Uyu dada muulizaji napendaga sana kufata interview zake kwasababu amejuwa kazi kabisa ❤
@VitalBalemba Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ unapendeza dadangu
@ZaharaniAlmahadi Жыл бұрын
Semeni ukweli
@Ramadhan6115 Жыл бұрын
@@ZaharaniAlmahadi ndo hukweli huyo
@mohamedsheealom8745 Жыл бұрын
Anakuwa mzuri sababu anapeana mda wa muulizwaji ajibu alichouliza ila kuna wanahabari wanauliza hadi wanakera mic🎤 kwa muulizwaji sekunde mara sekunde kwake hadi anaeulizwa anakereka huyu anauliza maswali ya maana na anapeana mda...sio ile wewe unakula eenh nakula ww unapenda eenh napenda wewe unaenda choo eenh na..wewe unapiga luku eenh napi..wewe una yani hata hajamaliza unauliza😂
@OmarNyota Жыл бұрын
Safi sana ndugu yetu Stivu kwa kujilinda na uchafu wazinaa hivyo ndivyo inavyotakiwa tuwe mpaka utakapooa achana na hayo maneno yawazinifu wao wanaita eti mahusiano washenzi hao wanamuasi Mwenyez Mungu. Mwenyez mungu amekataza uzinifu tusizini mpaka tutakapooa
@alfredkasololo5242 Жыл бұрын
Dada Kidoti anaweza na unzuri yake pamoja na hekima yake anapozungumuza anaweza akawa Mama wa Taifa🙏💟🇨🇩
@aflahabdula4084 Жыл бұрын
Hakta mzuri mashaallah nakupenda unavaa vizuri lakini usiengezeke baada ya hapo au ikiwezekena jipunguze kidogo love you ❤
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
Dada ni mzuri hafu yuko smart kichwani, (huyu ndio kipenzi cha waoaji sasa) alie mchumbia atakula mema ya nchi, kanivutia sana infact namtaka kama huyu👏👏👏👏👏
@OscarDzombo Жыл бұрын
Wallah tena mwenye aliwahi huyu binti alibahatika sana ,urembo, imani yaan kila kitu yupo vizur
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
@@OscarDzombo Yaani wazungu wanaita beauty with brain, yaani she is just perfect fit kua mke. Anajielewa, anajua kujielezea, ana maono hafu sio mkurupukaji kujibu, ni mzuri hafu hajioni/kunata... Shida wadada kama hawa sisi tuliotulia hatuwezi pata unakuta umekutana na senior bandit daaah kulanina😳😳😳😂😂😂🤣🙌🙌🙌
@OscarDzombo Жыл бұрын
@@KiongoziMwandamizi eti senior bandit 😄 🤣 alafu utapata jamaa mtto mzur kma huyo tena hatoshek yuaenda kuchepuka na kinyanya yaan hta sijui nini hua inatusumbua wanaume cjui ni tamaa ama kurogwa
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
@@OscarDzombo Tamaa za fisi tu sasa mtoto cute km huyo nikachepuke hafu upwiru wake atoe nani, its unfair kumcheat mwanamke kama huyu. Mi nikipata km huyu watu watahisi kanipa limbwata coz nitampa muda wote baada ya kutoka kutafuta vijisent Sema kuna wale visirani ukichelewa rudi ulikua kwa mwanamke mwingine ukiwahi vp leo hujapitia inakera, kwakifupi mi home boy sana sinaga muda wa kuzurura kwahio itakua km mapacha😂😂😂😳😳🤣🤣🙌🙌👏
@selemanmaganga-le4zg Жыл бұрын
Alafu anajistili saana, sijawai kumwona akiwa kichwa ata akiwa anaigiza
@BenemuluBillyado-ji4ze Жыл бұрын
Huyu mlembo nambali sana kwani Siku hizi mbona simonie kwa Steve 🇧🇮🇰🇪👍👏👏
@christaoman8890 Жыл бұрын
Yupo anaendelea na Steve
@chantalharakandi2576 Жыл бұрын
Masha Allah alhamndulillah mzuri uyu dada alafu anakili sana
@DjShalom-uw6sk3 ай бұрын
Uyu dada kipenzi changu namkubali sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Kama watu wengine wanavoamini ukipanda ndege tu kwenda nje kutafta maisha ushakuwa milioniya
@YunusBakar-lf3bi Жыл бұрын
Nakupend san ❤ ww hajra❤
@Mpe12339 Жыл бұрын
Unasema kweli dada asante ni M-pesa kutoka RD Congo lubumbashi 🇨🇩
@PaskaliCharles-pz8ds Жыл бұрын
Hajra nampenda Sana kumbe upo kwenye mahusiano
@ChenchiKing Жыл бұрын
Nimekubal Xan Mdad Kasema Ukweli Mtupu🎉🎉🎉
@NzabiFaustingabo12hb Жыл бұрын
Nashukuru Sana kwa interview Yako dada, Ila sijuwe kama naweza Pata numba yauyo dada nimupongeze , namkubali Sana, nawefwata toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@silassimwamusa4171 Жыл бұрын
Mimi natoka Kenya jamani huyo Dada ambaye anamuhoji hajira Aki nampenda sana angalau anipe namba ya simu
@shukranikasereka716 Жыл бұрын
Nasi pia tunakupenda sana 👈🇨🇩👈
@kevy254 Жыл бұрын
Hajira kwn aliendaga wapi simeuoni for long 😊
@zulachama1067 Жыл бұрын
Ukiwa mzoefu na kazi huipendayo kila kitu ua chepesi kwa kweli huyu mdada anajua kuinterview watu,na hajra umependeza kwa kweli waaah❤❤❤😢.jameni andikeni jina la hajra vizuri acheni kuliandika vibaya.hajira ni malipo ya kazi fulani hulofanya,na hajra ndio jina la mtu.2 thiings remember.
@ZulfaJuma-qi9kv Жыл бұрын
Y😂😢😮😮😅😅😅
@rodgersmwagu239 Жыл бұрын
Uyu dad nampendaga laaans
@WakusiziboyBarakaGodfrey Жыл бұрын
I love you kidot juu ameongea true
@kennedyoloo82592 ай бұрын
Ninamtaka,nishaampenda❤️❤️Niko Kenya..🎉
@JonathanKibandja Жыл бұрын
Wewe uolewe naye ❤❤
@BonithNimpagaritse Жыл бұрын
Nakupenda bule hajra kidoti❤
@JosephuPatrick9410 ай бұрын
Yuko good sana❤
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Nampenda huyu dada ni mkweri halafu Hana mambo mengi
@lordenoughforme4417 Жыл бұрын
Nampenda uyu dem.mm ni arab from dubai.nitapata wapi no yake Hajra.
@dubabaxakatv2993 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Arab wa huko wanapenda wazungu ww labda mkenya. ...wewe wataka kumcon tupu yke tu....tunawajua nyinyi
Huyu steve ataoa nani clam vevo ataoa amwache hapo 😂😂😂😂😂
@jamalibaruti7126 Жыл бұрын
Sister wa mbengo TV namkubali kazi yake big up
@mwajumakweli Жыл бұрын
Haji Manala sijui ajamuonae Uyu Hajila
@Mary_sup Жыл бұрын
Hajra kweli mzuri,tupe siri anakula nini manaake kila kukija azidi kunawiri, boyfriend yake anafaidi
@JamesKhisa-yl2br Жыл бұрын
Wee 🎉 baby girl mm hua nakupenda tu sana walai nipee nafasi mama kwakweli nakupenda na nitakutekesa Kama mwanamke na nidakulea kaa mke wangu kipenz changu ja roo
@Jay_reelx Жыл бұрын
MTANGAZJ sikuiz unapiga make up ushapata jiko au ndo unaji promote 🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@SabrinaWiliam Жыл бұрын
Kidoti mzuri pia yupo na khekima mpka Raha♥️♥️🥰
@ramadhanabdul229711 ай бұрын
Mimi nipo tayari kumuoa kidoti nampenda sanaaaa
@hafidhali4336 Жыл бұрын
Mimi ndo bwana wake uyo mke wangu mtarajiwa uyo
@BushurJoel-t4f Жыл бұрын
aka ka dada nakapendaga jaman tangazaji aka ka Reina natamani nione naye cku2
@MsabaaMwenebokyo Жыл бұрын
Hajira na Steve wamemuch sn mimi nilikua naomba hajira aolewe na steve please✅
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
Nakupenda cn hajra❤❤❤
@Njunwa-DK Жыл бұрын
Line nakupendaaaa saan unakitu🎉🎉🎉
@GabrielSadiki-t8f3 ай бұрын
Je vous en courage mes frères et sœurs un jour je serais là
@AmooTena Жыл бұрын
Kweli kabisa
@stevensosipita Жыл бұрын
MIMI KATIKA MAISHA YANGU SIWEZI OWA MSANII KAZI YAWO UMALAYA KUZINI ETI MAHUSIANO NAWASHAURI MUOLEWE ACHENI UPUMBAVU HONGERA STEVE
@benedictinelusambo069 Жыл бұрын
Kijana anatafuta pesa mapenzi yanachanganya sana
@AdrienMathayoadrison9 ай бұрын
Asante sana ila mwanamke msaniii atari kbs
@RobertChacha-hb9re Жыл бұрын
Huyu demu namkubali huyu❤❤❤
@VictorBugobola Жыл бұрын
amlipua😂mbn sion mabomu Steve nmwanaume wa dar
@mancargo_99 Жыл бұрын
Hajira natamani nikuone ukifanya kazi na steve tena....
@elikanaernesti8440 Жыл бұрын
Stev tumuombee na yeye tumuombee saa ukijumlisha hapo unapata jibu
@jameskenny1808 Жыл бұрын
Kazi nzuri ila tuna itaji contact yenu MBENGO TV
@kassimukipingu7917 Жыл бұрын
Wewe ndio weefy acha kujificha
@abdulhajiahmed8735 Жыл бұрын
Salaam zangu kwa Hajira Mwalimu
@TegemtataChambanenje Жыл бұрын
Steve unawewaka wafanyakaziwako matatani kaka but sio mbaya tuna kukubali kak
@khamisali5978 Жыл бұрын
Steve mwenywe anasemaje😅😅😅
@josekioko39602 ай бұрын
Najua kidoti we mali ya steve..napendaga sana ukuwe wife wa stive mweusi.
@salamsabdullah-st9pt11 ай бұрын
Wow Dada mzuri huyu
@congratulationmayunga3833 Жыл бұрын
Muoane wenyewe kwa wenyewe msiwe na limitations mfano Steve akikuoa hajiraaa kazi itaendelea vizuri kuliko uolewe na Mimi Sanaa lazima uacheeee😂
@SamMalaxy-gf2xn Жыл бұрын
Yes
@MELOPHILEBOY-oj8uy11 ай бұрын
Steve owa
@hamisisalim Жыл бұрын
Kidoti MashaAllah uko vizuri
@EvansNeavy-xv3tv Жыл бұрын
Shida ya watanzania ni mdomo Kenya tuko bele kuwaliko
@fatmamusa2757 Жыл бұрын
Wenawe pumba kumetajwa mkenya hpo ama wanaongea mambo Yao ujinga Tu ndo uko nao
Steve bado anambo yakitoto sana hawez kuwaza kuoa 😅
@DaudAshery-ie2pf Жыл бұрын
Ana mambo ya kitoto ndo style yake ya kutafta ridhik
@alfredkasololo5242 Жыл бұрын
Na sisi mpia kutoko CongoRDC tunakufata, dada Hadjira. Na sema kama tunakupenda vile vile. Ila Nakuomba utujulishe ao utuonyeshe yule aliyo chukuwa roho yako ya mapenzi. Ili tumuite shemeki. Sababu ya unzuri wako, atalipa mail Tanzania na Congo kwa sisi wenye. .
@FarhatSuleiman Жыл бұрын
Hajra kapendeza jmn
@DanielOkisai-i1n Жыл бұрын
Dada kazi poa
@Ramyyosy Жыл бұрын
Hajira mmmmhh sawa nimekupata
@RAJVIA-u5x Жыл бұрын
Uyo wacha hakupali kuorewa na steve mweusi Uyo wanaendana na steve 😊
@EmmanuelLupoja5 ай бұрын
Mzuri sawa ila kuolewa sasa
@michaelkitundu148910 ай бұрын
Naomba connection mrembo huyo.
@MagidaFafa Жыл бұрын
Alafu kizuri bala
@HarrisonKatana-yv7ee7 ай бұрын
Aiii mbna hajira hatukuoni tna kw Steve n nn mbya
@EreukaErasto3 ай бұрын
Hajira ana pendeza sana
@Liliana-mc2su Жыл бұрын
😁😁😁stev kavurugwa antk pesa
@DaudAshery-ie2pf Жыл бұрын
True
@JosephOsanya-ik7bk Жыл бұрын
Niko kenya huyo demu ni mali safi bana
@caissemalatinho252 Жыл бұрын
Uyu dada mtangazaji anapendeza sana akiva mwanaume, lakini kwa leo huuuuuuuuu
@JoseMdam-d9c Жыл бұрын
Stive sakapesa
@EnosBruno23 күн бұрын
Can l get contact for that Lady please she is very beautiful
@festobabely7444 Жыл бұрын
Hongereni
@HabibaBb-d3s6 ай бұрын
Mashallah❤❤❤❤😂
@rodgersmwagu239 Жыл бұрын
Ata akisema nimuoe leo nipo tayari,😂😂
@DaudAshery-ie2pf Жыл бұрын
Mhhh unamjua
@ZulfaJuma-qi9kv Жыл бұрын
Set timer
@AdabetErenest Жыл бұрын
Ft
@AmiriMtae18 күн бұрын
Oya
@bobboris4859 Жыл бұрын
Tivu wetevu mwingi demu hujawaonyesha nyumban kwa Familia