Kwani CRB mwaka jana walikuja kutafuta nini? CRB walikuwa na point 8, Yanga walikuwa na point 5 huku CRB wakiwa na ushindi wa 3-0 mkononi. Yanga ilitakiwa washinde kwa aggregate ya 4-0 na wakashinda 4-0. Mechi ya Jumamosi Yanga wanahitaji ushindi wowote, mnaongea upuuzi wenu hapo.
@ajiaally326913 күн бұрын
Kwani hii ni redio gani ya kichoko
@tumainielmremi791213 күн бұрын
Huyu Mwayomba anapswa kuchambua Maharage na sio Mpira.
@ILYASAKHATIBU13 күн бұрын
Kwa mwayombo huyo mshambam
@getrudamunna12 күн бұрын
Hii chanel gani? Mimi shabiki wa Yanga bingwa raha, gusa achia funga tuende robo fainal
@RenatusÑgolongolo-o2j13 күн бұрын
Acheni ushabiki mjue hiyo ni kazi yenu
@saidilindukwa13 күн бұрын
Si Kweli Simba Mpira ulipooza,Yanga Na ibenge ilikua tough Sana wee mchambuzi wa mchongo na ushabiki W wa wazi simba