Hakuna mwanachi Dunia nzima anae weza kuanzisha uvunjifu wa amani ila sababu kuu ni watawala kuiba kura
@abdallahdullah864218 күн бұрын
Watu wanaiba kura km pesa yani kwa vyovyote watawala wabaki madarakani bila kujali uhai wawatu.
@sebastiansalamba31318 күн бұрын
Hao sio magaid hao ni wananchi waliochoshwa na viongozi wezi
@HamisiNyaa16 күн бұрын
Safi sana msumbiji kazeni Buti ndugu zeru
@AFRICA_D66917 күн бұрын
Maisha ni mduara kenya..venezuela bangladeshi..nigeria..uganda..msumbiji sasa ni tanzania 🙏🙏
@frankmahenge594317 күн бұрын
Msumbiji sio Tz❤
@AFRICA_D66917 күн бұрын
@frankmahenge5943 ndio ikitoka msumbiji sasa ni zamu ya tz
@user1337517 күн бұрын
Tz utajuwa wewe😂😂😂
@AFRICA_D66917 күн бұрын
@@user13375 sote
@dadamuebrania153916 күн бұрын
Ushindwe, Tanzania tunaweza kufanya mabadiliko bila vurugu@@AFRICA_D669
@dismaslalubare419618 күн бұрын
Ujue ukiibiwa kura ujue umeibiwa. Kutawaliwa kwa nguvu
@FredMramba-hx3gl18 күн бұрын
Ulafi wa madaraka na kuwaona wengine ni wapumbavu awajui lolote serikali za mitaa wao,wabunge wao,madiwami wao ila wengine awajui kusoma na kuandika ila chama Chao Tu ndio kisafi siku zinakuja. Tuishi kwa haki sawa
@juliuskitaluka120618 күн бұрын
Mwenzio akinyolewa chakwako tiamaji
@sebastiansalamba31318 күн бұрын
Yajayo yanafurahisha
@alibinali_18 күн бұрын
Msibiji Power
@HalimaKinyashi-w7h18 күн бұрын
Mimi naikubali serikali yetu ya Tanzania hawafumbii macho ishara za uvunjifu wa amani. Bora amani itawale mengine yote yatarekebishika, amani ni tunu yetu ametupa mungu
@victorernest770218 күн бұрын
Saa na siku yaja tuombe uzima tu 😮
@angellomarcel567718 күн бұрын
True
@abdallahamin499718 күн бұрын
Kweli mkuu amani bila haki ni sawa na bure.
@abdallahdullah864218 күн бұрын
Amani bila haki ni sawa na biashara bila mtaji. Hubiri haki ili upate Amani wala Amani haisimami kwa ncha ya upanga Bali haki za watu kutamalaki na kuwafanyia uwadilifu bila kuwaonea hiyo ndio njia pekee ya kuleta Amani ktk jamii yyte Ile.
@OscarKasalile18 күн бұрын
Amani ni tunu ya Taifa lakini baadhi ya viongozi wasiokuwa na maadili ndio watakaoleta vurugu katika Taifa letu waache kuwa mafisadi na wakitokea mafisadi washtakiwe na sio kubebana
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج18 күн бұрын
Very soon Africa inaingia kwny vita maana kenya Ethiopia na sasa Mozambique machafuko ya kisiasa
@JohnMhogo-hd3fs18 күн бұрын
Tanzania nayo ijifikirie maana yanayoendelea huko sababu hata sie huwa inakuwaga
@hamzafishten956018 күн бұрын
Viongozi wa africa wanapenda kusalia magaraka
@ausog369618 күн бұрын
Tena wawe makini sna
@ramadhaniOsujacki18 күн бұрын
Maoni yangu nikwamba taifa letu tunaliamini kwa upande wa usalama tunaiomba serekali yetu waweke ulinzi mzuri sehemu za mipaka yote ili machafuko ya msumbiji yasiwadhiri watu woote na tunaiamini serekali yetu ikisema tunalinda nikweli kabisa ulinzi utakuwa bora zaidi mungu ibariki tanzania
@RamadhanBaina17 күн бұрын
😢doo
@hajikatanje596117 күн бұрын
Usijidanganye kabisa mwana inchi akiamua hakuna amani tena yani usijidanganye kuwa asikari watanzania wana juwa kulinda au kupigana msumbiji kuna asikari wa kila aina kutoka mataifa tofauti Tanzania tuna takiwa kuwaheshimu wana inchi kwasababu tuna roho za kibina damu sana ila hakuna silaha utakayo weza kuitumia kumdhibiti binaadamu na Tanzania haya mambo yakija kufumuka ujuwe dawa yake haito patikana karibu tuombe sana viongozi wetu watumie rasilimali za nchi kwaajili ya wana inchi na sio kukandamiza wanainchi ni hatari sana leo Tanzania kuna mali kibao hazijulikani anae nufaika Mtwara kuna gesi lakini kusini imekuwa kama msitu wa akiba au Mtoto wa kambo tutende haki
@OmanOman-bx5du18 күн бұрын
Kumekucha msumbiji tena
@dorahmwambemba903218 күн бұрын
🇹🇿 NAKUOMBEA NCHI YANGU, NAKUPENDA SANA
@MasterDhuh18 күн бұрын
Watu wakichoka upuuzi wanakua kama wanyama
@saidhamza531818 күн бұрын
Sasa ndio Naona maana ya kuwa na wakuu wa mikoa iliopo mipakani kuwa MAKAMANDA.👀😳
@BenjaNetanyahu18 күн бұрын
Ahaaaa! Ktk Africa mzima! Ni tanzania pekee ndio kuna nyumbu wengi😂😂😂😂 HT mwenzao anapoliwa na simba, wao huendelea kula nyasi kalibu na mzoga wa mwenzao.
@SophiaAlifa16 күн бұрын
Astaghafilullha pole sana
@MiriamKhalid-z6o18 күн бұрын
Majibu ya wizi wa kura daaaa
@AlexMkwama16 күн бұрын
Tujifunze kufanya uchaguzi wa haki na sio kutishana
@faustinluambano295818 күн бұрын
Rudia alichkisema DR. KITIMA
@bene28april17 күн бұрын
Kama Kagame yuko Msumbiji,Tanzania tunangoja nn,Hatuoni kama tunazungukwa na migogoro,Nyerere asingekubali huu udhaifu
@STEVENKAJUMBA18 күн бұрын
Afrika ni moja waache waje tuu.
@modricseif101818 күн бұрын
Ulafi wa madaraka😢🤦
@HoseaKatunge18 күн бұрын
Achen kuiba kura msumbiji
@AnociathaChuwa-cb5nk17 күн бұрын
Si walikuja kujifunza kwenu tz jinsi ya kuiba kura Wamekutana viongozi wawili wa kamati ya ulinzi na usalama ambao vyama na serikali zao ndio waliwafundisha msumbiji na hayo ndio matokeo!!!
@JanetteJanette-g5l15 күн бұрын
Tunahitaji-maombi--yenu
@KhalfanAbdalla-x7u18 күн бұрын
UKIONA MWENZAKO ANANYOLEWA NA WEWE ZA KWAKO WEKA MAJI
@NungulaRais18 күн бұрын
Hiyoo
@SbOm-b7k18 күн бұрын
Ikiwezekana bora vyama vingi vifutwe Afrika maana hakuogelewi haki tunapenda tuongelea tu amani lkn bila haki hakuna amani, hivyo bora chama kiwe kimoja lkn marais wawekwe wengi kama mwamzo,ilikuepusha vitavya wenyewe kwa wenyewe
@StephenMpallange17 күн бұрын
Wizi wa kura siku zote una matokeo mabaya.Tazama Sasa Amani ilivyotoweka Nchini Msumbiji,Hili ni fundisho tosha kwetu Watanzania na pia owe ni Warning kwa Tanzania.Machafuko hayo Wala hayahusiani na Magaidi Bali ni wananchi wa Msumbiji wanapambana kudai haki yao waliyoporwa na Serikali kwenye Sanduku la Kura wakati wa Uchaguzi.Hivyo kamwe wasiitwe Magaidi Bali ni Raia wema wenye hasira Kali.
@HASSANIMSALA-z9j17 күн бұрын
Mimi niko msumbiji jimbo la cabo kiukweli chama cha frelimo daniel chapo aliachwa kwa kura nyingi sana mana walipo kuwa wakihesabu kura za majimbo alikuwa anaongoza vanecio lakin chakushangazwa kura za pamoja tunaambiwa chapo wa frelimo kashinda
@danielkanso17 күн бұрын
Watawala wa Tz wajifunze kitu hapo na kwa mataifa mengine Watawala wetu wakitenda haki hala hatutakumbana na hayo ila ikiwa kinyume na hayo sijui japo hatuombi ila matendo ya Watawala ndiyo hulela ghasia mwenzio akinyolewa zako tia maji
@AllyKija17 күн бұрын
Watu wamechoka wameamua iwe hivo
@RomanMwinyi17 күн бұрын
Sasa kwa nn au takiwii una lazimishaa siuka muongozee mama akoo kumawe laisii wa msumbijiii
@DevidMarhias18 күн бұрын
Hata hapa kwetu ipo siku yatakuwa haya haya
@PascalChimatu-h6i18 күн бұрын
Bado Tanzania wasipo jifunza kutoka nchi za wenzetu yatakuja kutokea
@nimbetebwangabwa852117 күн бұрын
Don't compare tz with majranizake,, u have to know,vp tz ilipata uhuru wake, Na hao wengine
@lucaschisamalo285217 күн бұрын
Hata Tanzania bado kidogo tu ngoja lissu achukuwe kiti Cha mbowe
@abdallahdullah864218 күн бұрын
Chaguzi za kiafrika zinagubikwa na hila mbinu chafu na utumiaji wa nguvu ktk chaguzi na ndio sabb kuleta vurugu na mauwaji. Mpk lini lkn utumiaji mbaya wa nguvu ktk chaguzi.
@annasitaziakamtewe18 күн бұрын
Tz mjifunze yanayoendelea msumbiji.
@MssaNzalia18 күн бұрын
Vingozi tz msome nyakati muwe namoja kichwani
@faustinluambano295818 күн бұрын
@@MssaNzalia Mzee wa Msoga anampigia debe ASIYEITAMBUA WALA KUITAKA KATIBA.YEYE PIA HAITAKI NDIYO MAANA ALIVURUGA MCHAKATO
@MbarakSoud18 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah mosambicano hawana shukrani na serikali Yao mimi naishi miaka 35 mosambigue shule bure hospital bure maisha mazuri hakuna matatizo wananchi wa mosambicano hawana shukrani sisi tumeoaaa kwaooo na nimezaa não watoto 8 lakini bado hutwita sisi wageni tukifanya biasharaa hawapendi wageni wanachuki na wageni wananyanganya mali za wageni huchoma moto Mali za wageni kama viwanda huchoma moto huiba Mali za wageni huvunjaa maduka huchoma moto majumba pia Sasa sisi wageni tunamakosa gani huchoma magari ya wageni na ya serikali pia huchoma moto polisi huuuwa pia polisi na viongozi wa chama tawala FRELIMO inawasaidia wananchi lakini hawana shukrani tena sana lakini mungu ni mkubwa sana wataonaaa haooo wamosambikano
@twahashearer830218 күн бұрын
Poleni kwa kushindwa kuilinda amani ya nchi yenu, sasa hiyo haki mnaipata kwa kutoa roho za wenzenu?!
@simbarajabu415718 күн бұрын
Kaeni kwenu kwann mkimbilie Tanzania sasa wanakimbilia nn kwetu ,marufuku kabisa mama kuja uku
@StaaManeke18 күн бұрын
Ni hakiyao maana Kura moja1 huwa inaleta matokeo ya miaka kadhaa ki utawala
@nikundiweamosi508717 күн бұрын
Aman ya ccm ,siku ikifika hata ndugu zao watakufa bomu likirushwa litaumiza wote.Acha watangaze aman huku wanaminya haki
@abdallahdullah864218 күн бұрын
Nyumba bora huitaji kwanza msingi bora Kisha jengo licmame kwa ubora na limaliziwe kwa ubora, namanisha hata Amani ili uipate kwanza watendee haki na uwadilifu wale unaowaongoza, punguza hila na utumiaji wa nguvu pacna sabb bila shaka utapata vuno zuri la Amani bila jasho, Haki humfanya mtu apate utulivu na kumwamini aliempa haki, Haki huzaa Amani na dhulma huzaa majanga. Hvy yatupasa kujiuliza kwann kila ck tuwe na majanga wa Afrika ni kwasabb haki iko mbali na cc na bila haki huwez Pata Amani hata ck moja.
@jimjam-xg7rv18 күн бұрын
Tusi laumu dunia hila tatizo ni wanaadamu wenyewe kuichafua nadiyo maana sai duniani akuna sehemu iliyo baki salama 😱😱😱
@NardhisMhagama-sy3eq18 күн бұрын
Polisi walisaidia kuiba kura wapambane sasa
@angellomarcel567718 күн бұрын
SASA Wananchi wa Msumbiji mnafanya fujo ya nini..? Uchaguzi umeisha so mtulie tu Maisha yaendelèe
@mfwimiekayuki869217 күн бұрын
Viongozi waliopo madarakani ndio wanaosababisha yote haya.WIZI WA KURA.Watu wanachoka .
@eliasnicolaurobath686418 күн бұрын
Tanzania kwa ukweri saa nyingine mmnapotosha watu mandamano ya kudai haki yamegeuka ni magaidi mbona kenya waliandamana hakusema wanao andamana ni magaidi
@annasitaziakamtewe18 күн бұрын
Kila dhambi yakumuonea mtu haikosi malipo yake.
@annasitaziakamtewe18 күн бұрын
Afrika inatawaliwa na majini ktk maumbo ya watu.
@EmmanuelNyinyigwa-m1o18 күн бұрын
Pganeni tanzania tukuwe kiuchum na ajira zipatikane Kwa ujinga na upumbavu wenu.
@MasoudyMichael-ox7xl18 күн бұрын
Madhara ya kuiba kura nawaoneaga huruma polisi mana polisi anamlinda mwanasiasa alafu mwananchi akikiwasha polisi tena wanatumwa😅
@hajikatanje596117 күн бұрын
Ila kwauku msumbiji polisi analinda maandamo asilimia 100 isipokuwa vifo mnavyo visikia ni wale wenye tamaa ya kupora madukani hao ndio hupigwa risasi sana ila maandamano wanaandamana kwa amani kabisa mim nipo huku taarifa mnazo pewa na mambo yalivyo ni tofauti waache siasa za kuwatisha watanzania ili waone kama hii sio njia sahihi
@WilbertMalula-vv7ml18 күн бұрын
CCM JIFUNZENI
@rithaurassa17 күн бұрын
MUNGU TUTETEE NA HAYA MAJANGA TUSAIDIE.
@Kidem_jau18 күн бұрын
Kama unampenda chado masta njoo
@YourMoor-px1rd18 күн бұрын
NA SISI HAPA NYUMBANI BONGO TUANGALIENI NA TUWE MAKINI BINADAMU AKICHOKA AKILI ZAKE HUWA AFADHARI HATA YA MNYAMA
@annasitaziakamtewe18 күн бұрын
Polisi hutumika kama majini yanavyotumika na wachawi wanapotumwa na watawala na wanasiasa huwa hawana maswali.
@chalokalunde942918 күн бұрын
Dhulma haina kafara
@SeifBashemela17 күн бұрын
Matokeo ya uchaguzi! Wanasiasa wa hukohawajatumia ipasavyo elimu wanayokuja Tz kujifunza jinsi ya kuendesha uchaguzi huru na haki?
@jumamaulid946217 күн бұрын
AMANI AMANI AMANI Itazame Kongo ya leo watu wanauliwa kama wanyama na dunia inaangalia tu. AMANI AMANI AMANI Itazame Libya ilivyochakaa. AMANI AMANI AMANI Itazame Sudani watu waliokuwa wakilala japo katika vyumba vyao leo wanalala katika hema moja wakiwa wakimbiz wanawake kwa wanaume hakuna haki ya faragha tena. Kuipoteza AMANI ni jambo dogo sana yawezekana hata kwa maneno yako tu..... Lakini kuirudisha AMANI ni mpaka mama yako, baba yako, mkeo, mumeo, mwanao rafiki yako au jirani yako atakapouliwa kwa vita au kubakwa na wababe....... JE, unafurahia hilo?
@DeoMbongo-k7t17 күн бұрын
Tunajifunza Nini Tanzania kwa haya?
@bene28april17 күн бұрын
Kumbe inawezekana
@annasitaziakamtewe18 күн бұрын
Tanzania mmewafundisha msumbiji kuiba kura sasa nendeni mkawasaidie enyi mashetani.
@bwagizoselemani843418 күн бұрын
Tunahitaj viongozi wanao jua kuwa hudumia wananch sio maneno meng tu hata Tanzania tunatakiwa kupata kiongoz mwenye maamuz😂 sio kuchekeana tu
@HajiSimba-mq7tp18 күн бұрын
Msumbiji kwa sasa amani hakuna na zaidi hawa vijana ndio wanavunja maduka na kuiba na kuchoma magari
@EmmanuelChrispin-bo5xh18 күн бұрын
Sasa huyu mwamba ana ejoy nn ss
@mataypanga526218 күн бұрын
Tanzania tumeni jeshi kutuliza ghasia
@NardhisMhagama-sy3eq18 күн бұрын
Huna akili uka mlinde alie Iba kura
@TunauzaSimu-fn2ff18 күн бұрын
Ya .. .... Yanashinda
@JackKanyigo18 күн бұрын
Nchi hii ina mitahira jamani
@simbarajabu415718 күн бұрын
Awajaibiwa kula kama hapa utasema chadema imeshinda mbwa nyie ,waache wapambane na hali zao marufuku kukimbilia nchini kwetu
@simbarajabu415718 күн бұрын
Wakae uko uko kwao waendelee na fujo zao
@NardhisMhagama-sy3eq18 күн бұрын
Majaji na mapolisi ndio chanzo
@nunumrisho654818 күн бұрын
Kagame huyo msimchekee
@johnmalembo646418 күн бұрын
Kagame the strong and good Rwandan leader
@GlorydavidJeremiah18 күн бұрын
Waombaji mutuombee waliopo Mozambique hatuna amani kazi haziendelee vitu vimepanda bei na watu wanakufaa mutuombee
@JackKanyigo18 күн бұрын
Na hapa wanaojifanya ni mabingwa wa kuiba kura,waangalie kwa umakini jambo hili..hakika uchaguzi ujao mkiiba kutachangamka haswa
@ZahorSalum-h9q18 күн бұрын
Kl siku madaraka tuu.
@simbarajabu415718 күн бұрын
Waaache wafe , marufuku kukimbilia Tanzania ,marufuku kabisa mkae uko uko kwenu ,kwani akuna makanisa uko ,ndio ujuwe fujo akuna kanisa Wala mckiti
@modestwenceslaus918 күн бұрын
Unateseka ukiwa wapi Kada wakala wa wezi kula😂😂😂😂😂