Hii imenikuta aisee marioo umeniandikia mimi huu wimbo au😢😢😢
@JoelExavery-l5sАй бұрын
Nyimbo kali sana🎉🎉🎉🎉
@IsakwisaSophen-xp3bk15 күн бұрын
Pole sana blood tafuta hela
@akimjuma202628 күн бұрын
Dah hii ngoma inanihusu kabisa yani demu kwa bed ananisifia ety akuna kama mim ananipenda sana dah kukikucha tu anani chet na wana mwenye hela sometime na wazee wenye umri wa kumzaa kabisa😢 dah kumbe shida sina Salio 💔 hii nyimbo ni yangu kabisa thanks 🙏 mariooo 😢😢😢
@PandaKakozi-n9iАй бұрын
Nyimbo yng pendwa kwenye album ya marioo, kama hahipenda kama mimi gonga likes 🎉🎉🎉❤❤❤
@blueboybajos6880Ай бұрын
ili ngoma watu watakuja kulielewa badae kabsaa maana ngoma tamu sna🔥🔥🔥🔥
@IZAACManyonyiАй бұрын
Hizi nyimbo ninhatari marioo one chance one goor ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@edsonmbega5031Ай бұрын
Dah maninaaa mm nachanyikiwa jmn kujua ngoma kali et oyaaa Album ya moto sanaaaa 🔥🔥
@Faridah23Ай бұрын
Marioo kajua kutuchanganya yaani zote za moto
@maxtwenty5303Ай бұрын
Kama hii ni your favorite gonga like 🥰💯🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪
@NgasaMaduhu6 күн бұрын
Wakenya wengi favourite Yao ni Ile ya bien kwasababu ya ukabila they can't even see good music😂😂😂
@BausaLuckyАй бұрын
Natamani sana Kontawa angepita kwenye hii Beat ... sijui ingekuaje...❤
@saidchembera866916 күн бұрын
Omary hii ngoma ulvyokuwa unatunga ulitulia sana 100
@SamGeofreyАй бұрын
Ewaaaah tulia usikisilizee hii nyimbooo🎉🎉🎉🎉🎉
@MunguikoAnelka25 күн бұрын
Nakukubali kutoka Congo Goma 🥰 mon cher maître merci nimedjifunzakitu marioo
@JanvierLwango3 күн бұрын
Mario ngomba Kali vraiment 🇨🇩🇨🇩
@FrankSinyangwe-wg2nx28 күн бұрын
U are indeed sent from heaven to give us good music ,mtoto bad shiii
@ericnkundwanimanaАй бұрын
Hiyo ndio favorite song kwenye iyo Album
@CeccyDamian28 күн бұрын
Kutoka Alooo Hili goma ni hatariii
@Pinii-222Ай бұрын
Salio my best song💥💥
@jenkingdeflavour1221Ай бұрын
Mniachie hii naondoka nayo My bro you kill it 🫡
@emmanuelymwasha3224Ай бұрын
Hii ni special kwa wte wanateswa na mapenz kisa helaa
@ChenchiKingАй бұрын
Daaah..!! Tusake Hela Vijana Wenzangu💵🔥🔥
@grizu109 күн бұрын
Kutoka Hello! 🔥 Kumbe shida sina SALIO, acha basi nikatafute hela!
@ahmedyissa4777Ай бұрын
Hili ndo bonge la ngoma sasa
@DaudiKipingi-w3j10 күн бұрын
Hatari na nusu
@MusaMasasa-f7z23 күн бұрын
From South Africa 🎉❤I respect marioo kutoka allow nipeni likes 🎉🎉🎉❤❤😂❤
@DanbLaurent5 күн бұрын
Kwisha kazi Kali ni hit song
@MoneyKey247-fk4oyАй бұрын
Naomba like kwenye hii goma kali mkizingua kunipa like ntazingua soon
@michaelhillary83719 күн бұрын
Hatariii sana hiii 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Ali-gq3fb29 күн бұрын
This is the best song of the album
@LabanPaul24 күн бұрын
Nimekubali broe hiyo ngoma nomaaa
@geohmakersevenАй бұрын
Watafutaji tujuaneee apoo chini kwa like👍💪
@hus-keenwizer6795 күн бұрын
CAN'T STOP LISTENING TO THIS JAM💯 THANKS MARIOO FOR DELIVERY THE RIGHT PROJECT FOR ME 💯GOD BLESS YOU
@Yagga_cptКүн бұрын
Hi Ndio Nyimbo Bora kwenye hii album ❤❤🎉
@avon_dido7 күн бұрын
Hii nayo Kali🔥🔥
@eugenekimutai8786Ай бұрын
Btw mario n mnoma kuliko mondi hila najua hamko ready kwa conversation kama hyo jamaa album iko na kila flow ya music genre
@humbleshoalАй бұрын
Hawa ndio wanaokuja kuchukua nafasi ya huyo mond wao
@NihadshighadiАй бұрын
Yeah atahitaji promo ya nguvu
@ramyjonez543529 күн бұрын
Huna akilii
@ASHAKHAMISMUSSA28 күн бұрын
Fact 🎉🎉🎉🎉
@amockzshukry.921019 күн бұрын
Usichokijua Mond nyimbo za Disgn hii keshafanya sanaa, (wayback) now yupo kibiashara zaidi.. Mond ni Legend so mwache Marioo andikee sana now coz ndio wakati wake.
@LindaShirima-p2b25 күн бұрын
Hii ngoma ukitaka ufaidi zaidi isikilize kwenye sound bar
@JumaShariff-k2z3 күн бұрын
Marioo wewe ni King wa muziki tz
@isayamichael4085Ай бұрын
Best one special kwa wanaaaa 🤜💥🤛
@dalalimpembaАй бұрын
Hii ndio Ngoma 1 alafu Dar es Salaam 2 Kisha zinafuata Hizo Nyengine 🔥🔥🔥🔥
@saidrajabu157526 күн бұрын
Wewe n kama mm asee
@fatumambarakat562Ай бұрын
❤❤❤ kama umekubali hili Ngoma weka like yako hapa
@blueboybajos6880Ай бұрын
nimeipenda hii❤🔥🔥
@Mchiziii-x6uАй бұрын
Tunaomba video ya salio marioo 🎉🎉🎉❤❤
@NDUWIakaNUNU28 күн бұрын
Aloooooh uko repeat kwetu hapa🔥🔥🔥🔥
@M_Supreme779Ай бұрын
Tuna kiwashaaaa Bad nation
@MALEEK00425 күн бұрын
hii ngoma isikufanye uishi single. Marioo ako na mke😂😂
@NoellaNangali17 күн бұрын
😅😅😅😅
@TegemeaMbembela5 минут бұрын
😂
@Akilimbilicomedy77Ай бұрын
Salio sina heee? Kama umekubali hii ngoma like hapo chini🎉🎉🎉❤
@sabrinakassimuАй бұрын
wow uko mwenyew tu wwe Tanzania 🇹🇿 ambae hapendi kolabo na watu wa nje kama kuimba una jua tupo nyuma yako 🔥🔥
@Pozkid-yz2xbАй бұрын
Salio...🙌😁💔
@arishi2021Күн бұрын
January Anthem ❤❤❤😂😂
@Aminayahaya-j4l6 күн бұрын
Baba Amara unajuaa xana mdog wngu Mungu wako ni mwema
@YassinAdam-f7kАй бұрын
Dah hii nyimbo sio poa... Shida sina salioo 😢 marioo the number 1
@JackieSanga-v9l6 күн бұрын
hii ngoma nimeikubalii marioo unajua❤❤
@AyubuJoseph-y1cАй бұрын
Album nimoto sana mkuu pia hii ngoma nimeielewa sana 🇹🇿
@hasheemstephen785427 күн бұрын
uyu kaka kumanizakew❤❤❤❤❤❤ anajuaaa
@StellaAgustino18 күн бұрын
😂
@MsamiAlau12 күн бұрын
Hii nyimbo siyo poa inamaanisha yani❤️❤️
@LameckZahoohАй бұрын
Nyimbo yangu pedwa 2025❤
@ASHAKHAMISMUSSAАй бұрын
Tafuta helaaa 😂😂😂😂😂
@ManyiziMusicStarАй бұрын
Oyooooooooooo mwanagu marioooo utawauaaaaa 🔥❤
@SaedyTozzyКүн бұрын
Daaah hatimae marioo umetukumbuka na sisi😮😮😢😢
@immajulius781825 күн бұрын
Umetisha sana baddest
@DremoDreezy-pk4ud24 күн бұрын
My best song in the God son album ❤🇰🇪
@macbtzАй бұрын
Album ina miwa ya kutosha sema mi hili ndo goma langu pendwa✅🔥
@hoseamakaine9502Ай бұрын
Hii ndo ngoma yangu sasa sasa kwnye album nzima
@officialleka187327 күн бұрын
Hili goma ulisahau vipi kumwita Whozu achape kdg Lingekuwa zaidi ya hapo so mbaya Liko vzr.
@arishi2021Күн бұрын
We have to take thie music to 10Million views
@mariamkanana55Ай бұрын
Salio killed most in the album 🎉🎉🎉❤
@MUSAMONALISA22 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤bonge lanyimbo😊
@EmmanuelMasanja-o7p29 күн бұрын
Umetisha xanaaa brooo nakubari xanaa
@fundiseif1096Ай бұрын
Salio by marioo badnation it's awesome 🔥🔥🔥🙌
@FarhatIddi27 күн бұрын
❤❤❤ wowh nakupenda san kaka angu marioo nakukukubali xan
@MUKAMUTARAJovia26 күн бұрын
Spectacular 🫡🤭 🇷🇼 🇷🇼
@CnaDoa3 күн бұрын
Marioo utaanguka kwenye Ngazi shuka bhna
@petermakala1382Ай бұрын
💰Kali na kubwa kulikoo zoote💥💢🥶
@clamvevo-familyАй бұрын
Wa kwanza kutoka Marioo
@SarahIsike22 күн бұрын
Naipenda sana hii
@TheheartsyncpodcastАй бұрын
Hii nayo ingepata BenSoul....Angefanyia Justice
@FaithBukambo26 күн бұрын
Goma yangu ya mwaka 2025
@Allenafro_iboАй бұрын
Daah mamaee hiii imeniingia kabisaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@KalindiFikiriniАй бұрын
Binge moja Ngoma uchoki kilisikiliza ata mara 100 safi sana 🙏🙏🙏🙏
@SmilingBirchForest-ci9tc29 күн бұрын
Salio my favorite🤝
@saidrajabu157526 күн бұрын
My favorite on repeat mode
@EricResqАй бұрын
God sent, Godson. This track has hit differently 🫶👌👌
@StevenMadangi-yt7rh29 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🕧🕧🕧🕧🗃️🗃️🤔🤔🤔🤔😜😜😜 nashukuru nimejua kisa Salio basi ngoja nikatafute hera
@ladysalimkabora995227 күн бұрын
The melody is 🔥🔥🔥🔥👌👌👌
@AgripinaGervas-i7i17 күн бұрын
Ila Marioo🎉🎉 Hongera broo
@PizzoBeatzАй бұрын
Nikikosa likes nakuja kufuta hii comments yangu
@Ngadu600Ай бұрын
Hata kitu niliwasha Kwa ajili yako nn we ulitaka uvute na mm👣
@mariaanyanga454229 күн бұрын
best of the ep
@davabackup776729 күн бұрын
Mariooo 🔥🔥🔥
@sammyevance108923 күн бұрын
Bonge la ngomaaaaa
@patrickmgaza992711 күн бұрын
Talented man ,best RB singer anaandika sana jamaa
@RoyAshumaАй бұрын
Mbona kwenye hii Track haujamweka Prince indah na okello max...goma nomaa🔥🔥🔥
@michaelhillary83719 күн бұрын
Natamani kumpa hata kuma mario kwa kutoa nyimbo kali kama hii
@YugohNdembohАй бұрын
Iyiyi nde mwaswa bg broo , fire 🔥
@badboyjephanie-uh3mzАй бұрын
Tunao mkubali marioo tujuane kwaku like hii comment
@MarkJames-pi5clАй бұрын
Badiiii haujawaii kukosea
@amanibrown-jx2sqАй бұрын
Hii haipitwi na wakati, kali ya kila wakati
@CleverSelestine21 күн бұрын
Naenda na hyo ❤
@Ihauwizeye77ØgJustin-l4e28 күн бұрын
Kumbe shida sina salio😮😮
@husseinkigada5068Ай бұрын
Hit songs ya mwaka kwa wale wote tunao hustle mAh boy 😢
@AmisiTyga26 күн бұрын
the king power. aloooo 😲😲😲😲
@99alfredjrАй бұрын
this song make me never give up.....anyone here in 2041