Sos B & Black House 1996 ndio nyimbo iliyoongoza kukaa muda mrefu kwenye Top 10 ya Radio one miaka hiyo...
@boniventurengowi90714 жыл бұрын
Nakubali sana hili song la zamani sana nilikua Chalii mdogo sana harakati Kali dingii sos b wapi man
@allyfatma73594 жыл бұрын
Mumeifanyia vigisu kidogo hii Ngoma.siyo ile niliyokuwa nasikiliza miaka ya 90.jamaa alikuwa DJ na radio presenter.sosteness ambakisye aka SOS B.kwenye DJ show ya radio one miaka ya 90 lazima Ngoma ipigwe,nawakumbuka Sana ma DJ wa enzi zile Akina maik mhagama na wenzake.tumemis Kwa kweli.
@halid4944 жыл бұрын
Sos B.....jamaa mkongwe sana.
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
bwana wee acha tuu hizi ndo ngoma kali
@darmillionaire5 жыл бұрын
Hii ngoma ni kali mpaka leo. Huwa naweza nikaipiga siku nzima bila kuichoka.
@emmanueljudas45224 жыл бұрын
Usinione npo cul mi ninamakuu..2019 still banging
@frenkrevocatus12134 жыл бұрын
Jamaa wanarap utadhani wanaimba aisee vionjoo vya udakizaji hatari sana enzi hizo nilikuwa mtaa kwa mtaa nikitafuta siso leo vyuma chakavu
@Evamary1237 ай бұрын
🔥🔥
@sebastianbugade35216 ай бұрын
Tutupie Original hii ngoma ni shidaaaaa. Kwenye video yake Salama Jabir ndo alikua video queen. kilikua kitoto kizuri mnoooooo
@jacobowino17375 жыл бұрын
Kali sana.Why am I listening to this music now?Anyway 2018 strong sana.
@nadeemsanga35665 жыл бұрын
Wacha we kitambo I was form two those days at makongo high xcul so nice and now its 2019 still listening
@BongoZaKitambo556 жыл бұрын
Dah Hizi Ndo Ngoma Zangu
@lusajomwankusye34775 жыл бұрын
Hii version sio ile ilikua inapigwa radio one enzi zileeee
@allykassim98266 жыл бұрын
Balaa enzi hizo
@jgraphixtz75085 жыл бұрын
daaa enzi hizo rap uhuni now ajira kuliko kuhitim form six na elim ya vyuo
@kelvinmakafu54815 жыл бұрын
wachaaa
@mabelyamabelya67043 жыл бұрын
Umeiharibu hii ngoma...
@allyfatma73592 жыл бұрын
Kabisa,yaani wameitoa ladha kabisaa.
@itutixnoti86235 жыл бұрын
Huyu fala pumbavu sana anasema REMASTERED wakati kaharibu muziki k*ma. Hiyo sehem ya mwanzo iliachwa KIMYA kusudi haikuwa makosa
@darweshk73424 жыл бұрын
1997
@Myplusbee2 жыл бұрын
FUCK!!! It's the last track I'd expect!!!
@davidmihambo30515 жыл бұрын
Dah inanikumbusha mbali sana hii natamani niione na ile video yake ilikuwa inaonyeshwa na itv tu kipindi hicho
@daudimziwanda95365 жыл бұрын
Kitambo sana kipindi kile itv ndio waliokua wanafanya video peke yao
@reynjau59855 жыл бұрын
Unakumbuka Kaka 95 itv watangazaji Sunday shomari & Monica mfumia kipindi ni rap