Hizi ndizo Mbinu za Kumshinda Asiekua Muislamu. Sh. Saidi Juma Kinyogoli

  Рет қаралды 31,412

OBA Online tv

OBA Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx Жыл бұрын
Allah awahifadhi Masheikh wetu,Allah awalipe Pepo Inshallah
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Жыл бұрын
Allah awajalie wepesi katika jambo la haki,Elimu ya uislam izidi kuenea zaidi.
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 Жыл бұрын
Shekhe Allah akujaalie pepo inshallah
@shabanisada7630
@shabanisada7630 2 жыл бұрын
Allah awahifadhi ma sheikhe zetu awape umri mrefu wakuweza kuilimisha wandugu zetu,n'a wapenda saana ajili Allah
@meekman1805
@meekman1805 3 жыл бұрын
Maashallah Jazakallahu kheyri Sheikh Kinyogoli Allah akuzidishie elimu na hekima, tunakukubali sana.
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Shk Saidi.Allah akullipe PEPO ISHAALLAH.(ISMAIL YUSSUF ABDI,FROM HARGEISA,SOMALILAND).
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 2 жыл бұрын
Ajabu ..mawahabi kukubali duaA
@fatumahamis4257
@fatumahamis4257 3 жыл бұрын
MashaaAllah ,nawapendeni Sana Kwa ajil ya ALLAH
@issmuking3987
@issmuking3987 3 жыл бұрын
sheikh kinyogoli ni kopi ya mazinge Allah atupe ujira usiokwisha soote waislamu
@lewiswambua5821
@lewiswambua5821 2 жыл бұрын
Saidi kinyongori mie hukufuatilizie sana toka kenya, Kazi yako nzuri sana maulana akizidishie kila la kheri na hata la ziada
@mustafarashid2484
@mustafarashid2484 Жыл бұрын
Njoo kwa dini ya Uislam bro,Allah atakuongeza kwa kila jambo lako inshallah
@abdulrahmankinyogoli1635
@abdulrahmankinyogoli1635 2 жыл бұрын
Proud of you broo ..Be blessed
@ramadhannzarokalama9514
@ramadhannzarokalama9514 3 жыл бұрын
Mashaallah sheikh said mungu akupe afya
@aminah7115
@aminah7115 2 жыл бұрын
Mashallah
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah 💓💓❤️
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 жыл бұрын
Shekh uko vizuri sana
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
maashaallah shekhe said Kinyogoli
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 3 жыл бұрын
MashaAllah
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 2 жыл бұрын
Asalam elkum Sheikh Said. Bona Yesu kailani mti.
@mariamngadoa7808
@mariamngadoa7808 3 жыл бұрын
Hapo nimekuelewa
@lewiswambua5821
@lewiswambua5821 2 жыл бұрын
Shaffi uko sawa kabisa jalali akukinge na maradhi ya aina yote na akupe maisha maisha marefu
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 3 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@japhetsamson2433
@japhetsamson2433 2 жыл бұрын
Kweli shekhe waelimishe
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Muhammadi siyo mtume wa Mungu. Muhammadi alitengenezwa na WARAKA, BAHIRA na Makuhani wa kiyahudi waliotoka vatikan. Wakaenda mashariki ya kati na kuanzisha Dini na kutunga kitabu cha Qur'an wakidai kimetoka kwa Mungu kumbe ni uongo. Tunahoja nyingi sana za kumkataa Muhammad
@hassanramadhani2042
@hassanramadhani2042 2 жыл бұрын
Toa aya mbona Shekh Anatoa Aya wewe unaongea2
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
hizo siNdio propaganda mnazolishwa makanisani leta Aya au Hadith sio ulopoke tu kima wewe
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Жыл бұрын
Nenda kasome biblia yako,Kasome juu ya habari ya ufunuo juu ya Arabuni,Tuambie ule ufunuo ulikua unamhusu nani?Fafanua miji ya tema na kedari iliyotajwa inapatikana bara gani na nchi ipi.Achen kusoma vitabu kwa mihemko soma kwa ajili ya mola wako na sio kupinga usilo lijua.
@HemedAmourHemed-jk3nm
@HemedAmourHemed-jk3nm Жыл бұрын
Wapumbavu wakubwa nyny wapotovu wa hovyo,ety Muhammad cio mtume wa Mungu, ety Qur'an ni kitabu kilotungwa na mayahudi, hiyo bibilia yenyewe imeiba baadhi ya maneno kwenye Qur'an
@HemedAmourHemed-jk3nm
@HemedAmourHemed-jk3nm Жыл бұрын
Mara kuna agano la kale mara agano jipya yani munazungushwa na nyny mnaoitwa kondoo mnafata tu, iv tuwaeleweje nyny na kitabu chenu icho cha bibilia,kinarekebishwa kila siku, na Wallah hakitorekebishika mpaka Dunia inaisha,kitabu kilichokamilika ni Qur'an pekeyake Mbwa nyny,mbona cc Yesu hatumkashifu ebooo!
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
Shekh Shafyi na kinyogoli video zenu za midahalo sizipati hasa hizo za vijijini. Naomba link za video hizo Allah awajaalie
@johnmathew2769
@johnmathew2769 2 жыл бұрын
kinyogoli muongo sana ata hay uon
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Wewe nadhani bible unayo, nenda kaisome mwenyewe hizo mistari inayotajwa ukathibitishe mwenyewe
@HemedAmourHemed-jk3nm
@HemedAmourHemed-jk3nm Жыл бұрын
Acha ujinga ww, waongo ni hao wachungaji wenu wanaowachuna pesa huko makanisani, ety sadaka sadaka iyo inaenda wapi? Wakati wanaenda kula wachungaji na wake zao,kwa dini gani hasa dini ya mtaji
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Swali rahisi tu. Wapi mwenye Punda alilalamika Yesu kamwibia Punda wake ili Yesu awe mwizi..
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Elewa kinacho ongerewa embu rudia sana sana kusikiliza kinacho semwa alafu utapata jibu kwaiyo ww ukiazima kitu mbaka mwenyewe adai ndo uludishe uwezi kukumbuka kuwa niliazima niludishe kibinaadamu mawazo Ayo kama uto kuwa nayo ww utakuwa sio mtu mzuli
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Mu3ammadi au Muhammad?
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Yesu kusema Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha. Alikuwa akiimba wimbo wa Zaburi 22:1. Ili kutimiza unabii wa Zaburi 22:1 siyo kwamba alikuwa anaimba kwasababu ya maumivu. Zaburi 22:1 1 Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 жыл бұрын
Wewe usiseme usichokijua kuomba mungu na kuimba ni sawa? Wakati unapata maumivu utaimba au utaomba mungu
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
@@hassanjuma2772 Fitting reply
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
Frank my friend wakristo kinachowaponza ni kupachikia pachikia maandiko yaan kwasabab baadhi ya maneno yamefanana basi ndo unapatia sababu, Kama angekua anaimba huo wimbo angeimba mistari yote iweje aimbe mstari mmoja tu tena akiwa anateswa(yupo kwenye maumivu) ?
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Mh, hii Kali , sijawahi kusikia Wala kuona Yesu katoa wimbo..!...
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Yesu hakuwahi kuimba hata siku Moja na huwez kuimba na wakat unasikia maumivu
@kahindicharokiti2093
@kahindicharokiti2093 Жыл бұрын
Tuambie Mwenye punda ni nani kwanza ndousema yesu aliiba
@michaelwainaina4476
@michaelwainaina4476 2 жыл бұрын
wapi aya uislamu dini ya kweli? hamna, mnangangania ati haki. haki na kweli tofauti.
@mchambawimatv3682
@mchambawimatv3682 2 жыл бұрын
Inna diina indallahil islamm...hakika dini ya kwely kwa mwenyezimungu ni muisilamu QUR-AN
@mussamabruki
@mussamabruki Жыл бұрын
We huna akil 3.19quran
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Baada ya kushindwa kwenye mdahalo na Ndasha na wenzake sasa mmekuja kuwadanganya watu msikitini😂😂😂😂
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
Frank Unajua ni watu wangap wameingia katika uislam kupitia ule mdahalo? Jipe moyo Ila haitabadilisha ukweli na uislam utaenea dunia nzima, wait u will see it Kama sio ww watoto wako wataona.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
Ndugu Frank kama ulikuwa hufahamu tambua Ndacha kwenye ule mdahalo alichemka vibaya na wakapata aibu kubwa na watu kibao wakasilim mpaka walijuta kuandaa ule mdahalo kanisani, Ndacha akaomba tena midahalo midogo midogo kwa mhadhiri mmoja mmoja akidhani atashinda badala yake pia akajikuta ameshindwa tena, wakaenda Tanga kina Mazinge wakamfata akachemka tena akarudi kwao Kenya wakamfata huko huko akafeli vibaya na baada ya kupata mwanga kwa kupitia midahalo ile sasa Ndacha ameanza kubadilika na ameamua kufanya midahalo na wakristo wenzie akipinga utatu mtakatifu huku akidai ktk tafiti zake amegundua imani hiyo ya utatu ni uzushi ktk ukristo na wakristo wamezua... kinachoonekana na yeye anapita mule mule walipopita wenzie mpaka wakasilim, Ndacha kama ataendelea kuhoji na kuyakataa yaliyo ndani ya ukristo basi hana muda muda mrefu na yeye ataslimu.
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
@@rayisadesigns2646 Acha uongo kijana, usifikiri Mimi ni mbumbumbu kama wewe. Hakuna Mkristo aliyesilimu kwenye mihadhara hiyo yote unayoisema wewe🤣🤣🤣. Usifiri mimi sikufuatilia kuanzia mwanzo hadi mwisho. Kuanzia Tanzania hadi Kenya huyo Mazinge alishindwa vibaya mpaka akawa anakataa vitabu vyake mwenyewe. Ndasha huwa anafanya midahalo na Waislamu kila siku na hao ndiyo anaowataka. Ndasha kufanya midahalo mara kwa mara na Waislamu huo ni utaratibu wa kanisa la Waadvensta Wasabato, ambao huitwa ADVENTIST MUSLIM RELATION (ARM). Hilo unatakiwa utambue. Ndasha au msabato yeyote kufanya midahalo na Waislamu mara kwa mara huo ni utaratibu wa kanisa, kama Yesu alivyosema, "Enendeni ulimwenguni kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu". Ndasha anaendelea kufanya midahalo na Wasomi wenu, mwisho jana na leo fuatilia kwenye channel atafanya midahalo. Ndasha hafanyi midahalo na Wakristo wenzake, Ndasha anafanya midahalo na nyinyi Waislamu ili muokoke na amewaokoa Waislamu wengi sana, wameuacha Uislamu na kuja kwa Yesu. Ndasha kusema hakuna utatu Mtakatifu, ni kweli ndani ya Biblia hakuna neno Utatu Mtakatifu baadhi ya Wakristo wamekuwa wakitafsiri maandiko vibaya.
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
@@isiakamfugale3621 Nenda kwenye KZbin fuatilia channel ya Biblia Nuru ya Dunia huone Waislamu wanavyoritadi kwa wingi kupitia mahubiri na midahalo anayoifanya na nyinyi.
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
@@frankmpembu2505 Sijasema hakuna wanaoritad mkuu, wapo Ila majority wanaslim kuliko wanaoritad. Umenipata?
Huyu Dr. Sule ni hatari, Atoa Aya za Biblia zawatoa Jasho wainjilisti.
35:07
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
HABIB MAZINGE | SAID KINYOGORI | USABATO (2)
1:01:42
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 294 М.
UST MAZINGE AMPONGEZA SH OTHMAN MICHAEL NAAMUOMBEA HERI
28:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 69 М.
Ustadh Shafii wazungu katika ndege ||| QIBLATEIN ONLINE
21:31
QIBLATEIN ONLINE
Рет қаралды 190 М.
Balaa' Biblia yatukana mungu na manabii, Kinyogoli vs Wasabato BURUNDI
18:03
UFAFANUZI KUHUSU VALENTINE - SHEIKH SHAFI SHOMARI
30:16
Kishki Online TV
Рет қаралды 24 М.