Matokeo ya umimi ndo haya, safi sana msumbiji people
@EmanuelMandoo5 күн бұрын
Safi ee nenda sudan uone raha yake
@JumaJuma-p9c6 күн бұрын
Sisi atuitaki FRELIMO tena tuna mtaka Venâncio bassi ❤❤❤
@ramzsule76786 күн бұрын
Hayo ndio maneno yao eti nitakua rais wa wote wakati keshadhulumu
@henrypambisa54836 күн бұрын
Hawamtaki kabisa
@juvenalymwanalyela2026 күн бұрын
Ccm wajifunze kitu wasijifanye niwa milele
@Melisacr11476 күн бұрын
Kuna siku kitaumana
@simbakudeba46825 күн бұрын
Vurugu Mocambique ni kawaida sio mwaka,miaka mingi huku hakuaminiki hata siku moja
@henrypambisa54836 күн бұрын
Kaka ni noma na kesho yanaaza upya
@caashamacalini38875 күн бұрын
Safi Sana msumbiji hongeleni msilegeze kamba hawa viongozi wamezidi najirani zetu Kenya mwendo mdundo sasa bado hapa kwetu vinganganizi mwishowe watu wanachoka Kwa mifano mnaiona endeleeni upofu
@DavidCurtis-e4c4 күн бұрын
Kwetu hatachoka mtu tumeshazoea amani, mambo ya kuandamana kila kukicha inarudisha maendeleo nyuma, nionyeshe nchi iliyoandamana na raisi akatolewa madarakani na nchi ikapata maendeleo ya ghafla, mfano Libya ya sasa maisha ni magumu, mwanzo watu huenda libya kutafuta maisha ila libya ya sasa walibya hutoka kwenda magharibi kutafuta maisha, kenya ya sasa inaporomoka uchumi na maisha ya watu wa chini kuwa magumu zaidi, siria hali tete, kongo haieleweki mpaka sasa, wewe unaongea tu ila hujui madhara ya maandamano na ndio maana wazungu huchekelea kuona hali hii ikifanyika Afrika na isipotokea huchochea kupitia vyombo vyao vya habari ila wao hawaandamani, hivi kwa akili yao unadhani trump awamu ile ya pili alishindwa? Mbona hawakuandamana? Wamekuwa wavumilicu na safari hii amechukuwa tena. Maandamano yana madhara makubwa mno, mfano hao wote kwa siku hiyo hawaingizi hata kipande cha shilingi ila maduka yanafungwa sheli zinafungwa usafiri unakuwa wa tabu hivyo mapato hushuka je yakifanyika wiki? Inakuwaje miundo mbinu huaribiwa mfano bara bara huaribika kwa kuchomwa moto magari maduka ya raia kuchomwa moto kuiba mal za watu je hayo mambo ndio tunayataka? Maana kwenye maandamano hapakosi wahalifu hutumia kivuli cha maandamano kufanya uhalifu na uharibifu ila pia serikali kwa siku hiyo kazi zina simama kudili na usalama wa watu lakini pia kutumia nguvu inapobidi, vifaa wanavyotumia vinatumia mafuta na mengineyo yaani hivyo vyote ni gharama za wali kodi hutumika vibaya, maandamano hapana hapana hapana, watanzania tuachieni serikali ifanye kazi yake ili mradi maisha yaende, maana tulivyolalamikia mwanzo tunaona vinafanyika japo pole pole, mahospitali hujengwa kila kukicha miundombinu huboreshwa sasa tuna ndege zetu tuna treni mpya vijiji vinaongezeka na ubora wa bara bara kuongeka miji hutengenezwa kuboreshwa stand za mabasi kila mkoa kujengwa mashule kuboreshwa kwa kilimo na wakulima kujengwa mji mkuu wa Tanzania kuboreshwa miundombinu ya mji mkuu wa biashara sasa vipimo vyote vya kinataifa kwa ajili ya afya zipo kwenye hospitali ya taifa madqraja ya hadhi ya kimataifa kununuliwa meli kwenye maziwa kujengwa bwawa la kufua umeme, hivi bado hamuoni serikali inajihidi? Pole pole tutafika hawa woote wanaoandamana huwezi linganisha maisha yao ya mtu mmoja mmoja na watanzania, tusiwasikilize wanasiasa sana maana panapo haribika wao ndio wa kwanza kukimbia na kwenda wanapopajua na wakifika huko hupewa nyumba nzuri na kulipwa kila mwezi tena pesa nyingi wanajulikana ni wakimbizi wa siasa je vipi mimi na wewe?
@kwisa48996 күн бұрын
Gnz safi sana
@robertkabuthia27816 күн бұрын
Wah... So serious
@DaudiDaniel-m9b5 күн бұрын
Raia wapewe hakizao jaman..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AbuodSeleman6 күн бұрын
tujifunze kwa haya
@athumaniamani99056 күн бұрын
Yaan VIONGOZ wenye rangi nyeusi daaah majanga snaa yaan akili zao daaah matatizo tu
@BakariAlihaji6 күн бұрын
Ccm mjifunnze mwinyi kubakisha wilaya kati ndiko zizi la kuiba kura
@ErickyKatunzi6 күн бұрын
Nimeipenda hii,masister Du, wa msumbiji wanajua haki zao na wanazidai barabarani, wahuku kwetu Tz,wao wapo snap chart,na kuuza k,na kupiga mizinga ya hela tu, utafikili wanamaisha mazuri,pumbavu zetu kabisa sisi watz.
@MweraRiro6 күн бұрын
Mimi ninachojiuliza ni kwamba ikiwa waliochaguliwa wamekataliwa na wanao endakuongozwa anapata wapi uhalali Wa kuendelea kujiita kiongozi
@SumuuKijoka6 күн бұрын
waliohesabu kura ndio wanaosababisha vurugu
@FadhiliBakari-dl9yc6 күн бұрын
Mbona tz tunalizika na maisha yetu
@ErickyKatunzi6 күн бұрын
@@FadhiliBakari-dl9ycsema we ndiye unayelizika,ipo siku kitanuka nahuku, Tz siyo mbinguni hapa.
@johnsinyinza74506 күн бұрын
Siwalikwenda kenya kujifunza wizi wa kura tuombe yasitupste hapa
@FraizdaYussura-st3jg6 күн бұрын
hukijui tunacho pitia sisi Mozambique
@stellamwasenga62055 күн бұрын
Harakati za mtu mweusi ni ngumu Sana aisee
@gidongailo71746 күн бұрын
Siasa za kupora uchaguzi walizikopi hapa Tz
@mwakifwangeambakisye14616 күн бұрын
Sasa nimeona neno kwamba PRAY FOR MSUMBIJI,Mambo mengine sio kuombea ni UWAZI NA UKWELI ,Mbona huko ULAYA NA MAREKANI wanakubali kura zirudiwe kuhesabiwa kama upande mmoja h aujaridhika.Kwa wenzetu ULAYA NA MAREKANI hakuna bunduki Wala mabomu Wala kulinda kura siku za kupiga kura.Mungu atusaidie Afrika tuna matatizo hatupendi kuachiana madaraka.Amani ni Bora kuliko kitu chochote.Maana ghasia zikiibuka hazijali hii ni Mali ya nani na huyu ni WA chama gani
@MathewNathan-yb2bz6 күн бұрын
Wakoloni weusi hawa ni hatari bora kukabiliana nao hivi hivi na ikibidi watu waingie msituni.kuiba kura ni uhaini na kuvunja katiba na sheria za nchi.Watawala wakiiba kura hapo ina maana wamevunja utawala wa sheria na katiba hivyo hata watu wakichukua silaha na kuasi dhidi ya serikali yao ni sawa tu.
@benardsamizi-qo4yp6 күн бұрын
Poleni sana frelimo maji sio Yale tena. Someni alama za NYAKATI Nguvu ya umma haiogopi maji ya washa washa wala risasi za moto.
@muhammadmpahi3386 күн бұрын
Tz haiwezi tokea hiyo coz sisi hatukupata uhuru kwa mapigano. Hii inatokeatu kwenye nchi zilizopata uhuru kwa mapigano
@MariamJeremia-u7e4 күн бұрын
Unaongea tuu hujitambui watu watu wamechoka kuporwa haki zao na kuongozwa na viongozi wasiowachagua ,
@muhammadmpahi3384 күн бұрын
@MariamJeremia-u7e hata kama wamechoka hawawezi fanya chchote coz wanafki2 we mwenyewe zaidi ya kupiga kelele kwenye mitandao Huna cha kufanya
Rama wa naji yupo APA Nampula ata leo nimeongea nae😂
@chalokalunde94295 күн бұрын
Watanzania ni waoga
@Mahonda80805 күн бұрын
Zamu ya nani 2025😂😂🍺
@anordiobadia.nycsong81236 күн бұрын
Apelekewe moto mpaka na yeye akimbie
@senatormmary82866 күн бұрын
Haya ndio madhara ya kuzarau wapiga kura mnajitapa kwa ushindi wa uwizi wa kura vumilieni upumbavu wenu nguvu ya Dola Kuna wakati ukifika hawawezi pambana na wananchi
@SeverinoLuis-j1h4 күн бұрын
Tena wameiba kweli uku mpaka wanafunzi wakitakiwa chama tawala mpaka watoto
@senatormmary82866 күн бұрын
Kuna chama afrika mashariki wasipojirekebisha yatawakuta haya
@ProsperReuben-fg6uh6 күн бұрын
Hakika one day yes ngoja kwanza wapinzani wamtoe yule karismatik
@robertkabuthia27816 күн бұрын
Peoples power
@NixonJohnson-r4m6 күн бұрын
Tz vip
@mkondomkondo47215 күн бұрын
Tumuulize lissu yuko tayari?
@rashidiomary62705 күн бұрын
Acheni kushangilia mauaji wanamsumbiji hakika mmewaua watu wengi sana kwa mikono yenu wenyewe tangu 1976 faida yake ni nini,mlitupita maendeleo hata sisi wa Tanzania lakini kwa hicho mnachokifanya mtanunua baiskeli kwa pesa zitakazojaa gunia
@adiaygo85466 күн бұрын
People power 💪💪💪 chadema mtaweza?
@MasterTulo6 күн бұрын
Sio chadema inabid wazalendo wote bila kujali chama maana Tanzania imekuwa ya hovyo sana
@adiaygo85466 күн бұрын
@MasterTulo mzalendo anzisha typo nyuma yako
@MasterTulo6 күн бұрын
@@adiaygo8546 mm siwezi kuanzisha ila mtu yyte akilinzisha nakinukisha naingia barabarani
@abuubaya76146 күн бұрын
Vyama tawala visipende kung'ang'ania madaraka
@jackyjacky20463 күн бұрын
Kenya himefudisha afrika jisi ya madamano
@MbarakSoud6 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah Armani ni kitu kikubwa sanaaa siyo kuchoma tu na kuibaaa malii za hasa za wageni wanaofanya biasharaa mosambigue na kuvunja jela kukimbiza wafungwa 6000 angalia mosambigue itakuaa masikini sana na wao ni kuwatia hasara wageni wanaofanya biasharaa mosambigue wamechoma magari wamechoma majumba vituo vya polisi magari ya wafanyabiashara na magari ya polisi wamechukua silaha vituoni Armani mosambigue mtihani mkubwa halafu wamosambikano hawana shukrani tena sana na serikali yaooo hospital bureee shulee lá kwanza mpaka lá saba bure serikali ya musambigue husaidia wananchi waoooo lakini hawana shukrani ni kazi kuwaibia wageni Mali zaooo huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana
@StephenMpallange5 күн бұрын
Hakuhitajiki mazungumzo Bali ni kufuta matokeo yote ya Uchaguzi ili urudiwe upya.Mazungumzo yanadumaza Demokrasia.
@FadhiliMwaitete-ls2li6 күн бұрын
Hii Tusubili Tanzania tunako elekea ccm mjifunze çcm kuwa zuruma itafika mwisho ccm mnajifanya mnaroho ngumu sana sasa ata Msumbiji nayo iliwazarau wananchi sasa moto wake mmeuwona acheni kuleta machafuko ccm niwezi sana wakura
Hivi ni kwa Maslahi ya Nani mbona hakuna anaekubali kushindwa?
@annasitaziakamtewe5 күн бұрын
Wamejifunza tz wizi wa kura.
@bakarimwachanga88035 күн бұрын
tafuteni vitu vya maana vya kuiga
@HuseniMsumba5 күн бұрын
VIJANA WASOMI WANAO MALIZA VYUO NA KUKOSA AJIRA HUKU VIONGOZI WAKIGEUZA URAISI KUA UFALME NA UMALIKIA NA UMASIKINI KUONGEZEKA,
@RamadhaniSalimu-r4q4 күн бұрын
HII NDIYO TABU YA INCHI ZENYE DEMOKRASI
@elibarikkiakyoo-w7p5 күн бұрын
Alafu rahis kam huyu akitoka madarakan asihistakiwe
@mabondolawrence18126 күн бұрын
Report la wizi wa kura huanza. Kwa kkupofusha kiburi na kisha anguko la fedheha.
@rashidhussein-cq2si6 күн бұрын
Hayo ndomatunda ya kuiga mifumo yakidhulma
@michaelmwaksole72446 күн бұрын
Shida nikwamba viongozi wa kiafrika ni marafi ya madaraka
@shaibujape44466 күн бұрын
Nashuri vyama vyote vipndi 2 duniani vikae
@erastomapunda14446 күн бұрын
Mda utaongea
@Chettymlambalipsi-lb9km6 күн бұрын
Msumbiji wameweza sisi Tanzania ni mafisi tu
@MathewNathan-yb2bz6 күн бұрын
Na sisi ipo siku tutakiamsha
@MwanashaAli-e9y6 күн бұрын
Kabisaa mtakuja kujitoa MSijali
@MathewNathan-yb2bz6 күн бұрын
@@MwanashaAli-e9y tumepigania uhuru ili kumuondoa mkoloni mweupe ,mkoloni mweupe ameondoka tukidhani kuwa sasa tuko huru na tutaongozwa kwa misingi ya utu na haki.kumbe wapi,kwa sasa tunatawaliwa na wakoloni weusi ambao wanaiba kura,wanatuteka na kutuua na kila uchaguzi ni lazima waibe kura na kutuua .Kiasi kwamba hata wale wakoloni weupe hawakuwahi kufanya hivi.
@henrypambisa54836 күн бұрын
Tena wanaweza kaka karibia vituo vyote vya police wamechoma moto
@idrisaabdallahmadenge31556 күн бұрын
Tunzeni amani acheni kuiga Madhara ya kuvunja amani ni makubwa zaidi
@KhalfanSalim-v1x6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abduliabdallah91976 күн бұрын
Hao walishazoe Toka enzi za samola machel kwa hiyo hawana uchungu na amani yao wanahitaji ushauri hao baada wapambane na maisha yao wanamsaporti mjanja ambaye amekimbilia mafichoni Tena familia yake IPO salama, wao wanauwana kweli akili za kuambiwa changanya na zakwako
@FraizdaYussura-st3jg6 күн бұрын
wewe ulie sema wamezowea kufa mjinga mwenhewe
@KostaJoseph6 күн бұрын
WATU WAMESHIBA UGALI SIKU KUKIWA KAMA KWA GADAFI NDO WATAJUA THAMANI YA AMANI
@dicksonkusaga6 күн бұрын
Amani gani wewe mjinga unayo iongelea viongozi majizi wanaibia Mali za nchi hiyo ndo amani kwako..
@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz6 күн бұрын
South África siku karibuni tutankatia umeme wetu wa mocambique maana yeye anaisaidia frelimo, África do Sul vai ficar sem energia queremos cortar nossa energia como ele tá lhes ajudar partido frelimo.
@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz6 күн бұрын
Hawezi kuapizhwa Chapo, rais WA Moçambique Venâncio mondlene presidente do povo Chapo nao vai governar Moçambique nós não elegemos frelimo nós votarmos Venâncio mondlene como presidente de Moçambique