Hans Rafael kazi unayo maana umezungukwa na wapiga story tu hivi kwanini msichambuwe yanga peke yake then badae simba? Mtajuwa lini mpira? Jaribuni kuwa professionals
@Omarsail-Noor9 күн бұрын
Yani warabu wakijiangusha nikawaida ili Yanga ikifanya hivyo hivyo itakua ni ushamba ausio ama kweli Nabi Hana heshima kwao Ally kamwe alitusabua mapema kuhusu hivi vilaza
@anthonymilinga86968 күн бұрын
Hans hujui mpira tena ikiwezekana hata hutakiwi kuchambua mpira maana unatuletea mapenzi ya timu yako kwenye uchambuzi. Simba tulishinda kwa waarabu wanao jiangusha kama Mc Alger
@arielhansalbert56318 күн бұрын
Acheni uongo!! Mnachoongea ni kitu hamkijui!! Ni kocha gani alianza na uzoefu moja kwa moja?!
@Tg.7_79 күн бұрын
Ramovic kwakwi Eng. alituingiza chaka zito mno!!😢
@MjuniKashaga9 күн бұрын
juma ayoo😂😂😂😂😂
@ramsomaro91309 күн бұрын
Ungekuwa ndo ww unapewa timu mechi ya kwanza unakutana na mashidano ya caf utaweza kuvuka au
@selemanmcharazo9 күн бұрын
Shida wachezaji wenyewe kushindwa kutekeleza mpango wa Kocha, wachezaji hawajajituma , wachezaji wanafika final third ndo wanapunguza Kasi
@LAMECKSHEDRACK9 күн бұрын
Mi naona muwe mnamuacha hanc achambue mbona mnavamia wakat hajamaliza.
@romimwalu9 күн бұрын
Cv utaipataje ,huzaliwi nayo kaka
@anoldmahenge68969 күн бұрын
Wew hans ndo ulikuwa ukisema yanga inafuzu leo kocha hana uzoef haha😂 hii bongo hiii
@francisdavid0018 күн бұрын
Hao wenye experience waliipatia wapi? Wachabeberu mnakuwa mnaongea sana 😅
@tadeonkonya16569 күн бұрын
Yanga bila combination ya Yao Yao, Max Nzengeli na Pacome team inapoteana. Na ndio ukweli wenyewe timu haina makali.
@hakimundabila79409 күн бұрын
Mnabishana nn wakati issue ni coach kukosa mbinu mandala, hilo kosa la menejiment ya yanga hawakutumia akili kumfukuza kocha wao
@NaomiMwashinanga9 күн бұрын
pale amna kocha na simba apo tunajenga tim
@OmarrySingano-kf9il9 күн бұрын
Wee siurisema yanga anashinda Gori 3acha unafiki
@PeterMuhina9 күн бұрын
Ila juma ayo jalibu kukua
@MussaKhalf9 күн бұрын
Mashabiki wengine wa yanga wanafanana na mafunza wa kwenye miembe wanaangukantu unapokuja upepo😅 ! Wanashikiwa akili na Hawa wachambuzi viraza 😂
@Ebendentalclinic9 күн бұрын
kwa hiyo mnataka wasilale wakati wana point?,hiyo ina maana kocha hana mbinu.mnalaumu mpinzani kulala,mmeshindwa kufanya mashambulizi.,kwani waliingia wakalala hadi mechi ikaisha?,hamkufika kwenye box lao?,shida chambuzi zinaongelea ushabiki.
@SaidiSheria9 күн бұрын
Wachambuzi uchwara ni wengi kuliko wachezaji na makocha
@Naharmusicrecords9 күн бұрын
Experience imemuua Ramovic
@kadirichannelonlinetv42589 күн бұрын
Nyie makuma tu
@stewardherodion25019 күн бұрын
Kwaiyo mtu kufiwa unachek mbona mnakoelekea mnakua wanafik sana
@thomassydney58579 күн бұрын
Ivi mmerudi kumchambua kocha saivi tena wanaa wengi sana humo
@fatmaomar83359 күн бұрын
Wewe hans hauna jipya umekua kigeu geu
@sharulchenja21679 күн бұрын
Sasa uyo mchambuzi anaecheka cheka ovyo ndo nini sasa🚮, 🤔Afu punguzeni watu, ama mpeane zamu ya kuingia…maana mko wengi mnoo mpka kero📌
@jimmymungai5229 күн бұрын
Kila kocha lazima aanza somewhere, na hata Ramovic anaanza na Yanga! Mpaka sasa rekodi yake CAF competitions ni nini? Lost 2, Draw 2, Won 2 - not bad I might say!! Hata Nabi na Gamondi wametengeneza CV zao bora zaidi wakiwa Yanga, hebu tumpe muda maanake ni bonge la kocha so far!!!
@JosephEmmanuel-eb7gj9 күн бұрын
Gamond na nabi walikua na cv kubwa
@kituapeter9 күн бұрын
Tutengeneze timu
@MussaKhalf9 күн бұрын
Hata nyie hamna uzoefu na uchambuzii ! Fadlo ana uzoefu Gani nisadieni🤔! Angefanikiwa wangemsifia ! Hawa ni wachambuzi KASUKU😅
@MgazaMhina9 күн бұрын
Sasa umeshindwa unataka kusifiwa kwa kipi
@MgazaMhina9 күн бұрын
Usiulize wenzio Hans anakuambia ungekuwa wewe ungefanyaje
@albertvalentino1309 күн бұрын
Siyo uziefu tu,Hana uwezo -- maana kama angekuwa na uwezo,angalau ungeona anajaribu kubadilisha mbinu -- amecheza mchezo wa aina Moja kwa zaidi ya dak 80 bila kubadilika.lakini unaanzaje na washambuliaji watatu bila creative midfielder -- washambuliaji wanafunga kwa nafasi zinazotoka wapi.Hivi waarabu wangelala kama Yanga angekuwa anaongoza hata kwa Goli Moja?
@mariokanunga84487 күн бұрын
Hans Rafael kazi unayo maana umezungukwa na wapiga story tu hivi kwanini msichambuwe yanga peke yake then badae simba? Mtajuwa lini mpira? Jaribuni kuwa professionals