PART 1: NONDO AONESHA ALIPOTUPWA, ASIMULIA SAKATA ZIMA LA KUTEKWA "UKISEMA TUTAKUPIGA RISASI"

  Рет қаралды 139,766

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 632
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Ай бұрын
Boda boda popote mlipo Mwenyezi Mungu abariki kazi zenu ,mna msaada sana usiku kwa binadamu yoyote anapopata majanga
@JovianAndrew
@JovianAndrew Ай бұрын
Ila kuna watu wanachukulia bodaboda wote wahuni bila kujua binadamu hatufanan
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Ай бұрын
Hakuna mhuni ,mhuni hawezi kupambana kama bodaboda wanavyopambana​@@JovianAndrew
@Lameck-f5i
@Lameck-f5i Ай бұрын
Amen
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Ай бұрын
Kweli man
@KhairathLwoga
@KhairathLwoga Ай бұрын
Sana, wanakutana na mambo meng sn usiku
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Ай бұрын
Pole sana bro,Mungu ndo aliekuonyesha njia nakukukinga dhidi ya waovu,Kisasi analipa yeye kila anaefanya maovu atalipwa sawasawa na alichopanda
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 29 күн бұрын
Pole sana Nondo keep going Mungu akuponye upesi😭🙏
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 Ай бұрын
CCM na SAMIA mtajibu mbele za Mungu. Mashetani ninyi
@Burange666
@Burange666 28 күн бұрын
Samia ni mshenzi muuwaji.
@rahmaihucha8577
@rahmaihucha8577 Ай бұрын
Pole sana Abdul,,,Mwenyezimungu akusimamie katk njia ya haki Inshaa Allah
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Ай бұрын
Huwez kujiajiri na kufanya kazi ili kupata maendeleo ktk nchi ambayo mfumo wake wa kisiasa hauko vizuri ili mafanikio ya watu yapatikane ni lazma 1- siasa ya nch iwe saf 2- serikali lazma itende hakki kwa raia wake Lazima kama kijana mpambanaji unatakiwa kupiga kelele leo mwenzako kesho n ww! Pole sana kijana mwenzangu
@CopperBelt
@CopperBelt Ай бұрын
Sio kweli
@frankjoely3313
@frankjoely3313 Ай бұрын
Sasa we mjinga unabisha nn​@@CopperBelt
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s Ай бұрын
Kwa staili hoi sijui kama akina Soka wapo hai. Tumuachie Mungu mwenyewe.
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s Ай бұрын
Pole sana kaka Mungu akupe nguvu.maskini akina Deo Soka sijui walikutana na madhira hayo wakazidiwa!!. Mungu tuonyeshe walipo vijana wetu .
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
POLE SANA ABDULI. KUNA SIKU HAYA YATAPITA😢😢😢. WATU WAMETEKWA, WAMEUAWA, WAMEUMIZWA WANAFANYWA VILEMA, KISA KUTETEA UTAWALA WA GIZA😢😢😢
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
Hao bodaboda tunaomba wajitokeze tuwapongeze kwa soda zao👏👏👏
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Hata wasijitokeze manake watapata matatizo
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 24 күн бұрын
​@@kanankirannko6174ndio
@Kissarop
@Kissarop Ай бұрын
Huyo Dada she no one suspect yuko ktk Deal, Pole sana young Men
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w Ай бұрын
May Allah protect you brother take care❤
@AfwilileNisaidie
@AfwilileNisaidie Ай бұрын
Poleni sana dogo nchi imekuwa ngumu sana kwa wanyonge
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Mwanangu siku ya leo 28.12.28 jmosi, MSHUKURU MUNGU kwa kuwa HAI. YOTE WALIYOKUTENDA AMINI TU MUNGU ATAWALIPA, YAWEZA KUCHUKUA MUDA LKN MUNGU HADHIHAKIWI. SHUHUDA ZAKO ZIMEANDIKWA MBINGUNI. YESU ALIZUIA YESU ATARARUA NA KUSHONA. MTEGEMEE MUNGU. INAUMA MAELEZO NANI AJUAYE SIKU YAKE.0H POLE NONDO.😊😊😊
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Kila alo comment utumbo juu ya suala hili MMungu atawaonjesha kuliko yalompata Mwanangu Abdul Nondo Allah atawahukumu mmoja mmoja na huyo dada kama ndie alomtosa mwanangu nasema Alaysa llahu biahkamil hakimin
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 Ай бұрын
Pole Mwenyezmungu atawalipa adhabu kali waovu hao wanaotumwa na madikteta uchwara
@ElihurumaMshangila
@ElihurumaMshangila Ай бұрын
Huyo mdada uliyesafiri naye anajua huo mchezo zaidi ya80%
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p Ай бұрын
Pole sana kaka mungu atawaadhimu hao waliyokufanyia hivyo
@ZumrahIdrissa-j6l
@ZumrahIdrissa-j6l Ай бұрын
Inalilah wainaillah rajighunn pole Sanaa nondo
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ 13 күн бұрын
Jamani stori ya huyu kaka imeniliza sanaaa 😢😢😢mm ndio maana naogopa sanaaa majambazi sasa ilikua nahaja gani ya kumpiga kiasi hicho 😢
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Ай бұрын
Kwahio Mungu kumbe ameona haya basi muyaonapo hayo changamkeni maana ukombozi wenu umekaribia..usiku umeendelea Sana mchana umekaribia
@MariamuHamisi-d6p
@MariamuHamisi-d6p Ай бұрын
Jamani ivi waganga hawapo lingenitokea mimi nikanusulika lazima ningewashushia radi wote walio husika sasa walikwambia usiseme nawewe umesema hawatakurudia pole sana mdogo wangu nenda kigoma wao walikuanza wewe malizia
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o Ай бұрын
Mariamu huyo mganga Yuko wapi wa ukweli
@JosephBalebanga
@JosephBalebanga Ай бұрын
Uo ni Ushirikina mganga mwenyewe anakutegemea wewe hapo sasa(iyo pesa yako) ,Mungu ndie muweza wa yote
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ Ай бұрын
Kaka nondo achana na haya mambo ya siasa watakuuwa kweli shauli yako kuna watu wana roho mbaya hujui tu
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
a wewe hutakufa utaishi milele.
@StanleySewando-nb4xm
@StanleySewando-nb4xm Ай бұрын
Kwa hyo nondo akiacha Siasa ndo hatakufa
@ShabanisafishaShabanisafisha
@ShabanisafishaShabanisafisha Ай бұрын
Hapo ndo Umetoa ushauri Kwa Akili Zako Zote ???
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ Ай бұрын
@ShabanisafishaShabanisafisha 🙏🙏🙏
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila Ай бұрын
​@@StanleySewando-nb4xmwew unavoona changamoto alizopata znatokana na nini km sio siasa,fuatilia maelezo yake namna walivokuwa wanampa maelezo watekaji utagundua CHANGAMOTO ni SIASA ,km kufa kila mtu atakufa lkn unakufaje ndo sili iko hapo lkn kuna mambo ukiyaona yanaweza kuweka rehani maisha yako ni bora kukaa nayo pembeni yaan kuyaacha😢
@Burange666
@Burange666 28 күн бұрын
Waliyopata Msumbiji ndiyo watakayopata Tanzania ipo siku maana Tanzania inatesa na kuwauwa wapinzani kwa manufaa ya tamaa ya uongozi uliojaa damu za watu kwenye roho zao ipo siku mungu ataigeuza Tanzania kichwa chini miguu juu kama msumbiji.
@Iam_fadheel
@Iam_fadheel Ай бұрын
Kama serikali yeyote duniani haitendi haki kwa raia wake taifa hilo litabaki taifa maskini na la kifisadi maisha yote
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
Kaombe wazee wakasome kalbadiri 😢😢😢😢😢
@AzizaSkaliwanda
@AzizaSkaliwanda Ай бұрын
Polee Sana
@kemamatelephine
@kemamatelephine Ай бұрын
HUYO DADA ALIKUWA KACHERO
@storytownTv
@storytownTv Ай бұрын
Wanawake kwa kuuza wanaume Dah..😢
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Ай бұрын
Huyo hajawahi kuingia leba,angekuwa amewahi kuingia leba chango lingemuuma
@NameOmani-x9v
@NameOmani-x9v 29 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲 mungu ni mwema dah nimejikuta nalia Kwa hii stor
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Ай бұрын
Maskini. Pole sana kijana. Ni kwa vile tu kakulia kijijini, anakumbuka vzr ramani ya porini. Binadamu wapo wanyama( kama waliomteka) na wema kabisa(kama waliomsaidia). Binadamu yule yule leo anaweza akawa mzuri kesho akawa mbaya na vice-versa pia
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Ай бұрын
Wewe kaka nakushauri nenda ubarozi wowote unaotaka ukajieleze ukimbie nchi Tanzania ni hatari
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Aende parestina ndiyo kunamfaa
@adiaygo8546
@adiaygo8546 Ай бұрын
Kuna Basha linataka mke ubalozi wa marekani mpaleke😅😅
@maryamtan682
@maryamtan682 Ай бұрын
Kwani uko awatekwi au kuuwawa?
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Ай бұрын
​@@adiaygo8546acha uchawa unahangaika kwenye komenti kutoa maoni yakifala unadhani kila mtu ni muoga ka wewe pumbu za paka wewe na hao unaohisi wanaogopwa
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Ай бұрын
😅😅😅😅​@@adiaygo8546
@Kwarasi
@Kwarasi Ай бұрын
Itabidi tuingie gharama ya kuchanga pesa za kununua GPS za kuweka mwilini kea wanasiasa wote kama ulinzi tosha, maana imekuwa too much
@isimbullaharuna165
@isimbullaharuna165 Ай бұрын
Me ndie nliembeba nkampelek magomen. Kiukwel alikua hatamnik wala huwez kumuamn.. ni ujasir tu ndio uliosabbsh nkambeba.. mikono yake ilikua imevimba yaan utafikili ni miguu ya binadam.. hawez kucmam wala kushika.. muda woot analia..
@isimbullaharuna165
@isimbullaharuna165 Ай бұрын
Wakat nmembeba alikua analalamika muuda woote.. mpka akawa ananikatsha tamaa. Nilipofika maeneo ya samak samak nikawa namuogop nkabidi nimtafte bodaboda mwngne ambebe lakn walikataa. Ikabd nkomae nae. Alitaka nimpelek goba lkn tulipofika moroco akabdrsha maamuz akasema nimpelek magmen usalam lkn nlikua simuamn nkajua huyu anawez kiwa ni mtego tu anataka aniibie bodaboda yng. Lkn mikono yke ilikua imevimb mfano wa miguu.. xkukata tamaa nkmwambia nakupelek magomn lkn naishia stend kwan sitoingia mtaan akakubal lkn tulivofika stend akagom kushuka akaniambia siwez kutmbea wala kuxmma naomb nisogeze mpka kweny ofx ya chama. Nlishuka kweny pkpk na kuilock na kumuacha akiwa kakaa juu ya pkpk ili nkakague mazngra kama kwel kuna ofx ya chama. Nliemd na nkapaona kuna ofx kwel ndio nkampelek na akapokelew na mlinz. Ila kiukwel alikua hatamank
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie rehma zake kwenye kila siku za maisha yako.
@isimbullaharuna165
@isimbullaharuna165 Ай бұрын
@Joe-tr2vk Amin
@AnthonyKavishe-ns1th
@AnthonyKavishe-ns1th Ай бұрын
Ubarikiwe
@davidnikundiwe4431
@davidnikundiwe4431 Ай бұрын
Ubarikiwe
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl Ай бұрын
Baadhi ya Wanawake ni Sumu kali be ware of this viumbe !!😂😂😂
@jckybags
@jckybags 18 күн бұрын
He😂😂😂😂
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Ай бұрын
Duh pole sana mpambanaji wetu hakika ipo siku Mungu atajibu haya maumivu 😢
@IddyNchama
@IddyNchama Ай бұрын
pole sana ndugu mungu bado anapenda uishi duniani kwa hiyo simlizi yako pole kwa mara nyingine daah jaman tzania tumefika kubaya roho ya huruma imetoweka kwa watanzania wenzetu duu
@georgedeo3726
@georgedeo3726 Ай бұрын
Pole sana nduguyetu lakn hakunajambo lililokosamwisho iposku tutakufaote mtekaji na mtekwaji
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 Ай бұрын
Duuh hatari yasikie kwa mwenzio yasikukute😢😢
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Ай бұрын
Waso faamika watafaamika tu mungu atawarudia tu
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Allahumma Aamiin
@Abdulmateleka
@Abdulmateleka Ай бұрын
Pole sana kamanda wetu ila watesaji wote mungu anawaona na hadhabu au maripo yapo hapa hapa duniani kesho kuesabiwa tu.
@preygodbabuu1129
@preygodbabuu1129 Ай бұрын
Pole sana kakaangu
@DavidNdaha
@DavidNdaha Ай бұрын
Basi siku hizi zinafanya kazi na majambazi ukikata tickets 🎟️ tu wanajua ndo Maana wizi na utekaji unapata nguvu
@FrancisNgomaitara
@FrancisNgomaitara 28 күн бұрын
Sasa hao wanaofanya upelelez kwann wasingeenda kituo cha police magufuli wakaanzie uchunguz wa hizo pingu zilizokabidhiwa hapo mana lazima hao jamaa walifuata pingu zao hapo
@emmyTina-m2y
@emmyTina-m2y 24 күн бұрын
Baada ya wewe kukata ticket mapema taarifa zako unaondoka lini, na kwa gari gani na seat ipi, hapo uliletewa game plan kupitia huyo dada. Naimani huyo dada ni mrembo! Pole sana
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
Inasikitisha Inaumiza Sisi raia hatuna nguvu za kijeshi kama hao watekaji
@BMMediatv-r1d
@BMMediatv-r1d Ай бұрын
Mungu akulinde utokapo na uingiapo nondo
@bensongodfrey
@bensongodfrey Ай бұрын
Pole san man mungu ni mwma
@adelinemanongi5999
@adelinemanongi5999 Ай бұрын
Ameen
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Huyo kamanda wa Police anatoaga sana kauli chafu inafikia mahali hata kukubali taarifa Zao inakuwa ngumu😢
@AnithaJoeli
@AnithaJoeli Ай бұрын
Duh Mungu ni Mwema 🙏🏻
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi Ай бұрын
Mungu asante kwa kumlinda baba yetu kaka yetu
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g Ай бұрын
Pole kak angu sema watu awajui adhab ya Allah malip yako utayakut kwa Allah
@saidmadimba6098
@saidmadimba6098 Ай бұрын
Pole sana ndgu yangu nondo
@RehemaZakwani-bf9jw
@RehemaZakwani-bf9jw Ай бұрын
Mungu akulinde sana nondo
@asiamalonji5962
@asiamalonji5962 Ай бұрын
Duh pole sana😢
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Dah nchi ya mama kisimkazi na kazi iendelee
@VictorNyamahanga
@VictorNyamahanga Ай бұрын
Hili ni noma Mungu atusaidie
@richspice-d2l
@richspice-d2l Ай бұрын
😢😢 inahuzunisha sana, taifa aliloliacha Nyerere ndio limekua la kikatili hivi?
@erickkinunda4388
@erickkinunda4388 Ай бұрын
Pole sana kaka Mungu amekulinda kwakweli
@afrikidoonlinetv7600
@afrikidoonlinetv7600 Ай бұрын
Kumbe hata hivyo jamaa ni waoga kama wanajiamini si wangejionyesha wase''e hao.
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp Ай бұрын
Niwatu hao waloumbwa na mungu. Wanatesa wengine ivo kama wao hawafi jamani. Mungu usiwaache kamwe.
@lucimwica647
@lucimwica647 Ай бұрын
Ukiwa na mtu mtesaji hivi,lazima uogope maana fimbo ya Mungu itaipiga familia.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Natokwa na maxhozii
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Ай бұрын
Mmmh! Inaumiza
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Hahaaa ulipanda na " Veronica Ahmad" alikuwa na Kazi maalum ulitoka naye kigoma nyumbani..alitimiza Kazi yake (misheni) akakukabidhi kwenye mikono ya yao akasepa zake
@KassimNgumuo
@KassimNgumuo Ай бұрын
Mungu atakupa pepo baba
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Allahumma Aamiin Allah awashinde na Shari zao mahasidi wakubwa Hasbunallah Waniimal Wakiil
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Allah atawapiga wao kwanza kwani mkono wake unapiga vizuri zaidi kuliko wa binaadam wauwaji wakubwa na roho zao za kikatili
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Ай бұрын
Soka,frenk mbise, na wenzie sijui kama wapo hai😭
@urumtewele9693
@urumtewele9693 29 күн бұрын
Mungu yupo msiogope Mungu atawajibu
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Uovu na uonevu mkubwa sana huo.Kwa jjina la Mungu aliyehai atashughulika na hao watekaji kuanzia January 2025.Mungu hachezewi.
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv Ай бұрын
Mungu akusaidie
@aghamedia
@aghamedia Ай бұрын
😢😢😢😢my country people
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Pole xnaaaa aisee
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Ай бұрын
Pole sana Ndugu...Mungu ndo kila kitu...shukuru Mungu Unauhai .
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 24 күн бұрын
Mungu apewe sifa😢
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Ай бұрын
Dada hausiki kwa maelezo yako maana we ndo ulomwambia umtoe nje ye alkuwa amgoja mwenyeji wake ndani kama ana husika ye ndo angesema nisindike hadi nje
@madinajamada9180
@madinajamada9180 Ай бұрын
Hapa mm sipati jibu jamani
@Haleema-dg5bo
@Haleema-dg5bo Ай бұрын
Duuuh pole sana 😢
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Maana Yuko kimnya Allah atamuuliza siku ya hesabu na ajifanye hayaoni
@JustinKijangwa
@JustinKijangwa Ай бұрын
Watekaji hawa watakufa wakiongea
@aronathanas4997
@aronathanas4997 Ай бұрын
Nondo kuwa makini na mazungumzo yako 29 Dec ilikuwa imefika kweli? All in all pole kwa changamoto zote zilizokupata.
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Ай бұрын
Huyo demu ndo alimuuza mshikaji tujiepusha na tamaa za wanawake tusiowajua watatumaliza
@DullyTz-z4w
@DullyTz-z4w Ай бұрын
Uyu Jamaa watamludia. MUNGU mlinde
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey Ай бұрын
kilaunachokifanya unayfanyiyanafsiyako yukowa jp.alidhamiliya kumtaguliza .lisumungu.akamlonfa..akamchukuwayeye
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge Ай бұрын
Ndugu yngu nkushauri tu rudi shule ndio uje ukomment, unatesa wasoma comments
@annamsuluja228
@annamsuluja228 Ай бұрын
Ukute huyo dada uliyekuwa umekaa nae ndo alikuwa anawacholeshea mchongo, najaribu tuu kufikilia lakini😌 watu wamekuwa wanyama. Mwenyezi Mungu atuepushe na watu waovu😢😢😢
@JastinLeskar
@JastinLeskar Ай бұрын
AMEN 🙏
@MasterTulo
@MasterTulo Ай бұрын
Wanawake ni nyoka
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Tena aibu mwanamke kuwa nyoka Allah amshinde na shari yake
@AnnaMgala-n6g
@AnnaMgala-n6g Ай бұрын
Duh pole kaka uyo mdada ndoalikucho kwa ao watu itakua ila mungu yupo na ww adi saiv unapumua
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Ай бұрын
Looo hasbia llahu majasusi wote tanzania
@AhmedAbdallah-y6q
@AhmedAbdallah-y6q Ай бұрын
Hii CCM ni serekalii ya MAGAIDII hafaii ila ALLAH ONE DAY ATAIPINDUWAAA
@veronicamoringe2210
@veronicamoringe2210 Ай бұрын
Pole Sana, Umeteseka tangu uko Shuo, ila Mwenye Haki hawezi achwa na Mungu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Huku duniani Kuna watu wataanza kuungua motor wa jehenam
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Ай бұрын
Tamaa ya madaraka ni mbaya sana samia atalipwa tuu na MUNGU
@KhalfanKiko
@KhalfanKiko Ай бұрын
Pole sana kaka tawakal kwa allah yy nd hakimu wa yote
@benny4345
@benny4345 Ай бұрын
I have the feelings kwamba yule binti ndo alimuuza!
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
Hao hao mapolisi wamefuta namba yake. Huyo mdada ndo alikuwa anawaconnect
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Eti natoka kigoma naenda Dar nakaa siku 2 halafu nitaenda Arusha utalii mwingine huu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Ай бұрын
Pole ndugu yangu
@AnimationTanganyikacgi
@AnimationTanganyikacgi Ай бұрын
asante mungu kwakuwa kifo hakina utani kwakila jeuri
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Ай бұрын
Aisee nchi yako mwenyewe unaishi kwa mateso na waswas bado unapanua domo ccm mbele mbele pole kijana mzalando mungu akuponye
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
Kwan CCM ndio imemteka au unachuki tu na Cham cha mapinduz CCM ndio imekukuza wew mpaka leo upo na Aman CCM oyeeeeee mbel kwa mbeli
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p Ай бұрын
Ndio hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele, kwani umeambiwa ametekwa na ccm,
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b Ай бұрын
Hawa jamaa wa chini wanaosena ccm haihusiki ni mijitu mijinga ,kwani ccm si ndio wanaongoza nchi,hao ndio wanaoiba uchaguzi ,viongozi wengine. Wanatamka kwenye majukwaa wakipotea musiwatafute na wao ndiio chinja chinja,,na wao ndio wanaoingia madarakani kwa nguvu za dola
@susananyasani6526
@susananyasani6526 Ай бұрын
Maskini pole sana Mwananchi mwenzetu Mungu amekulinda siku ya kutegwa Dunia ya Leo inamaadui na maofu yasiyokuwa ya haki
@kondohashim885
@kondohashim885 Ай бұрын
Dah, kishaacha siana anaanza kukariri maneno ya mungu! Hii inchi inalindwa sana famasihara nn😂😂😂
@AlexPetro-z1e
@AlexPetro-z1e Ай бұрын
We seek for freedom of free man and construction of the world
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Ай бұрын
Pole sana mungu atakulipia yote😢
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 221 М.
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 422 М.