Kazi za ndani Dubai | Malipo ni Mazuri | Kunyanyaswa? Tunavumiliana | Agents walikuwepo

  Рет қаралды 14,101

Hatua

Hatua

Күн бұрын

Yusra ni mmoja wa Watanzania wanaofanya kazi Dubai. Kazi yake ni Msaidizi wa kazi za ndani kwenye familia moja ya Wazawa hapa Falme za Kiarab. Anaweka wazi baadhi ya mambo ambayo hayajulikani kwa wengi na kuondoa wasiwasi kwa wale ambao huwa wanasikia taarifa tofauti kuhusu watu kutoka Afrika mashariki wanaofanya kazi kwenye nchi za Kiarab.
‎@Wasafi Media @cloudsmedia ‎@Ikulu Tanzanial
‎@ITV Tanzania @kitenge ‎@Citizen TV Kenya ‎@Azam TV @mpoki ‎@Joti TV @tbconline

Пікірлер: 86
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 8 ай бұрын
Mimi nimekaa miaka 8 kwa boss mmjo saizi ndo namalizi namshukuru Mungu kwa kweli siyo rahisi kihivyo ni kuvumiliana tu na vitu nimekuwa navizuia sana ni kukaa kimya akiwa ananifokea atafoka na akiona simjibu anaondoka ,kunasiku akasema kwanini nikikusemesha mbona hujibu nikamwambia wewe umenizidi na siwezi kujibizana na wewe toka siku hiyo hajawai nifokea anasema kwa usitaarabu, kila kitu ni kumtanguliza Mungu akukutanishe na watu sahihi .
@ZolfaZolfa-hu9oc
@ZolfaZolfa-hu9oc 6 ай бұрын
Mambo
@RozRoz12-d4d
@RozRoz12-d4d 5 ай бұрын
Sasa iv kwa madam wangu namiaka 8
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 4 ай бұрын
Ni kweli pia hata mm pia Niko miaka kumi na 16 na Boss uyu uyu pia kuvumiliya ndio kikubwa nakuomba mungu akupe Afya na subira
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 11 ай бұрын
Mimi nipo oman mwanzo nikuwa kwa mamake sahivi nipo kwa mwanawe niko na mika 4 kwa mwanawe wala sibadilishi nyumba hana shida tunavyumiliyana kila mtu na mapungufu yake alhadulilah🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@yusraally7264
@yusraally7264 11 ай бұрын
Hongera mpambanaji mwenzangu. Kwakujitambua na kuwa mvumilivu .... hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke inshaallah .... Asante kwa maoni yako
@noely-A
@noely-A 7 ай бұрын
Yas
@BertinaCharlie
@BertinaCharlie 7 ай бұрын
​​@@yusraally7264Hongereni Dada zetu ila msifanye ile michezo ya kuwategemea ndugu wadogo au wengine hata wazazi wetu kwa kuwaamini kuwatumia hela nyumbani kwajili ya kujenga nyumba ili kesho na keshokutwa unasema unarejea nyumbani ukatulie sehem nzuri kwa mapambano ya miaka yote hiyo maana wengi wamelia kwa kuwaamini ndugu na wazazi mwisho wa siku unakaa miaka Mungu bila mafanikio wakija kukagua vituko tupu kilio au plesha nakupelekea kifo Mungu awabariki awalinde na kuwaongoza Dada zetu
@pendoEmmanueli
@pendoEmmanueli 6 ай бұрын
namimi naomba unitafutie kazi
@ZolfaZolfa-hu9oc
@ZolfaZolfa-hu9oc 6 ай бұрын
Mambo
@felisterndeule-oc3yv
@felisterndeule-oc3yv 6 ай бұрын
Kazi yoyote Ni uvumilivu
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 4 ай бұрын
Sawa
@jovithajoel7296
@jovithajoel7296 11 ай бұрын
Ardhi ya wajukuu wa mtume😊. Asante Kwa kunielimisha.
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 5 ай бұрын
Kazi yoyote ni kuvumiliya na kujiamini na pia eshima ndio muhimu mnooooooo kwenye kazi mm pia Niko kitambo Sana hapa Dubai ivyo tuko pamoja mnooooooo mpendwa wetu dada yusra
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Shuhuda kama hizi zinabeba maana sana kwa wale wenye kutafuta taarifa ili wapate kufanya maamzi. Shukurani kwa kutoa ushihuda huu
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 15 күн бұрын
Mm Nina miaka Kumi nyumba moja nashukru mungu 👏
@hatua123
@hatua123 14 күн бұрын
Hongera sana Moambanaji! Ikawe heri katika yote
@KassimAbdalla-vl6jw
@KassimAbdalla-vl6jw 11 ай бұрын
Umepata muajir mwema2 ni jambo la kushkuru mungu
@shamimucollectiondubai9727
@shamimucollectiondubai9727 5 ай бұрын
Yusra good
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 9 ай бұрын
Napenda sana dubai kujakufanya kanzi
@FARAJIFADHILI-v6x
@FARAJIFADHILI-v6x Ай бұрын
Ni kweli ninaomba mungu anikutanishe na watu sahii
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz 5 ай бұрын
Allahmdulilah Nina miaka9 HP Dubai ktk nyumba 1
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 ай бұрын
Ivi mnawezaje kukaa sehem moja mda mrefu ivyo !?
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 ай бұрын
Mm kwa kweli kama kuna ya kuajiriwa hata hotelini kuosha vyombo niko radhi kuliko hiyo ya kulala kwa mtu miaka miaka siwezi jmn
@halimapwagu3091
@halimapwagu3091 5 ай бұрын
Mungu atubaliki wapambanaji wote ti. Galfu wake na wakiume
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Ikawe heri na kwao wote tunaowapigania
@sospeteralex378
@sospeteralex378 3 ай бұрын
Kama Una passport nijulishe
@sadasaid4408
@sadasaid4408 4 ай бұрын
Ni kuvumilia tu, na kuweka malengo yako kichwani, mimi miaka 18 omni Alhamdulilah nyumba moja na sasa niko Tz nimepumzika
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 4 ай бұрын
Mashaallah jiyo kweli jata mimi pia
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 4 ай бұрын
Nikweli kabisa hata mimi pia nimo miaka Kazaa nimo njumban 1
@LucyTesha
@LucyTesha 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@kashurusho863
@kashurusho863 4 ай бұрын
Ruga sasa ndo tatizo mnawezaje
@PaskaziaJohn-c3k
@PaskaziaJohn-c3k 7 ай бұрын
Naipateje kax
@noors7030
@noors7030 5 ай бұрын
Samahanini jamani Dubai sio nchi ya wajukuu wa mtume sala Allah walehi wasallm hio sio makka wala Madina ni Dubai hahusiki namtume s A alehi wasallm
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Sawa. Tumepokea rekebisho
@SadahMohammed-c3e
@SadahMohammed-c3e 5 ай бұрын
Habari mm nna mdogowangu ana passport ila ajapata chansi ya kazi na anataka kutoka aka fanya kazi naomba msaada
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 5 ай бұрын
Nitafte
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 ай бұрын
Vigezo sio tatizo tatizo hata kwa ajenti laki tano juz tu mtu katoa ,kazi kupata kazi ndio mtihani kama kuna maajenti fungukeni watu waje wapambane
@wardasaston
@wardasaston 11 ай бұрын
❤❤❤
@AminaYassin-y5r
@AminaYassin-y5r 5 ай бұрын
Na mm naomba nafasi plz
@JeskaBayege
@JeskaBayege 8 ай бұрын
Dada na mmnaitaji kazi huko naomba kampan yako dada niko tanzania
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 4 ай бұрын
Swahiba napataje kazi dubai
@felisterndeule-oc3yv
@felisterndeule-oc3yv 6 ай бұрын
Naomba kazi dubai
@JaneWalter-m7l
@JaneWalter-m7l 4 ай бұрын
Naomba namba mwandishi
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 4 ай бұрын
Watanzania tutafute fursa popote pale, wakenya wanatoka lkn sisi tunabung'aa bung'aa,tu!!
@rehemayuda6822
@rehemayuda6822 8 ай бұрын
Dada na mimi naitaji kazi huko naomba kampani yako dada
@HajiMnyambwa
@HajiMnyambwa 8 ай бұрын
habari
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 5 ай бұрын
Naomba namimi nafasi uko jamn
@Gamil-r9o
@Gamil-r9o 4 ай бұрын
Daake naomba namba
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 5 ай бұрын
hongera Sana mpambanaji mwenzangu nipo Oman mwaka wa 4 boss mmoja kikubwa ni uvumilivu na uturivu na kujuwa nini kilicho kutoa kwenu na kustahamir hisia za kimapenz hapo utapetaa❤❤❤❤
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Hongera na iendelee kuwa heri. Uzidi kutenda yaliyo mema na mavuno utakayotoka nayo huko yalete neema kwa wapendwa wako unaowajali na kuwatakia mema
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Hongera sana kwa kuendelea kupamba na kujitafuta. Kila kazi ina changamoto yake, kila binadamu ana namna yake jinsi alivyo na wengine wanavyomuona. Ikawe heri kwako na wote wenye kupambana nje ya maeneo yao ya asili.
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 5 ай бұрын
@@hatua123 Ahsante dada kz njema
@rebeccajaphet6032
@rebeccajaphet6032 4 ай бұрын
Dada na mimi natafuta kazi nitakupataje
@HabibaIdany
@HabibaIdany 5 ай бұрын
Namimi naomben locetion uko
@HabibaIdany
@HabibaIdany 5 ай бұрын
Naomba namba za uyo dada
@RozRoz12-d4d
@RozRoz12-d4d 5 ай бұрын
Nimekaha mpaka passport yangu imeisha miaka kumi hapa dubai na nimefanya mpya uku uku dubai namshukuru sana
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Hongera. Iendelee kuwa heri kwako na wapendwa wako
@umfahad2609
@umfahad2609 5 ай бұрын
Unajua. Tatizo mtu akipata tatizo kwa mtu mmoja. Anasema waarabu wote wabaya. Hakuna sehemu yenye wabaya watupu. Wala wazuri watupu. Kl binadamu ana mapungufu yake. Mimi nipo Oman. Nna dada amemaliza miaka 7. Mwezi wa 5 anaenda livu na atarudi. Na tupo vizuri tu.
@hatua123
@hatua123 5 ай бұрын
Kila kazi ina changamoto zake. Basi yafaa kujiandaa kuzikabili
@timesaid5504
@timesaid5504 5 ай бұрын
Dada nifanyie mpango na mm nimesha fanya kazi oman miaka 4 nahitaji nije nipambane na dubai
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 5 ай бұрын
Dada nisaidie natafuta kazi Dubai jamani
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 5 ай бұрын
Wengine wetu japo sio wote haawajui nn kilicho Watoa kwao wanataka Uhuru ili watoke nje wakatafute mabwana Asa huku hizo mambo hamnaga huku kz Tu mapenzi kwenu Asa Una kuta mtu akikutana na hizo mambo kula anakula mapenz hapat hapo utasikia waarabu wanatunyanyasa wanatufungia ndani hakuna lolote ttz ni hapo ktkt ndo Pana mtihan ukivumilia hisia ukazieka pemben aaaah kwa nn usitobowe?sie kz mabebe nooo
@ZolfaZolfa-hu9oc
@ZolfaZolfa-hu9oc 6 ай бұрын
Hi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 ай бұрын
Dubai au huko Omani watu wanachukuliwa mwisho umri gani kufanya kazi?
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 9 ай бұрын
Dada naomba namba zako
@ogdosho93
@ogdosho93 5 ай бұрын
Natoa Nafasi ya wanawake wa5.. mwenye kuwa interested anicheck.
@toor8984
@toor8984 5 ай бұрын
Toa namba ya mawasiliano mmi nataka kazi
@MgeniAkilimali
@MgeniAkilimali 4 ай бұрын
Hata Mimi niko tayari kufanya kazi
@rebeccajaphet6032
@rebeccajaphet6032 4 ай бұрын
Tow namba
@RukhsanaOfficial_rukhy-ru7gn
@RukhsanaOfficial_rukhy-ru7gn 11 ай бұрын
Keep it up 🔥💕
@yusraally7264
@yusraally7264 10 ай бұрын
Thanks my dear ❤
@Ann-z6q1e
@Ann-z6q1e 9 ай бұрын
Nami nataman kuja uko naomba namba
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 8 ай бұрын
​@@Ann-z6q1e Una passport kuna mtu naweza kuunganisha naye akakufanyia mpango
@RozRoz12-d4d
@RozRoz12-d4d 5 ай бұрын
Mimi namiaka 15 sasa hapa dubai
@zainabzain3434
@zainabzain3434 5 ай бұрын
Mashaallah
@yusramkamiamaji7565
@yusramkamiamaji7565 26 күн бұрын
No yako dear tupate usaidizi
@ZolfaZolfa-hu9oc
@ZolfaZolfa-hu9oc 6 ай бұрын
Hi
@ZolfaZolfa-hu9oc
@ZolfaZolfa-hu9oc 5 ай бұрын
Ongera namba namba yako
@MariyimJumanin
@MariyimJumanin 19 күн бұрын
Mh
TULIISHI MAISHA YA KUJIFICHA |WAZUNGU WANAPENDA KWENDA KINYUME | WATURUKI WATAKUCHEZEA
41:50
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 15 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 63 МЛН
USHAURI KWA KIJANA KABLA YA KUSAFIRI ✈️ DUBAI
5:22
SHARIF HODARI
Рет қаралды 2,5 М.
SABABU ZA KUNYIMWA VIZA YA MATEMEBEZI YA USA NI HIZI HAPA
27:09
EBM SWAHILI
Рет қаралды 7 М.
I Don’t Know Bobrisky From Adam, Never Spoken To Him - Falana
28:04
Channels Television
Рет қаралды 71 М.
18+ | S*xual rights in Islam | #MuftiMenk | #ShWaelIbrahim | #DrMSalah
57:41