsabahAli-d6u24 күн бұрын
Allah ampe Afya na siha OMO hakika haiwezekani maisha ya Watu yawe hayana maana iwe kuuliwa mtu iwe kama amekufa panya tu lazima maisha ya Watu yawe na thamamni ndani ya nchi hii tunajua kwa ccm kufa mtu ni kawaida ila kwetu sisi haiwezekani tukakaa kimya
@TahirAli-i9o24 күн бұрын
Allah akujalie nguvu zaid na zaid akulinde na mahasid
@saidal-hind533824 күн бұрын
Dah jamani hapa ndio pakutoa kura
@FaridaAly-r5n24 күн бұрын
Swadakta
@HajiHaji-l6w24 күн бұрын
Mashallah ACT NA CCM WAMEKAA PAMOJA inapendeza sana . Keli kumbe unaweza kuunganisha
@Yussuf-b3b23 күн бұрын
Asante mh kwa kunwaga radhi za ukweli
@wakwetu244423 күн бұрын
Asante sana Mheshimiwa.
@mukhtaromar-g5p24 күн бұрын
Huyu ndie rais tunae mtaka Zanzibar anasemea dhulma. Tunazofanyiwa na mauwaji. ❤❤❤❤tunakupenda sana
@margarethpolepole743824 күн бұрын
Hupati kitu Rais ni Hussein Mwinyi tu toeni Utumwa wenu mnataka Waarabu waje kuwatawala na kuwageuza kama samaki hamoendi Amani nyie watumwa
Ww ungali wa miak yot aje mwarbu hapa atutawale au watanganyik jielewe bos wangu
@binmasoud415024 күн бұрын
Mh OMO unayosema yote yapo kwenye sheria na katiba. Hakika umeongea kweli. Tunakusubir ikulu2025
@AmarOmar-vh9pd24 күн бұрын
Maashalah rais letu mmwaaaaa
@rashidmbarouk766124 күн бұрын
Wambie ujinga ujinga sasa basi
@eddyeddy133724 күн бұрын
Safi sana Mheshimiwa
@ThadeiAndrea22 күн бұрын
Huyu ni kiongozi
@AbdulCashlii23 күн бұрын
Njoo utukomboe baba njoo ufute kosa alilolifanya mzee wetu KARUME kutukabizisha kwa WATANGANYIKA. Njoo baba utukomboe na utawala wa huyu mtu wa bara HUSSEIN ALI MWINYI. MWENYEZI MUNGU MJAALIE OSMAN MASOUD AWE RAISI WA ZANZIBAR JAPO KWA SIKU MBILI TU TUMECHOKA MIAKA MINNE TU HALI HII JEE AKIPEWA NA HIYO SITA ILIYOBAKI JEEE ?
@mariamumechara339819 күн бұрын
Iyo ni nyota jema raisi watu ajae
@arthurbertluanda339023 күн бұрын
Kila la kheri OMO
@ShauriAli-o5y24 күн бұрын
Dah OMO ww haswa utakua raisi wetu 2025 zanzibar tuikomboe
@ashuramuhammed325724 күн бұрын
Dah Leo umezungumza Jambo muhimu sana huku kwetu washawahi kuja mazombi wakamuuwa rafiki wetu wakasepa ilisha haijawa lolote
@seifmohd535724 күн бұрын
Hongera raisi wetu
@khajumkhamis791024 күн бұрын
Rais Dr. Mwinyi
@salyali780724 күн бұрын
@@khajumkhamis7910 mh Othman
@khajumkhamis791023 күн бұрын
@@salyali7807 acha kujidangany ww
@AlWahid-z5h23 күн бұрын
Allah atujalie kiongoz mwema nchii yetu
@khamisjuma294724 күн бұрын
Maana hao mazombi hata katiba hawajui wafahamishe washenzi hao
@salyali780724 күн бұрын
Mh OMO tunakuamini
@AlhajMoza23 күн бұрын
Huyu jamaa kichwa
@ALIKHAMIS-un4fv24 күн бұрын
Huyu kiongozi anakubalika MashaAllah
@AllyHamran24 күн бұрын
Inafika wakati unahisi kama wanatukomoa.Pandani,Kidoti,askri kvz,,muuguzi wa mnazi mmoja,kijana wa kinyasini nk .Lkn hayachukuliwi hatua.
@MsabahAli-d6u24 күн бұрын
Hakika yuko yule alietekwa amani akakatwa mapanga na wanaoitwa askari maeneo ya kama
@kennethmwakatobe283224 күн бұрын
Mnatakiwa viongoz kama nyie
@Zivago1220 күн бұрын
Huyu jamaa kiboko
@AlhajMoza23 күн бұрын
Hata huyu namuona na maisha mafupi mungu mlinde mja wako
@godogodogodo-b4d21 күн бұрын
Huyujam mtuu nanusu
@mohamedomari612923 күн бұрын
Jaji Mkuu ambae kitumbua changu kitaingia mchanga.
@RamadhaniKitala-gx6wc24 күн бұрын
Sasa huyu ndio anafaa kuwa rais wa nchi maan hana upendeleo kabisa na dini yetu inapenda vitu kama hivi see sio viongozi wengine wababafu na wala rushwa
@labunaabouna612223 күн бұрын
Shida ninyi mwategemea kiongozi mwatakiwa ninyi wanchi Wenyewe mchukue step na nao ueni wao hao watu
@vincentcharles438524 күн бұрын
Nlijua OMO sabuni 😂😂
@omarmohammed515723 күн бұрын
Povu lake ndio linalokufanya uwe msafi sawa
@hmedoggftherljih19924 күн бұрын
1897 !!!!
@jumanesaidi763524 күн бұрын
Tangu 1897 ? Hapo sijapaelewa !
@mahamedsalimali67123 күн бұрын
Ipo kabla ya mapinduzi iyo sheria ushahidi kua zanzibar ilikua ikitawaliwa kisheria tokea 1800 huko ila ubaya ubwela ndio umetufikisha hapa
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar23 күн бұрын
Kama hamjui huyu ndio atakae kuja kusababisha vurugu 2025 kuwataka watu waingie mtaani eti yeteeni haki zenu mje kuuliwa kwa Mara yengine kwaiyo siasa ziacheni mikutanoni kuweni makini siasa Ni mchezo mchafu
@NassoroHaji-i8k23 күн бұрын
Inasemekana ww ni mtu wa Unguja na sio mpemba kwa iyo kaa mbali na sisi
@@NassoroHaji-i8k nimeshuhudia nikiwa nyumbani maziwangombe micheweni tulitupiwa risasi zakuuwa lkn alhamdulillah hakuna Alie kufa maziwangombe isipokuwa alikufa mtu mzima mzee kwakupata mshituko kwaiyo siasa ndio nikasema bc kwasababu mm Kama mm nilikuwa huniambii kitu kwa maalim seif lkn kujayaona yalio tokea 2020 wallah siasa zilinikakanyika rohoni pangu Lkn hayo mabomu ya mosi usiseme yalipigwa mapomu usiku mzma na mchana wake
@lusakaone778221 күн бұрын
Acha ujinga
@radaonlinetv192224 күн бұрын
Tatizo lako OMO... Huliamini Jeshi la Police... Mnataka kila Jambo kwa Pupa.
jeshi lipi? au huoni kama wao ndio mahasidi wakubwa kwa taifa hili
@margarethpolepole743824 күн бұрын
Nyue kuleni ruzuku tu tu lakini kushika dola hampati
@nassorseif790724 күн бұрын
@@margarethpolepole7438 Wewe unajua ya ghaibu au umeltewa wahyi hayo ni ya Allah kaondoka Firauni itakua nyinyi?
@kassim126224 күн бұрын
Nababaako hatowahi ata kua naibu balozi washeha😂😂😂😂
@HamidJuma-h8w23 күн бұрын
Nyinyi shikeni hiyo dola hapa duniani mpaka akhera mbele ya Mungu mukashike dola muadhibu watu kama hapa duniani ila huwo mdomo wako, kiburi chako,, na kejeli zako ipo siku kitakuponza,, endeleeni kua watu kama firauni Allah anawangojea hana haraka na nyinyi,,