Millard Ayo nkiona tyu umeweka kitu kwenye chanel yako Basi ata kabla cjaingia kukiangalia hicho kitu nakua nshaelewa kuwa ni habar au Jambo lenye mantiki kwa jamii,kwa kifupi unafanya kazi vzur Sana bro...,nakubali kazi yako❤️❤️🙏🙏
@abdallahantony95244 жыл бұрын
Du sisi tumesahau tulikua tunapanda kwenyeminazi uko korogwe vijiji.Asante MUNGU .
@shabanimagogo5024 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanuelbonifase11144 жыл бұрын
Mngeanguka uko atare
@nz61814 жыл бұрын
I salute you Milard..Good job excellent TV@London
@yusrajonathan86684 жыл бұрын
Millard nakukubali sanaaa big up broo
@millicentouma23244 жыл бұрын
AFRICA Africa. I Love Africa, Everything is possible 🤣🤣🤣
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
😍😍😍
@zubedaselemani62204 жыл бұрын
Babu tale got something very special .......magufuli wa makuyuni😍😍😍😍😍
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Duuuh! Kweli. 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@selector7284 жыл бұрын
💋💋😍😍
@tousihhhh67654 жыл бұрын
hii kali san mm sasa ninadanga langu inakuwajeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
KUmbe ni kwa kona talee apo tatizo limeishaaa
@officialbaloteli79654 жыл бұрын
Daaah kwa kwel tanzania ni kubwaa🙌🙌🤝🤝
@youngchua6974 жыл бұрын
amizing
@kisokakasuku21374 жыл бұрын
Big up Millard Ayo
@joshuambise13434 жыл бұрын
nice
@shaniahrachma31144 жыл бұрын
Ma sha Allah kama hawaibiani nataka kuja kuishi huko jmnn 😇😇😇😇🥰🥰🥰🙏🙏
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Asante Ayo tv nikwetuhuko ningependa aangalie na njia muheshimiwa kwani ikinyesha mvua ni changamoto hasahapo matuli kuelekea MKULAZI magari hayaendi hospital hakuna ukiwa na mgonjwa unuhitajika ufike morogomo mjini na mudahuo unakuta kumejaa maji na tope yaan sikwa baskel wala pikipiki. Muliangalie hilo tafadhali.
@jydon84054 жыл бұрын
Waah Sas mwana Harakati Nimesha pata Detail inanibidi Nitafute Nauli ya Kuja huko😂😂😂😂😂😂😂
@braydonmrema6014 жыл бұрын
...ukafanyaje jomb🤣🤣
@emmanuelzao4 жыл бұрын
😎
@mcsailas83284 жыл бұрын
😂😂😂😂HUU NI UTALII NA WASILETE MNALA
@bintmrisho35264 жыл бұрын
Kabisa😂😂
@daliamtanganaki8184 жыл бұрын
Asante broh millard kwa habari
@mathewlive774 жыл бұрын
Serikali Ya JPM awaletee mnara hawa walipa kodi tuendelee kusonga
@allymahamudu94924 жыл бұрын
Ndio vizuri sana
@amiabillity16354 жыл бұрын
aaah jaman wamitandao ebu angalieni xn hili,tatueni haraka xn tupo uchumi wa kati bhn aibu hii
@edwardmkwelele4 жыл бұрын
UCHUMI WA KATI WA KUDANGANYANA TU NA WATU WACHEKELEA SI UJINGA TU
@alluminiumexperttz.12mview134 жыл бұрын
Voda, Tigo, Airtel na mitandao mingine wahini fursa acheni uzembe
@rubenisaitoti36124 жыл бұрын
Usijali mungu atakujalia
@gladsonbaltazary74493 жыл бұрын
😂😂simu haina issue..nenda na demu mzuri uwone watakavyomloga
@emanueledwin56854 жыл бұрын
Wa kumi kukoment naombeni like zenuuu kwa kuwahi
@alfredjohn56934 жыл бұрын
Ukiitoa kwa kopo mtandao unahama😂😂
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Eeeeeh 🤣🤣🤣🤣Tanzania ya sasa mama ina mambo jmani 🤣🤣🤣
@pendolazaro46863 жыл бұрын
Jaman
@newforcejv97214 жыл бұрын
Kweli Morogoro Vijijini 😂😂😂 wa Moro Tujuane
@ahmuhally44304 жыл бұрын
Tanzania ya Viwanda
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Duuuh 😲 yakwel hayo jamani Hv niache iPhone yangu kwenye kopa then niikute,,,,,Hapana hao wanaacha zle simu za mafungu sh 750 😂
Yanikuwepo hayo kijijini kwetu sasa hivi mashaaallah
@isakamwakasege42004 жыл бұрын
Hatariii dah
@mwahejaporongdt17664 жыл бұрын
Dah 🤣🤣🤣
@thabitalwiy14 жыл бұрын
Inamaa hapo ukiwacha iPhone ya macho matatu ukirudi unaikuta🤣🤣🤣
@hizamwaimu39184 жыл бұрын
Duuuuuh kweli hatali
@babamohammad95784 жыл бұрын
Hi
@fredsengo41224 жыл бұрын
👍
@ramadhaniabdi95304 жыл бұрын
Mie Simuamin Kabsa Huyu Jamaa Kwa Maneno Yake Naona Bdo Ni Zle Porojo Za Kwenye Mziki Tu Ila Mwambie Miaka5 Sio Mingi
@mawestonetz51504 жыл бұрын
Umesahau kuulza je ikitokea mtu kaiba ni hatua gan itachukuliwa
@fredrickjoseph29074 жыл бұрын
Ataenda kupigia wapi sasa?center ni hapo.
@mapundaone93804 жыл бұрын
@@fredrickjoseph2907 😂😀😂😂😁
@syongomangule80274 жыл бұрын
Wanaacha sim duh kwanzia sasa wasiache vibaka watakuja
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Balaaa ztto
@khadeejasaif78304 жыл бұрын
😃😅🤜
@oparetionmaalum90304 жыл бұрын
Morogoro Kuna dini ndomana kunaimani na Wana aminiana hawaibiani Allah akulindeni na akuzidishieni imani
@mnyamamedia74394 жыл бұрын
Tatizo so kuiba tatizo atapigia wapi zaidi ya hapo
@jafarimohamedi79002 жыл бұрын
Aaaah weeh hawaibiani kwa sababu ni wachawi hao ukiiba umekufa
@fasconeroh87404 жыл бұрын
Daaah matuli nyumban 😂😂😂 kitambo sana
@babamohammad95784 жыл бұрын
Gm
@erickendrick33304 жыл бұрын
Duuu
@aminaharun11034 жыл бұрын
Khee hapo.usalama ni zero
@veronicakalondji23753 жыл бұрын
😂😂😂
@shidnyovest90294 жыл бұрын
Duuuh!! kwel so PW
@duniakiganjani62354 жыл бұрын
Millard naomba tutafutane ndugu yangu nna bonge la habar ambayo itakuwa msaada kwa watanzania wengi
@davidnchoji4 жыл бұрын
Nilipitia jambo hili pia, Mpanda vijijini huko daah noma sana
@samuelnyabange20694 жыл бұрын
Simu yangu ina ukubwa wa Berri ya gari aina ya L/cruiser. Niandalieni kopo la aina yake.😁😁
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
Kazi jamani watu wanamiliki smartphones lkn network yenyewe hakuna kweli Tanzania kubwa na maendeleo bado sana
@fadhilisteven18174 жыл бұрын
Kwaiyo
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Uchumi wa kati
@fetychina32734 жыл бұрын
Duh!poleni
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Really 😳🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@erastosolomon45544 жыл бұрын
Hilo tatizo lipo pia maeneo mengi ya Tanzania kupata mtandao hadi wapande milima na kama kuna shida ya muhimu usiku wa manane huwezi kupata mawasiliano
@stevenkisinda Жыл бұрын
Huko hata rais hawamjui wanajua bado mzee nyerere
@sadockalfred17104 жыл бұрын
Nikienda huko naiba zote kudadeki 😂😂😂
@johnmgodi75454 жыл бұрын
Daa maisha magumu sana hayo...
@kazimototemakazimoto13154 жыл бұрын
Watu wa mtandao mpo siyo muwe kimyi
@shantellemwanakombo37034 жыл бұрын
Nomaaaa🤣🤣
@alexsimoni42774 жыл бұрын
shida saana sasa utakaa mdagan hapo ukisubili kupigiwa
@shikuassi48764 жыл бұрын
Duuuuh.
@kenybenjiz78504 жыл бұрын
Mmh
@al4classic6914 жыл бұрын
Duuh tigo wekeni mtandao huko mtapiga sana hela
@dotosalim50904 жыл бұрын
Tena nitaiweka siku mbili 😄😄😄
@hajeralqaidi21154 жыл бұрын
Kiboko
@jamilasalimvilog67524 жыл бұрын
duh poleni sana
@user-je1id1tx1u4 жыл бұрын
Hicho kijiji ni naweza kusema hakuhitaji kituo cha polisi
@emiliamhagama85534 жыл бұрын
Mmmhhh
@georgespenser10384 жыл бұрын
wa kwanza kuc0mment na0mba like zangu
@shadagadagga99224 жыл бұрын
This is too shame to our country!.
@mbungetekenya89614 жыл бұрын
Kiki za kule zinaletea uku
@mauricempinga9354 жыл бұрын
Fulsa ya wawekezaji wa mitandao ndio iyo
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Uchumi wa kati daa
@hijjahbintmardhya66134 жыл бұрын
Milad ayo kuja na kwetu kilanya lyamungo bana Hakuna network ukitaka mawasiliano lazima uende shamba ama upande kwa mti ndio upate network bana
@evaristirazalo74594 жыл бұрын
Nakukubali sana hahahaaaaaa
@emanuelleopod39494 жыл бұрын
Matuli Moro iyo 🤣🤣🤣🤣🤣
@EmanMic4 жыл бұрын
it pains
@ahz69074 жыл бұрын
Nadhani hawawezi kuibiana simu kwakuwa ukiiba itakubidi uilete hapo kupata network.labda uiuze mbali na hapo.😀
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Umeona
@susanbett43254 жыл бұрын
Ikinyesha mvua je mtafanyaje?
@eenpaard39154 жыл бұрын
Aibu kwa company za mitandao
@georgeisdory99984 жыл бұрын
Wametenfeneza minala yao guys makopo yana chembe chembe ya madini au mionzi inayo safirisha inter au mawasiliano
@fakijuma75494 жыл бұрын
NAKUJA NAMIMI KUWEKA SIMU YANGU YA IPHONE 11 AU BORA NOKIA 3310