The fact that he played the biggest role in the rescue effort amongst the 4 of them but he includes them in everything describes alot May God protect this young man always 🙏🏽 yani hajitaji yeye anahusisha wenzake watatu kwa kila anapoulizwa swali.. ndio wapate kuonekana wote.. this man is a HERO🙌🏽
@kelvinmwenda10132 жыл бұрын
Yes perfect
@lusajokafuko34502 жыл бұрын
Sio mbinafsi
@changanikisesa70212 жыл бұрын
Team working bless him.Ingekuwa mwingine angejitia mimi mimi but very hod boy in every sentence he includes his 3 friends
@billgussy60992 жыл бұрын
He is indeed
@pialashayo45192 жыл бұрын
Kiuhalisia tu ni kuwa angekuwa mwenyewe asingefanikiwa hicho ndo kitu ambacho wameshindwa kukiona
@anordgodibless13612 жыл бұрын
Mimi napenda kukupa hongera sana timu nzima ya uokozi ningependa kushauri Mheshimiwa raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kama ikikupendeza vijana wote hawa wanne wangepewa ajira ya kudumu kawenye jeshi la uokoaji wamefanya kazi nzuri ya kizalendo iliyotukuka Mungu azidi kuwapa moyo wa hivo siku zote za maisha yenu.
@malecellacaezaryj24142 жыл бұрын
Yes, hata kijana Majaliwa anajaribu kueleza kwa kuwaunga mkono timu yake ya watu wanne ya uokoaji. Hongera sana
@johnbernad39902 жыл бұрын
Ni kweli kabisa wangeajiriwa wote hao walio shiriki kuwaokoa
@angelsandemu24642 жыл бұрын
Na hao waliomuokoa huyu kaka apewe motisha ya shukrani jamani.💞Mungu awabariki wote waliosaidia ndgzetu kwakwl
@victorvedasto13632 жыл бұрын
Vijana wote wanne wapewe Ajira mana wameonesha uzarendo wa kweli
@leokamil62842 жыл бұрын
Kweli wapewe
@zuberiismail29722 жыл бұрын
ata me naona itakuwa Jambo zuri zaidi na wenzake Kama sio ajira Basi wapewe hongera ata yakipesa itapendeza zaidi
@fatumaabasi7772 жыл бұрын
Siku zote qadar ndo inafanya kazi, wengine wamehusika ni kma daraja la kumvusha huyu kijana kuifikia rizki yake ila wao nafas yao itakua bado, wakti sahihi na M.mungu, bila shaka atawalipa kwa namn yeyote, hta isiwe leo hta kesho, ila kikubwa tuwapongeze wote kwa kazi nzr ya ushujaa.
@kisetukumbuael18392 жыл бұрын
Mungu akutunze na kukulinda maisha yako yawe heri daima
@silverrichard12112 жыл бұрын
Hawa ndio kati ya watu wachache sana waliobaki duniani wenye mioyo ya huruma kwa binadamu wenzao Mungu akulinde dogo
@Tellaaxis2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2akpIyEnctrhck
@evaristohaule5882 жыл бұрын
Anasema alichojifunza ni Uzalendo, nimelipenda sana hilo kweli alichokifanya huyu kijana na wenzake ni Uzalendo, na anajitahidi sana kusema, " Mimi na wenzangu hawa" huyu kijana Siyo mbinafsi kabisa
@hassanmfaume91752 жыл бұрын
Nikweli kabisa mungu awafanyie wepes vijana hao.
@gaudenciaantony55232 жыл бұрын
Mungu ana makusudi yake kwa huyu kijana ana roho ya kipekee sana
@nevergiveupinlife7532 жыл бұрын
Wakati wengine wanatumia simu zao ku record video wakati watu wanahitaji misaada, lakini huyu kijana alijitolea kuokoa maisha May Almighty God uplift him 🙏
@michaelsumari40642 жыл бұрын
Vijana hongera sana. Nashauri mpewe medali za mashujaa wa taifa na ajira ya kudumu/ kuwezeshwa katika shughuli zenu za uvuvi ikiwa hamtapenda ajira. Ukijitoa kwa wenzako Mungu atafanya baraka maishani mwako.
@wazirmlogi75322 жыл бұрын
Nashangaa anatajwa mmoja tu kwamba ndiye shujaa wakat kwa maelezo tu ya huyiu dogo ganaweka waz kwamba hakuwa peke yake bali walikuwepo na wengine japo ni waz dogo alikuwa mstali wa mbele lkn zawaid ilitakiwa kwenda wa wote
@semenisadiki58422 жыл бұрын
Mungu awabariki vijana hawa kwa mioyo yao yakujitoa .selikali iwafikilie na hawa wenzake walisaidiana nae peke yake asingeweza .wote walirzki maisha yao
@saphinamshana50372 жыл бұрын
Nshauri na wengine wapewe kifuta jasho maana walikua wengi wanasaidia
@dr_ridhiwan2 жыл бұрын
Wakati Mwingine Riziki yako unaweza ipata kwenye Shida bila kujua.... Kwakwel Rizki anayepanga. Ni Mwenyezimungu pekeee. Congratulations Kijana🤝
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Hawa wote wanne wapewe ajira jezi la uokozi wamefanya kazi kama team . Ni aibu kubwa hao rescue team wanaolipwa mishahara kutofanya kitu ina maana Tanzania hamna diving team na oxygen ambao wangewweza kumuokoa huyo rubani, kama kungekuwa na vifaa na ujuzi watu wengi labda leo wangekuwa hai , kweli ni Tanzania ya mavi kunuka Serikali haijali maisha ya wananchi wake
@expert58982 жыл бұрын
Yes ni kweli maana walikuwa wanne
@fatmamsiliwa84852 жыл бұрын
Kweli kabisa
@rosetreffert41792 жыл бұрын
Inashangaza Sana!!!!wengine wanakula mishahara ya bure ,uzembe mkubwa wangeokolewa wengi
@neemaamani1592 жыл бұрын
Kiukweli aovijana walipambana Sana yawapasa wote kupata ajira siommoja tu mana nguvu ilitumika kwa pamoja aise nimemmic Baba magufuli ao wafanyakazi wotee wangetolewa wamesababisha kifo Cha Rubani buree awafai kula atamishahara kabisa wana injoy maisha tu awapo kikazi. Waondolewe tu wajinga.mno.
@expert58982 жыл бұрын
Halafu kumbe bongo Ajira zipo kabisa ila ni mpaka Rais aseme
@lusajokafuko34502 жыл бұрын
Hakika Wewe Majaliwa na Jopo lako la Vijana wengine 3 mliosaidia zoezi la uokoaji WA Awali Kwa hekima yake Mama akiona inafaa na ikimpendeza awakumbuke na hao Vijana wengine 🙏🏾 MUNGU awabariki wote mliojitoa na kuonyesha uzalendo 🙏
@zuberiismail29722 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu na wenzake wasiachwe wapewe pongezi yao maana wamefanya jitihada kubwa Sana wote
@hawakapinga54952 жыл бұрын
kweli kbs wapew wote waliowai mwanzo maan itakua kam ubaguz
@consolatamtweve4952 жыл бұрын
Hongera kwa wote waliotoa msaada wa uokozi. Je wahusika hawafahamu kuwa kiwanja kipo karibu na ziwa na yakuwa walipaswa kuwa na kikosi cha uokozi kwenye ziwa hilo? Zimamoto wa uwanjani hapo walikuwa wapi? Pengine wengi wangeweza kuokolewa. Pole kwa wafiwa wote. MUNGU awalaze NDUGU zetu hao mahalipema peponi, AMEN.
@hannansdeliciousfood42612 жыл бұрын
I agree with u....
@robbynyamriba2512 жыл бұрын
Kwa mazingira ya ajali ile,kwa nchi nyingine asingekufa hata mmoja,ziwa kuwa karibu na uwanja hii ni nzuri zaidi..vinginevyo asingepona hata mmoja na tusingeona hata miili yao
@salomesomola61862 жыл бұрын
Kwa jinsi ndege ilivohangaika hewani tulitegemea wangekua tayari wamejiandaa hapo kuiokoa. Aliyesimama na kipaza sauti kumwambia kijana asivunje kioo kaniwazisha sana. Angeingia aone hali halisi sio kukaa ng'ambo. Mungu akutunze wewe kijana umetupansomo
@rashmaissac4802 жыл бұрын
Ni kweli lakin kwakua Mungu akipanga lake zinatokea sababu tu na sisi hatuwezi pinga, kikubwa kushukuru na kujiandaa tu na safari hii
@edsonfide26702 жыл бұрын
Duuh inauma jamani pole ndg zangu Wana bukoba walio kutwa na ajali hii .Mungu awatangulie mbele.ya.haki
@anicyaedward56052 жыл бұрын
Daaaa umewakilisha wahaya genius na shujaaa mwenye huruma Mungu akusaidie uwe zaid
@mrambadiana96782 жыл бұрын
Kijana mdogo kupambana safi sana..Ana imani nzuri Mung amuingoze
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Na wewe sasa Igarashi toka kwenye mifano mizuri katika mazingira yako ya kazi, nyumba, jamii na wewe nenda ufanye hivo hivyo
@kedmonisangula30692 жыл бұрын
Rais amefanya kitu Cha maana Sana kusema huyu kijana aajiliwe kwenye jeshi la uokoaji
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
@@kedmonisangula3069 Na wewe nenda ukafanye mema hivyo hivyo. Amesema alichojifunza ni uzalendo na wewe kafanya uzalendo huo kila kona ya maisha yako, kazini, mtaani, barabarani, kenye ukoo nk
@mussawaziri11202 жыл бұрын
O
@jamilahjamilah41572 жыл бұрын
Mheshimiawa samia Hawa vijana wachukuweni wote wanne wamefanya kazi zuri
@mwanakhatib58252 жыл бұрын
Na Hawa we make wapewae japo kinua mgongo
@ياسمينسالم-ك8ص2 жыл бұрын
Kweli kabisa ajira wapate wote
@abdijogoo9562 жыл бұрын
YA RABBI 🤲 Wape maisha mema hawa waokoaji
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Amen
@mwanasele79432 жыл бұрын
Amin🙏🙏
@marieconnect63892 жыл бұрын
Ajira si kitu kibaya ila si kila mtu anafanya vizuri kwenye ajira. Watu Wengine ni wazuri zaidi kwenye kujiajiri kibiashara kuliko kuajiriwa. Kila mtu na kipaji chake na mtizamo wake na malengo yake. Huyo kijana anaweza kuwa mfanya biashara mkubwa sana na hata kuajiri wavuvi au vijana wenzake kama atamewezeshwa kimtaji na kiutaalamu zaidi kwenye area yake. Au pengine shule inayohusiana na ujuzi wake ingemfaa zaidi sababu bado ni kijana mdogo.
@dr.mosesstvonline18822 жыл бұрын
Hao jamaaaa wapewee ajira woteee sio mmoja tu wote walijitoaaa
@alexchungu62632 жыл бұрын
Mimi nashangaa, anapewa mmoja
@ياسمينسالم-ك8ص2 жыл бұрын
Si haki
@omarnicesang55072 жыл бұрын
Mungu atawafungulie riziki Kwa namna nyingine maana walijitoa kiukweli
@sophiamirambo96562 жыл бұрын
Kabisa wapewe wote wanne
@halimasaleh57052 жыл бұрын
Kuna clip ya mwanzo kabisa huyu kijana alihojiwa yy km yy na kuna baadhi ya maneno naona km kaambiwa asiongee wakati anataka kuvunja kioo alikatazwa na mtu na kule chini alisema alizama yy mpaka mwisho alimpungia mkono rubani anaondoka
@devaxtz2 жыл бұрын
Pole na hongera sana meja mnyama 💪🏾💪🏾💪🏾
@salemarahbi91712 жыл бұрын
Wangepewa wote ajira maana wote wamepambana na wamemuokoa mwenzao serikali waangalieni na wenzie na haachi kuwataja wenzie..Mungu awabariki sana
@ernestthomas96892 жыл бұрын
Ee Mwenyenzi Mungu uzidi mwinua kijana Majliwa , azidi okoa watu wengi zaidi Kiroho na kimwili . Mungu uzidi tupa zote ujasiri kushiriki katika kusaidia wahitaji na wenye shida mbali mbali , Amina .
@ruthsima81522 жыл бұрын
Hongera na ubarikiwe Saba
@bibieflorence50692 жыл бұрын
Maja Kama Maja,God bless you 🙏
@siphaeldavid2062 жыл бұрын
Atakuja kua mtu mkubwa sn huyu nukuu maneno yangu
@madagascar88732 жыл бұрын
May God bless this young man and the his team abundantly, in Jesus Christ Name. Amen
@Silyvesta2 жыл бұрын
Hongeran Sana Kwa Kaz kubwa na yenye ujasili mkubwa mungu azidi kuwatia nguvu mue na moyo huo huo WA uzalendo
@mayjunemayjune68292 жыл бұрын
😭
@maggiejsy2 жыл бұрын
Apo kwenye kupasua kioo kama vile mmekatisha au ni mimi tu nmeona ivo
@mzalendomzalendo25672 жыл бұрын
HII NI AIBU KUBWA SANA KWA SERIKALI WATU WAMEKUFA KIZEMBE KABISA, HAKUNA HATA SABABU YA NCHI KUWA NA NDEGE KAMA HAKUNA WAOKOWAJI DUNIA NZIMA INAWASHANGAA KWA UZEMBE SASA SI BORA TUTAWALIWE TUU TENA MAISHA YARUDI KUWA MAZURI KAMA ILIVYO KUWA KABLA YA UHURU,
@janembalinga70742 жыл бұрын
unajiskia mwenyewe ndani yako umeandika point
@Maalim_Samatta2 жыл бұрын
Kwani kabla ya uhuru kulikuwa na uzuri upi wa maisha uki compare na maisha ya hivi sasa ambapo mna kila aina ya usafiri na ukiweza kutembea masaa yote utakayo .
@mercykariithi79192 жыл бұрын
Hongara Sana vijana hao kwa uzalendo huo na pia rais Samia ni rais mzuri greetings from Kenya
@obirinaom96112 жыл бұрын
Yaani kama Jina lake Mungu amjalie mema maishani mwake
@sikuzanimwejelo39942 жыл бұрын
Ongera Sana Kaka kwa msaada wako mungu akulinde
@mussaisaac2 жыл бұрын
Hongera sana majaliwa pamoja na wenzako wanne ambao hujaacha kuwataja katika mazungumzo yako kwa maoni yangu serikali pia iwakumbuke hao vijana watatu,kweli ni wazalendo Mungu awatunze muendelee kulitumikia Taifa kwa uaminifu.
@Khadija.pande62 жыл бұрын
Pole sana na mwenyenzi mungu akubarikini
@godilzenilema15362 жыл бұрын
Baraka zake 🙏 kwa mola amjalie
@hamisimajjidi50392 жыл бұрын
Mungu akubariki katika Maisha yako na akupe kizazi chema amina
@charlesnamutesi2 жыл бұрын
Mtoto mdogo kama huyu anamoyo kama wa Marehemu Rais Magufuli . Walicho kifanya ni kitendo cha ujasili wa hali ya juu. Wabarikiwe sana.
@allyfarahani30292 жыл бұрын
Serikali inafaa iwaangalie na hao vijana wengine watatu, maana walikuwa wa 4, tena kuna mwingine aliingia mpaka ndani ya ndege.
@kanoa6452 жыл бұрын
Mi nadhani itapendeza kama wote wanna wakipelekwa kwenye kitengo
@fidesbernard48352 жыл бұрын
@@kanoa645 kabisa walipambana
@rajshaban52912 жыл бұрын
Ukwel ni kwamba hiyo respect wanatakiwa wapewe vijana wote wanne.
@habonimanajanvier82862 жыл бұрын
Nimependa majaliwa aweki wenzake pembeni mungu akulinde💯🇧🇮
@peterpaschal44392 жыл бұрын
Poreni sana mriyo nusirka kwenye hajari ya ndege mungu awape maisha marefu amina
@bongo392 жыл бұрын
Safi sana huo ndio ubinaadamu uzalendo tofauti sehemu zengine za ajali baada ya kuokoa majeruhi wanaanza kuiba na wengine kupiga picha hii tabia iko sana ila hawa vijana 4 kwa kweli mungu ndio atakae walipa kupata vijana wa namna hii kwa generation hii tuliokuwa nayo sasa hivi ni ngumu sana allah atawalipa endeleeni hivyohivyo mama waangalie hawa vijana 4 kuwapeleka sehemu husika ili wapate ujuzi zaidi ❤🇹🇿
@vickydan28692 жыл бұрын
Amina amina amina
@mrsinia30642 жыл бұрын
Saf sana mwanetu hakika ulifanya poa sana mung akujalie maisha marefu zaid
@irenebonface69562 жыл бұрын
Hongela kjana unapojitoa mungu anakubaliki
@hanashhanash5352 жыл бұрын
From Zero to Hero 💯🥂
@madamtemu41672 жыл бұрын
Jamaniii Mama aangalie na hao wanne waliobaki,awape ajira,huyu kijana angekuwa pekeake kwa kweli asingeweza,, Mbarikiwe sn vijana
@aishaabdalla76242 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@sophiamirambo96562 жыл бұрын
Kabisa waangaliwe wote wanne
@bintialiomari91272 жыл бұрын
Allah akueke kijana naakuzidishie rohoo hyo hyo kwakweli yani siamini
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Na wewe nenda ukafanye mema hivyo hivyo. Amesema alichojifunza ni uzalendo na wewe kafanya uzalendo huo kila kona ya maisha yako, kazini, mtaani, barabarani, kenye ukoo nk
@jasperjackson88712 жыл бұрын
Walikua hasa wanne hivyo ningeomba na hao wengine watatu wapewe motishana wasiachwe hivyo na mwenzao ndo kupewa motisha peke yake maana hata maelezo yake anaongea kwa wingi yaani tulikua xo n vema na hao watatu watafutwe❤🙏
@fatma87002 жыл бұрын
Mungu akubarik kijan kwa Kaz mzur
@kondebaba3422 жыл бұрын
You made it 💝💝💝💝🥂💯
@abochejuniorhutingwa2232 жыл бұрын
Safi na tunashukuru kwa kazi nzuri mliyoifanya kuokoa maisha ya wananchi wenzetu
@sadibabis21742 жыл бұрын
Mimi nadhani tuwe na subra maana km walikuwa wa4 haiwezekani ainuliwe mmoja tu! Kwani haiingii akilini eti kisa kaumia ndio athaminiwe,je asingeumia kumbe tusingethamini yeyote hapo. Mtu hulipwa jema km amefanya jema,sio kulipwa jema kisa kaumia kwa kutenda jema.
@jeniferemmanuel42512 жыл бұрын
Jmn naomba hawa wengne wasaidiwe😭😭
@josephinajosephu68592 жыл бұрын
Umeonesha ujasiri mkubwa Sana❤️❤️Maisha yako yakawe heri
@rhodapyuza60532 жыл бұрын
Kijana mwema MUNGU akutunze Kwa KAZI nzuri
@hasinaalrahbi66812 жыл бұрын
Jamani hao vijana wengine mbona hawajuwajali japo kuwashkuru
@asteriambwei33492 жыл бұрын
Tunakuomba rais wetu wape kazi hawa wote wanne chondechonde hadi wameumia wakalanzwa wakijitahidi kuokoa roho za watu hongereni vijana mungu awabariki sana
@emillyzeeh11732 жыл бұрын
God bless this boy 🙏🙏🙏🙏🇪🇺🇩🇪🙋♂️
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Yes yes godis good ubarikiwe kijana mungu akitakakukupa akuletei barua hiyo ilikuasababu yawewe kuonekaniwa
@faustineaghakan81172 жыл бұрын
Shukran Sana Mh.Rais kwa ulichoamua kwa kijana huyu shujaa kumpatia ajira Ila ombi langu Mama Hawa aliosaidizana nao please over please waone kwa jicho la tatu 🙏🙏
@jwdyjwdy70522 жыл бұрын
Mungu aendele kumpea hiyo roho aki🙏🙏🙏👏
@lwitikomusa17122 жыл бұрын
Kwakuwa umeweza kuokoaroho za watu wote naurikuatyr kutarisha ata maisha yako kwajir ya wengne ,, yesu akuzidishie miaka nahata kukubarik hakika huta kufa mungu atazid kukutunza zaidi utakuwa sarama kijama Maisha yako yote
@angeldejoice32022 жыл бұрын
Yaan yesu ndo amzidishie maisha marefu sio mungu ? Wakati dogo mwenyewe anamshukuru mungu , are you okay ?
@lucyconsolata84142 жыл бұрын
Yesu na Mungu ni kitu moja ....hampa tofauti
@angeldejoice32022 жыл бұрын
@@lucyconsolata8414 yesu na mungu sio kitu kimoja, cause yesu kaumbwa na mungu , nakukumbusha tu labda umesahau.
@lucyconsolata84142 жыл бұрын
They work hand in hand
@lucyconsolata84142 жыл бұрын
@@angeldejoice3202 they work hand in hand my friend, sio madharau.
@mgosiwandima34122 жыл бұрын
Daaah, huyu kijana M/mungu azid kumlinda na kumpa moyo zaid wa ujasir alionao, nataman ata nimwone live kiukwer kajitoa sana kimasomaso haikuwa,rais pia anajua sn kujielezea vzr uku akimtanguliza sn mungu, broo ubarikiwe sn
@tsiheriambooka11372 жыл бұрын
This boy is Humble
@fostinniyonkuru2212 жыл бұрын
Mungu akubalik San kaka umeonyesha ushuja🥰
@dennis.m.kinyua59882 жыл бұрын
UZALEDO !!! haha maneno yatazidi kugonga ndani ya akiki yangu. Mapenzi makuvwa kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
wow phenomenal guy god bless you you are really amazing hero keep going much love from Kenya
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Na wewe nenda ukafanye mema hivyo hivyo. Amesema alichojifunza ni uzalendo na wewe kafanya uzalendo huo kila kona ya maisha yako, kazini, mtaani, barabarani, kenye ukoo nk
@gsesa24062 жыл бұрын
Yes he is. Bless you ..Big G for God
@ilenejohn19992 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wote walioshiriki kuwaokoa ndugu zetu na Mungu azilanze roho za marehem mahali pema
@gracejapheth34762 жыл бұрын
Hongereni sana vijana kwa kujitolea kweli huo ni uzalendo Mungu awabariki.
@bettykarume56192 жыл бұрын
Hakika we ni mzalendo halisi Mungu aendelee kukupa moyo huo ulipambana sana mpk kupoteza fahamu Mungu akutunze
@NENOlakochannel.2 жыл бұрын
Good job vijana muwe hivyo maisha yenu yote
@mukandoricecile88812 жыл бұрын
Mwenyezi mungu aendeleye kukulinda umejitowa sana bila kujali hatari ungeweza kukutana nayo marehemu mungu wetu awapokeye huko muendako amen
@mwanatumungenya49782 жыл бұрын
MashaAllah Allah akupe Umri mrefu InshaAllah
@neemapaul63492 жыл бұрын
Mungu azilaze loho za ndugu zetu mahala pema peponi AMINA hili nifunzo kwa selikali wadumishe kikosi cha uokowaji navifaa vya uokozi viwepo mungu awabaliki pia wote walioshiliki uokozi wameokoa maisha ya ndugu zetu wasingekuwepo hao vijana ote tungewapoteza
@MC_Kanjambi2 жыл бұрын
Hongera kaka. Mungu akubariki
@marieconnect63892 жыл бұрын
Hongera sana majaliwa. Na wale wengine nao wasisahaulike jamani walifanya kazi kubwa sana. Mtu mmoja asingeweza pekee yake. Wapewe na wao heshima zao jamani walijitolea kiuzalendo hasa
@stellaseverine81602 жыл бұрын
Mungu Awabariki Wote mliofanya uwokozi🙏
@alifupi78112 жыл бұрын
Umetumia neno fupi tu ila limenitoa chozi baada be y kumjibu muandishi kama ulicho jifunza pale Ni uzalendo... Big up bro mungu atakulipa kw ulicho kifanya binafsi umenigusa sana. We are Tanzanian
@aishaomar96212 жыл бұрын
Mungu akulinde kkngu akupe umri mrefu
@rithersospeterkati33552 жыл бұрын
Asante sana kwa kazi kubwa mliyoifanya. 😁🙏
@mapekhamis38822 жыл бұрын
Nawale wenzie wapewe motisha jamani tunamshukuru kwa upendo na huruma yake mungu amzidshie kuzamia nakuokoa watz wenzie
@maalimjaffar55632 жыл бұрын
Kumpa ajira ya jeshi la uokoaji anastahili,lkn sio jeshi tuu,bali aanzie kwenye angalau nyota moja,,napia hao wenzake waliokua pamoja wote waajiriwe, kiukweli kazi waliyoifanya inafaa iwe kielelezo na kigezo cha shukran za nchi yao kwao,,,"hongera rais Samia kwakuliona na kulithamini hilo.
@consolathambuya22392 жыл бұрын
Dah! Masikini Rubani Mungu Mwenyezi awape pumziko la milele 😭😭🙏🙏
@chachajuma95342 жыл бұрын
Mungu akubariki na akusidishie
@elizabethfatuma90532 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana wa Vijana zetu kwa Kazi nzuri mulifanya Mubarikiwe
@sofitanzanian9552 жыл бұрын
Nahao wenziwe wasaidieni watajisikia vibaya
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Kauli yako inaonyesha uko tayari kuwa wa msaada...hongera wewe na huyo dogo mna moyo wa aina moja, moyo wa uzalendo
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Huyu kijana aisee Mungu ambariki
@aishamaganga53042 жыл бұрын
Mwenyez Mungu awasamehe madhambi yao😭😭🤲🤲🙏🙏
@adamelly87812 жыл бұрын
Mwenyezi ana makusudi kwanini akamfanya azirai asingejjulikanna Wallahyi n yeye ndo chachu cha hao wenzio wengine wanne kujulikana na wavuvi wote kwa ujumla japo serikali haina uwezo wa kusaidia wote. Ila iwafanyie hawa wavuvi kitu n naamini hta wale waliookolewa watauridisha mkono wa shkrani wacha aende jeshi LA uokozi anaeza kua yeye ndo mkombozi wa wavuvi wenzie Mungu ambariki
@latifachilala20152 жыл бұрын
Wamemkataza asiseme kama wamemwambia asipasue ile ya hospital ndio kaongea sahihi
@joyceassey23472 жыл бұрын
Ata we umeona ee,,ashamezeshwa maneno,bt ujumbe umefika
@mishychy5642 жыл бұрын
ATA nmeshangaa cjamsikia akiongelea wale walomwambia asivunje kioo amuache ruban
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Kasema lkn inaonekana wameikata
@odiliamathias54242 жыл бұрын
Hongereni kijana,.. na ndio tujifunze pesa sio Kila kitu jamani tuwathaminiane uliye nacho na asiye nacho wote tujione sawa
@fortunatamarandu29152 жыл бұрын
Kweli kabisa. Sio tukiwakuta kando ya ziwa au Bahari tunawachukulia poa. Haohao ndo wameokoa watu wengi.
@johnbernad39902 жыл бұрын
Kwanza Mungu awabariki sana wote mlio mshiriki kwa uokoaji wa maisha ya watu ushauri wangu kwa serikali msifanye ubaguzi maana kwa maelezo ya mariwa hakuwa peke yake kwenye uokoaji alikuwa na wenzake sasa mimi ushauri wangu ni huu waajiwe wote hao walioshiriki kuokoa maana majariwa hakuwa peke yake
@lorapamboz43072 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Rais wetu kwa kumpa ajila huyo kijana binafsi ningeomba na wengine walioshirikiana nae wapewe ajila pia maana ata yeye anasema akufanya pekee yake walikuwa na wenzake 4.
@gracekimani88342 жыл бұрын
God bless you so much
@lucynyawira69332 жыл бұрын
God bless ...
@erickchitumbi13082 жыл бұрын
Hongera majaliwa.Dunia ya leo watu kama wewe ni 10 kwa 1.vijana tujifunze kupitia huyu mwenzetu.siyo hela kwanza na utu ufuate.
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Na wewe nenda ukafanye mema hivyo hivyo. Amesema alichojifunza ni uzalendo na wewe kafanya uzalendo huo kila kona ya maisha yako, kazini, mtaani, barabarani, kenye ukoo nk
@emilianahyera42362 жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana kwa ulichotenda ni SADAKA ya ukombozi hata kwa kizazi chako.
@leilahasani31182 жыл бұрын
Mungu akubarik Sana kaka
@augustmvungi4922 жыл бұрын
Ongela sana mwanangu mungu akubariki
@millymilly72442 жыл бұрын
You are a HERO🔥🔥🔥
@suleimansultan33332 жыл бұрын
Hongera sana vijana kwa moyo wa ujasir ndege inapo anguka inatisha na hatari lakini vijana wamejitoa lolote na liwe na mwenyezi mungu amewasaidia
@badaral61672 жыл бұрын
Ya allah mjalie uyu kijana umri umlefu na mwisho mwema.
@azizamohamed76922 жыл бұрын
Amiin 🤲
@sulemankhalidislam20882 жыл бұрын
Aminn
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Na wewe nenda ukafanye mema hivyo hivyo. Amesema alichojifunza ni uzalendo na wewe kafanya uzalendo huo kila kona ya maisha yako, kazini, mtaani, barabarani, kenye ukoo nk