Dada wewe ni mzuri sana lakn usifos ukawakera wazazi wako Kwan Baba na Mama ndiyo nyao za kwenda peponi tafuta kwa njia nyingine Mungu atakupa ona Sasa hivi unakaa nywere wazi na ukiangalia wewe ni Mtoto wa kiislamu pole sana ila unachelewa Rudi kwa Allah InnshaAllah utafanikuwa Dunia maisha mafup sana.
@LutfiaRashidАй бұрын
Bro parents ni mafanikio tangu ya dunia na huyu mtoto anautukutu WA age Fulani hivi na kikweli hatendi sawa kulingana na Mila na desturi zetu
@kheiramour2973Ай бұрын
Kujielew kwenyew ni kuach nywel waz haitham daah bad hujajielw
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
Haitham anasema anapenda, LKN kufa hapendi ila atakufa
@Saada-g4jАй бұрын
Kifuwa wazi@@kheiramour2973
@MtumwaMaulid23 күн бұрын
Hebu ewe bint zinduka nywele moja tu unaandikiwa dhambi 10jee hizo unazo wewe ni ngapi na unawaonesha watu wangapi halafu unasema sana si uhuni sikweli kwa ni apo ulipo umevaa kihuni
@Fathasssane-vs2thАй бұрын
Allah tufanyie wepes na watoto wetu
@BiubwaAbdallah-h6wАй бұрын
Habibty .rudi kwa Allha maisha y dunia ni mapito n nimafupi mnno .Allah akuongoee mdogo wangu.❤nakupenda kwa Ajili y Allh .rudi kuomba toba Allh yupo pamoja nawe
@Mima-cl2imАй бұрын
Kwani Nani kakuambia kahama kwa Allaha? Mbona muna mawazo ya kijinga? Jamani hii 20th century Amukeni. Hata waarabu waliwaetea hii dini wamebadilika
@Lundege_HipsАй бұрын
Acha ufinyu wa kufikiri Dini gani imeruhusu sanaaa kwa mwanamke@@Mima-cl2im
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
Dini ni ya Mungu sio ya mwarabu au mswahili. Mungu hajatuleta tukae uchi na kucheza sanaa. Ukifa utajua kuamka
@mohdahmed5389Ай бұрын
@@Mima-cl2im wewe akili zako hazina akili,
@BimkubwaNassorАй бұрын
innaalilaah wainnailaihi raajiuun . maskiin nakuhurumia pamoja na kuwahurumia wazazi wako walio hangaisha na kukulea ww hadi ukafikia hapo .mm nakusihi ndugu yanu mche allah na ufuate mila na desturi ya dini yako .usitakabbr kwani hakika hujijui kama utatimiza ndoto zako hujafa.
@hanifahkhamiss8485Ай бұрын
Ukiona mtoto mwari wa kizanzibar haishi na wazee wake ujue kapinda kashinda kwa wazee wake😢😢😢daagh Allah akuongoe haitham....rud kwa wazee wako utafte kitu ufnye kwa hapo hutofika hata kenya😢😢😢
@JokhaJokhaablaАй бұрын
Sana ata ukiolew ukaachika utarudi kwenu tu
@MirhaMirha-f8p29 күн бұрын
@@JokhaJokhaabla kwl kbs
@PrincessHellen-pg1oy21 күн бұрын
😂😂😂😂😂 wazanzibar acheni basi fikra potofu mbona wapo wanaishi na wazazi wao lakini tunapishana nao mgetoni na huko magetoni kwenyewe wanaenda kwa vijana wa kizanzibar 😮 acheni basi hizo
@husseintayar69910 күн бұрын
@@hanifahkhamiss8485 tena kapimda SI mwari tu hata mjane zenj kawaida anakaa kwao akiwa mjane
Habibaty inti ya hlwa mashaa Allah tenda mema yanayo mridhi Allah na wazazi wko Dunia mapito twakupenda kwa ajili ya Allah ndio twakwambia Allah atuongoze njia njema ww na cc jamii muslimin wa muslimat
@alhabibysam9042Ай бұрын
KAMA UNAAMIMI HUYU DEMU KUONGEA KWENY MEDIA HAJUI GONGA LIKE
@yussufamani799512 күн бұрын
uhakika
@AhmedAbuuJuma10 күн бұрын
SUPPORTED BROTHER
@FatimaAbdulla-s4i23 күн бұрын
Dadangu ,mzazi kukutenga si jambo la kucheka,si mzaaa,rudi kwa Allah habibi,hayat,umri nakupenda sana,inshallah Mola atakujaalia mdogo angu
@saeedslemy4844Ай бұрын
SubhaAllah Haytham wallah nakuona ulivokua ktk utoto wako ulivokua mtoto hodari sn leo kukuona hvi ni machungu yasioelezeka. Allah akupe taufiq yake utubie toba ya kweli. Rudi kwa Allah ruda kwa wazazi wako
@farhanahannanaАй бұрын
Sote tuwachunga tutaulizwa kwa tulivyochunga
@salamaamour551824 күн бұрын
Allah akuongoze urudi kua mtoto.msikivu kwa wazazi wako
@khadijaabdulaziz8297Ай бұрын
Kuwapenda wazazi ni kuwaskiliza Muogope Allah kunasiku tutaondoka wasani wangapi walikuwepo acha mama plz mtoto wa kiislam anaheshma yake
@halimamfaume1925Ай бұрын
Haitham achana na sanaa rudi kwa Allah wewe ni binti wa kiislamu, unaonesha kifua chako na nywele zako mtandaoni haifai tunakupenda habibty ❤ ndio maana tunakwambia
@ummusalim1991Ай бұрын
Kabisaaa
@masikaali7012Ай бұрын
Kwa tabia hio hata muuza nyanya badilika rudie kwa mola wako kabla hujarudishwa
@masikaali7012Ай бұрын
Allah atusitiri
@masikaali7012Ай бұрын
Hakuna support ya kummudhi Allah
@hanankhamis4517Ай бұрын
Subhanallah wewe bint hebu tubu mwanangu omba msamaha kwa allah na urudi kuomba radhi
@yahayaomary5639Ай бұрын
Mtihani wallah! Mungu amrejeshe ktk maadili.
@UmuHaitham-v3bАй бұрын
Allah akuhidi inshallah urudi katika maadili mama.
@IlhaamMarshedАй бұрын
Aamin
@isaliisu3408Ай бұрын
Umesema wazee hawataki maana yake wewe huna adabu
@isaliisu3408Ай бұрын
Mtoto wa kike kama hukai kwenu unatakiwa uwe kwa mume wako na hilo jichwa liweke wazi kila nywele ya mwanamke kuiyonesha nimoto kadi b ngumu labda pdd
@خليفهالرحبي-ف4مАй бұрын
Amiin yaarab
@Fathiya-sj6slАй бұрын
😂😂😂kakata kamba huyu et anajielewa apa hamna muelewaj et akipata pesa atajibadilisha kila kitu mungu tulindie watoto wetu
@jimjam-xg7rvАй бұрын
ALLAH akusamehe na akuogoze uwatii wazazi wako amin 🤲 amin 🤲 Thuma amin 🤲
@ilovemylord4599Ай бұрын
Allaah awape wazazi wako subra na imani ni mtihani... haitham mama na baba ndio pepo yako ukiwaudhi wawili hao umemuudhi Allaah usijikoseshe pepo ya duniya na akhera kawaridhishe wazee wako Allaah akurudhishe na ww duniani na akhera..
@خليفهالرحبي-ف4مАй бұрын
Sawa kabisa maneno yako ❤
@rahmah4051Ай бұрын
Allah atuongoze sis na watoto wetu
@ummymohd492121 күн бұрын
Amin
@husseintayar699Ай бұрын
Unataka wazazi wakusapott uwaungie moton unapenda ww penda tu jua huko sahihi kiislsmu...Allah ayakujalia kukupa muongozo😊
@suleimanh1826Ай бұрын
Allah akuhifadhi akuongoze katika maadili mema ya kiislam. Mwanamke ni stara na ni pambo lazima ujiheshimu. Unaweza kufanikiwa kupitia kazi na biashara halali zitakazokulindia heshima yako. Hayo unayoyafanya ni kujidhalilisha kama mwanamke wa kiislam. Rudi katika mila wasikilize wazee wako utafanikiwa ndugu
@FatmasaidhamesaHamesaАй бұрын
Wallah mtiani wallah toogopeni allah
@badwisemsimbali858128 күн бұрын
Mashallah binti mzuri ila tabia Hana maadili yakiislam hata kujistiri matatizo Yuko uchi mtandio nusu uchi. Hujielewi kabsaa na unakaa uchi Mtoto wakiislam.
@FatmaHamad-g6sАй бұрын
Rudi ktk Mila na destur ww ni bint mzuri huko mitandaoni sio kuzur mdogowangu
@issataslima9846Ай бұрын
@@FatmaHamad-g6s wewe je unafuata nini kwanza toka wewe halafu yeye atafuata
@FatmaHamad-g6sАй бұрын
@@issataslima9846 ushawahi kuiona sura yangu mtandaoni au unahamu ya kufirwa
@FatmaHamad-g6sАй бұрын
@@issataslima9846 na km umekosa basha jitie kifimbo cha chapati msenge we
@aairraahseif5648Ай бұрын
@@issataslima9846wewe unaumia nini mtu akitoa maoni yake? Huku tupo kuyaona maajabu ya firauni ili tuowaeleze yapo na ya Musa pia!sio kila mtu akiwa humu ni mja wa laana!tukiona baya hatukai kimya tutasema usituzuie, hutuwekei bando kaa kwa kutulia
@MohdIkra-d7sАй бұрын
Kweli lazima watu wakoment vibaya kwasababu huyo muislam anaharibu dini yake
@muktarkassim6647Ай бұрын
Watu watamani waonane na Mtume salallah alyh wasalam ....ww unatamani kukutana na shetani .... Pili wazazi ni muhimu sanaa kuliko unavovifanya ...tatu.. lau ungekuwa mwanabiashara ungevutia sanaa kuliko unachokifanya hivi sasa...hufanani
@nassoraljahdhamy252915 күн бұрын
Hajapigwa makwaju huyu, ALLAH akuzindue urudi kwenye njia na mfumo sahihi
@labuni732920 күн бұрын
Allah akuongoze, Dadangu Muislamu amewekewa utaratibu wa kuishi duniani haishi tu anavyotaka... Achana na ayo malengo ulionayo🚮 malengo yako yawe ni ya kumridhisha Mungu🙌
@KhalfanSaid-v1hАй бұрын
Khaitham unapotea ndugu yetu.kwanza hebu jistiri upouchi kidini...na SIO Mila na desturi zetu Zanzibar
@maryamsuleiman6340Ай бұрын
Yaa Allah wewe ndio tegemeo letu ,kwakila hali ,basi tuongozee vizaz vyetu ktk njia ilionyooka ,Amiin
@salimfaraj5509Ай бұрын
Inshaallah Allah akuongoze. Haifai kwa mwanamke wa kiislam kuacha nywele wazi na kifua wazi wakati wajua kila mtu anatazama hii channel
@5amediaonline335Ай бұрын
HUJIELEWI WWE RUDI KWA Allah Ushapotea Mdgo wangu Nywele Nje hzo Laanaa kwa mungu Unajidanganya Wazazi Ndio Njia Ya Kivuko chako kwenda Peponi
@issataslima9846Ай бұрын
@@5amediaonline335 wewe fuata ndugu zako huyo nimtu mzima anayo haki ya kuwa anavo taka
@saadasoud3805Ай бұрын
Rudi kwa Allah ,hatuna muda
@BizeddOfficialАй бұрын
www.youtube.com/@BizeddOfficial
@BizeddOfficialАй бұрын
true
@SaidHamad-d3nАй бұрын
Kwenda huko Malaya mkubwa shangingi Malaya jibwa nyenga mzoefu kalbu taabani tokaaa unajizalilisha tu kavae nguo kwanza togwa la mtama. Mpori pori
@Ibrahim-st3uoАй бұрын
Huyu hajatengwa kajitenga Bado muda unao dada yangu Rudi Kwa mola wako, unaposema unajielewa anayejielewa hawi hivyo ndugi yangu ALLAAHU akuongoze na akupe tawfiq
@singleparent7483Ай бұрын
Haitham mwangu yote wazee omba dua asiwachukue au kukuchukua kabla hujawaomba radhi ALLAH akuwekee wazazi wako na uzinduke
@awatifalghanim1106Ай бұрын
Huyu anaiga watoto wa kihuni. Siyo fahari kujitowa kwenye interview. 😂😂😂 anasema Alhamdulilah sasa hivi anajulikana. 😂😂😂😂 Omba Mungu akupe umri tuu wee mtoto…
@jarsjam8894Ай бұрын
Allah akuongoze ktk njia za haki. Ujuwe Tu njia hio si nzuri hawatokuacha hao ma boss wengi wameharibiwa kwenye KAZI hizo
@comarcabdall1564Ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi uone njia ilionyooka, wazazi ndio kila kitu mrudie Mungu
@issataslima9846Ай бұрын
@@comarcabdall1564 kwani wazazi hawakosei
@FatmasaidhamesaHamesaАй бұрын
Dunia inatopoteza sana
@zeyanaalgheithy6561Ай бұрын
Walikuapo wasanii kina halikuniki mzee mashaka.chimben lkn walikuwa na maadilinkwa sikunhizi sanaaa mbovu na uchafu
@FatmasaidhamesaHamesaАй бұрын
@@zeyanaalgheithy6561 mungu amuohoze nae huyu maana maneno yake yako meupo kuogopa haogopi
@BinTwahirinho-rw1nv22 күн бұрын
hem toka apaa huna ndoto moja umekubuh uhuni tu,, tena na inxhallah juu muhun ww,, una Sanaa gan ww ya kuelimisha labda kupotoxha,, hem tuache bhanaa
@Sheba465119 күн бұрын
Muda unao, hebu uwe na wasaa usikilize darsa ya Sheikh Mselem, darsa mada: Watu kudanganywa kua kioo cha jamii, msanii. Wallahi utalia wewe, unapotea mbali sana, huko ni zinaa, pombe na kupotea, njia ya Shetani hiyo mdogo wetu. Rudi muda ndio huu.
@eshasalim1471Ай бұрын
SUBHANALLAH mujue kila anayemuunga mkono mwachangia Moto pamoja
@خليفهالرحبي-ف4مАй бұрын
Kweli kabisaaaaa 😮😢
@azizaali8506Ай бұрын
Namna hiyo mwananguu nywele wazii kifua waziiii Subhan Allah Innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun hivi kukaa utupu ndio kupendezaaa innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun msiba mkubwa huu Allah atutoe ktk giza walikojiingiza aturudishe ktk nuru tulikotoka na vizazi vyetu na waislam woote kwa ujumla yaarrabb
@GhreebZamАй бұрын
Amiin ya rabby
@KafyeHamim24 күн бұрын
Amiin
@BuiKishkOnlineTv22 күн бұрын
ALLAH ATUONGOZEE DADA ZETU, ila ni mambo ambayo yanaumiza sana kwny Familia
@MohamedAli-c9f1tАй бұрын
Hai tham mimi nakusapotisana, lazima ujue wazazi, kwa muislamu ndionguzo yamaisha, yahaduniani nakesho akhera utakapo jitenganao, nakukatowakubalia, nawewunaamini, kama yako maishaya milele Baada yamaisha haya, tahadharinahiyosiku, yaalaitani, kuntun turaba. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@farhanahannanaАй бұрын
Vhuyu mtoto Ana tamaa Sana Mpk anakera
@fadhilaahmed663918 күн бұрын
Nimekuona kwa mda mfupi sana ila nimegundua wewe unaroho mbaya sana hasa kwa mamaako subhanallah
@nmakhzumy7 күн бұрын
Wallah inaskitisha sanaa. Yaani anamtaja baba mara tatu kusudi kisha ndio mama. Yaani kusudi tu za kuenda kinyume kisheria. SubhanaAllah, Allah Istir 🙏
@RajabkhamisUssi18 күн бұрын
Hakuna mzazi anaemtakia mtoto wake mabaya,haitham rud kwa mungu wako kawaomb radh wazaz wako,ao ndo walokuzaa na wew ni mtoto wa kiislam hutakiwi kuwa Ivo🙏
@husseinmohamed849328 күн бұрын
Wasikilize wazazi wako Wakutakia mazuri Wazazi wako sio maadui zako Maadui wakubwa ni marafiki Utajuta sana maishani😊
@swalehfarid5466Ай бұрын
ACHA UPUZI WEWE MTOTO WAKIKE, UNAIONDOA THAMANI YAKO KWA MAMBO YA KIPUUZI,WAZAZI WAKIKUTENGA NA HIYO DUNIA UNAYOIKIMBILIA ITAKUTENGA PIA..Muogope ALLAH NA Jenga Akhera Yako.Sanaa Ni Upuuzi Wakidunia Tu
@farhanahannanaАй бұрын
Shetani yupo kazini Means kulitafuta means kulipata Mtoto site huyo Pole kwa mzazi wake
@nasrahassan2260Ай бұрын
Pole sana haitham. Ila ningekushauri. Urudi kwa wazazi wako. Acha na hayo mambo ya mitandao ya kijamii. Rudi kwenye misingi. Ya kiislam
@SeifHemed-p5pАй бұрын
Ni kweli wajihi wako haufanani na tabia yako na hakuna mwenye akili akasapoti maovu
@abuukhayrallahissa541517 күн бұрын
Dah!Ndugu yangu achana na hilo halina dalili za kheri. Allah akuhidi
@NassirAliyАй бұрын
Nakunasihi ndugu yangu ww ni muislam hayo sio maisha ambayo umeyachagua huo si umaarufu huo ni mtihan ww
@ummohammed838029 күн бұрын
Inalillah wa inna ilahy rajioun Mtihani mkubwa sana Allah akuhidi Na akuongoze njia iloyonyooka Na poleni sana wazee Allah akupeni subra Na zidisheni dua kwa Sana dua za wazee makbul Inasikitisha kwa kweli Mtoto wa kislaam Dua zetu allah akuhidi Amiin.yarab
@abbashussein-hz4drАй бұрын
Hv ww bint kbsa unajua kitendo cha mama yako kulea mimba miez 9 had kuzaliwa hadi unaita mama una kipi cha kuwalipa wazee wako mrudie mola wazaz ndo mungu wa pili unapata ghadhabu ya Allah iko na ww kila pahala tubia achana na mitandao itakuharibia hata hzo ndoto zako.😢😢😢😢
@AminaOthman-b4fАй бұрын
Ni kweli kabisa
@tumushamata465225 күн бұрын
Sanaa haina heshima ,mana kama niheshima unfaluanza kujiheshimu wewe,naangalia unakoenda kwa Allah habibty nakupenda kwaajili ya allah
@RabiaJahadhmy10 күн бұрын
subhanallah dunia imeharibika mtu hasemeshani na wazazi wake 😢kisa sanaaaa Allah tuongoze hapa duniani na hapa akhera
@yahyaibrahim654620 күн бұрын
Hutofika sehemu haitham ukikosa radhi za wazee na hayo unayoyafanya 😀😃ata mungu hapendi kwaio ww apo unaenda kukosa radhi za mungu sanaa gani ya kihuni ambayo mungu hapendezewi nayo unataka wazee waridhike rudi kwa familia usipoteee mdogo wangu tanzania hakuna sanaaa
@abhaaly29 күн бұрын
Duh!!! Mtihani SANAAAAAAAAAA...!!! Allah akuepushe huko na Malengo yako hayo yapotee na Wazee Wako wawe Juu Yako. Wazee ni Muhimu Sana Kwako Bado Mdogo Sanaa. Mola Akuongoze Urudi Kwa Wazazi wako.
@CKMO19 күн бұрын
Pole sana Allah akuongowe Amin
@KINGABUMEKARАй бұрын
WANAWAKE WA ZANZIBAR WANAJIHESHIMUU
@SeifHemed-p5pАй бұрын
Mwenyezi Mungu ametuambia tumuabudu yeye na wazazi wetu tuwafanyie ihsani wewe unampinga Allah
@HemedSeriousАй бұрын
Suali la kukataa au kukubali ni juu yako, Sisi cio kazi yetu kuongoa. Maisha ni mafupi sana, jukumu letu ni kukuelekeza, wazazi wako wanajielewa ata kuliko wewe wasikilize, na kumbuka hakuna mafanikio ya dunia wala akhera bila ya wazazi. wasalam.
@faizakhalfan106622 күн бұрын
Haytham nakushauri uwakubali wazazi wako wanavotaka wao wanakupendrlea sana kuliko mtu yoyote
@chalabyb15 күн бұрын
Mm napenda Sanaaa na naigiza ila siwezi kukaaa kichwa wazi na mzazi ikiwa htki usifoc kipez tafuta njia nyengine kipez fun zpo tele
@swalhaahmed414011 күн бұрын
Inna lillahi wa inna ilayhi raajiuun Allah atuongozee watoto wetu
@alisaadmohammedАй бұрын
Hata mimi nawaunga mkono hao wazazi
@ZaiMwarab23 күн бұрын
Allah akuhifadh kipenz ❤
@salaamibahsan306319 күн бұрын
ALLAH akuongoze na akuongoze sote jamia
@lailafakhihaji27 күн бұрын
Ndoto zako azijuae ni allaah rudi kwanza kwa wazazi wako na watakuelewa na kila kitu kitakua poa inshallah
@zainabmirza4581Ай бұрын
Nakuomba mwanangu mbele ya wazee hujajielewa my love utakuja juta katika maisha yako huto tobowa rudi kwa wazazi wako upate ridhaa Yao dunia hii na wewe mtoto wakislamu haya maisha ya kupita tu tumuogope Allaah
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
ANASEMA KWANZA ANAFANYA MABAYA AKISHA KISHAONGEA NA MUNGU KUWA ATAACHA KABLA AHADI YAKE KWASABABU YEYE HAFI SAIVI. huyu mtoto hana ADABU, yaliwashinda kina snura wakaona machungu yake, huyu bado mwehu asije kuzinduka wakati Israeli kafika
@WahidaAlharthiАй бұрын
MTOTO. WA KIISLAM jifunze KUWA MWEMA. KAA NA WA ZAZI WAKO. KWANZA VAA VIZURI😊
@MOHAMEDMWAGO14 күн бұрын
❤ zingatia dini na mungu ktk utendaji w majambo yko tu
@5amediaonline335Ай бұрын
Wala Hutofika Popote wwe Na Ukiemdelea Na mambo hayo Utapatwa na Mattzo Makubwa rudi kwa mola wako na Kuomba msamaha kwa mzazi wako tamaa hzo
@AbubakarBachu28 күн бұрын
Allah atuongoze sisi na vizazi vyetu inshaallah
@muhammadseif5009Ай бұрын
Wewe bit rudi kwa mola wako wewe ni bint mdogo sana na mashallaah Allaah amekupa uzuri utumie uzuri wako kwa kumuelekea mola, wala hayo unayo yasema hayana mashiko yoyote mitandao na hizo sanaa ni uhuni haiwezekani wewe mtoto wa kiisilamu kutembe uchi kama hivo. Allaah atusitiri. Na vizazi vyetu
@عاىشةالصبحي-م6هАй бұрын
Habibty naomba no zako,kaka yangu anatafuta mchumba,aohe،yupo morogoro niafungasti baba mwarabu mama muafrik,Mimi Niko Imani nidada yake
@ChabyMaster99Ай бұрын
Haytham mpenz 😊 wng skiliza wazaz wako please, asiefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu. Je? upo tayar ulimwengu ukufunze! 😢
@خليفهالرحبي-ف4مАй бұрын
Kweli kabisaaaaa sikiliza hayo maneno urudi kwa wazazi wako bado wako hai wakija kuondoka kama bado hawako radhi Amini utakuja kujuta saana... Majuto hayatokusaidia lolote.. Itakuwa ni hasara tu... Kujakukosa radhi za wazazi😮😢
@AmiriHumudi-hn6pt23 күн бұрын
Sanaa SI uhuni Lkn wew Ndo unajifanya muhuni. Ungalikuwa walaw unajistiri Basi Kidogo wazazi wangetulia Lkn huo mwendo as Kwenda uchi ukichanganyika na io Sanaa Ndo uhuni
@SalumJohn-h2sАй бұрын
Sawaaa,weyeee fany kaz2,Haya maisha yetu ndo changamoto
@arafatsalum-f8hАй бұрын
Dah hhh uyu Dem chizi sana aloo Dah ndoto zke eti aonane na card b kalogwa huyu sio bure😂😂
@AminaOthman-b4fАй бұрын
😂😂😂😂
@JumaHamad-i3f27 күн бұрын
Mm simpi moyo kwa hv anavyojieka acha kabisa usheitwani hv hujui kuonesha nywele wazi ni dhambi
@-vw9yzАй бұрын
Haitham " "Allah kareem mrudie allah muombe msamaha mwingi wa rehma atakusamehe, radhi ya wazazi ni muhimu, kuliko chochote unachokipenda katika dunia hii, mlaani sheitan, sema astaghfirullah x100 , usimfurahishe sheitani, ukaacha kumfurahisha Allah SW na mtume wake MHD SAW, na umepitiliza mpaka kukosana na wazazi wako, upo ktk mtihani mkubwa.
@sheikhanasser4714Ай бұрын
Allahuma Aameen 🤲 Tujitahid tunapo a ndikajina la "Allah" andika kwa herufi kubwa Shukran
@-vw9yz29 күн бұрын
@sheikhanasser4714 in sha ALLAH
@mussamgonola3983Ай бұрын
Nawapenda Sana hao wazazi wake huyo bint Allah awape janah
@KubwaKuliko-dk4bmАй бұрын
Sio wazazi hawataki hata mungu wako pia hataki na ipo siku utakutana nae
@ShafirunaHassan26 күн бұрын
World is lke a shadow turn to Allah. Will forgive you All this is lfe turn to Allah my sister wish you all the best
@FatumaJuma-b2gАй бұрын
Poleni wazazi 👪
@jamalkisuse7508Ай бұрын
Allah akuongoze urudi kwenye maadili mema na uishi kwa wema na wazazi wawili
@SamsumahАй бұрын
Haytham mdogo wang isikudanganye afya na uhai ukajiona uko huru Allah yuangalia kila tulifanyalo mim nimekuwa na matatizo ktk afya yangu kwa miaka sas ukiwa mzima wa afya tele utaona hii dunia ni tamu kma vanilla ukipewa maradhi ya muda mrefu utajifunza kutambua neema za Allah akiamka hufikilii kingine ila Allah ukilala huwazi kitu ila Allah pekee ndo mfariji wako ukishtuka usiku kwa maumivu kila mtu anakoroma alie macho na hai ni Allah pekee wa kukupa faraja na usingizi mtulivu Allah ndio anafaa kuwekwa mbele kuliko hisia zetu na wapendwa wetu Allah ndie mpendwa wetu wa kweli
@aysharamadan-j3l28 күн бұрын
Nikweli haaswaaah
@aminamomba958626 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@SaadiyaMohammad-og5bgАй бұрын
Dadangu ww unajuwa dini ishaa Allah mungu akuongozia njia yahakee
@ZuwenaSalim-dn3qb29 күн бұрын
Allah atufanyie wepesi dunia nimapito. Tukumbuke kifo . Sanaa inaelimisha lkn ndugu yangu ungeangalia tena vizuri unachokifanya Allah anaridhia unavyofanya
@FahadMasoud-io4mbАй бұрын
Maashaallah,,,,ila muogope mola wako na watwii wazee wako,achana na Tamara ya dunia isikuhadae,,,,achana nayo
@Sarah-e1o9kАй бұрын
Mimi cwezi kuwacha wazizi wangu kama hawataki basi nawacha watoto lazima tukubali maneno ya wazazi
@muddybreezy4595Ай бұрын
Haytham rudi kwenye njia sahihi mama dunia ni starehe chache t hii
@BmsecretАй бұрын
Akili zake sio nzuri huyu
@KawserA-hw1jАй бұрын
😂😂😂😂
@kadhyanassor5046Ай бұрын
😂😂😂😂
@LutfiaRashidАй бұрын
Mimi pia nahisi km kichwani hayuko sawa ata anavojielezea kma namna gani vipi
@GhreebZamАй бұрын
😂😂😂😂
@خليفهالرحبي-ف4مАй бұрын
Aje hayuko sawa??? Tuelezee ili tufahamu, mbona yuko sawa tu.. ❤
@eshasalim1471Ай бұрын
Innalillah wainailehy rajiun Allah atuongoze sote na watoto wetu. Maskini huyu bado ana utoto mwingi
@AminaOthman-b4fАй бұрын
Ni kweli kabisa
@UmmuhumeydАй бұрын
Tena anautoto mwingiiii😢
@IsmailHamad-sv3sf18 күн бұрын
mimi nimelipokuskia unataka kuonana na kard b tu bas nikainuwa mikono juu 😅😅😅
@YussufMohd-fc1djАй бұрын
Mhh hyu mwanamke hamna k2 anasahau hadi kufa eti ndoto zake akutane na kafiri kisa amefanananae
@AminaOthman-b4fАй бұрын
Subhanallah.
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
Atajibarilisha kasema awe maumbile mawili.
@safiyanirram-pf3svАй бұрын
SubhanaAllah tuwaombee vizazi vyetu lnshallah unakaa kabisa azarani na kusema unataka kubadili umbile ukipata pesa ww mtt wa kiislam Allah akuongoze
@farhanahannanaАй бұрын
Mtihani wa wazazi Allwah atupe nguvu ktk malezi
@farhanahannanaАй бұрын
Na mashoga pia huona wapo sawa wasapotiwe Mambo yao
@issashekh4726Ай бұрын
Allah akuongoze binti yetu
@awatifalghanim1106Ай бұрын
Na hawa Watangazaji wanamzidisha huyu Chakram 😂😂😂
@AminaOthman-b4fАй бұрын
Ni kweli kabisa
@MuhammedMwinyiАй бұрын
Assalam alaikum dada mm ushaur wng rudi kwa wazee kwa 7bu pepo yko iko chini ya wazazi 2 baba na mama na haya ni maisha ya dunia tu
@faridaabdull606629 күн бұрын
Allah amuhid yarab
@suleimanmohd.7197Ай бұрын
Cad B mutakuwa pamoja mpaka Akhera😂
@abubakariali9848Ай бұрын
Akhera ama Finnari 😂
@GhreebZamАй бұрын
😂😂😂😂
@FettyIddi-z2kАй бұрын
😅😅😅😅
@mudykhery301720 күн бұрын
Anastahik kutengwa kwa sababu anatakiwa kuskiliz wszax hakuna mafanikio pasipo na Dua za wazaz
@NaglaSaid-jn1xoАй бұрын
Wewe hujielewi maana binti anaejielewa hawezi kudhihirisha maumbile yako , yaani unashindwa kujistiri, Lakini bint anaejielewa anawezaje kutafautiana na wazazi unajisi uko sawa? Na unatarajia nini katika maisha yako? Duh huo ni mtihani
@suleimanally100426 күн бұрын
Ndani ya moyo wake kuna maradhi tumuombeeni kwa Allah amuokowe huyu mtoto
@AbdulMakame-w5v25 күн бұрын
Dada Wasilize wazaizi wako kwasbbu wazazi ndio Kila kitu katika maisha Yako na wanaona mbali zaidi yako, na wanayajuwa mengi zaidi yako, maisha ya dunia ni maisha ya mpito. Mitandao ya kijamii Haina thamani kama wazazi wako, waheshimu wazazi wako
@KhadijaMbaroukMohd-f2fАй бұрын
Allah akuongoe ndugu yang urud kwake
@Irfaan-k1jАй бұрын
Yaani huyu madhali ameweza kuweka nywele wazi basi wazazi wajitayarishe kuwa huyu atakuja kuvaa boxa na sdiria mbele ya jukwaa. Tatizo tamaa.