A worship song that forever reminds me of my relationship with God😭🙏 be blessed team......happy new year
@veronicamusimbi-jt4htКүн бұрын
Wow❤❤ well done.. very spiritual
@FaniceElamwenya7 ай бұрын
Hakika mnaguza mioyo, pokeani kibali chake Mwenyezi Mungu
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen Amen
@NewtonKhasakhala6 ай бұрын
Very true be blessed
@NewtonKhasakhala6 ай бұрын
Be granted with lots of God's gifts and blessings
@lydiagicheha88656 ай бұрын
Very touching and spirit filled this the kind of Godly music that blesses me. May the Lord lift you to International levels!
@EsterMwakajumba6 ай бұрын
Amen
@patrickmathiasnsalanga34015 ай бұрын
Wimbo mzuri. Hongereni sana ndugu zangu kwa kuimba wimbo unaogusa moyo wa Mungu na mioyo ya wanadamu. Pia namuomba huyo dada aliyevaa nguo ya bluu ajitahidi kuvaa nguo ya kusitiri mwili wake ili jina la Yesu lisitukanwe,.Zaidi yahayo nawapenda sana na Mungu azidi kuwabarki.
@justicemollel49284 ай бұрын
Hongera sana kaka Patrick kwa ushauri wako juu ya huyo dada muimbaji aliyevaa hiyo nguo sio ya utukufu wa MUNGU.
@lilly125214 ай бұрын
May God bless you abundantly for making the videos downloadable
@syphrosewangila85223 ай бұрын
Kabisaaa...spreading the word of God freely
@revaldoalkaza869Ай бұрын
Ni wewe hujataka kudownload
@MargaretMurigi-if6it6 ай бұрын
Powerful worship ... More grace
@rosenight2725 ай бұрын
Eeh BWANA YESU hakika wewe ni mwema, asante sana Mwokozi kwa nyimbo hizi Baba wa mbinguni. Sifa na Utukufu uzipokee,pia Baba hawa waimbaji BWANA uwalinde na kuwafunika na zaidi ya mno uainue zaidi na zaidi
@Lucyiminza7 ай бұрын
Mungu mwenye Enzi mwenye mamlaka heshima ni zake mungu Amen 🙏
@florencetsisiche36787 ай бұрын
Niwewe tu yesu haja ya moyo wangu
@BUKUSUVOICEOFWORSHIP6 ай бұрын
Amen❤ Huyu dada abarikiwe,anaimba Kwa roho na kweli
@LauraKashube5 ай бұрын
Nakuitaji Mungu kwenye maisha yangu nikiwa na wewe naamin vingine nitavipata kirahisi kabisa.
@winfredkimathi96 ай бұрын
Was searching for a worship to listen to before going to bed.... May God listen to the cry of my heart i trust in him so much.hes all i have left.Nothing seems to work😢.. I shall have a testimony to give soon😊
@Rebeccah-xt3sv6 ай бұрын
Receive a miracle in Jesus name
@everlynekarisa94114 ай бұрын
Ninakuabudu bwana wangu hakuna kama wwe baba❤❤❤❤
@florencemungori2743 ай бұрын
There is God in heaven you gonna testify His goodness in your life
@JanetAmuzi2 ай бұрын
Hug's dear,,, let's hold on to Him He'll make a way
@freddaniel52226 ай бұрын
Be blessed nawapenda sana,
@winniepole44687 ай бұрын
From Kenya, haja ya moyo wangu ni wewe Yesu
@abbychepkosgei57663 ай бұрын
I love to worship the Lord in truth... thanks kwa kutuongoza tuko pamoja 13/9 before I got to labour ward... this worshipers lead me through from 7am to 1pm when I got to hospital
@apondoviolet2 ай бұрын
Amen be blessed
@wycliffmutisya28683 ай бұрын
Hallelujah nimekuja NAMI kumwabudu Yahweh Kwa uzuri wake,Hakika ni Mungu mwema
@FlorenceSidi2 ай бұрын
Mumebariki moyo wangu bwana awabariki sana
@rosewanjala6 ай бұрын
Amen mnashusha mbingu wapendwa neema izidi kuwabe ba
@jazzjazzinho97364 ай бұрын
Mubarikiwe sana mungu awabariki sana musiwai kosa ....hii worship imenifikisha mahali🙏🙏🙏🙏
@MercyOdeny-t7l18 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 nikiwa na Mungu ntashinda vita vyote
@BettyKinyali6 ай бұрын
Mubarikiwe watumishi katika huduma yesu azidi
@OchiengEunice-ge7en6 ай бұрын
Amina,nikiwa nawe yesu nitashinda vita zote
@MaryLyimo-y9z5 ай бұрын
Mbarikiwe sana, watumishi wa Mungu , awainue kwa kiwango cha juu.
@MwJane-q3n3 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni awazidishie munabariki moyoo wangu❤
@upendo-xf7ml7 ай бұрын
Mbalikiwe sana
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen Amen
@Mishi-i6o5 ай бұрын
Mungu awabariki sana ❤❤❤
@fredrickotieno96144 ай бұрын
God bless you sana watumishi kwa ibada nzuri ya kumtukuza Mungu wetu ,nabarikwa nikiwa msa pwani
@ruthmwangi43983 ай бұрын
Thank you holy ghost 🙏🙏 Nikiwa nawe Jesu nitashida Wewe bwana chanzo cha uhai wangu ni wewe tu 🙌🤲 Oooh holy spirit of God rest in my heart 🙌
@DorcasFrancis-lu4xp6 ай бұрын
Amen ,nitashidia yote
@jacquelinelukambuzi50856 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa huduma hii Haja ya moyo wangu ni Yesu tu
@CarolyneOtwoma-nw4yl6 ай бұрын
Aki mbarikiwe tu sana
@HidayaNzunda-f3f2 ай бұрын
Amina
@dennisnyokae7 ай бұрын
Wow😘😘 mungu mwenye enzi🙏🙏
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Hallelujah
@Gloria-i8p8e6 ай бұрын
Karibu kwangu yesu🎉🎉
@felistersnekesa6 ай бұрын
My lalabye song haja ya moyo wangu ni Yesu tu Amen
@oyoohedrin7 ай бұрын
Nachotaka ni wewe Yesu kwa moyo wangu
@PhaniceKangula-kw4qf3 ай бұрын
So powerful worship nimepona kupitia hii sifa🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️
@winniegona17655 ай бұрын
Oooj yes ni wewe tu tumaini lety
@pastorisraeltv2305 ай бұрын
Machozi hayaishi ninapousikia wimbo huu sana sana sehemu ya huyu dada mpakwa mafuta wa mungu
@NginahShaz19 күн бұрын
I just love the song walai mnaniguza God bless u all
@kefakijo45994 ай бұрын
Ni Yesu tu Yesu ni bwana
@saimomaina7 ай бұрын
Nachotaka Ni wewe YESU 🙏,
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Hallelujah
@InnocentNtuyenabo19 күн бұрын
Halellujah 🙏 halellujah 🙏 Mungu awaongezee neema
@TehsHdhdh-lm3ow6 ай бұрын
Aja ya moyo wangu n yesu tu🎉🎉🎉🎉🎉
@ClementSimiyu-zy8cf6 ай бұрын
nikiwa nawe ndani yangu nitashinda 🤩🤩❤❤
@DoreenMwenesi-o7h3 ай бұрын
Mna yeyusha mioyo yetu with powerful worship 😫😫😫🤲🤲🤲🤲👐🙏
@Evansserede-uw4tb3 ай бұрын
Hakika haja ya moyo wangu Yesu tuu
@marthalangia6 ай бұрын
Mubarikiwe sana mpaka mshindwe kushangaa
@davinahwemali476 ай бұрын
Haja ya moyo wangu,,Yesu tuu wow asanteni kwa kuimba huu wimbo my favourite song 🥰
@estherjonas53213 ай бұрын
Bwana hata sasa nakiri ya kwamba haja ya moyo wangu ni wewe tu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏽🙏🏽
@joansali6 ай бұрын
Nikiwa nawe ndani yangu🙌🙌🙏
@EVACLAUDY3 ай бұрын
Mungu awabariki sana.Napenda huduma yenu.
@DeboraObostar4 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wake
@BensonKibaya6 күн бұрын
Mens and women of God be blessed you have really touched my heart through this powerful worship
@joanjuma21017 ай бұрын
Nimebarikiwa sana haja ya moyo wangu yesu to 🎉🎉
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen Amen
@SamuelWambua-r3c20 күн бұрын
Ameeèn mungu ata tenda
@sharonzakinyi473220 күн бұрын
Mungu kupitia katika huu wimbo ongoza sister yangu afike salama 😢alitoka jana mombasa to Busia mpaka sai hajafika na yupo offline dear lord muongoze afike salama 🙏🙏🙏🙏
Napenda nikiwaona mkiabudu Mungu hivi. @Linda keep up
@Modesta-yr6mc6 ай бұрын
Wakati huu mgumu tunachotaka ni weee tu Mungu 😢😢
@totogeorgina6 ай бұрын
nachoka ni wewe yesu 😭😭😭
@evahmuchiri40006 ай бұрын
Halleluya haja ya moyo wangu ni wewe yesu powerful songs
@saimomaina7 ай бұрын
Waiting 🙏
@stellathomas99877 ай бұрын
Hakika Mungu awabariki sana watumishi kwa kutuweka uweponi mwa BWANA
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen Amen, #share
@OliverMallya3 ай бұрын
Aminaaaaaa ❤❤❤❤ Mungu wa mbinguni azidi kuwafunulia ya liomakuu zaidi
@queengravin56714 ай бұрын
Mungu pamoja nanyi kwa kazi mnayo fanya mnaguza mioyo ytu❤
@aureliamrosso76436 ай бұрын
Barikiwa sanaaa🙏🙏
@florencetsisiche36787 ай бұрын
Hallelujah
@cyruskeroro-cu3up6 ай бұрын
O Lord remember me and let your name Grolified
@BialahMartha3 ай бұрын
Yesuuu tuujjj 1:17 1:21
@joyobungu-rm7xf6 ай бұрын
Hallelujah hallelujah Hakika Mungu abaki kuwa Mungu
@sallymuhonja57354 ай бұрын
Nikiwa nawe Yesu nitaitwa mbarikiwa
@elizabethwanzetse40646 ай бұрын
Ninachotaka ni wewetu🙏 Amina
@reginamaleu29114 күн бұрын
Nice worship as we enter 2025. Lord please remember mercy on my mother and my family
@PresiousNancy-pd5hg6 ай бұрын
Amen, Amen nimebrikiwa sana nimeikiza worship hii zaidi ya mara Tano,nahisi.roho mtakatifu akishuka ndani mwangu.Mbarikiwe sana watumishi na awatimizie haja za mioyo yenu na azidi kuwafunulia zaidi🙏
@maxwellmusau15377 ай бұрын
Nataka wewe Yesu maishani mwangu
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Hallelujah 🙏
@DorisTeresa-ni3fb7 ай бұрын
Indeed.B blessed
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen
@ulderonyango7 ай бұрын
Bila wewe bwana sitaweza Daddy
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen Amen
@fideliskay43766 ай бұрын
Ni wewe tu peke yako Yesu ❤🎉🎉 haja ya moyo wangu.
@RozzyMwikali-q5j22 күн бұрын
Am good in praise and worship,but every day I ask God for forgiveness,lakina shetani ananiadama sana mpaka najisahau nateda dhambi, God i pray that through this worship,i may be forgiven my sins, use me as a vessel, standing against every evil against me,i want to serve you and you alone, please lord have mercy on me😭🙏🙌👏
@AnnKamusa7 ай бұрын
Haja ya moyo wangu ni Yesu tu🙏🙌😭😭😭
@Guza-TouchingLives7 ай бұрын
Amen Amen
@AgnesNjenga-ue4je6 ай бұрын
Hakika mnaguza mioyo lakini kama mungesimama mungeguza zaidi naguzwa nikiona vile mna nyenyekea na kupiga magoti
@NewtonKhasakhala6 ай бұрын
Amen
@lydiagicheha88656 ай бұрын
Mungu ndiye huguza.Waeza abudu kwa njia zote wamenyenyekea vilivyo.Mungu akubariki dada.
@kerry38566 ай бұрын
Mungu nangoja baraka zangu
@JosephineKavutha-d3v2 ай бұрын
Amen 🙏 wow nyi watu wa Mungu kweli uwa mnaninguza kweli kweli....nami natamaningi sana kumwambundu Mungu kwa namna hii sijui mko mtaa upi wajameni kama nimi naeza tap hiyo neema ya kuambudi kiwango hiki please.
@mwagombagovi-xj4pi5 ай бұрын
Amen. Haja ya moyo wangu...
@FloranceCadeau3 ай бұрын
Asante sana
@marymarsalma98197 ай бұрын
Amen
@simenyasikhulu6 ай бұрын
Hakika haja ya moyo wangu ni wewe tu Bwana. Mngu twakulilia Kenya. Mngu awabariki enyi kikundi hiki cha kumsifu na kimwabudu Mngu.