Masha Allah Allah awalipe ujira mwema mashekh wetu na pamoja na wasilam wote In sha Allah
@bonfilshabonimana41597 жыл бұрын
I real enjoy it kabisa Allah akuzidishie ingekuwa kilasiku mafunzo kahayo watu wengi wange slim kwasababu wengi hawaelewi ndio mana wanafatafata tu
@salimalmahrizi3958 жыл бұрын
Allah awajalie kila la kheri nyote munaofanya Daawa.Wallahi nawapenda sana ndugu zangu waislamu.kwani hiyo ni hidaya kubwa muliopewa na Allah .tusemeni ALHAMDULILLAH.
@mwasimwajambo4686 Жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah Mungu awaongoze kwa kila jambo
@tiamo7268 жыл бұрын
am aa christian but i love this guy please muslims lets not hate eachother i love this religion too
@alimassea6126 жыл бұрын
tia mo welcome
@yussufmaalim34996 жыл бұрын
Good bro
@rabioabudo32442 жыл бұрын
@@alimassea612
@cabylake2320 Жыл бұрын
Welcome
@anuarrymriri35877 жыл бұрын
Skk said shk mazinge dkt sulley Muft yahaya na wahazil wote Allah awape maisha malefu mzidi kuwafundisha wasio elewa kilicho waleta hapa dunian Allah awape pumzi Ishaallah na wataeelewa hao makafil wasio mjua Allah na m2me wake Muhammad S.a.w
@asiamatitu64569 жыл бұрын
Allah ajaalie kazi za da'awa mnazofanya ziwe ni sababu ya kuwafanya wasio waislamu kuujua ukweli na kufuata njia ya haki in shaa allah! Na mpate malipo makubwa kwa Allah S.W.
@paulwanyama80967 жыл бұрын
mwenyezi mungu awazidiehie masiku ilimupate kutufunza zaidi..
@mullershallshall7396 жыл бұрын
Allah Awape Husunulkhaatima mwisho wenu....Awape Taufiq kwa Daawa yenu..shkh Said usichoke kumtangaza Allah....
@naeemagrace24257 жыл бұрын
ningelikua bado sijaolewa ningeomba uniowe hata kwa Ayatul kursih, napenda san Saidi Kinyogoli kwa hekima nabusara wako unapo elimisha watu, Allah akujalie nama Sheikh wetu wote Jannat Firdausi
@omarchaijefwa729 Жыл бұрын
Mashallah, MUNGU Akuongoze kwenye haki amiin
@mrsdully16138 жыл бұрын
mashaAllah nimejifunza mengi alhamdulillah mola awape afya njema na awalinde na kila baya mbele yenu
@zaidiboko35155 жыл бұрын
Nashukuru mwenyezi mugu awatakie mfugo wa Ramadhan karim
@MrManchoso8 жыл бұрын
Ustadh Saidi Allah akulipe kheri waumin tumejifunza mengi kwenu
@hassanirashidi19063 жыл бұрын
Alaah akkbar mungu akuonge walahi naflai kuona warithi wa mazinge mungu mkubwa
@abedfofakali4777 жыл бұрын
allah akbaru allaawafanyie wepesi mashekhe wote semeni amini
@hassansumera78183 жыл бұрын
Aamiiiiiin
@seifali59739 жыл бұрын
mungu akubarik ustadh said endelea na kazi ya mungu na ufe katika dini ya kiislam na allah awe radhi na wewe na waislamu kwa jumlaa duniya nzimaaa
@saumumohammad81748 жыл бұрын
ALLAH Azidi kuwaongoza na azidi kuwapa umri mrefu muzidi kutuelimisha maana sisi tulo mbali nanyi twafaidika Wallah
Mungu alipowanyima roho mtakatifu aliwamaliza kabsa mtautafuta sana ufalme wa Mungu na hamwezi ,Ila kupinga na kubadili maana ya maandiko mpo vzr sana na wajinga wasiojua biblia wanazani mpo sahihi ,,
@rshomary9 жыл бұрын
Ustaadh habib kinyogoli m/ungu akuuongoze unajitahidi sana vijana Kama nyie ndio mnatakiwa kutongoza ktk dini yetu tukufu.. Napenda kumsikiliza anavyoongea.
@festasmfanti70576 жыл бұрын
Amina
@jumakhamis2265 жыл бұрын
shekh kinyagoli allah akujaalie umri mrefu ila naombeni namba zenu wew na ustadhi mazinge na maulana
@jafaribayana49575 жыл бұрын
Jim's khamis
@bashiryusuf96706 жыл бұрын
Allahubariq
@mrsdully16137 жыл бұрын
mola awabariki
@abdalaauame38632 жыл бұрын
Mashalla
@abdulkinega9157 жыл бұрын
Ewe mwenyezimungu wape afya njema waendelee kulitangaza jina lako
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Huyo msomaji ananikoshaga 😂
@allyjabily79576 жыл бұрын
Ishaallah
@lenjeevara34076 жыл бұрын
pwaaaaaaaaaa
@happnessulomi78157 жыл бұрын
wapendwa waislam kuhusu swala la mungu kuzaa msizungumie kama mnaweza naomba unifafanulie kuhusu kua ni nan aliesababisha kuzaliwa kwa yesu mkiweza ntashukuru
@ubahahmed98116 жыл бұрын
happness Ulomi mungu ndio aliyesababisha yesu azaliwe Adamu hakuwa na baba wala mama ila Mungu akasababisha awepo Malaika hawana wazazi ila kwa uwezo wa Mungu akawaumba Kwa miujiza kama kawaida yake Mungu akamleta Yesu kimiujiza bila baba Mungu akisema kua na jambo hukua
@abeidabbas93986 жыл бұрын
Ndugu yangu naomba Mungu akuongoze kwenye njia ilionyooka amiin
@rskiabdala48686 жыл бұрын
Ni Allah peke yke nd mwenye uwezo uo hakuna mwengine na amefanya ivo ili kuthibitish uwezo wke
@alimassea6126 жыл бұрын
happness Ulomi nani aliesababisha ww uzaliwe?
@yussufmaalim34996 жыл бұрын
Mungu ndie amesababisha yesu akazaliwa kwa neno kunfayakun kuwa linakuwa
@muhammadabdulkarim9628 жыл бұрын
Assalam Aleikum ..
@princeomar34927 жыл бұрын
Muhammad Abdulkarim Asalam aleykm
@waziri196 жыл бұрын
Jazaka llah khairah
@miambayankeba1084 Жыл бұрын
Ilmu iko apa
@yesusimungu90847 жыл бұрын
Kin'yogoli
@abdiqaanurow5924 Жыл бұрын
M.à
@salimaljabri15108 жыл бұрын
nnnnnnn
@babylidyaandrea45686 жыл бұрын
Mnahisani gani ninyi wabakaji na wafuga majini
@hassansumera78183 жыл бұрын
Samahani lidya lete dalili ya kuthibitishia umma wote wa waislam na wasio waislamu ya kwamba uislam na waislam ni wabakaji na wafuga majini please kindly produce tangible evidence, vinginevyo tuombe msamaha Kwa kutukashifu na kutuzulia ubaya huo mkubwa kabisa Tena Kwa hekima na utulivu.
@hassanjuma27722 жыл бұрын
@@hassansumera7818 huyo asikuumize kichwa ni katika vipofu hao
@AllySully7 ай бұрын
Mshirikina siku zote hawezi kuamini Haki hususan makafir.
@kareemsukri32562 жыл бұрын
Haya ni mafundisho yalio wazi kabisa kabisa ila uongofu ni wake yy Allah