Рет қаралды 58,806
Bongo Fleva - Old Bongo Fleva Hits 90's - 2000's.
Request Muziki wa zamani unaoupenda kwenye Comment nasi tutaingina Library nakukutafutia na kuuweka hapa kwenye Channel yetu hii ya wana Bongo Flava/ HipHop za Zamani Tanzania.
Pia usisahau kusubscribe channel hii ili uweze kufurahia ngoma zote kali za kitambo tutakazo weka hapa.
Usiache kushare tracks na wana ili tuzidi kuuenzi muziki wetu ulipokua muziki kuanzia Mashairi yenye ukweli, Midundo yenye hisia kali kwa pa1 ni kumbukumbu zisizochosha kusikiliza kila siku