GWAJIMA 'ALIAMSHA DUDE' KAWE Mbele ya JPM - "ILIMSHINDA YULE DADA Kwa GWAJIMA Mambo YATAKUWA SAWA"

  Рет қаралды 52,484

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

GWAJIMA 'ALIAMSHA DUDE' KAWE Mbele ya JPM - "ILIMSHINDA YULE DADA Kwa GWAJIMA Mambo YATAKUWA SAWA"
MGOMBEA URAIS (CCM) Dkt John Magufuli, ameendelea na kampeni zake katika jiji la Dar es Salaam, ambapo leo Oktoba 14, amefanya mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Tanganyika Pakers vilivyopo wilaya ya Kinondoni...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 196
@michaelnassoro5669
@michaelnassoro5669 3 жыл бұрын
Mzee unajua kupngilia point zako🙏🏾🙏🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 safar njema bishop
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@nozgeniuz1812
@nozgeniuz1812 3 жыл бұрын
Gwajima
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 3 жыл бұрын
Magu namkubali
@etstopbusiness3079
@etstopbusiness3079 3 жыл бұрын
Mchungaji anasema uwongo live siasa hizi daah🙆‍♀️
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Uongo gani aliosema hebu tueleze
@emmanuelidongo2988
@emmanuelidongo2988 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie kwakweli
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Devil worshipper hakuna kitu hapa.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 жыл бұрын
@@bigjizee4130 😂😂
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 kwamba ukiweka jina la kijerumani ndo unakuwa mtumishi wa Mungu.😢😢. Hako ka approach kako hakasound vzur bna
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Gwajiboy Kawe mpya🔥🔥🔥
@shingzyoung7288
@shingzyoung7288 3 жыл бұрын
Konde alipo panda stejin na kuimba UNO alipojua gwajima yupo akaisitisha nyimbo
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 3 жыл бұрын
Nimecheka kweli jamani dhu;😜🤣hivi huwa mnawaza Nini mkiwa m'nacoment
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 3 жыл бұрын
Kweli ufarume wa mungu watu kuuona ni taabu sana
@tanzaniagospel
@tanzaniagospel 3 жыл бұрын
Ufarume ndio kiktu gani
@charleskaflela5747
@charleskaflela5747 3 жыл бұрын
Wewe ndo MUNGU
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Una uhakika wewe utauona? Dili na moyo wako kwanza kabla ya mtu mwingine
@jamesmasome359
@jamesmasome359 3 жыл бұрын
Mashetani kwakuhukumu hawajambo....😃😃😃
@aliissa6632
@aliissa6632 3 жыл бұрын
Hakuna zaidi ya mdee hapo
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Ninyi mashabiki wa mdee safari hii mmepatikana...
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 3 жыл бұрын
Babangu wa kiroho mungu akupe nguvu wakati huu ufanyie wanainchi wa kawe kazi.
@triphonisilayo20
@triphonisilayo20 3 жыл бұрын
Kazi ya mungu na siasa wap na wap
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Wapi imeandikwa kuwa haitakiwi
@sundyjohn6335
@sundyjohn6335 3 жыл бұрын
Sema mbunge wa jimbo la kawe
@husseinmiraji1321
@husseinmiraji1321 3 жыл бұрын
Kwani Magufuli alikuwa anasaidia alikuwa anatoa hela yake mfukoni. Hizo nizawalipakodi baba sio msaada hushindi hapo
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
Anahisi zinatoka kwa salary ya mwamba
@salomemgaya1244
@salomemgaya1244 3 жыл бұрын
Kodi mmeanza kulipa Leo? Mbona mmekuwa vipofu nyie mnatumia miguu kufikiria?
@almassylivester4691
@almassylivester4691 3 жыл бұрын
Sasa kama mbunge hatimz wajib wake kama muwakilish unataka kauli gan itumike hapo
@mwlelishamathayo6528
@mwlelishamathayo6528 3 жыл бұрын
Kodi zimeanza kutolewa leo kwani mbn mambo hayo hayakufanywa zamani?
@tianodokgo8718
@tianodokgo8718 3 жыл бұрын
Hatutakiii kupotezaa kondooo sisi wew gwajima mhuni tu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Hakika
@izindorikindolekindole1605
@izindorikindolekindole1605 3 жыл бұрын
Mcheza film za ngono
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Mjinga wewe
@izindorikindolekindole1605
@izindorikindolekindole1605 3 жыл бұрын
Nikweli ,ila Sikuzidi ww
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Unaandika ujinga kondoo ww
@bernardbenedicto1373
@bernardbenedicto1373 3 жыл бұрын
Jaman gwajima mbona unajichanganyaa,kwan kawe walikuwa hawalip kodi? Na kuwa upinzani ni nongwaa??mtumishi wa munguu hufai kanisan tena
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Wewe unafaa kuwa kanisani?
@williambimenyimana3615
@williambimenyimana3615 3 жыл бұрын
Naombea mdee asepe na kula za ndio
@thegreatboss2482
@thegreatboss2482 3 жыл бұрын
Yes
@sesyurio7609
@sesyurio7609 3 жыл бұрын
Usichanganye siasa na dini haifai mde oyoooo
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Wapi imeandikwa hiyo
@monicachoga5878
@monicachoga5878 3 жыл бұрын
Mdee atagoma kuingia bungeni korona haijaisha
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Kamuage mdee wako amekwisha
@machinjashabani5331
@machinjashabani5331 3 жыл бұрын
Watakao kuchagua itakuwa hawaja kutendea haki. 7bu cheo chako ni kikubwa sana. Itakuwa wame kushusha chini kama ulivyo wahi kusema mwenye!
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
rubbish
@jellymbogo7246
@jellymbogo7246 3 жыл бұрын
Hyu akishnda hata uwazir wasmpe maana naona kabsa dish halko vzr
@charleskaflela5747
@charleskaflela5747 3 жыл бұрын
Onea haibu mdomo wako basi
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 жыл бұрын
😁😁😁
@saimonmgeta5239
@saimonmgeta5239 3 жыл бұрын
dish limeyumba
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 3 жыл бұрын
Magufuli Motooo... Gwajima motooo
@eliudjackson8843
@eliudjackson8843 3 жыл бұрын
Taama ni mbaya Mungu anakuona unaacha kazi ya Mungu unaingia kwenye siasa yaani dunia
@gaudenciakalindo1519
@gaudenciakalindo1519 3 жыл бұрын
Gwajima hoyeeeereerre
@fatimahamisi9235
@fatimahamisi9235 3 жыл бұрын
Acha tamaa askofu
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Watakao mpigia kura Gwajima watakuwa wajinga Sana maana alishawai kusema uraisi ubunge nikazi ndogo Ivo awezi kujidhalilisha sasa inakuwaje jiwe unataka apigiwe kura Mimi nazani waumini ambao sio ccm mnatakiwa kuondoka kanisani Kwa gwaji boy sio sehemu salama mwacheni aendelee kutafuna kondoo wake wa ccm
@khadijacharles2433
@khadijacharles2433 3 жыл бұрын
Tutampigia sanaa maneno ya kale tulishayasahau
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Safari hii kawe mmepatikana, maneno meeeengi
@almassylivester4691
@almassylivester4691 3 жыл бұрын
Wewe acha kumpigia kura maana hujalazmishwa siyo kushawish watu wahame had makanisa sabab ya vyama
@dullahdullah4459
@dullahdullah4459 3 жыл бұрын
Kwajima boya kama maboya wengine hatukutaki kawe tunamtaka halima mdee
@juma4abdalla51
@juma4abdalla51 3 жыл бұрын
Wewe wa kawe au koromije
@rosemshana9948
@rosemshana9948 3 жыл бұрын
Yaani kweli kabisa, magu ukatuletea huyuu? C bora ungemuacha mtoto wa Dada yako! Mi naumie mwenzenu mmetuzarau sana wana kawe, mi nalia
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
@@rosemshana9948 Kwanini unamchukia huyu?
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
💯🎤
@chugachugambuli8879
@chugachugambuli8879 3 жыл бұрын
Unguruma mzee , ugoro ushajitia puani lazma aachie jimbo yule bibi kidude
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Mdee atoke alikuwa anafundisha vijana kuvuta bangi
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 3 жыл бұрын
Nenda gwajima nenda funga magori
@mohamedmnjeja70
@mohamedmnjeja70 3 жыл бұрын
Amna kitu apo.
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@deodatusdeogratius4910
@deodatusdeogratius4910 3 жыл бұрын
Kumbe Gwajima bado kabisaaa hujui hata majukumu ya Rais ni yapi sawa na kumnunulia mtoto wako nguo ukaanza kujisifu kumbe hujui kuwa ni wajibu wako. Pole sana mtashinda kwa Mbinu nyingine mnazozijua nyinyi
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Malaya wa kiroho, kimwili na kisiasa. Kifo cha mende wewe.
@johnsonphilliminus4199
@johnsonphilliminus4199 3 жыл бұрын
Sasa unaongea mdada kashindwa huyo mdada anatoa pesa zake mfukoni? Si ni serikali ndio inatakiwa kutekeleza anayoyaomba bungeni?? Halafu mnakaa mnasema maendeleo hayabagui uchama na hapo hapo mnasema hamna connection kwasababu ya utofauti ya ubunge. Tuwaelewaje aise
@daltontemba6376
@daltontemba6376 3 жыл бұрын
Mbona muda wote hayakutekelezwa hayo yalomalizwa kwa kunongonezana!
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
muuliza mdee fala we
@filbertcarlos2946
@filbertcarlos2946 3 жыл бұрын
Askofu nakuamini sana, nikuombee tu kaa vizuri na rais ili atekeleze hayo
@peterkusesa3173
@peterkusesa3173 3 жыл бұрын
Wewe ni mbunge tali subili kuingia ikulu
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 жыл бұрын
Kusema Ukweli Kabisa Mbele Za Mungu Halima Mdee Yupo Vinzuri Kabisa.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Nafanya Nini Au uzurk Wa umbo?
@almassylivester4691
@almassylivester4691 3 жыл бұрын
Yupo vzr sana ila chama na company inayomzunguka ndiyo inamuharb
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 3 жыл бұрын
@@almassylivester4691 alamas kweli kabisa Yn angekuwa ccm angefaidi Sana
@liniuslukowa8745
@liniuslukowa8745 3 жыл бұрын
Nyinyi waumini wagwajima amkeni uyu apaswi kuwa kiongozi wa dini tafuteni kanisa lingine nimtu waovyo sana cheki anavyojing'ata
@steventambi6353
@steventambi6353 3 жыл бұрын
Anafaa sana
@brendakolo9562
@brendakolo9562 3 жыл бұрын
Maunga uyu tumwitie bashite
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Pole sana, hii inaitwa usiempenda kaja..
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 3 жыл бұрын
Waumini tulieni msitishwe Wala msiogope msione karibu Wala msiogope gwajima mtu anaye jitambua tunamkubari
@msingida33
@msingida33 3 жыл бұрын
gwajima nenda ukapase sauti ya wanakawe, maana jimbo lakawa linatelekezwa sana na watu wanaojali vyama na kusahau wananchi
@selemanronne9702
@selemanronne9702 3 жыл бұрын
Gwajima ndege yako imetuharibia nyumba sana ...umeshusha hedge chin nyumba zmedondoka....na mvua izi tunateseka sana....
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
Mbona anayumba yumba 🤣🤣
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 3 жыл бұрын
Wivu tu ulionao
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
@@zawadimwaibako4065 we kaa kwa kutulia nione wivu wa nn hanipi kula Wala nguo Wala kulala au ww anakupa ivyo mpaka unaropo ropo ivyo....ukwel anaongea vi2 kwa kusoma na anayumba yumba ayupo stable
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
@@zawadimwaibako4065 Kama una bisha rudia kuangalia upya🤣🤣🤣 af we mi sio m2 wa kawe usibwabwaje maneno bwana
@mariamalex4371
@mariamalex4371 3 жыл бұрын
Mtu wa baba kazi yako imekushida gwajima jaman
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Ww ni mbunge sana tu, asiyekupenda akaishi nchi nyingine sio TZ
@tinnermxexhu5691
@tinnermxexhu5691 3 жыл бұрын
Saf
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
Kwa points nzito hizi ni lazima apate . I'm sure 💯
@tobiasreuben4503
@tobiasreuben4503 2 жыл бұрын
i dont mean to be so off topic but does anyone know of a tool to log back into an Instagram account? I was stupid forgot my login password. I would love any assistance you can give me.
@samwelsimon9278
@samwelsimon9278 3 жыл бұрын
Wewe ngwajima una tamaa ufai kuwa kiyongozi magu maendeleo nikodi zawananchi siyo msahada
@filbertmsuya9406
@filbertmsuya9406 3 жыл бұрын
Mzee wa porojo kajisahau anafikiri anaomba sadaka..Hizi ni kura Mchungaji wangu...hahahah
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 3 жыл бұрын
Nimegundua watu Wana wivi bifsi gwajima
@Werema3760
@Werema3760 3 жыл бұрын
Uongo mtupu! Jaman siasa iz utumishi ndo byebye! Waumin wanakaz
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Jamani hebu nielezeni uongo ni upi hapo
@jimmyjammasmunuo5125
@jimmyjammasmunuo5125 3 жыл бұрын
Yan ningekua kawe nicnge mpa gwajima kura yangu bora nilale
@fatimahamisi9235
@fatimahamisi9235 3 жыл бұрын
Kaka mi ntakuwakilisha simpigii kura ng'oo
@shadagadagga9922
@shadagadagga9922 3 жыл бұрын
Hiv huyu jamaa c ndo aliesema kuwa hawez kuwa RAIS wala HAWEZ kuwa MBUNGE leo anaongea nn mbona cmuelewi. Kweli Kawe mkimpa huyu jamaa kura basi mtakuwa hamujielew nyinyi wananchi wa kawe!! Duuh huyu jamaa anazngua kweli halafu pia huyu jamaa c ndo aliiyekuwa anasemwa vbaya na Mzee Makamba wakiwa Dodoma kwenye mkutano wa ccm akiwepo na magu kweli wqtanzania tunayumbishwa aseeh Mchungaji kuwa mwasiasa nigekuwa mcristo asngeniona tena kwenye kanisa lake bcze wanasiasa 70% ni waongo so na huyu pia walewale. Eti aliyeishinda corona nmchungaji huyo mm nlizani atasema mungu aliye tusaidia kutopata corona kweli huu upumbav kwa viongoz wetu wadin!!
@jamesmasome359
@jamesmasome359 3 жыл бұрын
Wivu utakuuwa...😅😅😅
@thegreatboss2482
@thegreatboss2482 3 жыл бұрын
@@fatimahamisi9235 safi
@sundyjohn6335
@sundyjohn6335 3 жыл бұрын
Achana na huyo kisoda wa chadema
@salomemgaya1244
@salomemgaya1244 3 жыл бұрын
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 kisoda uuuwiiiiii
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
Mzee wa point
@mathewlive1372
@mathewlive1372 3 жыл бұрын
Kwahio jimbo likiwa la mpinzan rais halet maendekeooo? Kama ndio je hatujaligawa taifa bado? Isaya 45:8 [8]Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki; Nchi na ifunuke, ili kutoa wokovu, Nayo itoe haki ikamee pamoja; Mimi, BWANA, nimeiumba.
@evaristimramba9047
@evaristimramba9047 3 жыл бұрын
"itoshe kusema ninechukua form" ccm tano tena
@roseunderson6944
@roseunderson6944 3 жыл бұрын
Dash kweli kazi ipo
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 жыл бұрын
Nimejisikitia kipindi nilichomuamin dah
@ulongebaba2871
@ulongebaba2871 3 жыл бұрын
Askofu anasema uongo kama aijui kazi ya raisi na mbunge, kwa elimu fupi kazi ya mbunge, kazi ya mbunge ni kuchuukua kero za jimboni kwake na kuzipeleka bungeni na bunge likipitisha bajeti itapita kwa mawaziri usika kisha jimboni kwake nandomana unakuta kuna waziri wa maji waziri wa tamisemi,waziri wa uvuvi waziri wa uchukuzi na mawasiliano nk.
@almassylivester4691
@almassylivester4691 3 жыл бұрын
We hujui kaa kimya.
@ulongebaba2871
@ulongebaba2871 3 жыл бұрын
Mbunge ana wizara useme ajenge jimbo mjeñga nchi ni serikali akiwemo raisi na baraza la mawaziri uoni kibamba na ubungo inatengenezwa ikiwa ni majimbo ya upinzani serikali inajenga nchi sio wabunge wabunge ni watoa taarifa za kero majimboni mwao yakifanyiwa kazi sawa kama hayajafanyiwa sawa mbunge ana wizara
@barakacrispin9600
@barakacrispin9600 3 жыл бұрын
Gwajima hoyeeeeeeeeeeee
@johnsonphilliminus4199
@johnsonphilliminus4199 3 жыл бұрын
Huyu bwana akili zake sio nzuri kabisa. Hizo barabara anazitaja nyingine zipo muda tu. Mzee huku kwetu haupiti haushindi, labda ushinde njaa. Ww nenda kahubiri kanisani mzee siasa hauwez maana hata kuongea yenyewe shida
@stevemwandambo587
@stevemwandambo587 2 жыл бұрын
izo ni chuki Zak binafsi
@cyprianchale602
@cyprianchale602 3 жыл бұрын
Respect gwajiiii
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Kwenye stendi apoo sasa
@hildadaniel4892
@hildadaniel4892 3 жыл бұрын
Hata hupendez kwenye siasa na hao waumini wako wanakushangaa hawakwambii tu
@geraldlaurent7465
@geraldlaurent7465 3 жыл бұрын
Vizuizi vipiiii hauna jipya kawe wote ni wanachi mbona magufuli anasema maendeleo hayana chama ?
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
Hapo ndo nabaki kichwa wazi hahahhahhaa.anakatika tu
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 3 жыл бұрын
fwatilia kabla yakujibu kwanza ni kweli maendeleo hayana chama lakini kazi ya mbunge nikupeleka kero za jimbo lake kwa serikali rais hawezi kujua kila jimbo tanzania linashida gani ndio maana wakawepo wabunge ili kupeleka shida za wananchi wao lakini yeye halima mdee alikua hapeleki hizo shida bali anaenda kuongelea mambo ya chama lakini ya jimboni hapeleki mpaka magufuli anaenda kutembelea huko ndio anakuta miundombinu mibovu
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 3 жыл бұрын
@@ignassindabaha1813 elewa na wwe iko hivii halima mdee kama mbunge alitakiwa kupeleka shida za jimboni kwake ili serikali itenge bajeti magufuli hajui kila jimbo tanzania linashida gani ndio maana wakawepo wabunge ili kuwakilisha shida za majimbo yao lakini yeye halima mdee alikua anaenda kutetea chama hasemi shida za jimbo lake kama wwe unafwatilia toka bunge sjawahi skia halima mdee akieleza shida za jimboblake yeye niwakusemea habari za chama nakutoka nje tu
@davidnyato4898
@davidnyato4898 3 жыл бұрын
Michunhaji kama hiii haifai kuigwa hapa duniani
@saidijuma9386
@saidijuma9386 3 жыл бұрын
Al haji syo cheo hko ht mm nwz nikawa al haji hujui kitu bora unyamaze
@maicoernest6284
@maicoernest6284 3 жыл бұрын
Magufuli nitampa kura ila wew gwajima sikupi1 rudi kanisani ukahubili
@michaelgideon625
@michaelgideon625 3 жыл бұрын
Gwajima hupiti ng'0,, huo ndo ukwel kwan halima mdee ndo mpango mzima.
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Hahahaha unachekesha wewe
@brendakolo9562
@brendakolo9562 3 жыл бұрын
Teja la unga wewe tutamwita bashite
@lechopiuss315
@lechopiuss315 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapo, ludi church
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
Sasa alitaka asiwape maendeleo wakati yy ni raisi wa watanzania wote.mchungaji pekee aliyesema hawezi kugombea ngazi yoyote serikalini kisa eti atakukuwa anajidhalilisha.kwakuwa yy n mtumishi wa Mungu sasa today is today hahahahhahhahahaa
@damianmakala2913
@damianmakala2913 3 жыл бұрын
Jimbo la kawe lipo ovyo kabisa sijui kwa nn
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.magufuli hauna mpinzani.
@pamphilherman2913
@pamphilherman2913 3 жыл бұрын
Mhh
@husseinmiraji1321
@husseinmiraji1321 3 жыл бұрын
Kwani Ccm mnapeleka wasanii wengi?
@goodlucky8532
@goodlucky8532 3 жыл бұрын
Miaka yote wasanii huunga mkono ccm na wanashinda sasa nyie mnaumia wapi ..?? MAGUFULI FOR CHANGE (M4C)
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
Makubwa haya
@masumbukomasele2221
@masumbukomasele2221 3 жыл бұрын
K kama k
@izindorikindolekindole1605
@izindorikindolekindole1605 3 жыл бұрын
Askofu mwongo kupindukia
@jacobmgumiro156
@jacobmgumiro156 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapo danganyeni watoto
@jimsonndingwi581
@jimsonndingwi581 3 жыл бұрын
Bora mdee kuliko huyo mhuni. kwanza muongo kupitiliza
@khadijacharles2433
@khadijacharles2433 3 жыл бұрын
Mdee ndo hamna kitu kabisaaaaa
@jimsonndingwi581
@jimsonndingwi581 3 жыл бұрын
@@khadijacharles2433 mdee hana serikali unawezaje kusema muongo? waongo ni wale wenye serikali, kwa mfano zile milioni 50 kila kijiji kwenu zilifika? kama zilifika basi wenzetu mna bahati sana.
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
@@jimsonndingwi581 wewe nani akupe milioni 50 bure bure, si bora zijenge hospitali ili mkatibiwe huko, kama hiyo sera na ninyi mliona ina nguvu si mngeweka na ninyi kwenye ilani yenu,
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
@@jimsonndingwi581 Safari hii kawe hamchomoki, mmepatikana
@jimsonndingwi581
@jimsonndingwi581 3 жыл бұрын
@@bigjizee4130 October 28 tuna jambo letu.
@Nyanda506
@Nyanda506 3 жыл бұрын
Gwaji ndio kawe
@hermananord2111
@hermananord2111 3 жыл бұрын
Mbunge wa pono 🙄
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Eeeenh makubwa haya
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Ungeza sauti🎤💯
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 3 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 umeona eee mambo juu ya mambo
@husseinmiraji1321
@husseinmiraji1321 3 жыл бұрын
Hapo hakuna mbunge kabisa
@conasmalale1073
@conasmalale1073 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 alitakiwa alete maendeleo maendeleo haya chama Gwaji boy ila mdee anatosha mitano tena kwa sauti ya zege
@almassylivester4691
@almassylivester4691 3 жыл бұрын
Chagua sauti ya Zege. Mihemko ni matumz mabaya ya nafsi. Gwjma oye
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 жыл бұрын
Askofu Gwajima mbunge wetu wa jimbo la Kawe Safiiiii 👍💪
@gilbertmtoshu4334
@gilbertmtoshu4334 3 жыл бұрын
Hapati ubunge
@mrmhenipm
@mrmhenipm 3 жыл бұрын
Jambo letu lile🤦🤦🤦
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Kifo cha mende
@graceromwady3649
@graceromwady3649 3 жыл бұрын
Kwenda zako wewe tapeli makumbwa. Weee
@jamesnaloka7335
@jamesnaloka7335 3 жыл бұрын
Gwajima yaani anvyoongea ujinga na uwongo km alivyodanganya Umma kuwa ile video ya Kutomba mke wa mtu eti siyo yy na wajinga wakamsikiliza wajanja walihama kanisa na ndio maana kaona mapato yamepungua sasa anaona bora aongee uwongo ili awe mbunge pumbavu sana KAWE NI HALIMA MDEE tu
@stevensimbakila5383
@stevensimbakila5383 3 жыл бұрын
Dude Kama dude
@magrethelisha2220
@magrethelisha2220 3 жыл бұрын
R
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 3 жыл бұрын
Mdee anatosha
@amansaid1545
@amansaid1545 3 жыл бұрын
Gwajima ole tumbafu
@bigjizee4130
@bigjizee4130 3 жыл бұрын
Acha kutukana kisukuma, safari hii mmepatikana
@ferdinandshitobelo6960
@ferdinandshitobelo6960 3 жыл бұрын
Ntumbafu noko
@amansaid1545
@amansaid1545 3 жыл бұрын
Ntumbafu geete
@naomishetanihajiwezimartin9201
@naomishetanihajiwezimartin9201 3 жыл бұрын
Mdeee jembe ulaya.nakukubali
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 3 жыл бұрын
Mdee miaka 10 itoshe endelea na majukumu mengine Wala usipate shida ni Mambo ya kawaida
@annasimon4118
@annasimon4118 3 жыл бұрын
hlf aseme ile video ya mauono cy yake wakati hapa tu yenyewe anakatika
@elisantennko5112
@elisantennko5112 3 жыл бұрын
Ngwajima acha tamaa mungu kashakupa cheo Cha askofu utulie
@tinnermxexhu5691
@tinnermxexhu5691 3 жыл бұрын
Hana tamaa
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 3 жыл бұрын
Bonge la speech
@allyndambwe4354
@allyndambwe4354 3 жыл бұрын
Mnafiki
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 жыл бұрын
Hata kama chama changu, lakini sikupi kula yangu, hapana hakuna kitu hapo kwa gwajima.
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@nelsonlovenes178
@nelsonlovenes178 3 жыл бұрын
Anatusaidia au nihaki yetu mbona ubaguzi afu mwenyewe ni mchungaji niulize uchungaji ume jiuzulu tuanze kuongea uongo
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 3 жыл бұрын
MTU atakayekupa kura we uliyelaaniwa kwa kumtukana Pengo sijui.uliyekana ubunge,uwaziri na urais ni vyeo vidogo..anakulaje matapishi
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@regonacademyonline622
@regonacademyonline622 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 780 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 176 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni
9:30
Daily News Digital
Рет қаралды 489 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
UFUNGUZI WA KAMPEINI JIMBO LA KAWE: MGOMBEA WA UBUNGE ASKOFU GWAJIMA
1:48:17
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 60 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН