Haji Manara anatakiwa awe na mipaka kwa yale maneno anaonyesha dhalau hata kuomba msamaha pasina kupigwa faini na TFF ni kazi bure. Jamani tushabikie team zetu lakini tukumbuke tuko ndani ya Taifa zuri lenye nidhamu na Taifa hili lina mihimili ambayo inalifanya liwe imara. Mhimili mmojawapo ni Jeshi. tuheshimu majeshi yetu tena kwa hofu ya Mungu tusiwe wakuropoka ropoka na kuwavunjia heshima yao.
@halimamwingu44789 күн бұрын
Dhamira njema ipi bana acheni siasa. Amekosea kauli zake chafu. Siku awafokee wajeda wale hawana subira watambomoa hapohapo
@KenedyThabiti11 күн бұрын
Wewe umeongea ubumbavu ilitakiwa upigwe
@EmmanuelNyinyigwa-m1o11 күн бұрын
Huyu jamaa hafai kabisa. Kipndi hiki cha SASA huyu sio Masada tena kwenye michezo. Wakati wake umepita afungiwe maisha
@FaustinaelishaBisake-s7p11 күн бұрын
Utakuja sku moja mageza utatukuta kaka ww ni nimharifu ju ya jeshi hivyo kaa ukijua umeyatimba
@MohamedMtugani11 күн бұрын
Wewe bingwa wa kukashifu wakashifu wanajeshi acha zarau
@ahmedronga758311 күн бұрын
Ipo siku watu wa haki za binaadam watamtetea haji manara… wapo wale mabaka atajichanganya alafu mtashuhudia jambo, mana jamaa kama umaarufu wake unampeleka pabaya
@michaelnehemia493211 күн бұрын
Huna lolote we muhuni tu Kama wahuni wengine
@jumarajab531611 күн бұрын
waandishi uchwara mtu kaomba radhi we unaandika awaangukia magereza
@khalidimzamiru940611 күн бұрын
😂😂😂 kichwa cha habari hakiendani na story millad bhan