Jamila mdogo wangu nakupënda wewe ni zaidi ya mwalimu na mwanamke mswahili unayejitambua jazakha allah kheir
@ZaituniHassan-d4e5 ай бұрын
Ampenda Jamila anavyoishi na familia yke...huwanacheka sana anapo Fanya utani na familia yke. Na mapishi yke..nafuatilia sana ❤❤
@OfficialDatingAssistance5 ай бұрын
She is amazing 🥰
@SabinaVicent-l2u Жыл бұрын
Dada shena hongera sana kwa hiki kipindi chako huyo dada anafundisha sana watu wajue maisha mazuru yakuwaje ili uwe nayo , wewe mtu!. Dada Asante sana hapa Kila aliekuwa na sikio asikie na kufunguka😊
@asiaminja355611 ай бұрын
Nampenda huyu dada mrembo mwenyewe na ana akili namfuatilia kwa kurasa zake na jinsi anavyowafundisha Kiswahili watoto wake mpaka raha❤❤❤❤
@wahidashabaz814 Жыл бұрын
Nakupenda jamila na mimi napenda unavyojidai na tamaduni yako ipo siku nami nitaanza kuonyesha tamaduni yangu ya kitanzania nikiwa haapa oman
@rahimaally6044 Жыл бұрын
Masha Allah nimejifunza kitu leo🥰🥰🌹🌹😘thank you jamila. Allah akuhifadhi. 🌹Allah akulipe kwa faida nilioipata kupitia wewe🌹🌹
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Hakika tumejifunza wengi
@joyceKingu8 ай бұрын
Mimi ni msomi pia. Nina degree mbili. Napenda kupika . Anna nianze napi kutumiz kipaji change. Inspiring story.
@WahidaAlharthi6 ай бұрын
MashaAllah tabara Rahman Umesema neno mzuri SAANA Iyo Ni funzo Kwa jamii Wewe una SoMo mawaidha tosha
@Emedroadtocanada9 ай бұрын
I wish insha Allah namm nitaenda USA na napenda sana nikaishi Atlanta Georgia au Minnesota miniepolis
@paulinewangila-cs6ys Жыл бұрын
Woow nafurahia kuona mmoja wetu akituwakilisha vizuri Mombasa ❤🇰🇪🇰🇪
@paulinewangila-cs6ys Жыл бұрын
Asante kwa kutukumbusha kama Wakenya,ila haya yote yanatokana na utafutaji,huwezi enda nchi za wazungu uongee Kiswahili na hawakifahamu,tafadhali tukiwa nchini mwetu tunaongea Kiswhili❤
@ankaah1230 Жыл бұрын
Jamani hadi raha kumsikiliza uyu dada, nimempenda ni mpambanaji sana.
@asharamadhani3462 Жыл бұрын
Asante sana dada Jamila kuwa kutusaidia watu tunaokaa nje umejibu maswali mengi sana ❤❤❤❤
@habibbeiyye10 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimefurahi.....mpaka....nacheka wakati wote....Mashallah Dada Jamila...........Allah akuongoze.....akupe maisha...marefu.............
@zayumar295511 ай бұрын
MashaAllah da Jamila umeongea vizur Sanaaa Allah akulipe kher InshaAllah nakufuatilia sana na ninakupenda sana kutokana na jins unavyoish ktk missing ya din pamoja na familiar yako Allah awalinde Amin yarrab 🤲 ❤❤❤❤
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
moja kati ya interview bomba sana African kabisa chawa wa wazungu nyie ndio kiboko yao big up
@rizikichamosi7551 Жыл бұрын
Mashallah dadangu wewe ni mama bora kwa watoto allah akuogoze inshallah nahasiliyako Alhamdulillah
@Emedroadtocanada9 ай бұрын
Namuomba Allah ajaalie mama jamila niwe mkwe wako nimuoe bint yako
@glorymasy7687 Жыл бұрын
Nimekunda bure dada tunaendelea kupata madini Ubarikiwe 🙏
@husseinjongo75884 ай бұрын
Kumbe ilikuepo hii asee🔥 I love my sister jamillah
Mpishi mwenzangu. Asante sana kwa hii video Nimejifunza kitu.
@sophiarwehumbiza209 Жыл бұрын
Asante Dada Jamila Blessed
@Jeff_Tz Жыл бұрын
Da Jamila Kizondo ana kiswahili kizuri sanaa sanaa
@chumchum152611 ай бұрын
Kiswahili cha mombasa
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Jamila leo umenikosha kwa ukweli wa watu wanaokataa kwao hasa wale wa Arabuni ♥️
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
Aaah da Mkubwa ni hasara hizi za ndugu zetu kujikataa watokako, wanajidhalilisha mno aisee! Shukran kwa comment dadangu ❤️
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
@@jkizondoswahilibites434 interview nzuri mashallah nimejifunza mengi tu..Take care
@khadijamohamedy4492 Жыл бұрын
@@jkizondoswahilibites434 nakupenda
@wahidashabaz814 Жыл бұрын
Nakupenda dada kwa mapishi mashallah
@JaniferMichael Жыл бұрын
Shukran sana
@ireneimbuhira7759 Жыл бұрын
Love her so much ❤ 💕 💗
@elizabethguga7396 Жыл бұрын
Nakupenda sana jamila mdogo wangu nakupenda sana vituko vyako vyanikocha🎉
@ZainabuBakari-g8e Жыл бұрын
Jomani Nakupenda Ww Dada... I wish I wish Tuonane
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
'alhamdulillah' umeongea kweli yako,allah akuongoze wewe na familia yako. ameen
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
Ameen Shukran sana❤
@luchekayoohy Жыл бұрын
Good job dadaetu Shena ubarikiwe sana
@ashaidd29123 ай бұрын
Powerful
@ashafaulkner5 ай бұрын
Umenifurahisha kwa suala la hao hawataki kusema wao Africans
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Wallah huyu dada napenda sana hasa nilianza kumfuatilia kwenye ile clip yake yeye na mumewe ya Vitombuaaa vitombuaaa heeey mahamriii mahamrii anajitahidi sana kuendeleza utamaduni wake na kujivunia kiswahili
@FatmaHamad-g6s5 ай бұрын
Dashena leo pua mbona km unataka tuletea odo hivi😂😂au macho yangu tu jmn
@firdaushamid8200 Жыл бұрын
Mashallah Mungu akuhifadhi
@Judy-dy4zt11 ай бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie
@mariamtumwebaze389 Жыл бұрын
Manshallah jazakalahu khail ❤❤❤❤
@FatmaHamad-g6s5 ай бұрын
Wengi wakifika nchi km hizi hubadili maadili lkn ww na mimi na wengine bado twajistir ingawa ni changamoto twaonekana washamba ila tupambane dunia na akhera
@rehemadaudi439011 ай бұрын
Dada mzuri Safi Sana
@Lizzyktd Жыл бұрын
Nafurahi sana na hiz Elimu ❤
@kadhyanassor50466 ай бұрын
MashaAllah sister Jamila umetupa sote sote hata waarabu hujatuacha umetupasha....😂😂😂
@rizikichamosi7551 Жыл бұрын
Kweli dada uko sawa kabisa wewe dadangu yani masha allah tabarakaallah
@hassankhamis3447 ай бұрын
Kweli kabisaa dadaa
@Adam.k20210 ай бұрын
Safi dada
@OnlyRuky Жыл бұрын
Mashaalah hachoshi kumzikiliza
@MsMasola2 ай бұрын
Nimempenda sana huyu dada kasema ukweli.
@jumaiddy-jm5wo Жыл бұрын
Jamila kanifurahisha sana. Mimi mwenyewe nipo huku miaka 25. Yaani kasema ukweli tu.
@salehemganga1081 Жыл бұрын
Very informative interview. Ahsante.
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Glad you enjoyed it!
@RuweidaMacool11 ай бұрын
We love u jamila
@Agnes24-S Жыл бұрын
Wow darasa zurii Mashaallah ❤❤
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
Alhamdulillah Shukran ❤😊
@ShabahMob-rx5zc Жыл бұрын
Dada salami alakumu 😊
@mahtygullam6399 Жыл бұрын
Tumejifunza mengi leo..❤❤
@ZainabuBakari-g8e Жыл бұрын
Dada Jamila
@annamallya87565 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@mariamtumwebaze389 Жыл бұрын
Shukulan Sana darling ❤❤❤❤
@OmanOman-ky2oo Жыл бұрын
Mashallah nakupenda sana dd jamila Allah akupe Kila laher ❤❤❤❤
@miriamahmadi135611 ай бұрын
Mashallah
@eunicemwalsumo21669 ай бұрын
Mume wa Jamila ni mislamu au mkristo
@zahramohammed2337 Жыл бұрын
Hapo kweny kujipendekeza na lugha za watu nilikutana na mtazania mwezangu zubalaa nakwambia ni kiarabu tu ndio anaongea adi nikamwambia mimi ni mswaili ivyo tuongee tu kiswahili kama uwezi kwaher 😂😂 wapo kama malimbukeni yaani
@helinahenry2363 Жыл бұрын
😂😂😂 aaiih
@helinahenry2363 Жыл бұрын
Mwingne ukiwa mgeni anaongea na waarabu wanakutetaa uwiih, imenikuta hyo😂😂
@jennifermmanyema6693 Жыл бұрын
Jmn nimekupend dada jamila
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
Shukran sana ❤❤❤ dadangu
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Aunty Jamila tunakupenda❤❤❤ mimi ni rafiki yake Fatma Swaleh yule mtoto wa dadako
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
@@halimamfaume1925 nakupenda pia!! Sasa wewe pia ni mwanangu basi ❤️
@fatoomaaziz2549 Жыл бұрын
Mashallah dada nakupenda sana allah azid kukuhfadhi umenipa darasa kubwa sana
@verynicemoshi9959 Жыл бұрын
Shena mdgo wangu tunaomba Fili back ya Yule dada ambae aliomba msaada akamuone Mzungu wake Alie kuwa mgongwa
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Nitarudi na Feedback kuweni na subra tu
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Tena Wakenya wamezidi kujifanya popote walipo wanajua Kithungu kuliko kiswahili au kilugha chao. Utumwa uliwakamata wakakamatika
@annamussa185 Жыл бұрын
Wananikera sana Basi tu
@jkizondoswahilibites434 Жыл бұрын
Sio wakenya tu ni wengi hata watanzania niko nao hapa hawataki Kiswahili
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Wananichoshaga Mie mnooo Hawa jiran zetu aise
@fahimamahdi2509 Жыл бұрын
@@jkizondoswahilibites434⁹i
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Kishingo-shingo 👍👍
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
😂😂😂uswahili tumeuacha uwanja wa ndege
@ireneimbuhira7759 Жыл бұрын
Hapo kwa Jamila airline nime cheka 😂😂😂😂
@RadegundaChambi-ec7yw11 ай бұрын
Dada una akili sana hawa watu weupe ni masikini Wa kutupwa sema ukweli wote wasfrica wakina mtu yuko nje wanafaidi wenyewe wanalala na njaa mm Niko Italy maisha ni magumu kuliko Africa
@rizikichamosi7551 Жыл бұрын
Shukurani dadangu wewe yani kama mimi na mume wangu
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Kweli kabisa hata mimi sitaji siri za nyumba yangu kabisa
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Ndoa ya Mjumbe wa agano pekee haina changanoto, toka nimeoa sijaona changanoto. Ni mpya Kila siku. Nialike nifundishe,
@wrdahss6726 ай бұрын
uku Saudia piya nihivyo yani mutu hataki kuzugumuza kiswahili
@ashaidd29123 ай бұрын
Aje tena😅😅😅😂😂
@fatmaalbeity9097 Жыл бұрын
Tusitupe asili zetu za kimila na kidini popote tulipo umekuwa kiigizo chema dadangu Allah akuhifadhi wewe na family yako
@Judy-dy4zt11 ай бұрын
Yani umenikosha
@mamaharry158 ай бұрын
Wapashe
@sweet16honey75 Жыл бұрын
Dada wa kwetu huyo kasoma Na mdogo wangu
@Hamad10Salafi10 ай бұрын
Dada Shena unamuona mwenzio Anavaa Hijab na anajivunia na yuko Marekani? Na anajivunia tamadani zake wee unashindwa nini?
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
Kutokuvaa Hijab hakumaanishi sijivunii nilivyo.. Stop judging, stop comparing na kujifanya unanijua sana, kwani hivi pia sio katika mambo yanayompendeza Allah.
@Hamad10Salafi10 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance Hiv unajua kama kuvaa Hijab it's a Command from Allah NOT a choice? (Quran 33:59) Na Hiv unajua umebeba jukumu la kumuonyesha Uislam kwa vitendo huyo alosilimu akakuowa? Na hiv itakuaje mfano ukifa kama leo NA ukiwacha videos kichwa waz kama ulivyo Duniani? Be proud of your Religion wacha kujitoa fahamu #May_Allah_guide_us_all
@rizikichamosi7551 Жыл бұрын
Hahaha nakusikiliza nafurahi yani hacha tuu
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
tena hawa wazungu weusi ndio hatari sana wana sema usilete tabia za kiswahili
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Yaaan nimejisikia raha mwanzo mwisho 😅😅😅
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Sanaaa❤
@khadijaabdulaziz8297 Жыл бұрын
Asslama Alaykum vipi hali ukhti shana vaa mtandio
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Wacha weeee
@fauziaahmed9747 Жыл бұрын
Jamila maneno sadata watuwengine wanaogopa kusema nawatoto nawanaharibu kwa gemu dio malezi yao mtoto wa nahifadhi gamu kushinda dini zao makosa ya wazee
@Judy-dy4zt11 ай бұрын
Ni kwer
@glorymasy7687 Жыл бұрын
Ha ha haaaa hatar et nimeukung'uta air port
@ally0thmanfundikira463 Жыл бұрын
Je.mumeo ni Muslim asili au alibadili
@abedkarume9088 Жыл бұрын
Hahaha 😄😄😄😄 hapo Kwa kulia
@MsMasola2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@jacklinemrina456 Жыл бұрын
Hey wanachanganya hahahhaha
@dayana5513story Жыл бұрын
But why live inanipita why
@ruuhbakary Жыл бұрын
ht mm pia imenipita roho imeniuma sn yn nilikiw biz vby mno i miss you dayana