Brother Ndacha Hongeren sana M Layson Mwakajila from Tanzania hakika Mungu n mwema Sana kufikia hatua hii wanakimbia Hakika Yesu Mungu wetu ni mwema sana
@mjombawallace496618 күн бұрын
Huku uganda tunataka kanisa watumishi wa mungu ;ndio mimi siwezi join wa Sabbato wa General conference no i want to be mwana matengenezo pia 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@khomeshapaul547018 күн бұрын
Amina, Mungu akutie nguvu katika maamuzi hayo.
@pascalkalama17 күн бұрын
@@JameM-l1umbona unahasira juu amesema hawez jiunga na wasabato wa gc. Hio imebadilisha imani
@AareMjungu17 күн бұрын
hajasema kalazimishwa@@JameM-l1u
@evansmsangi586413 күн бұрын
Mungu azidi kuwapa nguvu na uiamra katika kusema ukweli🙏🙏🙏
@franciscomtambakuluca283018 күн бұрын
Ndacha ni kiboko ❤❤❤
@funakoshtadash616318 күн бұрын
Karibu Mwl Ndacha na Massawe Bwana awe nanyi kwa kila hatua
@LaughKey-f8x17 күн бұрын
Masawe inakaa n Mwalimu mzuri pia ju amekaa na Mwalimu Ndacha for long tunatamani kumuona nayye akuje Kenya pia tumuone akiandamana na Mwalimu Ndacha huku Kenya pia
@dominicnyangweso477918 күн бұрын
Ni kweli hakuna mwislamu atajibu hoja ya mkiristo
@ulimwengumaulid739718 күн бұрын
@@dominicnyangweso4779 wew huwezi jibu hoja katika bibilia yako, mfano niambie Kaini alioa mke alimtoa wapi???
@Alexfadhili640418 күн бұрын
@@ulimwengumaulid7397Aliowa dada yake.
@pascalkalama17 күн бұрын
@@ulimwengumaulid7397hii ni hoja ya kitoto. Kama unajiamini omba debate alafu ulete hiyo hoja.
@wickymbugunde929816 күн бұрын
Mwl Ndacha. Wakristo ni wafuasi wa Kristo lkn ukweli ni kwamba Yesu Kristo ni Mfalme na Wana wa Mfalme ni wafalme na malikia. Sasa Kuna tofauti kubwa Kati ya wafuasi wa Kristo na Wana wa Kristo. Sisi sio Wakristo Bali ni watoto wa Kristo. Kwh ni makosa wewe uliyemwamini Yesu kuwa Bwana na Muokozi wako kujiita wewe ni mkristo Bali ujiite ni mwana WA Kristo au mwana WA mfalme
Mwaipopo hamuwezi ndacha, MPAKA ameingia mitini. Amedanganya KUWA anahudhuru, kwanini asimuweke mwenzake?
@Austinemarko17 күн бұрын
Mm ninauhakika hakuna muislam anauwezo wa kuvunja hoja za ndacha hkuna. yani vile ndacha alimlima shafii bila jembe.
@CharlesMakuri-j1r5 күн бұрын
Kazi anyone ifanya huyu ina ibeba kazi walizo zifanya akina Paulo na sira,petro,yohane na wanafunzi wrote was yesu,Ndacha endelea kufanya utafiti utengeneze kitabu hataukifa engine waendele maana huko dunia tuelekeako kutakuwa na upotoshaji wa hali ya juu sana
@McharoMshana-x6p18 күн бұрын
Mwalimu nimefwatilia mafundisho yako hawatakuweza dini ya majini hio
@AareMjungu17 күн бұрын
uenda kazuiwa na wenye dini yao ili asije aibisha Dini
@billmike844117 күн бұрын
Mwaipopo hana akili ya kujibizana na wewe katika hoja
@ulimwengumaulid739718 күн бұрын
Kwa hiyo Bwana Ndacha unasema ukiristo haukuanzia antiokia au umeamua kumeza tu maana ukimuuliza mtu yeyote atakuambia
@paulmushi242818 күн бұрын
Wanaofuata YESU hawakuanza kuitwa Wakristo Antiokia Soma Biblia MARKO 9: 41
@nicholousmtemi390218 күн бұрын
Duuu kuna watu wagumu kuelewa sana aisee yani anasikia kinachosemwa ila hataki kuelewa
@ulimwengumaulid739718 күн бұрын
@@paulmushi2428 soma Matendo ya mitume 11.26 halafu soma na hiyo marko 9.41 angalia muktadha(context) ndo utaelewa sio maana sawa lakin pia soma katika lugha ya kiingereza hiyo mistar kama alivyosoma hapo Simulizi utagundua utofauti
@ulimwengumaulid739718 күн бұрын
@@nicholousmtemi3902 Kamuulize Mchungaji wako hilo swali halafu uje unipe jibu kama litakua sawa na ndacha
@Msemakweli05818 күн бұрын
Ukirsto kama umeanzia antiokia kwanini unatajwa kwa Quran?
@Furahinikatkabwana18 күн бұрын
Uislam ni mlango wakuelekea kuzimu,ndio maana hakuna muislam aliesoma kibabe ambae sii mganga kama wakina sule
@Msemakweli05818 күн бұрын
Unajua waisilam wengi sijui kwann wanakuwa wabishi tatizo ni kuaminishwa kitu furani uisilam umeanzia arabu lkn wao hawakubali mpaka wanasema uongo adam alikuwa muisilam
@wakeshojana18 күн бұрын
MWAIPOPO JANA AMEJISHEBEDUA NA KUJIPIGA KIFUA KUMBE LEO AMEINGIA MITINI???? DAAAH.....WAISLAMU IOKOENI NAFSI YENU KWA KUMFWATA YESU NDIYE KWELI, UZIMA NA NJIA (DINI) PEKEE YA KWENDA PEPONI!! THANK ME LATER!!