HAKI YA MAANDAMANO OLENGURUMWA (THRDC )ASHUSHA NONDO AWATAHADHARISHA POLISI.

  Рет қаралды 16,974

SAUT DIGITAL

SAUT DIGITAL

Күн бұрын

#SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates

Пікірлер: 65
@SamweliZaburi-fk3qj
@SamweliZaburi-fk3qj Ай бұрын
Mungu akubariki
@TzTimes
@TzTimes Ай бұрын
Asante wakili kwa maelezo na elimu nzuri.
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Ай бұрын
Tunasihii damu isimwagike na atakae mwaga damu.apelekwe the Hague....sharp.
@SubiranTimo
@SubiranTimo Ай бұрын
Amina ubarikiwe
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r Ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri.Ila Chatu wa kijani hapendi hii elimu tuipate na tuijue,kwani tukijitambua ulaji wao kupitia kutunyonya.
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku Ай бұрын
Ongera sana ndugu umeongea vizur
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840 Ай бұрын
Hongera sana umeeleza vizur serikal yetu ingefata kanuni hizi 🇹🇿 ingekuwa kitovu cha democrasia
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Ahsante sana Ngurumo, Chadema wanataka watu wao
@faridisalehe4302
@faridisalehe4302 Ай бұрын
Good kwa mselezo yenye hekima na busara pia yenye kujali haki utu na maono yenye afya sana ahsante sana.
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t Ай бұрын
Nimekuelewa vzr kiongozi wangu
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Ай бұрын
umeongea vizurisana mku
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od Ай бұрын
Uko vzr mweheshimiwa
@StanslausMashamba
@StanslausMashamba Ай бұрын
Point!
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Ай бұрын
Watanzania wengi hawaelewi maana ya neno Maandamano kikatiba😮
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Baba umeongea vizuri baba tutajua tu kesho dunia itakuwa tu
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Ай бұрын
Nadhani walionyesha sahihi. Walionyesha mfano halisi jinsi ambavyo ck zote wanavunja sheria kwa kuumiza watu wanaoandamana kwa amani.
@EmanuerKalori
@EmanuerKalori Ай бұрын
Watakao Andaman siyo chadema tu, mimi ccm lakin nimejiandaa kuandamana
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Ай бұрын
Safi sana, wewe ni Mtanzania halisi.
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Ай бұрын
Kama mm pia Sina hata chama lakin naunga mkono wananchi kuandamana Ili wasikilizwe
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Uko sahihi CHADEMA ni waandaaji tu waandamanaji wako wengi mambo hayako sawa.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Ай бұрын
Mimi nna mashaka kama viongozi wanajua maana ya maamdamano
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 Ай бұрын
Yani watu hawa Kiukweli du niwachache sana ktk viongozi wa Tanzania
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp Ай бұрын
Asante
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Police popote mlipo asubuhi tunajambo letu , kumbe sheria inaruhusu
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Ай бұрын
Kabisa
@SubiranTimo
@SubiranTimo Ай бұрын
Wameacha kutafuta watekaji na wale chinjachinja na wale wanaenda mapolinimkuu wa wilaya
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 Ай бұрын
hio imeenda
@patrickmassawe2864
@patrickmassawe2864 Ай бұрын
Raisi samia anaitaja katiba naamini hajawai kuisoma
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat Ай бұрын
Katiba ya jamhuri ya muungano unaruhusu wananchi kukusantika na kuandamana kufikisha ujumbe pale ambapo njia ya diplomasia umeshindikana au kupuuzwa.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
UMEONGEA VIZURI SANA KIONGOZI
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian Ай бұрын
🎉❤
@LeonardKasambala-we6gv
@LeonardKasambala-we6gv Ай бұрын
Sahihi mkuu
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Tanzania polisi fuateni katiba mtavuruga nchi hii
@FredyMbughi-o5y
@FredyMbughi-o5y Ай бұрын
Sheria tunazisomaje wengine kinyumenyyme pengine tusaidien
@MartineJoseph-u6i
@MartineJoseph-u6i Ай бұрын
Ubarikiwe mpenda haki
@EmmanuelErnest-xd1rc
@EmmanuelErnest-xd1rc Ай бұрын
Pointi
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Ай бұрын
ASANTE SANA OLENGURUMWA....KUNA HAJA YA KUMPELEKA IGP NA DCI MAHAKAMANI NA MAAFISA WOTE WANAOTOA MATAMKO YA KUTISHA NA KUZUIA MAANDAMANO YA AMANI.
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Ай бұрын
Viongozi wa CCM wanawajuwa wauwaji ila wako kimya kwa nini na kwa faida ya nani hasa.?
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Wajishike wenyewe?!! Thubutu
@Mosmwampa
@Mosmwampa Ай бұрын
Polisi ccm
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Polisi apa kesho mtaaribu kaeni tu pembeni dunia Iko Tanzania tumieni busara kubwa hacheni kufuata maelekezo Kwa wanasiasa au ccm
@JohnIsaya-e5f
@JohnIsaya-e5f Ай бұрын
umeongea vizuli unafa Kwa lais
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Ай бұрын
Ahsante sana, binafsi nilikuwa sifahamu tafsiri ya maandamano, nimepata elimu. Mungu akubariki sana..❤️❤️👍...sasa swali langu ni kwa nini kuna kundi la watu likisikia maandamano halipati usingizi shida iko wapi..!!???
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi Ай бұрын
Hao ni madicteta uchwara
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Hawezi kukaa meza moja na wenye mikia bwana
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl Ай бұрын
Katika sura ya kawaida hakuna mahali duniani unaweza kupewa ruhusa ya maandamano ya ya kudai haki na spandex unaonyima
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Polisi ya nchi hii sijuhi kozi Yao wanachukua wapi afuganistani au
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 Ай бұрын
POLISI NA WAKUU WAO WANAOWAAGIZA KUZUIA MAANDAMANO WANAVUNJA SHERIA. RAISI SAMIA. ARUHUSU MAANDAMANO KOTE TANZANIA NA POLISI WAWE WALINZI WA WAANDAMANAJI NA MALI ZA WATU.
@EmanuerKalori
@EmanuerKalori Ай бұрын
Tatizo askari wetu wote ni ccm tupu hiyo ndo shida
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Ай бұрын
Olengurumwa umeongea kwa hekima sana ila kiukweli serikali ya sisisem imekua na kiburi sana angalia mafuta yanayotumika kutembeza magari ya polisi Dar ni uharibifu wa kodi zetu huo ni ubabe wa kijinga
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 Ай бұрын
Shida CCM na polis wao haki wanazijua ila wanavunja
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w Ай бұрын
Tuone panapovuja sasa watu wameamka
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Ай бұрын
Na tumeaka haswa hatutaki ujinga.
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu Ай бұрын
Hiyo imeeenda
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Ай бұрын
MH! RAIS NAHISI KUNA BAATHI YA WASHAUR ULIONAO KARIBU SIO WEMA ALIE ANDIKA HOTUBA ULIOWASOMEA WALINZI NIKAMA MMO JAWAPO KWA KAULI ZILE WALLAHI WEWE HAUPO VILE! WEWE NI MSTAARABU MNNO!! HUNAGA UBAYA NA MTU DADAANGU! INSHALLAH WATAONA UNAVUKA SALAMA!!
@rejobu9723
@rejobu9723 Ай бұрын
Napingana na wewe huyu mama anakibri cha madaraka kwa kuamini wanao mzunguka ni maraika kumbe ndio chui wanao mralua pasipo yeye kujua kimsingi mama anapenda kusifiwa hivyo wapo viongozi wengi hawapendi mwenendo wake ndio maana wengi wao wanafanya bora liende nakimsi mama hatufai anaongoza nchi kwa mihemuko
@evaemil856
@evaemil856 Ай бұрын
Mama wa kambo mwenye roho ya ukatili na roho mbaya ndiyo huyo.
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Ай бұрын
Endapo sirikali ya fisiem itauwa raia wanaotumia haki yao ya kikatiba ya kufanya maandamano hayo, mtachukuwa hatua gani
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Chadema have right protesting in Tanzania for sending messages complain about they are political figure deeth to ccm leadership police control by ccm leadership to bring more police in daresalama if ccm will block chadema will be iligle considering tanzania constuetion Incas police do so this was explanation from tanzania umanrity explanation question by kiswahili lntanationol midia
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Well said
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Ай бұрын
Tena uzuri ni maandamano ya kujiandaa., Maana yake hayana madhara yoyote.
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 Ай бұрын
Leo nimeona mapolisi wengi barabarani kisa Mandamano ya Chadema
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Ай бұрын
HAPO MA- BBC CNN VOA! YAPO yanasuburi afe MTU wajaze fitina hegi ipate kazi😢
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Wanaacha kutafuta wakati na watekaji
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 82 МЛН
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 52 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 23 МЛН
Rais William Ruto ameongoza kikao ikulu ya Nairobi
1:50
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 102 М.
Breaking: Ruto attempts to arrest Gachagua
8:42
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 7 М.
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 82 МЛН