Unabii wa man of God Edmund unatimia waraka wa kwanza huo bado,2
@AnnaFelix-p1z3 күн бұрын
Yani mutumishi kata yetu wameeguwa wote na alieusika nimukulugenzi amekuja mala 4 na kumuamulu mutendaji wakati kuwa asipo watowa walio teuliwa ataona kitakacho mpata Sasa Mimi naona chama hiki nimungu tukamutolee sadaka na mungu huyo akija kufa ndo chama icho kitaToka madalakani uyo mungu ni bala tumemulilia mungu atusaidie kumuuwa mungu wa chama icho mungu ajatowa majibu maana mungu wetu wakweli Hawaii Wala hachelewi daaaaaa
@MageAwe-hl5zb2 күн бұрын
Safi sana Askofu Mungu akutunze
@allyngoda7613 күн бұрын
WANAUME KAMA WAKINA HECHE WAMEJIFICHA WAPI TUNAHITAJI CHECHE ZAKE JAMANI
@ulimbagakipole39712 күн бұрын
Ulevi wa kutumia Polisi au vyombo vya dola umezidi na kupitiliza.
@JacksonMhali-s6o3 күн бұрын
Very nice
@adolphmshiu74102 күн бұрын
Kuna upinzani aina nyingi kwenye utawala 1njaa2 majanga ya aina mbali mbali yaani nchi kukosa Baraka toka kwa Muumba aliesema mtawala mwanye haki nchi huwa shwari kumbukeni wakati wa Ahabu ba Elia
@allyngoda7613 күн бұрын
NA HUYU KUMA MBOWE YUKO WAPI MBONA KAKAA KIMYA AU NI KWELI KESHACHUKUA FUNGU LAKE?
@sylvesterlombe63662 күн бұрын
While countries in the region are ahead in modernizing their democracy Tanzania has remained behind practicing ancient politics Tanzanians wake up!
@allyngoda7613 күн бұрын
NAKUKUBALI ASKOFU UMEFUNGUKA VIZURI SANA WATANZANIA TUAMKENI JAMANI UNYONGE MPAKA LINI?
@IbrahimMugoyo2 күн бұрын
Huwezi kuteenganisha siasa na dini
@CLEMENTNDOLE3 күн бұрын
Hao wapinzani walioenguliwa wamewakilisha hayo malalamiko kwa askofu? Au ameyapata wapi?
@MzeeKagambo3 күн бұрын
Baba wa Taifa alisha sema tangu zamani yapo mambo matatu ya kuchagua BIASHARA.DINI AU SIASA
@simonnjovu5862 күн бұрын
Aliyasema hayo kwenye siasa za ujamaa na chama dola, siyo sasa. Chama chake kimejaa wafanyabiashara, tena wakubwa.
@NelsonagustinoSwai2 күн бұрын
Aki itendeke tu
@Jackson-n2c3 күн бұрын
Chombo kina kwenda chenyewe
@MACHAGGECHACHA2 күн бұрын
Na kinayumba vibaya sana.
@knight67572 күн бұрын
🐸👂🙆♂️
@zariadunia6328Күн бұрын
Tungeshangaa bilq wakristo kutoa wqraka tumeshawqzoeq hatujali wala nini mamabo yatakuwa kama habajana tulishawazoea halqfu waislam hqkuna dini amqbayo tuqnaidharau kama hao wqnaoqbudi visivyoabudiwa wqmeibebq dunia kuliko akherandio manq wqko busy na siasa
@IbrahimMugoyo2 күн бұрын
Kwani wewe huendagi kanisani au mskitini?
@dahirgaraar3602 күн бұрын
Ni kweli ukiamua kufanya siasa na dini huwezi kutowatakia watu wote kufuata msimamo wa imani ya dini yako na itikdi ya chama chako na hapo ndipo utakapokabiliana na walio na dini na vyama tofauti na wewe. Utakuwa daima kwenye ushindani mpaka hekima itakapikuelekeza kujitoa kwenye ushindani na kukufunza kuwa mpatanishi.
@hamadhamud-n4j3 күн бұрын
Sasa wewe mwamakula.wewe ni askofu au mwana siasa?au chadema?
@japhetsamson7732 күн бұрын
Kweli haki kwa dini zingine ni ngumu sana na kila siku mnataka haki kweli dini ni unafiki.dini maana yake ni upendo kuwaheshimu wasionacho na wenye nacho bila kujali dini zao.huko tunakowaita ndugu zetu wa imani na wenye dini moja yanauana yenyewe kwa yenyewe kwa ajili ya uroho wa madaraka na maslahi binafsi.Dini ya kweli ni ile inayo kasirika pindi mnyonge anapoonewa.Tofautisha dini na ukweli.ukweli utabaki kuwa ukweli hadi kiama lakn dini zitapita ukweli wa Mungu hautapita kamwe
@madamelucy84292 күн бұрын
Waraka wake unakuwa sio wa cheo cha uaskofu wake bali wa kisiasa wa chama anachokitumikia sasa usichanganye siasa ya mambo binafsi na nafasi ya utumishi wa Mungu