HAJATI ANAFUNGUKA NAMNA ALIVYOOKOLEWA WA MWISHO AJALI YA NDEGE "MKANDA UKAGOMA, WAVUVI WALIFUKUZWA"

  Рет қаралды 169,612

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 213
@kimbilisiti
@kimbilisiti 2 жыл бұрын
Kuna mvuvi aliyemuokoa huyu mama ambaye aliingia ndani ya ndege na kumuokoa hakua majaliwa ila ni mwenzake majaliwa na kwenye mahojiano majaliwa alimtaja kwamba kuna mwenzangu aliingia ndani ya ndege mi nikashikilia mlango,je ametazamwa apewe reward
@nawandafamito500
@nawandafamito500 2 жыл бұрын
Yule mtoto majaaliwa kuna vitu vingi sana kaviona na ndio maana, wakubwa WA, NCHI, hawamuachilii, wanaogopa, atamwaga mchele, Yani hata kwa akili ya kawaida huwezi kupata majibu, wale wengine, wana kitu gani, mbona kimya ni kwa Nini na KIVIPI?!!, Sijayaafiki maamuzi ya, wakubwa ila poa yataisha ni mambo ya mpito yatapita na tutayasahau.
@latifachilala2015
@latifachilala2015 2 жыл бұрын
Ni kweli yeye alisema alivyofungua mlango akaondoka akaenda upande wa rubani
@saudamayowela7636
@saudamayowela7636 2 жыл бұрын
@@nawandafamito500 kabisa
@berthanicholas6356
@berthanicholas6356 2 жыл бұрын
​@@nawandafamito500 hii ni kweli kabisa
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Serikali hatudhani kama wataonekana
@thobycharles8766
@thobycharles8766 2 жыл бұрын
hongera mama kwa kueleza vizuri na kuwashukuru vijana, Kuna mpumbavu mmoja aliyeokolewa ameanza kusema kilichomuokoa yeye ni utulivu wake, halfu hajaonesha kuwashukuru vijana waliokuja kumuokoa
@janifajani8875
@janifajani8875 2 жыл бұрын
Umeonaeee yani lile kaka limeniuzi sana na maasikari wamesababisha vifo eti msisogelee ndege ita lipuka kaacha weziee wafe.mbwa wale
@lifeofyuri4020
@lifeofyuri4020 2 жыл бұрын
Ahahaha nimeiona hio leo Asubuh hata sikumalizia....wasomi ndio wanajionaga wajuaji Sana mshenzi sana
@lidamethod2981
@lidamethod2981 2 жыл бұрын
Hata kusema tu ni Mungu ameshindwa 🤗
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 жыл бұрын
Kumbe ulimsikia hakutaja hata hawa vijana nakujifanya msomi utulivu kwenye kifo kweli alinikera sana
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 жыл бұрын
@@janifajani8875 watu wengine jamani
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Pole sana! Kamtolee Mungu sadaka basi na uyo kijana mfanyie kitu kikubwa maana Mungu kamtumia yeye kuokoa maisha yako!
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Kweli, kweli huyo aliye tamka ndege italipuka, Mwenyezi Mungu anamuona
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Pole mama kwa mtihani uliokupata allah akuzidishie umri mrefu wenye taqwa Kijana maajaliwa mungu amemwezesha kuwasaidia waliopatwa na ajali ya ndg kijana maajaliwa Anastahiki zawadi Alizopew ni halali kwa kz aliyoifanya
@musevenihakizimana5461
@musevenihakizimana5461 2 жыл бұрын
Mama japokua si ongei vizuri kiswahili ila point yako nzuri sana, kijana yule nazani ni Majaliwa, hata asiwe yeye ila unakubali kwamba kuna mtu/kijana ambae alikata kamba akakusaidia kunusulika kwa ajali. Sio kama wengine ambao wanaonesha ya kwamba wamejiokoa wenyewe.
@pascalpembamoto6968
@pascalpembamoto6968 2 жыл бұрын
SERIKALI IFANYE UCHUNGUZI WA KINA SANA KWA WAHUDUMU NA MAAFISA WA KIWANJA CHA NDEGE NA KAMATI NZIMA YA UOKOZI IKBAINIKA WANAMAKOSA FUTA KAZI WOTE KABISA,ILA TAASIS ZETU ZIJITAFAKARI KWA KINA
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 2 жыл бұрын
Yan kweli, Nawaza yule aliyemwambia majaliwa asivunje kioo. Pia askal kuwafukuza wavuvi tungenusuru maisha ya watu wengi Sana. Iv unaona kabisa watu wanakufa alafu unafanya hiv Kweli,hawa watu wawajibishwe. Yaan kweli hawa watu sio Watu
@nataemsuya
@nataemsuya 2 жыл бұрын
He he nani atawawajibisha! Hii dunia nyie achen tu.Kuongoza nchi km Tz ni kasheshe
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 Жыл бұрын
kabisa ni wanyama na walaaniwe
@lilyjones3584
@lilyjones3584 2 жыл бұрын
Jamani hilo jamaa lililowakataza wavuvi kusimamisha zoezi la uokoaji lichukuliwe hatua za kisheria. Watu wamepoteza maisha na ndugu kupoteza wapendwa wao!!! Serikali chukueni hatua. Hizi habari ni aibu na fedheha kwa Nchi yetu!
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Yaaa Rabbi. Mliopona Mungu anawahitaji sana na hata wale waloenda mbele ya haki ni wakti wao umefika. Ila niseme sana wenzetu waliobaki Mungu anawahitaji saaaana wenzetu waliotangulia Mungu awape pumziko wanalostahili
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru 2 жыл бұрын
Kama hawa wavuvi wameweka kuwasaidia basi kungekuwa na uwezekano mkubwa kupo a wote sasa hayo majinga yanasema toka moto utalipuka wakati ipo ndani ya maji kweli kuna majinga mengi duniani.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 жыл бұрын
Yani we acha tu.huyo jamaaa atafutwe ni MJINGA WA MWISHO HAPA DUNIANI.kaniudhi sanaaaaa ujuaji tu.
@nkamangi4707
@nkamangi4707 Жыл бұрын
@@itanzaniaAS na pengine hajawahi panda ndege mpuuzi sana amesababisha vifo vya watu
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
@@nkamangi4707 yani we acha tu NDUGU yangu
@ramadhanrashidmthailand713
@ramadhanrashidmthailand713 Жыл бұрын
Yaani uskute watu wangeokolewa wote ila wavuvi walipoambiwa watoke moto utalipuka bas ndio hao wengine wakafariki
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
@@ramadhanrashidmthailand713 yani we acha tu huyu mtu nkibahatika kumjua….
@mwakyombeimani181
@mwakyombeimani181 2 жыл бұрын
Polee sana.
@abbyjma7355
@abbyjma7355 2 жыл бұрын
nilichogundua hatuna askar abiria weng wangepona ila tuna jeshi la uokoz bovu sana
@joycejackson2320
@joycejackson2320 2 жыл бұрын
Jamani majaliwa alishasena alikuwa walikuwa wanne na aliwataja na majina pia alisena mmoja aliingia ndani ya ndege wakati yy ameshikilia mlango baada ya hapo yy akazama kwenda kwa rubani ndio akakatazwa kuendelea kuokoa! ila wawatafute aliowataja majina
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Poleni wote mliofikwa na msiba, na pia ni dadangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kukuletea mtu wa kukufungua, hakika Mungu ni mkuu na anastahili kushukuriwa jamanii🙏🙏,
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 2 жыл бұрын
Yaan asingekuwa yule mtu kumkataza majahaliwa asivunje kioo rubani pia angepona
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 жыл бұрын
Maskini ya Mungu dah nkipanda ndege mkanda Sufungi teeena na ntasafiri na Mkasi.pole sanaaa mama
@shamiraathuman4478
@shamiraathuman4478 Жыл бұрын
Wee kwenye ndege hurusiwi kuingia na uo mkasi
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 2 жыл бұрын
Hao ndio askar wetu waloapa kufa kwa ajil ya watanzania
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 2 жыл бұрын
Pole sn mama faharu mungu akufanyie wepesi inshallah
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Yule mhasibu mwenye viengereza mingi aje hapa..eti utulivu wake ulimsaidia
@herbertkamote2213
@herbertkamote2213 Жыл бұрын
We mama mtafutie zawadi huyo kijana umpe ameokoa maisha yako
@abbyjma7355
@abbyjma7355 2 жыл бұрын
Nataman sana kujua nani aliwafukuza na nataman sana uchunguzi usifanyike kwa nn ndege imeanguka uchunguzi ufanyike na kwa nn watu hawakuokolewa
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Mimi pia hao wote waliozuia uokozi wafukuzwe kazi
@niahussein5387
@niahussein5387 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwako na waokowaj wabarikiwe
@mahreyjohn1174
@mahreyjohn1174 Жыл бұрын
mimi maoni yangu kwenye hayo mashirika ya ndege mdogo, waeke life jacket kunusuru raiya wasiwaze kupata faida kifedha wajui kuwa wanapakia roho za watu.
@humbleguy3756
@humbleguy3756 Жыл бұрын
Hongera mama mungu azidi kukulinda🙏
@sherrifsaleh7536
@sherrifsaleh7536 2 жыл бұрын
Inaonekana waokoaji ni wengi ila Alie tangazwa na kubrandiwa ni mmoja hii inakaaje kitaalamu. Binafsi nahisi yule mtoto majaliwa ni mdogo sana kifanya kazı ya kuokoa watu wote wale ila kwann wengine hawakutajwa???
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Majaliwa anakila sababu ya kushukuliwa mama alijua anakanyaga maitu kumbe ni majaliwa allah amjalie sana
@ulludots
@ulludots 2 жыл бұрын
Hajasema kama ni Majaliwa, wavuvi walikua ni wengi
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
@@ulludots watu kwa kukalili mambo 😂
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
@@ulludots uyo majaliwa sio mrefu,mama kasema kijana aliyemuokoa ni mrefu mweupe
@agathasungura5047
@agathasungura5047 2 жыл бұрын
@@nancyg8664 mama alikua na wenge
@simplyfay5308
@simplyfay5308 2 жыл бұрын
@@nancyg8664 mrefu mweupe majaliwa mweusi
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 2 жыл бұрын
Kumbe wangekosa kuwafukuza wangewaokoa wengi zaid
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Ndio
@joyce55727
@joyce55727 2 жыл бұрын
Ata mm nawaza ivo
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 2 жыл бұрын
Sanaaa yaani
@wemakalama6458
@wemakalama6458 2 жыл бұрын
Tatizo viongozi ndio balaa tupu
@hawamgeni6212
@hawamgeni6212 2 жыл бұрын
Kweli kabisa, wangeachiwa waendelee kuokowa wengi
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Inatia uchungu wacha tu
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 2 жыл бұрын
Umeponea tundu ya sindano.Hongeza Ibada na mshukuru saaaana Allah.kila kitu wakati.
@fabianseverious6775
@fabianseverious6775 Жыл бұрын
Yaan nahisi ww ndoumesema ukweli maana wengine hawaongelei kuhusu wavuvi walivyo wapa msaada
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Alhamduli llahi ya Rabala'alamiin Mungu upewe sifa wew ndie mjuzi wa Killa jambo 😓😓
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 2 жыл бұрын
Vijana wote walio saidia serikali iwaangalie jamani. Allah atawalipa.
@janemujuni764
@janemujuni764 2 жыл бұрын
Huyo Askari anastahili kufunguliwa kesi ya mauaji
@joycekalago532
@joycekalago532 2 жыл бұрын
Et ndege italipuka ikiwa kwenye maji italipukaje? Kweli askari maboya tu ndomana hata kibgereza chao kina shida
@alsam4881
@alsam4881 2 жыл бұрын
Mie ninavyojuwa ndege zote huwa zinakuwa na life vest chini ya kiti, na wakati inaanza kuondoka huwa wahudumu wa ndege wanaonyesha jinsi ya kuvaa kama itatokea dharura, Ina maana hiyo ndege ilikuwa haina life vest au? Na je Rubani na wahudumu wa ndege ina maana walikuwa hawasiliani kuwatangazia abiria wavae life vest wakati Rubani alishaona kuna hatari na alishaamua kutua kwenye maji? 🤔
@abdulllyhussein3224
@abdulllyhussein3224 2 жыл бұрын
Hilo hata mm niliwaza lkn ukiwasikiliza vzur utajua n kitu cha ghafla sana na ruban haku expect kitu kama kile
@magynzioka1122
@magynzioka1122 Жыл бұрын
Majaliwa.anajua Siri zote Dio mana ana shikiliwa na serikali ana bebelezwa asiropoke chochote na amepewa KAZI ya jesi ndio kabisa kiapo cha kimia
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Maongezi ya Mama ni kwamba Uzembe ulianzia kwenye Airport Tower maana waliona waliwasiliana na Pilot lakini hawawakujiweka tayari kwa lolote tokana na uzembe uliokithiri kwenye nchi yetu .
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
Watajiweka tayari vipi wakati airport hawana divers au siku zote hawatarajii ndege kuangukia ndani ya maji. Tatizo linarudi palepale, tawala zetu si Africa wala Ulaya na Marekani, hawajali maisha ya raia
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@ramadhanmakame1328 Ulaya Marekani toa kabisa wewe sema zetu kwani wengine tumewahi kuzurura hii Dunia kwa hiyo tunajua utofauti wa Afrika na huko kwengine.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@ramadhanmakame1328 Tena cha ajabu siku hizi ndio tumezidi kuwa careless nakumbuka zamani enzi ya Air Tanzania miaka ya Mwalimu nilikuwa nasafiri na ndege ilikuwa ndege kabla ya kutua utaona fire ambulance na magari ya usalama yapo stand by pembeni siku hizi hata huoni ndege inapotua wala kuondoka.Tumejisahau sana
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 2 жыл бұрын
Ndege zina utaratibu wa usalama wa hali juu. Lazima pawe na uchunguzi wa sababu ya ajali hii. Tusome katika makosa yetu ili tujirekebishe. Every accident is preventable.
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie uhai bi.amina na wote waliowaokoa.
@florencegregory8932
@florencegregory8932 2 жыл бұрын
Serikali iwatazame wale vijana wote 4 waliopambana na sio mmoja tu ombi langu rais samia
@omarkalita5340
@omarkalita5340 Жыл бұрын
Poleni
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Pole sana mama yngu 🤗🤗🤗🤗😍
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Hao maaskari wanawambia waokoaji wakae mbali ndege italipuka hao ndo waliosababisha watu kufa wengi hivi wangeokolewa hai kabisa
@goodmark1336
@goodmark1336 2 жыл бұрын
Pole Mama MUNGU awe na wewe 🙏
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Poleni mwenyezi mungu awavuwe hapo na pengine
@hamidauhuru813
@hamidauhuru813 2 жыл бұрын
laiti wasingefukuzwa hata idadi ya waliofariki ingepungua maana wangepata msaada kama wenzao wale 26.
@abbyjma7355
@abbyjma7355 2 жыл бұрын
Narudia hatuna jesh la uokovu tuna jesh la kushangaa na kushaur
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Kweli kabisa kama marubani wamewauwa kusudi wamekataa kioo kisivunjwe
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 2 жыл бұрын
Ndio
@enterenter7798
@enterenter7798 2 жыл бұрын
Atafutwe huyo kijana mweupe waungane namaja tafadhal
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 2 жыл бұрын
Pole sana Mama.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 жыл бұрын
Kweli hadi ndege inadondoka ilibidi msaada waukute maana kipindi chote inazunguka Airport haikuwa na taalifa??Alafu hii kuwafukuza waokoaji sijapenda maana wangetoa wengine
@salminmayila2902
@salminmayila2902 Жыл бұрын
Wavuvi waliambiwa tokeni hapo , na asiingie huko ndani ndege italipuka, wakati huo inamasaa mengi tu ipo ndani ya maji , ...... Hii Tanzania yetu ni msiba, bongo bahati mbaya
@st99ngeni35
@st99ngeni35 Жыл бұрын
Dah! Hii nchi inataka kutushinda sasa. Ukisikiliza maelezo ya huyu mhanga anaonesha mlango ulishikiliwa na kijana mweupe na sio Majaliwa. Swali langu ni kuhusu kijana Majaliwa aliyejibebea umaarufu kama shujaa wa kuokoa watu kwenye ajali hiyo. Yeye anadai ndiye aliyefungua mlango na kuwaokoa abiria. Je yawezekana huyu kijana ni msanii fulani tu na amejizolewa umaarufu wa bure?! Kama ndivyo basi Serikali yetu inakosa umakini kabisa, haiwezi kuwa inakurupuka na mambo bila kuwa na uhakika. Haya mambo ya kudanganyana hayafai.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Kwa maoni tu Hata hao wavuvi wangeweza kuwezeshwa kwa kupewa taaluma ya uokoaji na huku wakiendelea na uvuvi wao ili siku ya janga waweze kusaidia kwa weledi na wepesi ilimradi zana bora siwe karibu. Kila kitu ni mipango tu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Wavuvi wote waliosaidia wangepata ajira serikalini au mitaji ya biashara. Tena hao polisi waliokuwa wanawafukuza ndio walisababisha vifo vikaongezeka. Wanawafukuza wakati wwo na vitambi vyao hawawezi kuokoa. Shame on them
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 2 жыл бұрын
Hii ajari inafikirisha sana.. yaani mwingne anakataza kioo kisivunjwe mara askari wanafukuza waokowaji ndege italipuka duh 🙄
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
Askar ndo wamefanya watu wengi wasiokolewe sababu ya ujuaji
@elizabethmwankemwa2035
@elizabethmwankemwa2035 2 жыл бұрын
Yaani wavuvi hawajakunywa kushukuliwa kwa pamoja tungewachangia hata vifaa vya uvuvi
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 жыл бұрын
Yaani jamani...hawa wavuvi wangeokoa watu wote km wangeachwa
@BONGO_FILAMU
@BONGO_FILAMU 2 жыл бұрын
Ukiwasikiliza wahanga ....hawamtaji majaliwa ....sijui kwanini.? Ukimsikiliza majaliwa anajitaja yeye na wenzie ....Ila serikali na raia wanamtambua majaliiwa ....Kuna namna yakutambua mchango wa wenzake na majaliwa
@odiliamathias5424
@odiliamathias5424 2 жыл бұрын
Mama apo ndio unaamini na uendele kuamni pesa sio Kila kitu Bali watu ndio Kila kitu umeona apo kijana ndio kakuokoa, pesa zako zote zilikaa pembeni ubinaadamu ndio unatakiwa pia pole mama
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
Huwa najiuliza nchi zilizoendelea sio eti mtu binafusi ametengeneza ni mapato ya serikali kwanini Africa haziendelee na kua na miundo mbinu Bola. Yani Hospital,mawasiliano, hata hizo life safe kwenye ndege na kadharika.kodi zinazo kusanywa hupotelea wapi? Napenda nyumbani but kwasabu system ni mbaya haki nikuja kutembea tu, inatosha
@joycelaura4611
@joycelaura4611 2 жыл бұрын
ila wavuvi wangeboreshewa vyombo naona wako vizur katika maji wameshayazoea. wavivu waboreshewe mitimbwi yao ikiwezekana iwe ya kisasa zaidi
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 2 жыл бұрын
Yaani mi natamani waokoaji wote wale wangepewa ajira kwa kweli, walijitoa mnooo
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 жыл бұрын
Hyu aliekuwa anatangaza wavuvi waondoke ndio aliwspotezea mwelekeo wakuzidi kuwasadia wahanga
@mimiwewe6617
@mimiwewe6617 2 жыл бұрын
Pole sana bi hajati
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 2 жыл бұрын
Mikanda iliongeza maafa
@janetmlulla374
@janetmlulla374 2 жыл бұрын
Wale vijana waliofanya uokozi wanastahili nao kusaidiwa na sio Majaliwa tu peke yake. Serikali iliangalie tena hili.
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 2 жыл бұрын
Hivi kwenye ndege hali inapokua mbaya huduma ya kwanza huwa nini ndege ikiwa angani
@josephmyovela5815
@josephmyovela5815 2 жыл бұрын
Cha kwanza ni taarifa kwa abiria ili wakae tayari, pili ndege Huwa inabeba mafuta mengi sana kwa ajili ya dharura kwa hiyo rubani huyaounguza yale mafuta kwa kuyamwaga akiwa angani ili ndege itakapotua isiweze kuwa na mafuta mengi ya kuifanya ilipuke, lakini najaribu kuwaza ile ndege huwenda ilipata hitilafu nyingine tofauti na hali ya hewa kuwa mbaya
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Kungekuwa na miundombinu sahihi na kwa wakati inaonekana hata rubani angepona. Hilo ni swala la kuangalia sana kwa siku za usoni ili kuondoa watu mashaka kuhusu ubora wa huduma kwenye viwanja vyetu vya ndege. Si swala la kutilia mzaha kabisa
@japhetkatunziofficiallydon9587
@japhetkatunziofficiallydon9587 2 жыл бұрын
Mama kasema askari walifukuza wavuvi et italipuka wakati Iko kwenye maji
@mamachris6811
@mamachris6811 2 жыл бұрын
Wana kariri kama tenka ya mafuta 😀
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Mafala sana
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Wajinga sna yaani itaripuka ipo kwenye maji uzembe tu wengine walikua wapo hai wangelitoka lkn ujinga wa usomi wao
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Daah Mungu tunusuru sana.
@kelvnkalist7569
@kelvnkalist7569 2 жыл бұрын
Ndio yule jamaa mpumbav sana eth utuliv wake
@giftotaru5808
@giftotaru5808 2 жыл бұрын
Wewe ni Mungu usiepewa chchte
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 2 жыл бұрын
Masikini jmn huenda hao wengine wasonge kufa wangewahi kuokolewa wabaya walikua walio wakataza
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 жыл бұрын
Pole sana mama yangu
@ritaeliass8971
@ritaeliass8971 2 жыл бұрын
Maasikar ni watu waajabu
@neemalusasi60
@neemalusasi60 2 жыл бұрын
Poleni jamani
@jekoniafesto523
@jekoniafesto523 2 жыл бұрын
Yaani askari wetu badala ya kuokoa ndiyo wanakatisha tamaa watu wa uokozi eti ndege italipuka.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 2 жыл бұрын
Vijana wavuvi wanaendelea kuokoa, wanarisk, Askari wanawazuia wasiendelee kwamba ndege itaripuka!
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 жыл бұрын
Maaskari wetu bwana kusaidiana na raia wanawafukuza eti italipuka iko ndani ya maji kweli
@samludo5435
@samludo5435 2 жыл бұрын
Uku wao wanabak wameganda tu kma masanamu
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
@@samludo5435 yan wanakera sana
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 жыл бұрын
Poleni sana nduguzetu
@vanessajames2192
@vanessajames2192 2 жыл бұрын
Mi naona waliofariki ni uzembe lahawa waliojifanya wamesoma wanajua kila kitu kweli mnasema ndege italipuka wakekuwemo wake zao na wazazi wao wangeongea huo utumbo lolote liwafike
@hellenahellena1874
@hellenahellena1874 2 жыл бұрын
Mama ni mkwel kabisa
@janepherjackson9693
@janepherjackson9693 2 жыл бұрын
Hao Vijaya wote wangesaidiwa sio majaliwa tu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Inaonekana wengi walikufa sababu hawajui kuogelea
@serengetiduma1090
@serengetiduma1090 2 жыл бұрын
..pia hilo, lakini uwezi kujua ndugu kwa hile impact pengine ata baadhi yao walzimia, na kama mama anavyo sema baada tu ya kuanguka tu maji yalianza kujaa kwa kasi!
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 жыл бұрын
Askari wetu bwana eti ndege inalipuka ndege iko kwenye maji inalipukaje ? Jeshi la police oyee, wangeambiwa kubambikia watu kesi kuua watu bila hatia ndo wanacho jua rushwa
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 2 жыл бұрын
😂😂
@ahmedshabani1260
@ahmedshabani1260 2 жыл бұрын
majaliwa alikuwa na kikosi chake vp kuhusu wale wengine
@janemujuni764
@janemujuni764 2 жыл бұрын
Mh Rais kawakumbuka,zipo m.10 zinawahusu,
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Dah pole sana mama
@GracieTyno
@GracieTyno 2 жыл бұрын
Hapa nawaza kwanini waliwafukuza waokoaji?
@tamamoman9454
@tamamoman9454 2 жыл бұрын
Ili watu wafe ndo kusudi Lao
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
@@tamamoman9454 kwakweli
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Idadi yao walioikusidia ipate kutimia
@ibnnjoka4808
@ibnnjoka4808 2 жыл бұрын
Mbona majaliwa hawamtaji
@tinershayo6191
@tinershayo6191 2 жыл бұрын
Hatuna serikari hatuna askali wapo kwa shida zao
@rchall6530
@rchall6530 2 жыл бұрын
Polen sana wapendwa wetu
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 2 жыл бұрын
Askar wajidai wajuaji san
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Sana na huku hawana wanachojua hata kuogelea hawakuogelea wamesimama na magwanda yao .Wangeacha raia watumie mbinu asilia wangeokoa wengi
@emmymateni8952
@emmymateni8952 Жыл бұрын
Mama una dhambi na wewe na mkorogo wako mtu mzima hovyo interview ya2 umeongea mengine
@husseinkazimoto784
@husseinkazimoto784 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@ashapande6016
@ashapande6016 2 жыл бұрын
😥
@djdisboy255tz
@djdisboy255tz 2 жыл бұрын
Kwani majaliwa Ni mweupe
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 2 жыл бұрын
majaliwa alivunja mlango wa ndege tena akaondoka akaenda mbele kuokoa rubani ndio kamba ikamchapa ya uso nae akazimia
@sophiamasawe6852
@sophiamasawe6852 2 жыл бұрын
😂jaman italia wenge mama aliona ni mweupe muachen majaliwa bhana
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 2 жыл бұрын
Pole sana mama na pia waliopata majeraha poleni sana mungu aendelee kuwaponya na pia baadhi ya waliopoteza maisha mungu azilaze roho zeno pema Amen,Mm nafikiri wavuvi wote wanastahili pongezi na pia Majaliwa aliofanyiwa n sawa lkn hata wavuvi wengine waliohusika sio mbaya kuwapa mkono wa Ahsnte
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Kulikuwa na vijana wengine walioshirikiana na majaliwa, kuna kijana aliyeingia ndani ya ndege kuokoa na siyo majaliwa….huenda ndiyo mweupe
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
JAMANI SERIKALI TUNAOMBA MUWAANGAZIE MACHO NA WALE VIJANA WENGINE WALIOSHIRIKIANA NA MAJALIWA KATIKA UOKOAJI SABABU WOTE WALIJITOLEA KWA MOYO MMOJA NA KWA JUHUDI KUBWA. HAITAKUWA SAWA KUPENDELEA SABABU WENGINE WATAVUNJIKA MOYO. WANASTAHILI KUPEWA MITAJI AU AJIRA AU MASOMO AU VYOTE
@ashrafmmbaga3868
@ashrafmmbaga3868 2 жыл бұрын
Wangekuwa vijana wa mjini wangeanza kurekodi badala ya kufanya uokozi ili wawe wakwanza kupost
@janemujuni764
@janemujuni764 2 жыл бұрын
Yaani Ni shida,hilo ni liwe fundisho tosha kwa vijana
@marengumohamed2715
@marengumohamed2715 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu mkubwa pore sana mama yangu
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 2 жыл бұрын
waajiriwa wa serikalini wengi ni vilaza, kila mahala hatutachoka kuwasema. Waliwazuia wavuvi ili watu wafariki?? shida tupu
@jamilanassor6975
@jamilanassor6975 2 жыл бұрын
Mtihani allah atustiri
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Hao askari walio sema msisogelee ndege italipuka ndo chanzo cha watu wengi kufa
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 жыл бұрын
Unamungu mama
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Kumbe waliwafukuza Mtihani mkubwa
@gitu4me
@gitu4me 2 жыл бұрын
Aliowafukuza atafutwe
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 2 жыл бұрын
Mngeliacha life , Rubani wetu wa okolewe , icho ki kaka kipimwe kichwa akili zake aziko timamu. Mjinga tena wewe mngeli kiacha life. Mama umeongea ukweli kutoka moyoni mwako.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Mh..Neeemaaaa.. jamanii, mh😁 naona alikukera sana😁 mimi nilishindwa kuelewa kumbe kuna watz kiswahili hawakijui? Ukweli shm nyingi ckumuelewa kabisa
@ericron6115
@ericron6115 2 жыл бұрын
Yeye hakuhitaji msaanda, baada ya mlango kufungulisa alitoka,
@alexanderamath7402
@alexanderamath7402 2 жыл бұрын
Tupumzishen na hiz habar
@ramadhanmaisa788
@ramadhanmaisa788 2 жыл бұрын
We ndo upumzike kuzifatilia😆
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
Ndio habari kwa sasa zinazo takiwa tuzijue, ni habari muhimu kwetu na kujifunza kwa ujumla, ili tujifunze kupitia haya walio pitia wenzetu,sasa kama wewe hupendi tuachie,mbona umeingia kuzisikikiza na kuangalia? wala huna haja kusema, huna haja hata kuingia huku
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
@@ramadhanmaisa788 jamaa halijitambui kabisaa
@mozakassim9737
@mozakassim9737 2 жыл бұрын
@@aairraahseif5648 Nadhani sio kama hajitambui ila ni habari zinazompa machungu sana. Nahisi hiyo aliyotumia ndio namna yakueleza hisia zake za uchungu. Amekuja kusikiliza kwasababu bado anahitaji kujua ila zinamuumiza. Allah mtukufu atuponyeshe kwa msiba huu mzito, aliruhusu lipite kama yalivyopita mazito mengine. Aamin.
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
@@aairraahseif5648 kabisa aingie channel zingine wakati Title kaiona lkn kafungua hahahaha
WATU 3 WAMEFARIKI DUNIA AJALI YA NDEGE BUKOBA | UOKOAJI UNAENDELEA
3:26
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 7 МЛН
Colorful Pasta Painting for Fun Times! 🍝 🎨
00:29
La La Learn
Рет қаралды 308 МЛН
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 28 МЛН
Online casino’s zetten aan tot overmatig gokken
21:41
Consumentenbond
Рет қаралды 15 М.