KUMEKUCHA
1:06
20 сағат бұрын
KARIBUNI NYOOTE KWA KUFANIKISHA HILI NJEMA
27:05
UJUMBE. KWA MWANKEMWA AJITOKEZE
11:45
YOHANA 1:1-5. 1:10
1:01
2 ай бұрын
karibuni nyote
4:17
2 ай бұрын
WAISLAMU KUTUMIA MAJINI NI HALALI
1:34
1 June 2024
0:49
2 ай бұрын
1 June 2024
1:03
2 ай бұрын
May 21, 2024
2:30
3 ай бұрын
May 4, 2024
4:17
3 ай бұрын
April 24, 2024
3:47
3 ай бұрын
April 18, 2024
1:26:27
4 ай бұрын
MUNGU WA BIBLIA NI NANI?
53:12
4 ай бұрын
March 25, 2024
5:42
4 ай бұрын
March 24, 2024
7:24
4 ай бұрын
March 20, 2024
1:04
5 ай бұрын
kumekucha
10:58
6 ай бұрын
Пікірлер
@johnngige5794
@johnngige5794 5 сағат бұрын
Kemeeni hayo majini yasiyotaka ukweli ujulikane
@Hagaispeck
@Hagaispeck 6 сағат бұрын
Shida niliyo hiona kwa mkutano wa jana walimu wote wa kiislamu wanaitaji mwalimu ndacha kwa hiyo mwalimu pambana nao mwenyewe
@aswilekibona9861
@aswilekibona9861 6 сағат бұрын
Kwa hyo unataka kusema Paulo alichosema ktk agano jipya alikosea,alipomkataza mwanamke kuongoza kanisa(uchungaji)?
@justine-2707
@justine-2707 7 сағат бұрын
Waislam ni michango to kuja later
@mosesjillo1729
@mosesjillo1729 7 сағат бұрын
Huyu mzee amezeeka Kwa midahalo lakn mpaka sahii hajajua uungu wa yesu😂😂😂
@MarthaMasha
@MarthaMasha 8 сағат бұрын
Mdahalo unaenda vizuri ila dakika 20 nikidogo mnoo. Hongereni jukwaa liko very smartie
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 8 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤲
@enockjoseph9435
@enockjoseph9435 9 сағат бұрын
Kamera iwekwe vizur tuone watumishi Kwa mbele: marikiwe
@josephmuchina3051
@josephmuchina3051 9 сағат бұрын
Uisilamu umekubalia uongo ili kutetea(uislamu) Yaani Mazinge unadanganya kwaba nasi hawa kumupeleka Mohammed kuwa mtume na allah alikuwa shahidi?
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 10 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ezekielmwamba9106
@ezekielmwamba9106 10 сағат бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu ako nawe
@daudimichael7338
@daudimichael7338 11 сағат бұрын
Mbona hamuweki mkutano wa jana? Mmewaachia Waislamu wanapotosha na clip zao za kukatakata?
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 11 сағат бұрын
Labda uwe huoni...mkutano uko WOTE hapa kwa channel
@WilliamWario-f3p
@WilliamWario-f3p 11 сағат бұрын
Mungu akubariki ndacha na Paulo endeleeni kuwapa waislamu doz nzito
@furahag3098
@furahag3098 12 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi ndacha
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 18 сағат бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu wetu wa mbinguni akubariki sana Kwa kazi mzuri unalolifanya kuwapelekea waislamu ujumbe wa wokovu
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 19 сағат бұрын
Naona mnajifariji baada ya kupewa nondo za kushiba na wahadhiri wa kiislamu. Ndacha kazi yake ni kuzunguka zunguka na kukata kata aya ili azidi kuwalisha matango pori na nyie kwa akili zenu fupi eti unamuona ndo mwalimu....ebu sikilizeni nondo zilizotolewa na wahadhiri wa kiislamu halafu weka ushabiki pembeni naamin mwenye akili timamu atakua amepata majibu, nje ya hapo endeleen kukaza mafuvu hivyo hivyo
@user-vv5hq9mc1k
@user-vv5hq9mc1k 20 сағат бұрын
Ndacha huna kitu wewe kazi yako ni kutapatapa tu
@GilesKhamis
@GilesKhamis 10 сағат бұрын
Usiye elewa we! Na hutaelewa
@edwardkarithi2347
@edwardkarithi2347 20 сағат бұрын
Uislamu ulianziswa kwa upanga,uongo na ujanja lakini unaelekea kuisha na internet
@DottoBazil-nx2cd
@DottoBazil-nx2cd 20 сағат бұрын
Hakuna kitu ktk Maandiko tangu kitabu cha mwanzo hadi ufunuo palipo tajwa kwamba Mungu ni nafsi tatu hapapo,Mungu ni mmoja ana sifa tatu kuu si "nafsi"tatu" vyeo vitatu si nafsi tatu.kwa sababu neno nafsi linawakilisha mtu.kwa hiyo unaposema nafsi tatu maana yake ni watu watatu.na kama kuna nafsi tatu ktk Uungu maanake kuna Miungu watatu.na huo ni upagani.lkn mkazo wa Biblia Takatifu ni Mungu Mmoja MWENYE NAFSI MOJA aliye vaa mwili na Jina lake ni Bwana Yesu Kristo.Ndio maana ktk Mathayo 28:19 alipoagiza wakabatize kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,Yesu alitaka jina na kwa kadri tunavyofahamu baba si jina ni sifa ama cheo,mwana si jina ni cheo ama sifa na roho Mtakatifu si jina ni cheo ama sifa,ndio maana kote ktk Maandiko MATAKATIFU Mitume walibatiza kwa Jina la Bwana Yesu Kristo.Mdo 2:38/mdo 8:14/mdo 10:47-49/mdo 19:1-7.labda niliweke ktk mfano huu ili nieleweke kwa urahisi,Rais ni cheo,M/kiti wa Ccm taifa ni cheo na Amir jeshi mkuu ni cheo mpaka hapo hakuna jina umetajiwa vyeo vitatu,au sifa tatu za mtu mmoja mwenye jina la Samia Suluhu Hassan. Na huyu si watu watatu ni mmoja.ukihitaji usaidizi zaidi nitafute kwa 0688 991 744.
@kenkinyua143
@kenkinyua143 21 сағат бұрын
Dacha barikiwa sana katika kristo
@user-iz5fm9rt6n
@user-iz5fm9rt6n 23 сағат бұрын
Glory to be God Almighty Amen🙏
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 23 сағат бұрын
Hii Ndio Imani najivunia nayo tena ndio Uzima kwangu Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu aliye hai Mthw16:16
@nicolaskipkemoi2517
@nicolaskipkemoi2517 23 сағат бұрын
Muache to uislamu juu vitabu senu mutaki
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq 23 сағат бұрын
Good majembe wa yesu
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 23 сағат бұрын
Nani ana myelewa Ndacha kama Mimi Mana anafundisha mada mbili wa pamoja uwana wa Yesu na unabii wa Muhammad coz ankuwa na mda mdogo sana ingekuwa inaanza hata saa 4 Hadi jioni wangeelewa tu hawa waislamu

@JanethAnton-fx1mk Күн бұрын
Afu mbona waislamu huwa hawaweki full kama ilivyo hadi wakate kate vibande vingine wanaondoa hawa waislamu wajanja sana mbona chanel ya hii ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@ellyitete938
@ellyitete938 22 сағат бұрын
Lazima wakate nyundo zilizowatwanga 😂😂😂😂
@BebanMbabe-eh3zm
@BebanMbabe-eh3zm 20 сағат бұрын
Waoga kuchukuliwa waumini,coz wao ni waongo
@edwardkarithi2347
@edwardkarithi2347 20 сағат бұрын
Bila uongo,unjanja,kukatakata maneno uislamu haupo😢😢😢😢😂😂😂
@Mejaclub
@Mejaclub 14 сағат бұрын
Wanajua waislamu wenzao wakisikiliza mafunzo ya Ndacha watajua ukweli na wengi wataacha uislamu sasa wanafichaficha ili ukweli isijulikane waumbuke😂😂
@Mejaclub
@Mejaclub 14 сағат бұрын
​@@ellyitete938😂😂😂kweli kabisa
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk Күн бұрын
Afu mbona waislamu huwa hawaweki full kama ilivyo hadi wakate kate vibande vingine wanaondoa hawa waislamu wajanja sana mbona chanel ya hii ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk Күн бұрын
Afu mbona waislamu huwa hawaweki full kama ilivyo hadi wakate kate vibande vingine wanaondoa hawa waislamu wajanja sana mbona chanel ya hii ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk Күн бұрын
Afu mbona waislamu huwa hawaweki full kama ilivyo hadi wakate kate vibande vingine wanaondoa hawa waislamu wajanja sana mbona chanel ya hii ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk Күн бұрын
Afu mbona waislamu huwa hawaweki full kama ilivyo hadi wakate kate vibande vingine wanaondoa hawa waislamu wajanja sana mbona chanel ya hii ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk Күн бұрын
Afu mbona waislamu huwa hawaweki full kama ilivyo hadi wakate kate vibande vingine wanaondoa hawa waislamu wajanja sana mbona chanel ya hii ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@flexrisen2272
@flexrisen2272 Күн бұрын
Kweli kabisa wanaficha ukweli
@funakoshtadash6163
@funakoshtadash6163 Күн бұрын
Wakati tulionao unahitaji watumishi kama mwl Ndacha
@NxhfiNtjfif
@NxhfiNtjfif Күн бұрын
Mazinge, Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka
@NxhfiNtjfif
@NxhfiNtjfif Күн бұрын
Ushukuriwe Allah kutupa neema ya uisilam .
@johnmusyoka1263
@johnmusyoka1263 Күн бұрын
Mchungaji Ndacha wafunze wakatae watakua mashaidi wakati wa mwisho
@haymanobonyo8829
@haymanobonyo8829 Күн бұрын
NAMPENDA MSOMAJI PAULO ANASOMAVIZURI SAANA...MUNGU AKUBARIKI NDUGU
@Mejaclub
@Mejaclub 8 сағат бұрын
@@haymanobonyo8829 yeye ni international 😀
@martinmkoba361
@martinmkoba361 Күн бұрын
Nnavyomjua shafii kashakimbia😂😂😂
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 Күн бұрын
Mtu kama aumwelewi Ndacha basi umekosa Kila kitu
@tsumamartin6878
@tsumamartin6878 Күн бұрын
Shafi Yuko wapi
@Bible-Medical-Missionary-Work
@Bible-Medical-Missionary-Work Күн бұрын
Ukiona wamekataa vitabu vyao hata Quoran wataiambia kwaheri
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Күн бұрын
Ee huu mjadala afadhali ungekuwa kwenye ukumbi lakini sahii haukutaka mahubiri yake vizuri kabisa
@mikerutto8164
@mikerutto8164 Күн бұрын
God bless you Mr Ndacha and the team. Live long
@sizamchopa1564
@sizamchopa1564 Күн бұрын
Poor audio
@McharoMshana-x6p
@McharoMshana-x6p Күн бұрын
Ndacha nakukubali sana
@Hagaispeck
@Hagaispeck Күн бұрын
Mwalimu ndacha tafazali walimu wote wa kiislamu wanakuitaji wewe jadiliana nao wewe mwenyewe
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 23 сағат бұрын
Ni vyema pia kuwahusisha wenzake ili wasione Ndacha hujifanyia mambo pekee yake...Kristo yuko mbele wao wanalima Kristo akipanda Baba Mungu ndiye Mkulima mwenyewe
@RajabuKiedu
@RajabuKiedu Күн бұрын
Mbona hao wanawake awatulii Wana muemuko
@furahag3098
@furahag3098 Күн бұрын
Aminaaaaaaaaa kazi nzuri sana mwalimu ndacha barikiwa sana 🙏