GWAJIMA: "Marufuku Kulia Kwenye Msiba wa Mama Yangu"

  Рет қаралды 100,354

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@josephinedavid3072
@josephinedavid3072 7 жыл бұрын
huo ndiyo ukweli haswa kwa wana wa Mungu. nimeipenda.
@geraldremmy2472
@geraldremmy2472 7 жыл бұрын
Hongera sana baba Gwajima, umetufundisha aliyekufa katika Kristo ni shujaa hivyo inapasa kufurahi na kusheherekea shujaa amekwenda mbinguni.
@judithtarimo5363
@judithtarimo5363 2 жыл бұрын
Wai hata yesu alipokufa mama yake alilia
@Amylotu
@Amylotu 2 жыл бұрын
Kweli kabisa, tunarudi tulikotoka maisha ya Dunia tumekopeshwa. Siku Moja tutarudisha. 🙏🙏🙏
@faithkiio986
@faithkiio986 7 жыл бұрын
AMEN...MANENO MAZURI SANA MUNGU AWAPE NGUVU
@johnkidumba532
@johnkidumba532 7 жыл бұрын
barikiwa sana baba umetufundisha nikweli MTU aliyekufa katika kristo nishujaa anayerudi kwao
@charlesmurimi592
@charlesmurimi592 5 жыл бұрын
Kweli Gwajima.. nakuelewa sana mzee, Ww ni msema kweli.
@veronicakauye2087
@veronicakauye2087 4 жыл бұрын
ni kweli, kutokujua maana ya kifo tu.Mafundisho mazuri, Mungu akubariki
@paulinacosmas6355
@paulinacosmas6355 7 жыл бұрын
Amen dady
@hollymore4904
@hollymore4904 7 жыл бұрын
Basi hongera yako... Well done
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 7 жыл бұрын
Safi sn
@cyprianjacob5042
@cyprianjacob5042 2 жыл бұрын
More Philosophical,,, nimeipenda
@fanuelmpesa3484
@fanuelmpesa3484 7 жыл бұрын
sawa mzee
@saradolaso9730
@saradolaso9730 7 жыл бұрын
Rip
@rehemaluvanda8618
@rehemaluvanda8618 7 жыл бұрын
Amen Baba shujaa karudi kwao
@zuenaabdi.8427
@zuenaabdi.8427 6 жыл бұрын
Supa same
@rachelalinda7007
@rachelalinda7007 7 жыл бұрын
Amina baba sisi ni wana wa ufalme na umetufundisha katiba na sheria za ufalme sisi sio kama wale.
@palesyosilingo6386
@palesyosilingo6386 7 жыл бұрын
Asante mungu akubariki
@susanafabiani3468
@susanafabiani3468 7 жыл бұрын
mmmh kwenye hilo mwenzangu hapana
@samanthaali873
@samanthaali873 7 жыл бұрын
Hiyo kali ya leo
@pinanahome9430
@pinanahome9430 7 жыл бұрын
Pole pst
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 7 жыл бұрын
Jamani watu kuweni waelewa gwajima anafufua walichukuliwa kishilikina sasa mama yake kafa kwa mapenzi yamungu apaswi kushindana na mungu angekua amechukuliwa nashetani alitakiwa afanye maombi yakuvunja mauti lakini sasa mungu ametwaa
@mayco-channel__1
@mayco-channel__1 7 жыл бұрын
ULANIWE PAMOJA NA GWAJIMA WAKO USHINDWE NA ULEGE KENGEE MKUBWA
@christsflowe.r
@christsflowe.r 7 жыл бұрын
Tatizo watu hawaelewi, ujinga ndo umewajaa wengi wait hawataki kujifunza wanapenda tu kuchangia vitu wasivyovijua ili kuonekana na wao wamo
@fibioko8916
@fibioko8916 7 жыл бұрын
pole
@annen3923
@annen3923 7 жыл бұрын
Barikiwa Sana BABA Gwajima.
@cyprianjacob5042
@cyprianjacob5042 2 жыл бұрын
More Philosophical
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
Yesu alilia lakini kwa Lazaro
@lydiasuna7343
@lydiasuna7343 4 жыл бұрын
Jamami Yesu mwenyewe alilia kaburini kwa rafiki yake Lazaro kaka yao na Matha na Mariam.
@papilumona1896
@papilumona1896 7 жыл бұрын
Uko sahi mtumishi hila shida yangu mimi nauliza baunca wanani please naomba jibu
@aminitu3766
@aminitu3766 8 ай бұрын
Ngwajima umekomaa kiimani xaxa
@beatricebrightkisonga5650
@beatricebrightkisonga5650 7 жыл бұрын
Mhuuuuu!!!!
@samsonkusupa8115
@samsonkusupa8115 7 жыл бұрын
Mmh kweli imani ya dini inaendelea kuboreka kila sku
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 6 жыл бұрын
Hata Mariam alilia Yesu mwanawe Tunajua hivo but ni hali ya ubinadamu lazima wee acha za ovyo
@carolinamushi5555
@carolinamushi5555 7 жыл бұрын
Huyo Baba anajifanya kuzika hisia zake,wanadamu tumeumbwa kwa hisia ya kucheka kama vile ya kulia, kama wewe huna sensibility yoyete ,haupo kamili,sasa unapojifanya wewe umezishinda hizia hizo,hata ukiona MTU anateseka hutamjali,utajifanya tu yote sawa.
@mammyali3424
@mammyali3424 7 жыл бұрын
Ndugu zanguni. .chungeni midomo. .Mungu hadhiakiwi. ...utathubutuje kumsema mtumishi wa Mungu akiwa kwenye. ..majonzi vibaya wewe. ...mbona unajiwekea kitanzi. .mwenyewe. ...walienuka watu. ...40. ..wakamdhiaki mtumishi wa Mungu Elisha. ...kukatokea dubu wawili waka wala wote 40 wewe umetiype kwa madharau na maneno dhiaka. ...inawezekana mtumishi wa Mungu asisome lakini ole wako. ..maana Mungu ameshasoma. ..usipotubu mabaya yatakubata ghafla asanten.
@zuenaabdi.8427
@zuenaabdi.8427 6 жыл бұрын
Mwili wa supa sami
@abuuayoub8958
@abuuayoub8958 7 жыл бұрын
That's it ....Japo inakuwa vigumu kujizuia Ila the fact remains hata ukilia vipi hafufuki wala hausababishi chochote Kwa maiti ...
@annahenrick4151
@annahenrick4151 7 жыл бұрын
Jina LA bwana na libalikiwe mtumish
@abubakarkada3083
@abubakarkada3083 7 жыл бұрын
Lazaro alivyokufa yesu alilia machozi Yohana 11:35 wewe nani unazuia watu
@joyceelimada2513
@joyceelimada2513 6 жыл бұрын
Kulia machozi c kwamba alilia kwa Sauti bali alihuzunika rohoni na kumshukuru Mungu
@fadhilimwamlima1543
@fadhilimwamlima1543 7 жыл бұрын
Inahitaji ujasili mkubwa Kama wa huyu mchingaji
@fedrickmwaka7706
@fedrickmwaka7706 7 жыл бұрын
daa sijawai kuona MTU anaambiwa asilie msibani
@juanaboaz5144
@juanaboaz5144 7 жыл бұрын
makubwa ya dunia kazi IPO dunia hiyoooo inapepea kuna mtu anakatazwa kulia
@enockshija5512
@enockshija5512 7 жыл бұрын
Kama watu wakifa wanakwenda mbinguni kwa nini uhangaike kuwarudisha? Kwa kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
@nlctomaro8226
@nlctomaro8226 5 жыл бұрын
Ufinyu Wa maarifa
@nlctomaro8226
@nlctomaro8226 5 жыл бұрын
Una ufinyu w maarifa
@barytz5977
@barytz5977 7 жыл бұрын
Biashara ya ndini inalipa kumbe!!?
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 7 жыл бұрын
Ata ukilia awezi kurudi gwajima anafahamu dini utakiwi kulia nikuimba na kuomba mungu.tu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
Atukuzwe mungu daima arise and shine bas yesu hajui dini kwakua alimlilia razaro
@mariamnyerere7499
@mariamnyerere7499 7 жыл бұрын
mh makubwa kulia lazma utalia tu
@julymilkytz7598
@julymilkytz7598 7 жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli ,kulia kwenye msiba huwezi ukazuia hisia naamini ukifikiria baada ya hapo lazima utoe chozi katika bibli yesu alilia machozi YOHANA alipofariki
@rashidmoche8709
@rashidmoche8709 7 жыл бұрын
July MilkyTz duu! yohana yupi dada
@julymilkytz7598
@julymilkytz7598 7 жыл бұрын
Rashid Moche ,Lazaro
@mushxwaggz5258
@mushxwaggz5258 7 жыл бұрын
weeee kitab gan icho?
@joycekelvin393
@joycekelvin393 7 жыл бұрын
Leo umeongea poit
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
mh huyu mchungaji nizaidi ya yesu kama yesu alitoa machozi kwamsiba wa razaro sizambi kulia kidogo for my mama napia yesu alilia pia kwaajili ya kifo chake so hakuna mtu anapenda kulia ila ni uchungu so kila mwenye uchungu na nduguye atalia to kama yesu alivyolia hakuanza kwetu
@doreenkiwola9848
@doreenkiwola9848 7 жыл бұрын
jeny yusuph kama maelekezo aliyopewa asilie akilia ndo hivyo lazima atii
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 жыл бұрын
Doreen Kiwola mh hilo nalo neno
@enockshija5512
@enockshija5512 7 жыл бұрын
kwanini unahangaika kutudanganya unafufua wengine kumbe jibu unalo.
@zubedahussein9779
@zubedahussein9779 7 жыл бұрын
duh
@zainurirashidi3029
@zainurirashidi3029 7 жыл бұрын
Mwenye sikio asikie na mwenye macho aone msitapeliwe hakuna ufufuo wifi mtupu
@myshem5341
@myshem5341 7 жыл бұрын
Awaa walokolee duuuu ndivyoo walivyo ao lanaa tupu
@minanibuhendwa3416
@minanibuhendwa3416 7 жыл бұрын
My Shem .sisi wakristo tumetukaniwa sana tu ila hatutarundi nyuma ha hakuna siku sisi wakristo tutaweza kuzarau dini ya mtu .oke kwa kila jambo tunasema asante
@asnathbusongo6643
@asnathbusongo6643 7 жыл бұрын
My Shem pole Sana hujui maandiko
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 7 жыл бұрын
Hata uislam unakataza kulia kwa makelele msibani
@emmanuelpanga943
@emmanuelpanga943 7 жыл бұрын
ndio Baba mchungaji
@zakiamaungazakia720
@zakiamaungazakia720 7 жыл бұрын
Nilikuwa,namsubir mfufue kumbe story za kusimulia wanakondoo nafuanafua
@salamasaidi7363
@salamasaidi7363 7 жыл бұрын
mmmhhhhh"!!!!
@johnkidumba532
@johnkidumba532 7 жыл бұрын
Zakia Maunga Zakia WWF
@sanndyberg645
@sanndyberg645 7 жыл бұрын
Ndo Gwajima sawa kabisa.mtu apewe sifa yake pale anapotenda haki su kizuri tena hapa hapa duniani kabla hajafa na asikie. Kulia si faida sababu kasha enda mbinguni. Ila ni kwamba uzuni itakuwapo kwa familia ila wacha kila mmoja alie kimoyoni na familia ikiwa pamoja kufarijiana na kumupmbea alie fariki spikelewe vizuri.
@suzankizuzu4011
@suzankizuzu4011 7 жыл бұрын
Unamakubwa wew mmmmmhhh hpn jmn kam dhambi na mpate tuuu lkn lien wakrst jmn mama anauma uwiiiiii Sas siumfufue maan wew unasemaga unafufua watu mfufue mama yako sas hahaaaaa kwel din biashara sku hzi.
@moseshaule7825
@moseshaule7825 7 жыл бұрын
Suzan Kizuzu
@fredyfundiazamtv8337
@fredyfundiazamtv8337 7 жыл бұрын
Kwanini asimfufue. Kanisa lake si nila UZIMA NA UFUFUO
@maryammeme2615
@maryammeme2615 7 жыл бұрын
FREDY FUNDI AZAMtv hahahahaaaaaa haki ww
@christsflowe.r
@christsflowe.r 7 жыл бұрын
Nyie ndo mnandania mambo, sio kila mtu mtu anafufuliwa 😏😏
@frankfrank459
@frankfrank459 7 жыл бұрын
FREDY FUNDI AZAMtv wewe umefufua Wangapi?? Acha kejeli kifo hakitaniwi
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Uyu c anafufu watu, na amfufue mamaake
@seifahmed2993
@seifahmed2993 7 жыл бұрын
Kifo akizoeleki wewe
@alexemanuel9637
@alexemanuel9637 7 жыл бұрын
Kwani mama ako ni nani hadi tumlilie? BIKIRA MARIA AU? Kafa mama angu iwe mama ako pumbavvvvvv
@sharoondanny718
@sharoondanny718 7 жыл бұрын
Alex Emanuel Elewa Mada Acha kuropoka
@isaacgadiye9183
@isaacgadiye9183 7 жыл бұрын
Alex Emanuel mmhhh.
@christsflowe.r
@christsflowe.r 7 жыл бұрын
Kwani we ulikuwepo msibani??? Hapo anaongea na watu waliofika msibani Wala sio wewe? Kwani na wewe ni nani Hadi akwambie? Watu bwana
@hollynationproductions6326
@hollynationproductions6326 7 жыл бұрын
mpeni Huyo mbwa Alex mamake zake
@hollynationproductions6326
@hollynationproductions6326 7 жыл бұрын
anaongea na walioenda sio ww hiv watu wengine wanaubongo
@carolinamushi5555
@carolinamushi5555 7 жыл бұрын
Huyo Baba anajifanya kuzika hisia zake,wanadamu tumeumbwa kwa hisia ya kucheka kama vile ya kulia, kama wewe huna sensibility yoyete ,haupo kamili,sasa unapojifanya wewe umezishinda hizia hizo,hata ukiona MTU anateseka hutamjali,utajifanya tu yote sawa.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Askofu Gwajima asimulia alivyovamiwa na majambazi wenye Silaha | Walivunja mlango na paa
11:32
kuna watu awakufai Leo Ila kesho watakufaa , ishi na watu vizuri
2:51
UFUFUO NA UZIMA MTWAPA
Рет қаралды 7 М.
JOSEPHAT GWAJIMA - RUDISHA TV (NIMEAMBIWA NIKWAMBIE HAYA) ~ 10 nov 2023 || Online Church
8:57
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН