Hanstone - Yataniua ( Lyrics Video )

  Рет қаралды 157,706

Hanstone

Hanstone

Күн бұрын

Пікірлер: 339
@TheHanstone
@TheHanstone 3 ай бұрын
TikTok Challenge vm.tiktok.com/ZMhDBNJhd/
@OdhiamboDericl
@OdhiamboDericl 2 ай бұрын
innit
@petrondinda2179
@petrondinda2179 3 күн бұрын
melody ime tulia tuko pa1 nilisha kupa yes toka school bush
@Nyotabusara
@Nyotabusara 3 ай бұрын
Wakenya tupo wangapi tunamuangalia hanstone ,sisi wakenya hatunaga wivu nipeni like tuwaaminishe
@Nyotabusara
@Nyotabusara 3 ай бұрын
@@chibbuimsodocki kwahiyo kusupport mziki wenu ndio hatuna wasanii ausio kama si support ya Kenya hakuna mahali wasanii watanzania wangeenda kiswahili kinasikizwa nchi ngapi mlipotoa Ngoma ya komasava ndio mkajikuta wakati mondi mwenyewe kaliwa na p Diddy .mondi alipotoa komasava mkasema mkona msanii mkali kumbe anatembea na nyota ya Diddy msanii wenu aliliwa kinyanya mshenzi 🤣🤣🤣any way poleni msanii yoyote atakae mkosea hanstone na mchana live bila chenga
@Big_Brother50milion
@Big_Brother50milion 3 ай бұрын
Watching from coast province
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
@@Nyotabusara mnaweza mambo mengine ila kwenye swala la Burudani Tz sio saizi yenu kiatu chetu hamkiwezi nyinyi kazaneni kukimbia mpka mfike mbinguni😅
@Princekenzie_254
@Princekenzie_254 3 ай бұрын
Representing
@Nyotabusara
@Nyotabusara 3 ай бұрын
@@ce-08 eti pididi alimfanyia Nini Superstar wenu kama kuwa wakali Kwa mziki mpaka upakwe mafuta wacha tuendelee kukimbia sisi🤣🤣🤣
@echikyabu6154
@echikyabu6154 3 ай бұрын
Hans mwenye stone yake on day muda utaongea chibaby 🎉💞❣
@MahonaKennedy
@MahonaKennedy 3 ай бұрын
Nguvu kubwa ya kipaji Cha hanstone anatakiw awe Kwenye lebel au ata m2 amby yupo vzr na anayewz push Kaz zake uyu jamaa anaweza mno Yan uyu ndo kiboko ya marioo.... Uyu NDIYE anaweza chuana naye kabsa
@jonele8592
@jonele8592 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@April_24tv
@April_24tv 3 ай бұрын
Nomaaaà jiweboi🔥🔥🔥🔥🔥like za jiweboi zinawekwa hapa✌️
@IsmailRajab-g5y
@IsmailRajab-g5y 3 ай бұрын
kak unajua kinoma yan sema bas tu ila keep going bro never give up one day wataujua ufund wako 🔥🔥🔥🔥🤲🤲💪💪💪💯💯💯
@irene2654
@irene2654 3 ай бұрын
Haki unajua na unajua tena,song lakutoa panya kwenye masabufa yetu
@olivahalison
@olivahalison 3 ай бұрын
Na alivyo tall sasa❤🎉🎉 mwamba umeimba tuachee na wivuu❤🎉
@AllySalum-e6d
@AllySalum-e6d 3 ай бұрын
Me sijapenda kwanini mmemtoa Solo ameua kinyama but good idea 👏👏
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 3 ай бұрын
Oya mwana ni mkali goma lifike mita jamaa! 🎉🎉🎉
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 3 ай бұрын
Attention kwa stone boy please 🎉🎉🎉
@stubbornkidtz
@stubbornkidtz 3 ай бұрын
Ila mwanangu Miondoko yako Naifata Sana Role model wangu Tuondoke baba 🙌🙌YATANIUA
@anuarguni8492
@anuarguni8492 3 ай бұрын
Jiwe la thaman mchangani...one day yes🙌
@jaydon3361
@jaydon3361 3 ай бұрын
Diamond alifer pakubwa kumuacha dogo, angemsamehe tu maisha yakaendelea
@kelvinkilonzo-ru7pf
@kelvinkilonzo-ru7pf 3 ай бұрын
Huyu jamaa mkali...kama unamkubali piga like 254 watching
@bossbilly1448
@bossbilly1448 3 ай бұрын
All the way from 254MOMBASA Hanstone Mzee Kuwafunika❤
@KamikaziAisha-q8x
@KamikaziAisha-q8x 26 күн бұрын
Hanston unajuwa sn my bro naupenda sn uyu wubo
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 3 ай бұрын
We jamaa unajua sana i wish ungebaki pale wasafi pamoja na huu uwezo wako ungekuwa msanii mkubwa sana level za juu, but sio mbaya mdogomdogo utatoboa
@kwame1706
@kwame1706 3 ай бұрын
oy kaka mm nakuelewa sana anae mpinga asitoe mtusi namba like zenu t
@sophiaali5813
@sophiaali5813 Ай бұрын
Umekua shabiki yangu sasa ❤kwa ajili ya wimbo huu,gafla pap nilikutana nayo tiktok
@danitotiburciomatias6334
@danitotiburciomatias6334 3 ай бұрын
From MOZ nimewai nipeni likes
@GodfreyMapigo
@GodfreyMapigo 3 ай бұрын
Unajua Kaka mungu akusaidie kweny mafanikio yako
@designer97
@designer97 3 ай бұрын
Ktk ukweli lazima pasemwe .jamaa anajua kinouma. Ilaa ni vile hatakagi shobo
@laxmajor
@laxmajor 3 ай бұрын
Stone boy😍
@omarymtaita7652
@omarymtaita7652 7 сағат бұрын
Wimbo hauchoshi kusilizia big up mkali
@Baylanmedia
@Baylanmedia 3 ай бұрын
Moto umewaka 🎉🎉🎉🎉🎉 yataniua
@allymwilu8089
@allymwilu8089 3 ай бұрын
Unajua saaaaaana mdogo angu yule dogo wakuitwa ginni hangii apa
@laidahmaris.26
@laidahmaris.26 3 ай бұрын
WCB wamefeli kumkosa bwana mdogo 😢😢any way ngoma kali
@JKRules9
@JKRules9 3 ай бұрын
Hatari.
@Trestartz
@Trestartz 3 ай бұрын
🌟 🌟 🌟 STAR ETU🔥🔥🔥✅✅✅Stone boy mic check round two✈️✈️✈️✈️✈️✈️Here we Goooooo🇹🇿
@ssayari
@ssayari 3 ай бұрын
Stoney ❤. Mnoma sana
@Vinnymusic1
@Vinnymusic1 3 ай бұрын
Saut ipo bomba nataman muimbe goma moja na marioo itakuwa it sana
@trayoversion
@trayoversion 3 ай бұрын
Inaonekana unamwandikia Mbosso ipo siku ukweli utajulikana mdogo wangu
@kaJEMBEvip
@kaJEMBEvip 3 ай бұрын
Jamaa n mnomaa kumbee...ngoma kali sanaaaa
@DramourkatoMustafa
@DramourkatoMustafa 3 ай бұрын
Sam wa ukweli kafufuka upya
@hanifamshale3624
@hanifamshale3624 Күн бұрын
hongera sana my boy❤❤❤❤
@trueboyaurelio319
@trueboyaurelio319 3 ай бұрын
Kaka chibu alitufeli kikweli😢
@BenBella254
@BenBella254 3 ай бұрын
Endelea hivyo kaka, tuko nyuma yako.
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 ай бұрын
Hili ni bonge la kopo bro uliuwa sana ..linahisia afu producer kalitendea haki sana ni mkali
@issaomar9488
@issaomar9488 3 ай бұрын
Huyu nsenge anajua sanaaaa leo ndo nimeweka tiki kabisa
@Sangaproduction
@Sangaproduction 3 ай бұрын
Mic Chek one two Stone boy round two 🔥
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 3 ай бұрын
Kazaa mwamba diamond kakuogopa na mengi wemkali kalichukua lilegalasa
@AhmedAliMc39
@AhmedAliMc39 3 ай бұрын
Wizkid wa bongo
@ShufaynerHassan
@ShufaynerHassan 3 ай бұрын
Mi unajua fika Cha kusem Sina Kaka Mana nakukubali mpka mwisho❤
@johnkerrysibomana9062
@johnkerrysibomana9062 3 ай бұрын
Umetisha saana dogo,nipo zangu Bujumbura Burundi
@Fedtz-d3d
@Fedtz-d3d 11 күн бұрын
Stone boy🎉 fundiii
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Kipaji halisi,watanzania hebu tusapoti vipaji kama hivi,tuachane na feki
@VishKhan-u8e
@VishKhan-u8e 2 ай бұрын
Uko good peke ako nd utafika mbali
@MJB-Africa
@MJB-Africa 3 ай бұрын
Toniii boooiiiiiiii...big inspiration hakuna kukatishwa tamaaa
@fahadmohd2633
@fahadmohd2633 3 ай бұрын
Bonge la kipaji kinahitaji pesa tu
@omarymtaita7652
@omarymtaita7652 7 сағат бұрын
Nakubali sana mkali
@goldenskid
@goldenskid 3 ай бұрын
Wakenya tupo ndani naota collabo yngu nayeye daily unyama ni mwingi 💥🔥🔥
@mikyclassics
@mikyclassics 3 ай бұрын
My ghee,wewe hakuna replacement yako Kule wasafi,huyo dvoice askie who hanstone is alafu pia aitazame nimechoka
@KarimSaid-re3vw
@KarimSaid-re3vw 3 күн бұрын
Jamaa anajuwa sn bs tu waja
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 3 ай бұрын
Usipoe dogo ngoma to ngoma
@pharesdismas8876
@pharesdismas8876 3 ай бұрын
Ni suala la muda tu nilikiona kipaji chako free nation nilijua tu ipo siku utakuja kuwa on top 🔥☄️
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 3 ай бұрын
Huyu kijana ni sumu! Tena sumu kali sana! Hatari sana hii ngoma! Keep pushing stoneboy!
@seranmakaray7887
@seranmakaray7887 3 ай бұрын
Ngoma kali sana MUNGU AMBAMBALIKI HUYU KIJANA KWAKWELI
@richardkwayson7202
@richardkwayson7202 3 ай бұрын
Wimbo mzuri tusubiri video
@realpupanene
@realpupanene 3 ай бұрын
Stone bwoy round 2 🔥🙌🏿
@nassorhamadi5738
@nassorhamadi5738 3 ай бұрын
Msiki mzuri, Video nzuri Melody nzuri. Mziki bila matusi na kukaa utupu inawezekana
@SamuelLaizer-w5c
@SamuelLaizer-w5c 3 ай бұрын
Ngoma kali kinoma ni ujumbe mzuri kwa wadada zetu 🔥🔥🔥
@spencerboy254
@spencerboy254 3 ай бұрын
Noooomaaaa mwanangu naikubali.... Love from Kenya
@nehemiahsamsony1085
@nehemiahsamsony1085 3 ай бұрын
Unaweza sanaaa
@CRTechtz
@CRTechtz 3 ай бұрын
Hanstone wewe ni maana halisi ya kipaji
@SheriaIvan
@SheriaIvan 3 ай бұрын
Oya hapo 0:32 umeuwa sana ❤❤❤🎉
@badomkwaju3938
@badomkwaju3938 2 ай бұрын
Daaaah sijawai kua kinarua wa izi kazi ila fact nampongeza director sana video ni kwanza ni UHD japo sijui camera alio tumia Pili contents simple zimeeleweka Color ambazo zime define mtu Nasio wengine wanabqdilisha kila kitu kama wapo Paradiso maua yako director ❤❤❤❤❤❤❤❤ Pia wimbo mzuri
@chardyi
@chardyi 3 ай бұрын
Apple music hatuioni kaka anguuu😮‍💨😮‍💨🔥🔥🔥🔥🔥
@skyscapeinternational9658
@skyscapeinternational9658 3 ай бұрын
kweli wewe dhahabu sasa cjui yule mjusi ilkuwaje wakamchukua😀😀😀😀😀
@officialisaiah3979
@officialisaiah3979 3 ай бұрын
toa ngoma kila baada ya siku 3 isipite wiki kaka tone
@Seth-ln8cu
@Seth-ln8cu 3 ай бұрын
Goma kali loui umeua sana
@BrackMelody
@BrackMelody 3 ай бұрын
Oya unajua kk 0:23
@kinggtz7422
@kinggtz7422 3 ай бұрын
Umeua broh kizur hakijifichi hii nihit trust me broh 🔥🔥🔥
@kenyamoviesofficial__23
@kenyamoviesofficial__23 3 ай бұрын
haka kasound ni ka moto sana 💞💞💞
@kebilrajy9776
@kebilrajy9776 3 ай бұрын
Nice Hanstone... ❤❤
@BabaKayla-v7w
@BabaKayla-v7w 2 ай бұрын
Oya we stone boy nakukubalig toka unaanza muzk oi unajua Sana Jah blezo wew
@kijanayaaput8940
@kijanayaaput8940 3 ай бұрын
Kwa kweli, hiii ni balaa❤🔥🙌💪
@Chelar_haule
@Chelar_haule 3 ай бұрын
Hili dude tunaondoka sasa🙌🔥
@Johvanny
@Johvanny 3 ай бұрын
Too hot❤❤❤❤
@rayzonevic4041
@rayzonevic4041 2 ай бұрын
Huyu wasafi walimuogopa wakamtafutia nuksi eti ndo ajiondoe tumuone mbaya
@judithkantimbo4369
@judithkantimbo4369 3 ай бұрын
🎉🎉🎉UKISIKIA BACK TO BACK ndo hii sasaa❤
@alitito3802
@alitito3802 3 ай бұрын
Moto kama Pasi 🔥🔥🔥👊🏿
@JumahMohamed-e9r
@JumahMohamed-e9r 3 ай бұрын
Hilo dundo la konde au pale ulipotoka wcb
@festomaiko
@festomaiko 3 ай бұрын
hanstone daaaa mwanangu kwa hii ngoja isipo kuwa hit ya mwaka nitalamba mchanga
@gbbuku4714
@gbbuku4714 3 ай бұрын
Congratulations 👏👏🎉🎉
@rahultz_
@rahultz_ 3 ай бұрын
Mbn hii Kali🔥🔥🔥fundi
@legawayz6093
@legawayz6093 3 ай бұрын
kazi zuri ston boy take👊
@HashimRashid-e5c
@HashimRashid-e5c 3 ай бұрын
Ila unajuaga bhn hanston one love brooh
@EdmundAbel-go9rz
@EdmundAbel-go9rz 3 ай бұрын
Unajua sana brow
@blaroskida
@blaroskida 3 ай бұрын
WE SUPPORT GOOD MUSIC🔥🔥
@jumakimtanange8177
@jumakimtanange8177 3 ай бұрын
Dogo Unajua Hadi Unakera🙌🙌
@comicvisual8661
@comicvisual8661 3 ай бұрын
fundiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana wewe jamaaa aiseeeee
@cesyjoseph5622
@cesyjoseph5622 8 күн бұрын
2025 gather here
@AthumanbonyeBonye1
@AthumanbonyeBonye1 3 ай бұрын
Ston boy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mnyamwezi kabisa
@guchiiofficial254
@guchiiofficial254 3 ай бұрын
Kama kiamapiano fulani vile alafu tarabu fulani vile inakuja inapotea humu ni unyama kwa sana.
@sirizamwili
@sirizamwili 3 ай бұрын
MIC CHECK ONE, TWO, STONE BOY ROUND TWO..
@comicvisual8661
@comicvisual8661 3 ай бұрын
greetings kutoka malawi....welcome chitipa
@TariqAziz-sc1lb
@TariqAziz-sc1lb Ай бұрын
Talent mazeeeee🎉🎉🎉
@sophiaali5813
@sophiaali5813 Ай бұрын
Umeona eee❤
@MTALIITV
@MTALIITV 3 ай бұрын
Big Song🎉🔥🔥💯💯
@cherllybrouwntz
@cherllybrouwntz 3 ай бұрын
Jiwe la thamani🎉🎉
Hanstone - Nimechoka (Official Audio)
4:06
Hanstone
Рет қаралды 572 М.
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
Chege Chigunda
Рет қаралды 4,1 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Jay Melody - Turudiane (Official Lyrics)
3:45
Jay Melody
Рет қаралды 263 М.
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Mbosso - Kupenda (Visualizer)
2:56
Mbosso
Рет қаралды 1,8 МЛН
Hanstone - Nampa Pole ( Nature Visual )
3:19
Hanstone
Рет қаралды 56 М.
Marioo - Salio (Track No.7)
3:24
MariooOfficial
Рет қаралды 645 М.
Aslam Tz - Hanipendi Tena (Official Music Video)
3:46
Aslam
Рет қаралды 288 М.
Rayvanny Ft Alikiba - Naoa (Official Music Video)
3:26
Rayvanny
Рет қаралды 1,1 МЛН
Zuchu - Hujanizidi Feat D Voice (Official Lyric Video)
4:19
Zuchu
Рет қаралды 1,8 МЛН